ZIJUE AINA ZA NDIZI NA MASOKO YAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Mtaalamu wa Kilimo Kutoka MKUNDA FARM Ndg Madila Mkunda #MrGomad anaeleza aina mabali mabali za migomba na masoko yake usikose kufuatilia episode zote zinazofuatia Mtangazaji #Xgzoo , Mpiga picha #Lr__visuals Director #Ryoba na #Tesha tumedhaminiwa na MR PROTECTIVE GEARS na ASAM HortE
Kwa maoni na ushauri tuandikie kwa 0753692291 barua pepe asiligroup01@gmail.com
Asante sana kwa support yako wewe unayeitazama hii video
Unachonga sana na kiingereza chako cha matege .
Taja majina ya ndizi kwa kiswahili Acha kuharibu somo
Kazi nzuri kiongozi,, pull up your socks,,, be blessed
Gojoo umetishaaa! 😀
Presenter huna uzoefu kwenye presentation skills. Punguza kurusharusha sana mikono.
Kazi nzuri
Kazi nzur kilimo kwanza
Mpo vzr sana
Asante sana
Kaka iko vizuri sana hiyo
Huyu mtangazaji yuko salama?😅😅
Naweza kupata miche ya ndizi kisukari?
Wasiliana nasi kwa 0753692291