You are absolutely amazing bro'...Somo kubwa sana ulistahili ulipwe hela nyingi sana kwa hii Idea, Somo.....The thing is Sanda ni MSHAMBA thatz a Problem...
Kijana,una akili sana.huwa sipendi kupoteza mda kusikiliza ujinga,lakini nimejaribu kujifunza uvumilivu wa kusikiliza,nikagundua kumbe kuna wengine wanaongeaga mambo ya maana kaabisa.nimependa haya maongezi yako bravo.
Ila nimeelezea UPUMBAVU WETU NA FAIDA ZAKE KWAMBA UPUMBAVU WETU UMEUA UKABILA. MAANA HATA MIMI NIKO NDANI YA HUO UPUMBAVU.BILA YA HUO UPUMBAVU TUNGEKUA NA UKABILA.
Da! Ebu wenye ukaribu na bwn sanda ,msikilizisheni haya madini ya mwamba.....sidhani kama ameacha hata nukta kwenye kumuelimisha juu ya hatua zake za kutaka ialipwe kwa issue zinazohusu simba na yanga....
Ulikosea kusema Kenya uliwapatia Tanzania eneo la ZANZIBAR... ZANZIBAR haijawahi kuwa ya kenya.. na kumbuka Tanzania ni inatokana na majina Mawili... hakuna Tanzania bila ZANZIBAR. sasa ulikusudia Tanzania ipi iliyopewa ZANZIBAR??
Wewe msikilize jamaa vizuri, huyo anazungumzia yanga na simba halafu wewe unatuingizia masuala ya siasa ya kuwa alikosea kenya kutoa zanzibar. Msikilize madini yake, anazungumzia yanga na simba pamoja na mashabiki wao pia umuhimu wa mashabiki wake.
Wewe ni mzuri sana kwenye psychology, live a long life bother, You teach us a lot.
Brother endelea kutufahamisha mimi binafsi najifundisha mengi bravo
Yanga tujuane💚💛💚💛
Mungu akubariki brother,Nadhani umemaliza kesi zote
Daaaah kweliii nimesha elimika aiseeee
You are absolutely amazing bro'...Somo kubwa sana ulistahili ulipwe hela nyingi sana kwa hii Idea, Somo.....The thing is Sanda ni MSHAMBA thatz a Problem...
You have given him a free lesson bro! Elimu huwa inasaidia! Elimu hana!
namuitaga GENIUS huyu jamaa!!
Upo vizuri sana bro
Nakukubali sana Mangi.
Kazi nzuri kaka
Ni kweli watu wa hovyo ndio wanapewa dili zote, thats true.. ukikaa kiheshima heshima utasubiri sana 😅😅😅
We jamaa kichwa yako iko pw sana una madini ya kutosha kichwani nafuatilia sana video zako maana ni darasa tosha ni elimu kubwa sana unatoa🔥🔥🔥
kaka upo vizuri sana nimekuelewa sana
Huyu jamaa ana ajili sana
Huyu JAMAA NI Mzalendo SANA!.
Umeongea vizuri sana hapo mwanzo lakini mwisho umebolonga hasa kipengele cha watu wa bara
Amuulize ngowi anae tengeneza jez za yanga , walisema katengeneza jez za manyokanyoka. Mala jez za makazi ya watu lkn hakusema kitu
Ahsante kaka
Kijana,una akili sana.huwa sipendi kupoteza mda kusikiliza ujinga,lakini nimejaribu kujifunza uvumilivu wa kusikiliza,nikagundua kumbe kuna wengine wanaongeaga mambo ya maana kaabisa.nimependa haya maongezi yako bravo.
Sema unatukosea sana kutuita mashabiki wa simba na yanga mandezi
Ila nimeelezea UPUMBAVU WETU NA FAIDA ZAKE KWAMBA UPUMBAVU WETU UMEUA UKABILA. MAANA HATA MIMI NIKO NDANI YA HUO UPUMBAVU.BILA YA HUO UPUMBAVU TUNGEKUA NA UKABILA.
Nime subscribe kabsa bro your so genius
Nikweli mashabiki wa simba na yanga niwapumbavu kwasababu hawajifunzi ilaniwabishi.
