Kaftan Bubu Dress New Design.Jinsi ya Kushona Guberi,
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Kaftan Bubu Dress New Design.Jinsi ya Kushona Guberi, Jinsi ya Kukata na kushona Guberi hii ni rahisi sana, tafadhali angalia #@NaimaCreation channel ujifunze Jinsi ya Kukata na kushona guberi hii.
Kama unaswali lolote kuhusu video hii ya Jinsi ya Kukata na kushona new design ya bubu dress please niandikie chini ya COMMENT.
Nakuelewa mdogo wang❤❤❤
Kwan guber unapima shong tu na mikon uku juu hupimi beg na tumbo pia upimi ,, ?? Au inategemea na aina ya guber naomba kujuw 🙏🙏🙏
Guberi haupimi tumbo
Hio guberi inafaa kutumial kitambaa Cha mpira?
Ndio
Na kwa mtu mnene chini unaweka upana wa ngap ili imwage tu vzur
Upana wa hips ongeza inchi unazotaka
@@NaimaCreation ahaa asate dear
Mita mbili nikwakila mtu au?
Inategemea na upana wa mtu