Nikki Mbishi amrushia kijembe D Voice: Aliyesainiwa na wenye muziki wao sijui hata wimbo wake mmoja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 161

  • @allymohammed5593
    @allymohammed5593 10 หลายเดือนก่อน +1

    mimi niko naunga mkono nikki mbishi cheye anasema

  • @Kushnade
    @Kushnade 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani uyo d voice ndo msanii gani uyo

  • @erastomtima8260
    @erastomtima8260 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mi mwenyewe sijui hata nyimbo Moja ya D Voice Kwa kweli nisiseme uongo

  • @kimah9855
    @kimah9855 11 หลายเดือนก่อน +17

    Na sisi tunamambia mwenye wivu ajinyonge. Dvoice weh ni noma❤❤❤❤❤

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Wp Noma kwa lipi nyimbo inasikika wiki imeisha utamu mtajakubuka maneno ya Niki mbishi Mana Niki Nikama naby

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 11 หลายเดือนก่อน +14

    Ni kijana mdogo anaejitafuta ila waruka na ungo wamejaza anga, wakijaribu kumzamisha, hapa nawaona wakiongozwa na wanga wawili.

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 11 หลายเดือนก่อน +6

    Dvoice Jinii 🔥💯💥 unawatisha adi Watu Wa Hip hop

  • @MulsadSady
    @MulsadSady 10 หลายเดือนก่อน

    Wasionaakili ndo mnawezakufananisha vituvisivo fanana

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 11 หลายเดือนก่อน +17

    Kumbe mnajua kuwa wcb ndiyo wenye muziki wao

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mm mwenyewe sina hata na sijui nyimbo moja yako

  • @alfredbaraka2937
    @alfredbaraka2937 11 หลายเดือนก่อน +19

    Kiukweli mimi sio fani wa D VOICE lakini majambazi wakinikiwekea bunduki wakasema waniue au nitaje wimbo wa nick mbishi wanangu tutakutana ahera

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 11 หลายเดือนก่อน +51

    Mm mwenyewe sijuagi wimbo hata mmoja wa Nikki

    • @l.marley_2542
      @l.marley_2542 11 หลายเดือนก่อน +5

      Umezoea kuskia tarabu sasa wewe nyimbo ya Nikki utaijua vipi wewe endelea tu kuskia tarabu

    • @HalimaJuma-de5gc
      @HalimaJuma-de5gc 11 หลายเดือนก่อน +3

      Sasa huyo voice nae aimba utasema hana mdomo

    • @hashimukasimu2716
      @hashimukasimu2716 11 หลายเดือนก่อน +10

      Hata mimi sija wahi sikia wimbo wa nikki hata mmoja

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 11 หลายเดือนก่อน

      Kuzaliwa umezaliwa 2015 unamjuaje Nick Mbishi​@@hashimukasimu2716

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +5

      Ndo tupo wengi na sijui mara yangu ya mwisho kuusikiliza wimbo wake😂😂

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 11 หลายเดือนก่อน

    MNAWAPAMBA SANA WASANII. Simchukii ila kiukweli me sijui nyimbo zake sana na nilizoskiliza sijazipenda ila sio mbaya.

  • @MariamMpanga
    @MariamMpanga 11 หลายเดือนก่อน

    Kujua tu Kama Wcb wanamsanii mpya na anamuona kwenye TV Hiyo kubwa sna kwetu WCB inatosha ✅✅✅

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nikwel yuko sahihi dogo matangazo mengi kuliko kutoa Ngoma Kari ili Ngoma zimtamburishe wa watu kiukwel mi mwenyewe sjui Ngoma yake hata1 sababu Hana Ngoma Kali inayojitangaza yenyewe

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 11 หลายเดือนก่อน

    Roho mbaya na wifu njoo binaja Tanzania shenzi nyiye watu wazima bicece

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 11 หลายเดือนก่อน +1

    Watulie ivo ivo skuizi hiphop umekua mziki wawavuta bangi kama zamani ,wivu tu

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nikki mbishi ndio nan tena 😢

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Ndo soja wetu shoga Kama ww auwezi jua kitu nyoko mbili ww

  • @kaseja
    @kaseja 11 หลายเดือนก่อน +20

    Kama anajua kuna msanii kasainiwa na wenye mziki wao inatosha. Sio lazma ajue nyimbo zake. Muhimu ujumbe anao

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +1

      Safi kabisa

    • @ModuNaseem
      @ModuNaseem 11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

    • @okeyokarolipaul4893
      @okeyokarolipaul4893 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

  • @hashimukasimu2716
    @hashimukasimu2716 11 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa ili waense mjini ni lazima waongelee wcb bila hivyo wana sahaulika chap

  • @AmosKitunka-xx7cs
    @AmosKitunka-xx7cs 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mziki mzur utapatikanaje ikiwa kunawasanii kibao wameishia mtaan bila hata hayo matangazo kupata alafu wanaibua watu wanaotaka wao ili wasiweze kufanya chochote mwishoe wanakufa masikini..Acheni haki za mziki zipigiwe kelele zije.

