🔴TFF watoa Tamko zito kwa Yanga, Yanga naowajibu mapigo watuma barua kwa Rais TFF "unawabeba Simba"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @johnmariki
    @johnmariki 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo maswali waulizwe CAF sio TFF

  • @salehelingston923
    @salehelingston923 2 ปีที่แล้ว +1

    Mahakama kalia hakimu kalia muendesha mashtaka kalia 🦁🦁🦁🦁🦁 dam dam Wana yanga niwakumbushe jambo " fisi akiwa hakimu mbuzi Hana haki

  • @YazidJumanne
    @YazidJumanne 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kalia kumanina zake

  • @issakachala4437
    @issakachala4437 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa kwa dhahili Rais wa TFF Karia Ananias mbaya na team ya Yanga

  • @iddymsagalile5371
    @iddymsagalile5371 2 ปีที่แล้ว +3

    kalia aende kwao somalia atuachie nchi yetu anataka kutugawa tena selikali isipo angalia kwa umakini ipo siku utatokea ugomvi mkubwa kati tff na yanga.selikali iwaite tff na yanga kumaliza tofauti zao hivi wazili mwenye zamana halioni hili mbona kelo ya mda mlefu .au mpaka atumbuliwe.jamani .

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata aliyekuwa mgeni rasmi ni tatizo alipaswa kuuliza ni teamngapi zimealikwa. Lkn kwa kuwa naye ni simba hakujali!!

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว +3

    Fuatalia website ya CAF , labda yanga hawasomi maagizo ya lugha ya kiiengereza 😃

  • @abdallahmikson2031
    @abdallahmikson2031 2 ปีที่แล้ว +3

    Natumaini Uongozi wa yanga ni boira kuandika barua kuuliza wizara kupata ufafanuzi na hata kujaribu kuuliza CAF kupitia Rais wake. maoni yangu binafsi

  • @nurdinjulu9410
    @nurdinjulu9410 2 ปีที่แล้ว +3

    Karia nimtu easimba siokiongozi was TFF Mana anayoyafanya nisawa namwendawazimu boratu ajiuzulu kulikoni haibu anayoifanya kwenyesoka lanchi hii yenye Amani Upendo Nautuliv.ifikewakati siassa zisiingie mpaka kwenye mpila madharayake nihayo.

  • @peterchande957
    @peterchande957 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli usiopingika kuwa TFF wote ni Simba, Karia simba, katibu simba, msemaji simba, mwenyekiti wa kamati ya maadili simba, katibu wake simba karibu kamati zote simba mnategemea Yanga itatendewa haki????

  • @hajijuma5340
    @hajijuma5340 2 ปีที่แล้ว

    Nimwsli

  • @AllySaidy-s3u
    @AllySaidy-s3u ปีที่แล้ว +1

    YANGA HAITAMBULIKI KIMATAIFA

  • @emanueljohn6614
    @emanueljohn6614 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Karia ni siyo Mtanzania ni msomari ndiyo maana ana roho mbaya sana Yanga imekufanya nini. Tamekuchoka wondoke Usimba umekujaa sana wewe msomari Watanzania ni watu wazuri sana!

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa OLE wake Karia na Timu yake Simba wafungwe!! Aibuuuuu???

  • @josephmalafyale9259
    @josephmalafyale9259 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema nini ukitoka familia ya kimasikini utajulikana tuu kama kalia anataka yanga imsujudie nikitu ambacho hakipo mshamba sana

  • @MuhsinSambega
    @MuhsinSambega ปีที่แล้ว +1

    raisi anaupendeleo hiyo raisi wa Simba kajidhihilisha hakuna kujitetea

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว +1

    Ww unadharau TFF unafikir iweje wakat nidham hamna

  • @misojibahati6110
    @misojibahati6110 2 ปีที่แล้ว +2

    Hilo liko wazi wanachama wa yanga tunajua tff wanachuki na yanga chuki hizo zitakuja kuwaumbua

  • @HassanKubwito-uv7jv
    @HassanKubwito-uv7jv ปีที่แล้ว +1

    Karia anaonyesha wazi kuichukia yanga kwamfano ulio wazi nihabari ya kufungiwa kwa manara haikuwa na sababu ya msingi no chuki binafsi

  • @mohamedisaidi9072
    @mohamedisaidi9072 2 ปีที่แล้ว +1

    Wale karie kaharib mpira wa tanzania

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 2 ปีที่แล้ว +1

    Je Yanga haichezi michezo ya caf. Ni uozo uliopo kwenye tff

  • @shaoshao9522
    @shaoshao9522 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani yaliyozungumzwa kwenye kikao hicho hayakuripotiwa,au ni wivu kwa kuwa Simba ilishirikishwa km mdau mwenye mchango mkubwa kwenye soka la Afrika?

