So much anointing in this song, It makes me having a desire to just spend my time to raise my voice singing this prayer all day long and meditating in God's word. Mungu aendelee kukijaza mafuta mabichi kikombe chako kiendelee kufurika Mtumishi wa Mungu ili kiendelee kuwa baraka kwa kizazi hiki.
Ooh hallelujah...Moyo wangu ukae Madhabahu ya sifa Bwana...what a prayer...God we can not liken you to anything or anyone...in the heavens or the Earth beneath...Great is our God
This is more than a powerful song. When listening to this you experience the Presense of the Mighty God .May God bless you William George,Mungu aendelee kukutumia Kwa viwango zaidi na zaidi.
So much anointing in this song, It makes me having a desire to just spend my time to raise my voice singing this prayer all day long and meditating in God's word.
Mungu aendelee kukijaza mafuta mabichi kikombe chako kiendelee kufurika Mtumishi wa Mungu ili kiendelee kuwa baraka kwa kizazi hiki.
Ooh hallelujah...Moyo wangu ukae Madhabahu ya sifa Bwana...what a prayer...God we can not liken you to anything or anyone...in the heavens or the Earth beneath...Great is our God
😭😭😭💞💞 Moyo wangu uwe madhabahu yako ya sifa BWANA..💝💝🙏
Moyo wangu ukawe madhabahu ya sifa, Yesu naomba unisaidie🙏
Mgh hapana ase wimbo MZURI SANA una deserve viwers milioni kbs
Hii nyimbo inanibariki sana kila siku
Powerful song. Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi, utukufu hadi utukufu.
Hongera kaka Amahakika Moyowangu uwe madhabahu ya sifa
If you watching in 2022 not forget 👍 much love ❤️to this song ooooh moyo wangu ukawe madhabau ya sifa 🙌🙌🙌 🙇🙇
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzur sana uliojaa upako, umanibariki sana
Ameen,nabarikiwa sana na huu wimbo. Kila nikiusikiliza napaya faraja.Barikiwa sana.
nmeisubiri kwa muda sana,barikiwa sana mtu wa MUNGU
Keep it up . Asante Yesu kwa alichokiweka ndani yako
Mmm wimbo unaougusa maisha ya ndani ya nafsi yangu
This is more than a powerful song. When listening to this you experience the Presense of the Mighty God .May God bless you William George,Mungu aendelee kukutumia Kwa viwango zaidi na zaidi.
Ni vizuri sana nyimbo hihi uwa na nibariki
Nikufananishe na nan upate kuwa sawa naye ? Hakuna kama wewe....
Ubarikiwe sana George
Ooooh yes Mungu azidi kukutumia broo kwa viwango vya tofauti nimebarikiwa hakika kuabudu
Niiiikuuuufaaaaaaaaaaaaninisheeeeeeeeee nan........oohoooo halelujah bleeesd
Very powerful song...🙌
Mungu azidi kukuinua.🙌
Wimbo unanibariki sana siwezi elezea
KaZi nzuri album imeshatoka
Barikiwa na upataje huu wimbo
Congrats
Mungu awabariki Kwa kazi Njema
Classmate wangu huyu . Well done Brother
Barikiwa mnooo...wimbo mzuri sanaaa
Kakaa....Mungu azidi kukuinua
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
#lawrencendosi
South Africa approves.
MWENYEZI MUNGU AZIDI kukupa nguvu ya kuitangaza injili. Barikiwa sana mtumishi George william
hongera sana kaka George Mungu akuinue zaid
Kazi njema...barikiwa sana mtu wa Mungu George na Bwana akaikuze huduma hii.
Not just a song but a prayer. Ubarikiwe kaka
Nimebarikiwa sana
Mungu awabarikii 🙏🏻 Asanteni
Ni mzur,♥️
Naqbar sana
Mungu akuinue zaidi kijana
hongera sana George Williams ,, Mungu azidi kukuinua Rafki angu,, this is HUGE
Wimbo bora zaidi kwangu. Ubarikiwe sana George. Keep up the good job.
Barikiwa sana kaka yangu
Hongera sana God bless you wimbo Mzuri sana
Maisha yangu yote nikutumainiye wewe Baba wa Mbinguni❤
Ubarikiwe
SO glorious ,so anointing.so spiritual,may Lord our Master increase you George william.
Waoooh,George umebarikiwa
The song is very blessing..Mungu azidi kukuinua
Baiikiwa sana mtumishi wa Mungu........so powerfull
wimbo unaishi
nakumbuka hii nyimbo inamiaka kama mi4 hivi wakati unatunga ulikuw kila siku unanisikilizisha and now you made it bro be blessd nice boy
CYLUS entertainment ndugu
Amina mya teacher
Good song🙌🙌
God bless you 🙏
Wimbo huu unanikumbusha mambo mengi sana. Ubarikiwe sana bro G . Nakupenda sana kaka yangu❤
Good Job such a powerful song
Madhabahu ya sifa 😭😭 such a powerful statement
Tumebarikiwa sana na huu wimbo. Keep it up🙏🏽🙏🏽
Powerful Song.. Umebarikiwa sana
So good song
wimbo wenye utukufu kabisaaaa✍🏽🙏🏾
Amen🙏
Ubarikiwe
Ibada
So powerful💪💪💪💪
Oooooooooohhhhhhhhh .............
..amen
Am super proud of u G..♥️🙏🏽
Amen Wimbo umenibark sana
🙌🙌🙌🙌
Glory to God.
Am blessed
Waoo
nice #hdm member#
Nice bro..ubarikiwe
Good song
safi sana brother, it's an amazing song
Love song
Amina
Safi sana Kaka, I really impressed with your work
Be blessed...nice song...
So powerful be blessed much
The song is very awesome. Hongera sana George
To God be All the Glory🙌🙌🙌🙌🙏
Woow
Blessing song Mungu akuinue Zaid Brother
Yessss!! This is so powerful in deed!
Glory to God
Powerful
Hongera George william,May the lord lift u up
Wimbo mzuri barikiwa
Such a powerful song...God bless you...i am blessed!!!!
🙌🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe sanaaaa bro
This is one of my favorites song. A blessed work and Al the glory to God. Be blessed George
Waoooooh keep on brother
❤❤❤
Wow !!!!!!!Glory to God 🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌
Please include lyrics, beautiful worship
Your blessed bro, powerful song
❤❤❤
powerful...blessings
God bless you George
amen,
..powerful..be blessed bro__