MSABATO ALIYE SILIMU AWASHAURI WAKRSTO WASILIMU UISLAMU NDIO NJIA PEKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @samxx411
    @samxx411 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mkristo 1: yesu ni Mungu
    Mkristo 2: yesu si Mungu ni mwana wa Mungu.
    Mtihani

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 6 วันที่ผ่านมา +2

    Masha Allah Ustaz

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 6 วันที่ผ่านมา +2

    Msabato ashamAliza maneno,haya kujeni mpige shahada huku

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 2 วันที่ผ่านมา

    مشأ الله تبارك الله

  • @FatmaHalfan-w3l
    @FatmaHalfan-w3l 3 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah the Great

  • @user-ep5dx6lk4n
    @user-ep5dx6lk4n 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yesu Asema wakujue mungu moja was pekee na yesu kristo uliyetuma kwa hivyo yesu no mtume

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 6 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli uko wazi tu yesu(issa) a.s n Mtume kama Musa Ibrahim n Mohamad rehm n amani ziwafike wote

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 5 วันที่ผ่านมา

    ALLAHU AKBAR ♥️

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 5 วันที่ผ่านมา

    MashaLLAH

  • @opujejoshmahjoshmah1432
    @opujejoshmahjoshmah1432 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wakristo wasome Bible

  • @opujejoshmahjoshmah1432
    @opujejoshmahjoshmah1432 5 วันที่ผ่านมา

    Msomee Q72:1-14 msabato wa jina huyo

  • @josemu870
    @josemu870 5 วันที่ผ่านมา

    KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. Tuongoe njia iliyo nyooka,
    Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

    • @josemu870
      @josemu870 5 วันที่ผ่านมา

      Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 5 วันที่ผ่านมา

    Maandiko yako Wazi kwambia Mwenyezi Mungu alimtuma Mtume wake, Masih, kwa wana wa Israel....Watu wapotoshaji wanadai, kwa ukakamavu na ushupavui eti anaitwa Yesu, eti kwa kuwa wanaona imeandikiwa kwa Biblia ya Kiswahili kwamba Malaika wa Mungu aliyetumwa kwa Bikra Mariam ndiye alisema mwanae ataitwa YESU. Ajabu ya viumbe, Hawawezi kujiuliza, kwani huyo Malaika aliongea Kiswahili? Wakijiuliza watajua jina Yesu lilitoka mbinguni au la..?