  • @AllySaidy-s3u
    @AllySaidy-s3u ปีที่แล้ว +1

    HUWEZI KUALIKWA KAMA UBINGWA WAKO NI WATIGO PESA

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya ma tff yamesha tuchosha kabisaa yanaingiza siasa kwenye mpira Yani yanatuboa kweli yanavuruga Sana.

  • @shaoshao9522
    @shaoshao9522 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Utopolo wanalazimisha mwaliko kwenye sherehe?

    • @YazidJumanne
      @YazidJumanne 7 หลายเดือนก่อน

      Karina atupishe hafai mbwa huyo raisi gani mwenye chuki zawawziwazihivyo akafie mbele

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie niwatu wakulalamika tu maisha fanyeni mavitu hebu igeni simba kama mengine mnayo iga

  • @misojibahati6110
    @misojibahati6110 2 ปีที่แล้ว +1

    Awabebe tu hayo yana mwisho

    • @albanohokororo1729
      @albanohokororo1729 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini baraza la mi hezo na wizara wamekaa kimya wajuwe wanachochea vurugu ni hatari

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 2 ปีที่แล้ว +1

    Karia rudi somalia iache nchi ya Mwl

  • @AllySaidy-s3u
    @AllySaidy-s3u ปีที่แล้ว

    WEWE ALLY KAMWE HAWEZI KUINGIA KTK MKUTANO HAJUI KUONGEA KWANI YANGA WAKIINGIA WATAENDA KUOMBA ENEO LA KUJENGA KIWANJA NDO ZAO

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว +1

    Nidhamu hawana

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 ปีที่แล้ว +1

    Dawa yake kesho ni kuwafunga mbele ya viongozi wa Fifa na Caf pamoja na Tff kwanza viongozi wote watakuwepo Refa hatofanya chupli chupli yoyote Refa ataogopa wafungwe pamoja na huyo mdogo wa kocha wao

  • @abdallahmgeni876
    @abdallahmgeni876 2 ปีที่แล้ว

    Kalia amezoa msimu nlioisha wamatusshaukwanye ratiba

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga mmelala mno, mko busy kutafuta uchawi,wa mbadala wa kulala makaburini. Senzo katoka juzi tu , kaalikwa lini ?

  • @alexwizeboy2251
    @alexwizeboy2251 2 ปีที่แล้ว +1

    Watoke apo tff hawana maajabu wasituhalibie match etu ya kesho kesi zao ziishie uko uko

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawo wanaanza kupoteza kofidensi na sababu mapema iwe kisingizio ccha 13 nyie mruke mtuwe magoli mhh mtatafutana

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว +1

    Karia ajiuzulu tu

    • @isaacjohn9633
      @isaacjohn9633 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaanii kumbe huo mpuzi mpumbavu anatuletea uhadui Tanzania ikiwa mkimbizi yaani msomalia naomba ndug wanaichi tukatae kwa nguvu kubwa huu mpumbavu!

  • @nyavas41
    @nyavas41 2 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ni wajinga hakuna viongozi hapa kuna wapumbavu tuu hapa huyu haramu ya kisomali sijuwi alitolewa wapi mpumbavu tuu mshenzi kabisa apeleke usimba wake huko.

  • @mohamedngatika
    @mohamedngatika 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnataka mualikwe na caf kwa majabu gani point zenu caf ni 0.5 mnazidiwa hata na namungo na suala kama ubingwa mliochukua subirini mkutano wa tff maana ndio walioandaa na sio caf

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

      Wewe. Nfimbo. Juzi. Tuu. Ilikuwa. Unapiga. Debe. Kwenye. Viredio sasaivi. Umepata. Umejisahauu. Koloo. Wewe

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

      Huyoo. Clifod. Mario. Nfimbo. Wala. Hana. Sifa. Ya. Kuwa. Msemaji. Wa. Tff.

  • @albanohokororo1729
    @albanohokororo1729 2 ปีที่แล้ว +1

    Wizara ya michezo wawe makini na migogoro hii nahofia siku ikatokea vurugu nani alaumiweeee

    • @abdallahmikson2031
      @abdallahmikson2031 2 ปีที่แล้ว

      Shida hata viongozi wa juu wana usimba na uyanga ,mi nashauri km wanaona simba nivizuri iwe pekee kwenye nchi hii basi wakae na vionozi wa yanga na kuwaomba watoe team isishiriki kwenye ligi basi kujulikane hakuna upidhani. Maoni yangu binafsi.
      sijafurahiya yanayo endelea na wizara iko kimya kana kwamba yanatokea Uganda na si TZ.

