MBWADUKE: ONYO KALI! SIMBA YA FADLU YAANZA KUFYATUA MAKUCHA YAKE/ KILA MCHEZAJI ANAUTAKA/YAUA 3-0...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mnyama simbaaa ❤

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 2 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana kukusikiliza,,upo vizuri sana,,wewe ni mwalimu wa mpira

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana kwa uchambuzi mzuri

  • @yusuphmwampashi858
    @yusuphmwampashi858 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali sana mchambuzi wangu

  • @danielramadhan1117
    @danielramadhan1117 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh!

  • @KalebuSinkala
    @KalebuSinkala 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubali chambuzi la ukweli

  • @Samwel25_Daniel
    @Samwel25_Daniel 2 หลายเดือนก่อน +1

    nakukubali sana

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 หลายเดือนก่อน +1

    What game 🎯🎯🎯

  • @HappyBabyKittens-wx2mb
    @HappyBabyKittens-wx2mb 2 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi mbwaduke

  • @bedomgwalupogo2652
    @bedomgwalupogo2652 2 หลายเดือนก่อน +1

    Timu ya Simba sc ni timu nzuri mnoo lkn kitu kibaya sana kinafanywa na benchi la ufundi kucheza mpira taratibu sana, mpira wa kujiona mno , "show game" yaani kucheza bar pass,"pass za nyuma bila sababu yoyote ". Kama benchi ya itacheza mpira wa kasi basi watafunga magoli mengi....

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 2 หลายเดือนก่อน +1

    Katika wachambuzi wasio wa micho go ni weww unasema ukweli uko kama ali mayayi alivyokuwa mchambuzi hana ushabiki ukweli ni ukweli Big up

  • @MussaRamadhan-h4g
    @MussaRamadhan-h4g 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama haikucheza na na wachezaji sita, kwa maana hiyo walicheza wa 5, shelia inasemaje?

  • @4jay4tech
    @4jay4tech 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli usemwe timu ikiwa inashambulia kwa speed hua ni rahisi kuwafanya timu pinzani kufanya makosa Sasa inavocheza simba hili ni tatizo bado linaitafuna simba

  • @DicksonMsuha
    @DicksonMsuha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaduke, waambie wachezaji wa simba wanavotoka kwao kwenda lango la mpizan inatakiwa wawe na kasi kubwa na pasi ndefu ili kupata matokeo.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 หลายเดือนก่อน

    MBWADUKA UPO VZR SANA TENA SANA WEWE NDY FUNDI WA MPIRA. UNACHAMBUA VZR SAAANA HONGERA SANA KWAKO

  • @MashangoBausi-vh7sd
    @MashangoBausi-vh7sd 2 หลายเดือนก่อน

    Haina haja ya hujibu mtu hata uki mpa ball apige danadana 7 hawezi

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanasema Simba hawakucheza mpira wa kasi. Jamani hivi inapocheza na team ambayo team nzima wote wamerudi nyuma kuzuia hizo mbili unakua unakimbilia wapi?? Mimi naweza kusema Tabora united ndio walioamua kuifanya Simba kucheza vile. Team inapozuia huwezi tu kukamata mpira na kukimbia badala yake inabidi utumie akili Sana namna ya kuwafungua wapinzani ambao wote wamerudi nyuma. Big upo sana wachezajo wa Simba kwa kuamua kua watulivu Ii kutafuta nafasi.

    • @athumanidilunga7770
      @athumanidilunga7770 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe unajua soka, Tabora hawakufunguka so huna nafasi ya kukimbia Wala kucheza kasi

  • @MichaelMnangili
    @MichaelMnangili 2 หลายเดือนก่อน

    Mchambuzi ,Tanzania one

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 2 หลายเดือนก่อน

    Weé muache tu haijui Simba vizuri,dirisha dogo atapewa thank you😂

  • @allyally5303
    @allyally5303 2 หลายเดือนก่อน

    Maoni yetu mashabiki WA simba waache uchoyo WA kupeana pasi na kukaa na mpira muda mrefu TUNA wapingeza kwa ushindi

  • @elibarikilukasimakala5534
    @elibarikilukasimakala5534 2 หลายเดือนก่อน

    Naunga mkono hoja ✍️💪🦁

  • @MkubwaAbdalla-r2w
    @MkubwaAbdalla-r2w 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizur

