ELIE MPANZU AWEKWA MBADALA WA KIBU DENIS | KARIBU MASHINE YA MASHINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @adenmayala9298
    @adenmayala9298 2 หลายเดือนก่อน +5

    Usibadilishe maneno uendelee kuponda hivyo hivyo😊

    • @DJINNOSSBTZ
      @DJINNOSSBTZ 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mshamba hayuko sawa kihakili kwakuwa mala anaongea ivi mala vile❌️

  • @MartiniSamwely
    @MartiniSamwely 2 หลายเดือนก่อน

    Chibu dangote respect congratulations

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nautoe zile asilimia ulizotoa utakuja kukosa maneno

  • @allymsheri3691
    @allymsheri3691 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan yanga kasajal wachezaji gani ??

  • @PAULJULIUS-yi8jl
    @PAULJULIUS-yi8jl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hellow

  • @CHRISTOPHERWAILESAN
    @CHRISTOPHERWAILESAN 2 หลายเดือนก่อน

    Acha uwongo brother humuoni matola

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 2 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaa mnafiki ww c ulikuwa waiponda Simba boy ww

  • @ashobozakabalimu9212
    @ashobozakabalimu9212 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki zitawaua wacha-mbuzi

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mpanzu atakuwepo leo amevaa kofia la kuziba uso😅

  • @allymsheri3691
    @allymsheri3691 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni utopolo sijui unamhoji nin angalia nafasi ya kaizer aliyokuwa nayo nafasi ya 10 sio kiwango sahihi kuizungumzia endelea kuponda

  • @TatuSaid-bt6iv
    @TatuSaid-bt6iv 2 หลายเดือนก่อน

    Si lazima uwe mchambuz wa soka kaka

  • @jamesndora3263
    @jamesndora3263 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sio mchambuzi ni kibara

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya tutaona bwana

    • @barakamangoko6042
      @barakamangoko6042 2 หลายเดือนก่อน +1

      Inatakiwa wachambuzi wengine wajifuze kwako, hongera sana🎉 mim ni Simba lakin sipendi kupambwa na mchambuz napenda waongeee uhalisia wa Hali iliopo.

    • @emanuelkibiritiofficial
      @emanuelkibiritiofficial 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe sio mwana simba usidanganye watu wewe hakuna mchambuzi anaeisema simba vibaya kama huyo boya yaan amefikia hatua ya kusema simba ana asilimia 4 ya kuchukua ubingwa,je asilimia 4 kama simba ndio ina hiyo na timu itakayo shika mkia itakuwa na asilimia ngapi? Hakuna mtu mnafk kama huyo mchambuz japo sishangai siku hiz watu wanaokotana2 huko hawajasomea nao wanachambua ​@@barakamangoko6042