  • @chazjerome9999
    @chazjerome9999 11 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana Na Nikki Mbishi,Huyo Msanii Hata Wimbo Wake Binafsi Siujui Yaani

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 11 หลายเดือนก่อน +12

    D voice is powerful 😅😅

  • @innocentngogolo212
    @innocentngogolo212 11 หลายเดือนก่อน +10

    Wivu ni kitu kibaya sana

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mtu mzima hovyo!!!!

  • @pilotwiizzy
    @pilotwiizzy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nik ndio Nani

  • @ModuNaseem
    @ModuNaseem 11 หลายเดือนก่อน

    Nyie wanga tu kama wanga wengine

  • @rashidmashaka1264
    @rashidmashaka1264 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe nikki mbona kila jambo unalijua ila unanini mpaka sasa aaah kwenda zako uko

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Nasura yako nzur mtt wakiume

  • @sajdatomar6025
    @sajdatomar6025 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nikiambiwa taja wimbo mmoja wa nikki alf napewa milioni 10 basi milioni 10 naikosa mana sijui hata wimbo wake mmoja

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Tatizo iyo nyimbo Dem wako anaipenda ndomna unaxema Ivo

  • @RAFIKIOnline9660
    @RAFIKIOnline9660 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna haya Kwa SNS kufungua radio Sasa tutoke huku social media Kuna gape kwenye radio lipo

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 11 หลายเดือนก่อน +1

    Niki kua ka Nash we fanya ka huwajui deal na yetu af bs

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 11 หลายเดือนก่อน

    Ila sky unajua sana kaka 😂😂😂😂😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani D voice anajua kweli kama Nick ni Mbishi na aliwahi kuwa rapa hapa Bongo?

  • @ricklandennis
    @ricklandennis 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mi naomba mtu atafute ngoma za kwanza kwenye lebo kuwatambulisha WCB , ya harmonize, ya vannyboy, ya mboso, ya lavalava na rich movoko. Halafu toa ngoma moja unayoiona ya kawaida halafu weka ya D voice yoyote km itaingia ndio utajua tatizo lililopo

  • @Semtoto
    @Semtoto 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hata mimi namuona sana kwenye interview japo sijasikia kazi zake bado..nikki anapoint asipuuzwe

    • @BizabishakaZuhura
      @BizabishakaZuhura 11 หลายเดือนก่อน

      Alafu kwenye interview anaongea vibaya wasani wenzake sanaa😢😢

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 11 หลายเดือนก่อน +3

      labda unakitangaza alichokiimba na we umeziba masikio hutaki kusikia, utasikiaje?

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu Hip Hop haiwalipi so n km wanapata stress na wanapata shida ya afya ya akili😂 na wanazidi sn kuumia wanapoona kua watoto wadogo wanakuja leo wanafanikiwa wao wapo long ila hata kodi za vyumba n ivoivo tu kulipa chenga na unga😂

  • @mbezzoprince9462
    @mbezzoprince9462 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 alijuaje kasainiwa kama hajui Ngoma yake ata moja mbwa huyo

  • @snechannel9116
    @snechannel9116 11 หลายเดือนก่อน

    Nikki Ka mwanamke, sasa na yeye ni Msanii analazimishaje kuwa shabiki WA Msanii mwenzake kumjua ama kutomtambua D Voice awaachie mashabiki

  • @vintz338
    @vintz338 11 หลายเดือนก่อน

    A wao ndo hicho kutojitangaza

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 11 หลายเดือนก่อน

    Waache wivu looooo mbona sisi tunamjuw na tuko mbali ya africa wenyew awamjuw wako bongo diiuu wa tz wako n jelas😅😅😅😊

  • @YasintaKisholi-z5j
    @YasintaKisholi-z5j 11 หลายเดือนก่อน

    Akwende uko memwenyew sijawah sikiliza ñyimbo zako

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo 11 หลายเดือนก่อน

    haka kdogo kajinga kweri hata mnm ckaelew🤣🤣🤣

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 11 หลายเดือนก่อน

    Hata sija muelewa huyo m'mbishi😂😂😂

  • @kimongapro
    @kimongapro 11 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zao pia kutosikilizwa kunawapa tatizo la afya ya akili dogo hafanyi kwaajili ya vipofu 😂😂😂

  • @bonifacemathias7589
    @bonifacemathias7589 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoja wabaki na ugumu wao mm nyimbo zao wala sizijui fanya interview tukujue

    • @AGREYMWANKENJA-ye5sb
      @AGREYMWANKENJA-ye5sb 11 หลายเดือนก่อน

      Umemjuaje Sasa?

