@@agneskulu2911 tatizo anajigamba kwa Mali ambazo Hakuzichuma yeye amekuta tu tena hariziki na bado vitu vyote anataka wewe yeye ogopa mwanamke wa aina hio hachelewi kukufanyia kitu mbaya amka mdogo wangu
TATIZO NDUGU ZETU HAMUUPENDI UKWELI LAKINI NIKWAMBA WANANDOWA WENGI WA KI KRISTOL HUISHI NA IMANI YA NDOWA MOJA LAKINI SIO KWA MATENDO WALO BAADHI HUZINI SAAANA NA KUJAA NJE YA NDOWA SASA KWANINI MSIHALALISHE TU AU NDIO MPAKA PAPA ATANGAZE.
Jamani msi judge mengi na jack hawana ndio ya dini wakristo hawaoi ndoa za dini zaido ya 1 tuu hao jack sindoa ya dini MENGI NDOA YA DINI NI MOJA TUU NA NDIO YA MAREHEMU huyo Jack si ya dini
Uwiiii ndoa ya Kikristo sini moja ilikuwaje huyu Mzee akafunga ndoa nyingine nahuyo Mch aliyefunga ndoa ya pili ilikuwaje jamani ,nakumbe mke wa Mengi alikuwa Hai
Queen Yahaya Kwani ulikuwa hujui kama huwa kuna taraka? Kanisa halitenganishi ndoa ila taraka inaweza kutolewa mahakamani kama kuna sababu za msingi kama usuluhishi umeshindikana.
Endapo mmoja wa wanandoa akihatarisha maisha ya mwengine mf kuweka sumu iliwingine afe.Ndoa hiyo itavunjwa haraka kabisa.Ushauri fuatilieni kisa cha mzee huyu kuachana na mkewe.Nasio kusema ukristo hauruhusu talaka.
BORA MENGI KAAMUWA KUOA LULIKO WALE WANAMNYOOSHEA KIDOLE CHA MSHANGAO WAKATI WAO WANA ZINI NA VIMADA KIBAO, SASA JE NIBORA BARAKA ZA BWANA KUOWA KWAHALALI AU NIBORA KUMFURAHISHA SHETANI KWA KUTENDA DHAMBI NA JE UKIOWA WAKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI?
Kumbe Mkewe alikuwepo nilijua alikufa siku nyingi..like hapa kama umeona bimkubwa alikua mzuri kuliko bi mdogo mwenye mishipa ya shingi
Nimzuri duniani mpaka mbinguni
Agripa Rose
Ndugu zangu ndoa Ni ngumu ma Kama hayajakukuta utaropoka tu
Kapumzike mm muache mumeo azidii kaangaika Na malayaa munguu akulazee maalaa pema peponi
My Shem yule kaoa malaya vip
Poleni sana wafiwa mungu awape utulivu
Poleni sana wafiwa wote Mungu awape faraja maana sote hatuna budi kupitia kifo ili kuingia ktk maisha mengine ya milele.
Mec ni mzuri kuliko jac kwa muono wangu halafu anaendana na huyo mzee huyu dada kafata mapenitu kwa huyubaba hana mapenz wala hawaendani
Muawiya Jamali duh muogopen mungu nyie binadam kumpachika mtu ubaya xio vzr unajuaje kafat pexa
tatz mkiwa hamna pexa mawaz yenu mnayapelekea kwa wengin
kwan alichokukoxea ww jaq Nikip au uliitaka ww nafax 😏
@@agneskulu2911 tatizo anajigamba kwa Mali ambazo Hakuzichuma yeye amekuta tu tena hariziki na bado vitu vyote anataka wewe yeye ogopa mwanamke wa aina hio hachelewi kukufanyia kitu mbaya amka mdogo wangu
Muawiya Jamali
Jaquicly simuoni😢😢
kwa Mungu bado hii ndo ipo wakristo hakunaga ndoa mbili sasa huyu kafa kwa sasa ndo afunge ndoa itakubalika sio ile.
jamani watu hawana hata huruma yani badala ya pole na na kuwafaliji wafiwa watu mnakalia kujadili maisha walokua wanaishi kweli
Wanaumee bna uyuu mm Alikuwa mzuri Julio iko kitt alicho zanaee mapacha
poleni sana wafiwa
Mungu amlaze mahali peponi
Hapo ndo naamini mke wa mtu ni wa mtu tu hata akifa...huyu nguchiro mwingine hata sielewi.
Poleni Sanaa Jamani
Hapo sasa mzee mengi amekuwa huru kula good time na jaquiline ntuyabhaliwe maana walikuwa wanazini
TATIZO NDUGU ZETU HAMUUPENDI UKWELI LAKINI NIKWAMBA WANANDOWA WENGI WA KI KRISTOL HUISHI NA IMANI YA NDOWA MOJA LAKINI SIO KWA MATENDO WALO BAADHI HUZINI SAAANA NA KUJAA NJE YA NDOWA SASA KWANINI MSIHALALISHE TU AU NDIO MPAKA PAPA ATANGAZE.
Kweli kbs unafiki mwingi Sana umejaa
Pumzika mama yetu huyo mumeo hela zimemzuzua labda!
R.I.P our lovely mama
kwaiyo jack aliolewa ukewenza😆
That's my question too.
Nikama walifanya christian wedding ama.
Kwani mke WA Mzee mengi aliekufa miaka iliyopita pia ni mwingine au mi ndo sielewi nilidhani aliaanza ndio sababu ya kumuoa Jack duuh
RIP
I think I'm missing out something - 1st wife wedded 1971, passed on 2018.
"KLynn" wedded 2014? Christian wedding?..