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 หลายเดือนก่อน +3

    Timu inayovuia inatakiwa kutumia ufundi kuifunga na hicho simba imekifanya

  • @MichaelMnangili
    @MichaelMnangili 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka wanatakiwa wakusikilize sana makocha wa simba

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee wadata bonge mchambuz nakugatilia sana najua kocha ataenda kumwelekeza Ahua acheze kitimu atatufetisha timu isipate magor mengi

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ndo mchambuzi asiye kuwa na ushabiki anasema kweli kitaalamu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 หลายเดือนก่อน

    WACHEZAJI WA SIMBA MJITAHIDI KUPEANA PASI USILAZIMISHE KUFUNGA KM HAKUNA UWEZEKANO HAUPO. AHOUA USIWE UNALAZIMISHA KM UWEZEKANO HAUPO MPE MWENZIO AFUNGE. LENGO NI NI TIMU ISHINDE CY UBINAFSI WAKUTOTOA BASI KWA WENZAKO. MNAIKOSESHA SIMBA MAGOLI MENGI.

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 หลายเดือนก่อน

    Ubwela wamepiga bomu mochwari .....

  • @FrankMusimu
    @FrankMusimu 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ni shabiki wa simba lakini simba hoi sana maana hawana mshambuliaji tena simba wanacheza mpira sikio sana hata tem haileti Radha imewapasa wawe na kasi mpira wa taratibu huo siyo

  • @izackwiliblod1472
    @izackwiliblod1472 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee ww unakuja mpira

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mbwaduke japo wewe yanga lkn wasaidie Simba kuwaeleza ukweli juu ya madhaifu yao ya kiujumla na ya mchezaji mmoja mmoja. Kocha adili na kusahihisha tatizo la Kila mchezaji mmoja mmoja. Simba Bado Wana matatizo makubwa

    • @MkaliZuberi-rt3gb
      @MkaliZuberi-rt3gb 2 หลายเดือนก่อน +4

      We akili huna hata binadamu hakamiliki hata hiyo tim inamadhahifu pia hata kama bora

    • @adammwandambo4143
      @adammwandambo4143 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa vp kuhusu utumiaji WA extra energy kwa ngaya

    • @makamelila
      @makamelila 2 หลายเดือนก่อน +3

      Watu wengi wanapata tabu ya kiilinganisha Simba na yanga kwasasa lakini yanga inamiaka mitatu sasa imejengwa Simba Ina miez 2 tu sasa hapo ndio kwenye shida Wacha Tim ijengwe kwanza ilituone matokeo

    • @theonasmkoba6121
      @theonasmkoba6121 2 หลายเดือนก่อน

      1:12

    • @theonasmkoba6121
      @theonasmkoba6121 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nani kakwambia kuwa Mbwaduke ni Yanga. Unamfahamu sana wewe? Uliza

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    Kati ya wachambuzi wote wewe ni mtu usie egemea popote hauna chuki na simba , unaonge ukweli na unaufajamu mpira

  • @kanoleausi4204
    @kanoleausi4204 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hao tabora united wamecheza bila wachezaji sita . wewe wasifie tu 😂

    • @Shemahonge-ku7xx
      @Shemahonge-ku7xx 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wakowapi warewaliocheza ni wasimba?

    • @emmanuelnkwabi8610
      @emmanuelnkwabi8610 2 หลายเดือนก่อน

      Acha mihemuko ww mama watoto

    • @feetfirsttz
      @feetfirsttz 2 หลายเดือนก่อน

      Jamaa hujabahatika kuwa na akili salama!!

    • @SilasJacob-z6v
      @SilasJacob-z6v 2 หลายเดือนก่อน

      We kajinga na mwenye chuki ko uwanjani waliingia watano? Sema ubaya ubwera umeanza

    • @enockmathayo2330
      @enockmathayo2330 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaio wamecheza pungufu?

  • @bestman3651
    @bestman3651 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli huyu jamaa ni mchambuzi. Kama kweli we ni Yanga lkn unaiongelea simba hivi umejitofautisha na wale chawa wa kule wachafu fm😅

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน

    Mnyama simbaaa ❤

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน

    Mnyama simbaaa ❤

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน

    Mnyama simbaaa ❤