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Wagum tupo mtabaki nakusapot uchoko t faraa moja

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto mdogo amewakosea nini wababa, yaani kufanya interview kupambania ndoto zake inauma mpaka wazee😂😂

  • @giztony2009
    @giztony2009 11 หลายเดือนก่อน

    The bad thing maokoto ya Dvoice amewazidi ukoo wote wa wakazi na huyo Nick mbishi maana impact yke ni kubwa hadi wamejitokeza kwenye mjadala wakati tulikuwa tumewasahau inshort Di voice ana nyimbo nyingi znasumbua club eg Bambam

  • @NuludiniRajabu-cb9oc
    @NuludiniRajabu-cb9oc 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asie juwa nyimbo ya nik mbish bac ww ufatilii hip hop ww n mwanasingeli2

  • @revocatusmtahaba9955
    @revocatusmtahaba9955 11 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajitahidi ila akaze sana maana uwezo wake ninawasiwasi nao

  • @SADICKBALISONDOLE-fs9uj
    @SADICKBALISONDOLE-fs9uj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Achana na wahuni hao hamna hata shabiki anaewazungumzia wanataka upepo wa dodo # hawamuwezi ila ushauri wangu kwao wapunguze pombe na sigara ndio ntawasikiliza

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 11 หลายเดือนก่อน +1

    We mtu hata anachoimba hakieleweki anakaa kwenye media anaropoka tu eti siwezi kufanya collabo na alikiba huyo aliyekusajili tu hajawahi kufanya hiyo collabo na kba😂😂muziki wake wenyewe ndo kwanza unahanyahanya tu unataka kuingilia maogomvi ya boss wako hujui yalianzia wapi eti unaanza kumsema harmonize na kiba 😂😂😂shezy tyep

  • @stellachalamila7455
    @stellachalamila7455 11 หลายเดือนก่อน

    Hata sisi hatumutaki atujue akafie mbelehuko

  • @AbdulAwadh-t7p
    @AbdulAwadh-t7p 11 หลายเดือนก่อน

    Ana takaje kwani

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wivuuuuuuuuu

  • @christopherwami2006
    @christopherwami2006 11 หลายเดือนก่อน

    Kwan nikk kaimba nyimbo ipi jmn nisaidieni

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Tafuta play boy tafuta katimba mpya tunakusadia usipotee choko ukawa kwnye kundi lama shoga

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 11 หลายเดือนก่อน

    Niki huyo mm toka ame anza kuimba sijui hata nyimbo nyake Moja walahintenaa😂😂😂😂

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Utabaki Ivo t naujiga ndo nyie wakina tomasoo

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Yan shoga wezu kumulewa mylume net mnaskaska Rasta kama madem tutaona mwisho wake son afu mtashika vichwa

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 11 หลายเดือนก่อน

    Nikki mbishi ndio nani ama huyu mjumbe wa serekali za mitaa

  • @rashidkatundu9674
    @rashidkatundu9674 11 หลายเดือนก่อน

    Mibaba imefel inadis mwanae sikie bado umri unaruhus nende mkaolewe na vibabu wakizungu

  • @zuhuraRamadhanl-dz7tl
    @zuhuraRamadhanl-dz7tl 11 หลายเดือนก่อน

    Watu wazima wanashindana. Na mtoto 😂😂😂😂

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 11 หลายเดือนก่อน

    Sa Nick ndio mdudu gan tena, 😢🤣🤣🤣🤣 mbona hatumjui

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Mimi tu sijui hata mmoja

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 11 หลายเดือนก่อน

    Dvoice kwasasa hashikiki aiseeee unju aende sportfy akasikilize huko

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi Nick mbishi ni yule kaka anayeuza nguo za mitumba pale kariakoo au...😂

  • @saidhassan4529
    @saidhassan4529 11 หลายเดือนก่อน

    Jealous

  • @pinielefraem4159
    @pinielefraem4159 11 หลายเดือนก่อน

    Niko mbishi Ni nani

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 11 หลายเดือนก่อน

    Yan yye sjui anafanyaga nn

  • @mwinyiabdallah4383
    @mwinyiabdallah4383 11 หลายเดือนก่อน

    We niki mbishi kweli auuu maana mbishi hawi hivo uko kama mchawi hivi hueleweki tulia kaka madogo wafanye mambo wakati wenu umeisha