Mwijaku akapimwe jinsia
Ndio maana nime subscribe uko vizuri 💯
Kasahau kuwa anatoa jezi za timu ya Taifa atavaa yeye na madunduka wenzie😂😂
Hamna kitu kajitafuta Simba wamemfata wenyewe azamin yy alipofika Kwa nguvu zake ww umemjua Leo uyo sanda acha atupe pesa zetu
Kama anakichwa kizuri atakuelewa lakini kama kimejaa mawese sidhani kama huo ukweli anauelewa✍
Babu Huwa unaongea point sanaa,huyu bwana analeta bidhaa feki harafu anakuwa na hasira
Great
Unatisha kaka kuwajua watu wa pwani kutaniana kutukanana kitu ch kwaida tu
Pesa siyo zake huyo
Kweli kabisaaa
Da! Ebu wenye ukaribu na bwn sanda ,msikilizisheni haya madini ya mwamba.....sidhani kama ameacha hata nukta kwenye kumuelimisha juu ya hatua zake za kutaka ialipwe kwa issue zinazohusu simba na yanga....
😊😊😊😊aloo upovizuri mm hukufuatiria sana Hadi vita ya Ukraine na urusi huwa unachambua kwa kuchana
we mzee nimkenya au mtanzania mbona sikuelewi
Alafu ww jamaa nakufanisha na mwigizaji wa kina Nigeria.
Brother nimekua nikikufiatilia sana wewe ni unaongea facts mno Tena mno kiukweli uko sahihi sana.
Tuletee ya Korea kusin kaka
We ni nyoko
Upumbavu ni matusi nakufundisha tumia neno ujinga siyo upumbavu
MPE ELIMU HUYO MSHAMBA SIMBA NA YANGA NIWAMOJA NDIYO BURUDANI YATU KAMA ANATAKA KUTULETEA UTAPELI WAKE AENDE ZAKE ATUWACHIE CLUB ZETU
Bad publicity is always good publicity
Mwambie huyo mshamba mulamihogo wakigoma kamahataki akalimekigoma mpuuzimkubwa
Jamaa anaongea "FACT"
Watu wa pwani matani mengi saana..
Bado sababu hana hata kiwanda cha kuzalisha
Ww jamaa ni simba mwezetu
Mmmmmmm
Hapa hazungumzi Simba na uyanga muelewe ili kesho upate faida ukiwa na biashara yako
Ulikosea kusema Kenya uliwapatia Tanzania eneo la ZANZIBAR... ZANZIBAR haijawahi kuwa ya kenya.. na kumbuka Tanzania ni inatokana na majina Mawili... hakuna Tanzania bila ZANZIBAR. sasa ulikusudia Tanzania ipi iliyopewa ZANZIBAR??
Uliza vizuri
WE FALA APA ANAONGELEA ISSUE YA SANDALAND NA ALI KWAMWE
@@ramahkesh9360sasa lazima umtukane kaka uku tuna elimishana
Wewe msikilize jamaa vizuri, huyo anazungumzia yanga na simba halafu wewe unatuingizia masuala ya siasa ya kuwa alikosea kenya kutoa zanzibar. Msikilize madini yake, anazungumzia yanga na simba pamoja na mashabiki wao pia umuhimu wa mashabiki wake.
Nyie mteteeni Ali kamwe lkn kesi ipo pale pale
Kesi Gani wakati mmeomba poo baada ya Ahmed aliy kutakuwa kulipa bilion kumi SI alitoa sikusaba umesikia kafanya chochote😂😂
We mkuu akili yako ni kubwa sana, not in this country matrix
Zungumzia dollar na kupewa,changamoto
Acha ufala, hii channel ni ya uchambuzi wa maswala yote ya kijamii/dunia
Alafu ww jamaa unaonekana unaishi ulaya maana point zako sio za hapa kwetu na wachambuzi wetu. Kwanza fact zako sijawahi kujisikia hapa bogo.
Unatema madini yakufa mtu ndugu yangu sijui nilichelewa wapi kuku subscribe👍👍
Samahani mwalimu,wewe ni mwenyeji wa wapi?
Kwa hicho kiswahili lazima atakupa mpare
hapo kwenye inshu ya Nape na magoma nakubali mzee