Jamani msi judge mengi na jack hawana ndio ya dini wakristo hawaoi ndoa za dini zaido ya 1 tuu hao jack sindoa ya dini MENGI NDOA YA DINI NI MOJA TUU NA NDIO YA MAREHEMU huyo Jack si ya dini
Innallilah wainna ilaih rajiun
watu wengine mkifa hata msipoenda peponi tayari mmefaidi dunia sio wengine duniani unahasro na huko unaenda kukutana nacho cha moto...
kweli aisee
Kweli azeh qumamaqe life is not fair 🤔
Kweli kbs😂😂😂
Official Kamdudu kwelii 👋
Ha haaaaaa
Poleni
Japo huyu mama ni mzee ila ni mzuri kuliko huyo jack ntubaliwe
Acha uongo
Mais
wivu na kijicho sasa huo, wewe wayatakia nini je wewe uzuri wako no upi?
Rest in piece
RIP mama yetu.
kumbe kifo nacho kina part 2
Kumbe alikua na mke wa kwanza ! so Mengi akafata jack mtabaliwe ndogo ndogo 😪
Jack alimwimbia mengi wimbo kuwa "kama penzi utapata ukimwacha" mmesahau?
Pumzikeni kwa Aman.
Nilijua mke wa mengi amekufa zamani kumbe alikuwa hai😱
Sayra Chuna alikua ajafa sema yeye alikua ajioneshi sana ata watoto wake pia.
Ata mimi nilijua Ivo Ivo
Sayra Chuna ht mm nlijua hvy jmn
hata watoto wa mengi wapo aliozaa na huyo mama lakini uwa awajioneshi pia.
Hata me nilijua ivyo
Kumbe ukristo una ruhusu ndoa zaudi ya moja
Hibo Muslima
Walaa ataa...ndoaaa n Mara mojaa kifo ndo knawaekaa uruu...mengnee jiongezee utaelewaa
Haya pumzikeni kwa amani baba na mama mengi
R.i.p
Uwiiii ndoa ya Kikristo sini moja ilikuwaje huyu Mzee akafunga ndoa nyingine nahuyo Mch aliyefunga ndoa ya pili ilikuwaje jamani ,nakumbe mke wa Mengi alikuwa Hai
Tambua kwamba ndoa ya kikrixto uwa inavunjwa kama kuna matatizo ndani ya ndoa hiyo
ndoa ya pili ilifungiwa nchini MALEZIA, kwa tz isingewezekana
Pesa baba. Mungu anawekwa pembeni na wachungaji wetu si mnajua tena?
I. 😭😭😭
why alioa mke mwingine na yeye ni mkristo
Hakuoa nijaribu tu
Lenatha Chibena. yanakuhux huy xiumemkuta mtandaon xiumwache jaman wakunaj limewakuta pele namtalikuna hata lixilo waxilo waxha
Kifo tuliumbiwa sisi wanadamu kila mtu kwa Wakati wake Mavumbini tutarudi
Mbinguni hakuna kuoana wala kuoa pumzika kwa amani mama Mercy
Tukumbuke mungu yupo! Anaoa wakati alishakuwa na ndoa tena kafunga kanisani.ana kovu la dhambi ambalo halitafutika.
RIP mama beautifully
R.I.P mama
R.i.p mamy
waaa nkajua mkewe ni yule wa instagram
Mama wa nyumba kumi wainsta ndo alivunja ndoaa ya mama uyo
@@brunomtweve8073 duuuuh
Katafuta mwingine kengine kanakuja kufaidi...upumzike kwa amani
Kumbe alikuwa mtoto wa Mangi Miitori? Mtoto wa rais
Kumbe sikuizi ndoa zote zina taraka?
Queen Yahaya Kwani ulikuwa hujui kama huwa kuna taraka? Kanisa halitenganishi ndoa ila taraka inaweza kutolewa mahakamani kama kuna sababu za msingi kama usuluhishi umeshindikana.
Endapo mmoja wa wanandoa akihatarisha maisha ya mwengine mf kuweka sumu iliwingine afe.Ndoa hiyo itavunjwa haraka kabisa.Ushauri fuatilieni kisa cha mzee huyu kuachana na mkewe.Nasio kusema ukristo hauruhusu talaka.
Rip
kumbe nimesikia vibaya nimeerewa
Mwazan Gomaa polen sana wafiwa
Jane Mlwilo asant kwa wote
BORA MENGI KAAMUWA KUOA LULIKO WALE WANAMNYOOSHEA KIDOLE CHA MSHANGAO WAKATI WAO WANA ZINI NA VIMADA KIBAO, SASA JE NIBORA BARAKA ZA BWANA KUOWA KWAHALALI AU NIBORA KUMFURAHISHA SHETANI KWA KUTENDA DHAMBI NA JE UKIOWA WAKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI?
Jaffari Bori umeongea ukweli maana ata mungu anaweza kumpunguzia adhabu siku ya hukumu kuliko wale wanaozini na kujiona wakamilivu kwa kila jambo
Kwani kuzini ni nini? Kuoa hakuna ukomo wewe tu kama unaweza oa tu.
HAYA NDIYO MAJIBU YA DIAMOND KUHUSU COLLABO NA ALIKIBA th-cam.com/video/wtBOocxxPow/w-d-xo.html
Sasa mbona mengi amefunga ndoa tena au amebadirisha dini
Said Asimba amefunga ndoa ya serikali sio kanisani tena
It resembled a church wedding that I got mixed up.
You're now talking.
.
Rip mama
Rose mhando
R I P
R.I.P
Rip
R.I.P
R.I.P