Jinsi ya Kukata Gauni/Fashion Mpya,#

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2024
  • Karibu #‪@NaimaCreation‬ channel ujifunze jinsi ya Kukata gauni/Fashion Mpya, Fashion hii Mpya ya gauni ni rahisi sana Jinsi ya Kukata kwake,
    tafadhali kama unapenda kujifunza Jinsi ya kukata gauni hii LIKE na niandikie chini ya COMMENTS,
    au wasap namba 0672310102,
    #jinsiyakukata,
    #jinsiyakukatagauni,
    #@NaimaCreation ,
    #short,
    #kukata,
    #fashion,

ความคิดเห็น • 23

  • @hamisimwalimu8555
    @hamisimwalimu8555 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ahasante sana

  • @user-fw8le7lk8d
    @user-fw8le7lk8d 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ❤❤

  • @SeciliaThomas-fo3sh
    @SeciliaThomas-fo3sh 5 หลายเดือนก่อน

    Asante nimekuelewa na ni mshono mzuri.

  • @generalimwile1179
    @generalimwile1179 3 หลายเดือนก่อน

    mushno ukopoa sana

  • @PaulnaAnthony
    @PaulnaAnthony 19 วันที่ผ่านมา

    Habali

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  19 วันที่ผ่านมา

      Nzuri huku sio wasap kama unaswali nenda direct

  • @HawahallyAhmed
    @HawahallyAhmed หลายเดือนก่อน

    Dad natak nidownlod ibak kweny cm je mbon inagom

  • @SmilingFarmhouse-cb2ez
    @SmilingFarmhouse-cb2ez 21 วันที่ผ่านมา

    Naomba uniambie jinsi ya kukata solo ya mwavuli

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  21 วันที่ผ่านมา

      Solo ya mwamvili ndio nini?

  • @BennieMajaliw
    @BennieMajaliw 3 หลายเดือนก่อน +2

    Minatak juju's iyo sing nyuma ume xhuka ngap ety dad

  • @AzizaKarimu
    @AzizaKarimu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Samahani hiyo gaun unaweza kushona kwa mtindo wa mikono miref?

  • @AngelElim-c5i
    @AngelElim-c5i 16 วันที่ผ่านมา

    samahani hiligauni kipande cha nyuma lazima kiwe nazipu 2:19

  • @HawahallyAhmed
    @HawahallyAhmed หลายเดือนก่อน

    Nimeipend san

  • @MatronaMawenya
    @MatronaMawenya หลายเดือนก่อน

    Na je km uweki zipu nyuma utanashuka iyoiyo 1.5

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  หลายเดือนก่อน

      Unashuka 2.5" hadi 3"

    • @MatronaMawenya
      @MatronaMawenya หลายเดือนก่อน

      Sawa,je hapo mbele iyo 2 unaazia kupima pale kwenye ile nusu inchi au mbele ya nusu inchi

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  หลายเดือนก่อน

      Kwenye video nimetowa maelekezo yote

  • @happynesscharles5233
    @happynesscharles5233 3 หลายเดือนก่อน

    Kama hautak ya kubana