Jinsi ya kufanya Kilimo cha Ndizi na kuepuka Minyoo na Magonjwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Ni kutoka Nanenane Mbeya 2022 ambapo tunakuletea mtaalamu wa kilimo akikueeleza namna bora ya kufanya kilimo cha Ndizi

ความคิดเห็น • 36

  • @ramadhanhassan8196
    @ramadhanhassan8196 2 ปีที่แล้ว +2

    kazi nzuri sana Mwananchi hongereni nimejua sasa kupanda migomba

  • @rahmasuleiman8688
    @rahmasuleiman8688 ปีที่แล้ว +1

    Very nice maashaallah

  • @GreatTractor
    @GreatTractor ปีที่แล้ว

    Safii Baba, endelea kutufunza zaidi.

  • @johnmagoma6962
    @johnmagoma6962 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwa jali kazi yako haswa

  • @baltazarybasingo5773
    @baltazarybasingo5773 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana jembe halimtupi mkulima

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi nataka miche ya ndizi Mzuzu ya maabara naipataje nipo kibaha Nina hela 4

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 ปีที่แล้ว

    shamba safii sana dah hadi raha

  • @hafsanoman3952
    @hafsanoman3952 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu mungu akubariki

  • @rukiaissa5878
    @rukiaissa5878 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe nguvu kwa kutupa taaluma hii sahihi ya kilimo cha migomba

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u หลายเดือนก่อน

    Wewe acha ushamba hakuna zao la ndizi kuna zao la migomba

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 ปีที่แล้ว

    Asante mtaram

  • @tabithamchanga5286
    @tabithamchanga5286 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa eliminate MUNGU akubariki sana aana, naomba kuuliza.
    Mkungu aina ya mzuzu, kile kishungi kinapokwisha kabisa chote ndo mkungu unakua umekomaa naweza kuukata au unaendelea kbakia kwenye shine lake mpaka mud gani?

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Kutoka shimo moja hadi lingine unatakiwa umbali gani ?

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania bwana vitu kama ivi comment tatu ila watu wakichafua hali ya hewa comment laki 1 machawa wakizungumzia upupu coment elfu, tuna ujinga mwingi sana ndo mana nyerere alitwambia adui yetu n ujinga nimeamin

    • @elicktilia4430
      @elicktilia4430 2 ปีที่แล้ว

      Ukweli unauma

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 2 ปีที่แล้ว

      watanzania wao nyimbo tu

    • @baltazarybasingo5773
      @baltazarybasingo5773 8 หลายเดือนก่อน

      Tunashabikia vitu ambavyo kiuchumi havina mchango wowote. Kweli TU wajinga maana tunashindwa kuchagua vipaombele.Hatari sana kuchezea muda🤔😭

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 28 วันที่ผ่านมา

    Nahitaji ndizi kwa wingi bei gani upo wp

  • @jacksonmtaswa2885
    @jacksonmtaswa2885 9 หลายเดือนก่อน

    Je hzo ndiz huwaga zinakubari kila maeneo nikimaanisha km mrima ambao unaasili ya mawe mawe

  • @PrestonKwizombe-qf1gc
    @PrestonKwizombe-qf1gc ปีที่แล้ว

    mtaalam naomba weka namba nahitaji miche

  • @JosephNestor-r6u
    @JosephNestor-r6u 2 หลายเดือนก่อน

    Ndoo 5 za samadi ni ndoo kubwa au ndogo??

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Ndoo ya lita 10 au 20 ya mbolea ?

  • @pamellabosire3705
    @pamellabosire3705 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba ya mtalamu huyu

  • @priscachale5646
    @priscachale5646 2 ปีที่แล้ว +1

    Dar Migomba inastawi?

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Ndoo ya lita 10 au 20 ya mbolea ?😅

  • @innocentmakala6542
    @innocentmakala6542 ปีที่แล้ว

    👍

  • @johnsonjoshua6707
    @johnsonjoshua6707 6 หลายเดือนก่อน

    Dawa ya ugonjwa wa matawi ya ndizi kuwa manjano ni nn!?

  • @IssaBashir-pk2ks
    @IssaBashir-pk2ks ปีที่แล้ว +2

    ungojwa wa mnyauko unadawa?

    • @isayaanthon7063
      @isayaanthon7063 ปีที่แล้ว +1

      Kuna dawa ya kuua minyoo ktk migomba?

    • @shangemollel5603
      @shangemollel5603 ปีที่แล้ว

      @@isayaanthon7063 nipe dawa ya myauko wa ndizi mshare

  • @shangemollel5603
    @shangemollel5603 ปีที่แล้ว

    Nipe dawa ya myauko wa ndizi mshare

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Ndoo ya lita 10 au 20 ya mbolea ?

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Ndoo ya lita 10 au 20 ya mbolea ?

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Ndoo ya lita 10 au 20 ya mbolea ?

  • @BettyRichard-l8j
    @BettyRichard-l8j 14 วันที่ผ่านมา

    Ndoo ya lita 10 au 20 ya mbolea ?