    • @abdallahmikson2031
      @abdallahmikson2031 2 ปีที่แล้ว

      Shida ya nchi hii tatizo linaonekana lakini wanalifumbia macho likileta madhara ndo wanajifanya wanaleta suluhisho,sio kwenye michezo tu hata pande nyingine.
      mfano sehemu au barabara inakuwa hatarishi inaonekana na wahusika hawachuwi tahadhali sasa yakitokea maafa utaona kamati na uongozi wote unahamia hapo.jamani kinga ni nzuri kuliko tiba

    • @mlawamangasini3836
      @mlawamangasini3836 2 ปีที่แล้ว

      Utopolo madishi yalishayumba

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 19 วันที่ผ่านมา

    T f f ni simba wote kuanzia rais na wote ni simba tunaomba uchaguzi ufanyike rais wa t f t muda wao umisha

  • @husseiniddy5094
    @husseiniddy5094 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanalalamika nini mbona wakati GSM wanaingia uzamini na TFF kuzamini ligi simba hawakuepo. Na huo mkutano wasiokuepo sio wao tuu ata vilabu vingine havikuwepo kwa hiyo kuna itifaki imezingatiwa ukiona hivyo.

    • @temesjames8867
      @temesjames8867 2 ปีที่แล้ว

      Hujui kitu kaa kushoto.

    • @eddiemay547
      @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว

      Hata kama wataandika barua jibu rais tu TFF club haina sifa kuu kwanza nidhamu pia yanga hawaitambuw TFF kama walikuwa wanaitambua bas wasinge kiuka 'maagizo ya TFF hiyohiyo wangetekeleza adhabu juu ya manara bila kukiuka

  • @mteza1323
    @mteza1323 2 ปีที่แล้ว +1

    Kani yanga tu azam pinawao hajapata mualikotu yanga inawauma yy wadogo ktk caf

    • @temesjames8867
      @temesjames8867 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna anayeumia ni waandishi wa habari wanao hoji kuwa kwa nini timu iliyo chukua makombe kibabe haija alikuwa? Jaribu kusikiriza vizuri usikazane kushindiria pamba masikioni pole.

  • @joanesushindi9733
    @joanesushindi9733 2 ปีที่แล้ว +1

    Karia unacho tufanyia wanayaga mugu anakuona ujue

  • @lawlencekalenga4212
    @lawlencekalenga4212 2 ปีที่แล้ว +2

    Hao yanga wana nn mpaka waitwe mbona hatuskii mkiongelea mtibwa ,geita,cost, ruvu ,wanahabar tuwe na uwezo Wa kufkr syo kukuza kitu ambacho hakina mana ,tukumbuke yanga n tim ya kawaida tu.ka haitosh huwez kulazmsha kila kitu uhusishwe we n nan ktk mpira Wa tz bna achen kuwakuza hao hawana tofaut na vilabu vingine so muache kuwaongelea vyura hawa

    • @JanethTumaini
      @JanethTumaini 21 วันที่ผ่านมา

      Nimependa hiyo ulivyo jib

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania kuna yanga tu mbona wengine hawajalalamika , ndo nyie mnaoingia ktk mashehe ya watu bila kuwalikwa hahaha mnalazimisha mwaliko kama club looo hebu oneni haya ma zuzu mie nitamualika anaefaa bas carf nao wamefanya hivyo hivyo wende casi wakatow malalamiko yao tena kuwa sisi hatukualikwa kwenye mkutano hahahahaha hata bado simba inapaaaaaaaaaaa

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 2 ปีที่แล้ว +1

    Naona wananchi mnazidi kuitolea povu tff kisa hamjaalikwa kwenye mkutano wa caf na fifa mbona mnazidi kutengeneza chuki na mausiano mabaya na tff kwa staili hio kunakuheshimiana kweli?

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 2 ปีที่แล้ว +1

      Hatuna shida na mwaliko ila tunajiuliza vigezo vilivyotumika ktk.kualika na tukiambiwa vigezo basi tutaridhika. Maana waliohudhuria hapo wooote ni Simba Kuanzia Karia mpaka mpiga picha.

    • @abdallahmikson2031
      @abdallahmikson2031 2 ปีที่แล้ว +1

      UULIZE UONGOZI KWANZA SIO WOTE NI MAZUZU,NAKAMA ILIKUWA NIKAFU NDIO WANACHAGUA WA KUHUDHULIA TAARIFA INGETOLEWA MAPEMA.
      MI NAHISI KUNA MAMBO YANAFICHWA NA NAHISI KARIA ANAIOGOPA YANGA NDO MAANA ANATUMIA MBINU ZA KUIZOOFISHA YANGA,HII UTAONA YANGA WAKIFANYA KOSA LEO KESHO ADHABU INATOLEWA LKN WENGINE HADI MIEZI AU HATA MWAKA NA HAYAWI MAKALI KM YA YANGA.SASA HII IN TFF ya chama cha MPIRA WA TZ AND CHAMA CHA WATU WACHACHE.