  • @NeyoBreezy-ie1by
    @NeyoBreezy-ie1by 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kuna msani anaitwa Nikki mbishi

  • @ibralino
    @ibralino 11 หลายเดือนก่อน

    Who is nikki

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 11 หลายเดือนก่อน

    Nikki mbishi ni nini, inauzwa wapi

  • @mohammedyusuph9107
    @mohammedyusuph9107 11 หลายเดือนก่อน

    Wasijisaulishe baadae ndowataosema anazulumiwa au ananyonywa wanatafuta Kiki tu kwa Sasa tumewajua hawatusumbui

  • @strong8534
    @strong8534 11 หลายเดือนก่อน

    Kusema ukweli mimi hapa sijui wimbo hata 1 wa Nikki ama huyo wakazi

  • @edchrisbeatz8976
    @edchrisbeatz8976 11 หลายเดือนก่อน

    wanongea ukweli but mzki umebadilika sana sa hii mzki ni biashara kujibrand ndo mtaji zamani mzki ni ustar pekee 😂😂😂😂muda wa kuretire ukifika unaona kama wengine wanakosea kumbe times fly

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ni kweli kuna biashara nyingine wanazotangaza kwa kivuli cha kuimba, Na ni ushoga tu, ndio maana wana tusukia na kutuwekea vipuri virasta kama hawa dada zetu

  • @chalionthebeat9448
    @chalionthebeat9448 11 หลายเดือนก่อน

    Is true 😂

  • @omarimpogo6895
    @omarimpogo6895 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa ni mtu mzima sn lkn anampiga majungu mdogoake anaepambana kujitafuta na kutafuta rizki…!! Je hiyo nayo ni sawa?

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nikitoa wimbo wa playBoy sijui wimbo wake hata mmoja.
    Mvn km discussion yao haikuwa na mashiko.........muziki now ni biashara tengeneza bidhaa yako ujue namna ya kuipromot itawafikia walaji kirahisi Even hata ikiwa ni ya kawaida.
    Huangalii wateja wanataka nini kwa muda huo wewe unafanya fanya tu kwa kuwa uhalisia wa kitu upo hivy utaishia kullm na kujitoa kwenye majukwaa ya Kuuzia muziki kidijital

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Tafuta katiba mpya usikalili nyoko mbili

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 11 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂watu wazima wivu utawaua...shida inakuja nyie mzik mmeanza miaka 20 iliyopita na hamna kitu mifukon

    • @AGREYMWANKENJA-ye5sb
      @AGREYMWANKENJA-ye5sb 11 หลายเดือนก่อน

      Umiza ndonga

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Utabaki Ivo nyoko mbili

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in 10 หลายเดือนก่อน

      @@aligomatumla2930 una matatizo ya afya ya akili

  • @engribertinnocent7536
    @engribertinnocent7536 11 หลายเดือนก่อน

    Tukumbukekwamba kijana bado ni mdogo saana kijana bado anataft maisha, huyo nick mbish kama alishindwa kufahamika hyo ni juu yake,mimi binafc sijui nyimbo yake nick hata mmoja na sijuag ni msanii wa aina gani so kwa usharu naon aongee vzur na media wampromoto au afany kituko kikubwa afahamike lakin napenyew haitamsaidia ila D voice sasahv hata akifany kitu kidogo watu macho yote yako pale😂

  • @MagidaLcNamakoro
    @MagidaLcNamakoro 11 หลายเดือนก่อน

    These Elderly People Are Aging Badly, When I Chat About Them They Talked About That Evidence, Yes I Know If They Are Still Living I Know They Had Funerals Just As Their Music Died

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 11 หลายเดือนก่อน

    Mziki unamilikiwa kivipi ?wakati soko lake liko huru !

  • @BizabishakaZuhura
    @BizabishakaZuhura 11 หลายเดือนก่อน +4

    Tatizo siyo intervier anazo zifanya tatizo uyo dogo anaongea sana na kukejeli wasani wenzake

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 11 หลายเดือนก่อน

      True😅😅👏👏👏👏

  • @caesar7745
    @caesar7745 11 หลายเดือนก่อน +12

    Watu wazima wivu tu Niki na wakazi ni wazee acheni mtoto wa uswahilini aende mjini albums zenu zote combined number hata mhamfikie dogo ambaye katoka juzi. Kaligraph aliwabeep wewe na wakazi hakuna anayejiita rapper from TZ aliyeongea. Kama Rais Samia alivyo sema very stupid. Mimi naishi USA sijawahi sijikia nyimbo ya niki au wakazi hata moja lakini huyu dogo najua nyimbo kama 8 zote. Watu wazima nyongo imewaingia 😂😂😂😂😂 nabado

    • @modekaijames
      @modekaijames 11 หลายเดือนก่อน

      Utakua shoga USA kama ujui nyimbo ya niki

    • @AGREYMWANKENJA-ye5sb
      @AGREYMWANKENJA-ye5sb 11 หลายเดือนก่อน

      Hauwezi kuelewa nini amemaanisha.