    • @eddiemay547
      @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว

      Wanazid kujiharibia

    • @eddiemay547
      @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว

      Wanazid kujiharibia

    • @eddiemay547
      @eddiemay547 2 ปีที่แล้ว

      Hamna sifa

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 2 ปีที่แล้ว

    KWANI KWA MAMA HATUJAENDA BADO ? WALE WAZEE WETU WEFIKA WAPI MPAKA SASA

  • @wanjematini9597
    @wanjematini9597 2 ปีที่แล้ว

    Huu mkutano ulikuwa na ajenda gani??.Na Kama TFF walikarishwa, Sasa Simba alikaribishwa na nani??.Tatu kilbu ya Yanga hiyo taarifa yakuwa TFF walipewa nafasi 12 zakuwateuwa wajumbe mbalimbali wao Yanga taarifa hiyo waliipata wapi au walipewa na nani??.Mwisho ivi mahali au sehemu Kama sikupa mwaliko Kuna haja ya malalamiko!!.Na ile haikuwa sherehe,Kama ingekuwa sherehe kuwa ulitowa hisa fulani kweli.Hinyo wewe ujuwe hujulikani Kwanza ungewapa watu taabu ya kutafusiri.

  • @saidmsudan7231
    @saidmsudan7231 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mtapata tabu sana karia tuulizeni sisi watanga tunamjua jamaa ni mbea na mbinafsi sana na sio yeye tu kuna ndugu yake uku ni docta kwa umbea karia pia akasome ndo zao ni familia nzima ndo walivyo tena uyo sio mdigo ni wapare ubinafsi ndo jadi yao.

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni TFF hii ya Karia mtalalamika sana na hakuna jibu zuri mtapewa. Badala ya kuendelea kuilalamikia TFF kila siku ni vizuri mkachukua hatua kwa uongozi wa TFF kwa sababu malalamiko mengi sana yanaelekezwa kwao kwa matukio ambayo yanakiuka taratibu za chombo hicho. Halafu hata wizara husika inalinyamaxia jambo hili kama vile halina madhara ktk.soka letu. Iko Siku watu watachukua sheria mkononi na itaigharimu serikali na jamii kwa ujumla. Watu wamechoka kulalamika huku hatua hazichukuluwi kwa makosa ya wazi ambayo TFF na vyombo vyake vinafanywa ktk.soka letu.

    • @shiaeddy4519
      @shiaeddy4519 2 ปีที่แล้ว

      Shiia
      No fear

    • @berdonnyondo7017
      @berdonnyondo7017 2 ปีที่แล้ว

      Yanga hamtambuliki caf maana hana point za caf hamjachangia. Mlitolewa mapema mmesahau

  • @usaskauswege8023
    @usaskauswege8023 2 ปีที่แล้ว +1

    Naishauri Yanga viongozi na wanachama kuisaidia timu kuinuka kiviwango vya CAF itaalikwa tu bila shaka.
    Kutoa sababu za kiwivu kwa nini SIMBA wamealikwa viongozi na mpiga picha wao zinaidhalilisha timu yenu. KILA mara SIMBA ikifanya vzr mnakimbilia kuilaumu TFF. CAF wameialika SIMBA mnasema TFF inawaonea jamani hamuoni aibu. Kwa sasa CAF wameialika Simba, TFF anawaoneaje nyie Yanga? CAF ipo pelekeni malalamiko yenu CAF.
    Mnajipotosha wenyewe ubingwa wa nchi hata ingekuwa mara mia CAF haiwahusu kinachowahusu ni ubora wa timu yenu kwenye mashindano yao.

    • @sharifubakari1705
      @sharifubakari1705 2 ปีที่แล้ว

      Kwahyo cmba iko juu ya Al ahal mbona hatukuwaona pale acheni usenge

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว

      Lakini katika nafasi 12 basi hata nafasi 1 tff waneshindwa kuialika Yanga?

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 2 ปีที่แล้ว

      Huo mkutano ulikua unahusu historia wa waliocheza mashindano ya caf au unahusu maamdalizi ya mashindano yajayo? Na kama ni mashindano yajayo je yanga atashiriki au hatashiriki? Acha upimbi wewe kila sehem unaleta ushabiki wenu wa kiboya ,huo siyo mpira ,na kama nyie ni bora mbn mnaanzia preliminary stage?kenge we

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wemsomali kalia utaacha lini bifu na yanga kenge ww

    • @Bongo1Media
      @Bongo1Media  4 หลายเดือนก่อน

      Nouma sana