    • @msafirifabian2143
      @msafirifabian2143 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@modekaijameskati ya watanzania 1000 ni mmoja tu ndio atakua anamjua NiKk hapo hata nyimbo hawezi kuijua hata moja.

    • @ricklandennis
      @ricklandennis 11 หลายเดือนก่อน

      Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli kipindi hiki Diamond Kuna kitu kakosea kubadilisha culture ya mziki wa huyu dogo mapema angemwacha na singeli kwanza na mavideo yakibabe then baadae angembadilisha taratibu, Angalia wasanii wote waliowahikuwa WCB walitoka na hit za maana wote, angalia sasa huyu dogo Ngoma kibao ila hana hit na promo ni kubwa, huo ndio ukweli

    • @ricklandennis
      @ricklandennis 11 หลายเดือนก่อน

      Labda USA river😂😂😂😂

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 11 หลายเดือนก่อน

    Dogo kawaibua wajeda wa kanda maalum. Wana Hip-hop wachambaji. Ukonga modern taarabu 😂😂

  • @MulsadSady
    @MulsadSady 10 หลายเดือนก่อน

    Waliowachumba amwezimjuwaniki unju upeowenumdogoktkkufikili muwezijuwa ngomazaunju nyiemakomando vipens ndomnajuwa lakinihukukunakatibampya mashogatulizeni matako tunawapambania

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hyo Hana jipya

  • @salimhassan3369
    @salimhassan3369 11 หลายเดือนก่อน

    😅😂

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 11 หลายเดือนก่อน

    labda unakitangaza alichokiimba na we umeziba masikio hutaki kusikia, utasikiaje?

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wingi wa interviews na majigambo bado havijawa sawa na kazi alizo achia,,nadhani angejitafuta kwanza then ndo alete hizo dharau

  • @VanderbickDiderick
    @VanderbickDiderick 11 หลายเดือนก่อน

    Tuache wivu xaxa ulitaka akae asifanye media tour au ww ndo mtoa nauli kazana utatoboa

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Wivu Wann shoga unasapoty ushonga au jui ATA mziki unasiri gan Malaya ww

  • @victorkumenyafilms716
    @victorkumenyafilms716 11 หลายเดือนก่อน

    Hao wote wawili Niki na mwenzie ndio wakina Nani? Wanamuziki, wanasiasa au wachambuzi?

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      Tupo mafundi Yan wee bro ulip aujui ATA Mana ya mziki

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa niki mbishi ana wimbo gani? 😂

  • @cptnbazil6121
    @cptnbazil6121 11 หลายเดือนก่อน

    Walijuaje mwanamziki na sio fundi garage ndio wasijue hata spana zake

  • @aligomatumla2930
    @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

    Kama amjui mtabaki naumalaya wwnu mana apo ote mnao shabikia izo nyimbo au awo wasani ni malaya tuachen watu tupewe afya ya akili bakin nausenge wenu uwo unakuwa amjui bila msani ni nani wegi mnakuwa mnakwwnda t kama wakina tomaso 🖕🖕🖕🖕🖕🖕maashonga nyie

  • @salehseifgege6784
    @salehseifgege6784 11 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa busara make kimya ili heshima zenu ziendele kuwepo Sasa nyie wasiku nyingi kwenye game saiv mnaanza maneno kwa kijana kama mtoto wenu na anaimba singeli na bongo fleva wewe ni mwana hip hop dili na kundi lako mafala nyie

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน

    Hao nao kama mashoga tu kwani lazima nyimbo zake D VOICE wazijue?? Wao kina nani?? Au views yao moja inakuwa maradufu wanakuwa kama wametazama mara 50K??😂 Mbona za kwao sizijui?? Na kama wanajua kuna msani kasainiwa WCB basi inatosha😂

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 10 หลายเดือนก่อน

      We ndo Kama shoga nauwana ume wko woye unalia kisa mapenzi Jenga Imani bro mausiano yanavujika iyajakufa kibudu shoga ww