KWANINI KOREA ILIVUNJIKA NA KUWA NCHI MBILI? MAJIBU YOTE HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @ezeckielsyantata1295
    @ezeckielsyantata1295 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa kuendelea kutuelimisha Justin Shed

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 2 ปีที่แล้ว +2

    Basi nilijua uhasama wa Korea ulianza kale wao kwa wao Sana kumbe miaka y Vita vy dunia duh kisa wakoloni

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 ปีที่แล้ว +4

    We umefany nichomwe na uji 😀
    Ety wanaume wanaofananaaaaa.!!!!!

  • @josephmwangi580
    @josephmwangi580 2 ปีที่แล้ว +3

    Big up bro 💪 ndelea vivyo hivyo pia nakumbusha ukatayarishe video ya Mabomu ya hiroshima twaisubiri kwa hamu na ghamu kaka kuwa na siku njema

  • @isackshabini4575
    @isackshabini4575 2 ปีที่แล้ว +3

    Tuna kuomba tusaidie kujua kwanini marekani ilivamia vietnam au nikweli
    Marekani walikimbiavita ?.

  • @furahamlomolucky8221
    @furahamlomolucky8221 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for this video

  • @FAFANUOMEDIA
    @FAFANUOMEDIA 2 ปีที่แล้ว +12

    Najivunia kuwa mwanafamilia wa BONGOFASTA

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  2 ปีที่แล้ว +2

      Bless sana my brother.

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว +1

    Kinacho sababishaga mm nakupenda ni kwamba video zako waga ni fupi lakini waga nahelewa big up sana brooooo twende kazi

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo 2 ปีที่แล้ว +1

    Da! Nimeijua sasa History ya Korea. Thnx Master

  • @lordrextz3686
    @lordrextz3686 2 ปีที่แล้ว +6

    wamarekani kila baya na mateso ya mataifa anahusika...ipo siku nature itamuhukumu..

  • @anoldwako102
    @anoldwako102 2 ปีที่แล้ว

    Following ya channel from Nairobi ,Thanks

  • @isackshabini4575
    @isackshabini4575 2 ปีที่แล้ว +3

    Imenikosha sana kwa video ya Korea
    Asa nte

  • @williammatata2611
    @williammatata2611 2 ปีที่แล้ว

    You are the best

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuh safi sana nilikuwa sijuwi

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 ปีที่แล้ว +1

    Bomba Sana

  • @jumamwandai3941
    @jumamwandai3941 2 ปีที่แล้ว +1

    U are always the best broh 🔥 I appreciate the spirit u have broh 🔥 Congratulations

  • @laurenciazacharia9197
    @laurenciazacharia9197 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa hii historia

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kwa historia hiii

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 ปีที่แล้ว

    👍Good ukweli mtupu hujanitoa hata relini

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa vzr sana Justin 💥💥

  • @philipoanselmmasangula7106
    @philipoanselmmasangula7106 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for the story

  • @meekman1805
    @meekman1805 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe Wajapani wamekuwa wakorofi tangu zamani.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunakupenda ilaaa uwekii vidio mda sahihii

  • @noahyavinmlela859
    @noahyavinmlela859 2 ปีที่แล้ว +1

    Bongo fasta wewe uko fresh 😋 tupe vitu

  • @lamlanyava6153
    @lamlanyava6153 2 ปีที่แล้ว +4

    Wazungu wanataka nchi ziwe vipande vidogo vidogo tu kama walivyofanya huko Sudan; marekani sio mtu mzuri (nguruwe)

    • @robertmhikwa8174
      @robertmhikwa8174 2 ปีที่แล้ว +1

      siyo mmarekani tu,kama umesikiliza vizuri utakuwa umeelewa ninacho maanisha.mtu mweupe yeyote siyo wa kumuamini wao huangalia maslahi yao tu na ndo maana Korea iligawanywa na nchi 2 marekani na urusi kwaajili ya maslahi yao

    • @leonardgodliver9043
      @leonardgodliver9043 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahah

  • @philipoanselmmasangula7106
    @philipoanselmmasangula7106 2 ปีที่แล้ว

    Strongly

  • @abubakarshamuhuni3894
    @abubakarshamuhuni3894 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndio sawa sawa na tanganyika na Zanzibar et mpaka historia ya Zanzibar tunaambiwa wazanzibari walifagilishwa kwa maziwa na waarabu dahh kumbe haya mambo yameanza mbali ata kwa wenzetu ndio maana naamini ipo siku muungano wa Zanzibar na tanganyika utakufa tu

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj หลายเดือนก่อน

      Ufetu sijui ata alipatwa na Nini karume kuitoa nchi kwa waarabu akaipeleka kwa wanyamwez

  • @emmanueljonas84
    @emmanueljonas84 2 ปีที่แล้ว +4

    Yaani Bongo fasta wangekuwepo enzi nasoma,history ningepata 100 😅😅

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 2 ปีที่แล้ว +4

    Hao wajapani ndo maana walipgwa na neuclear kumbe walkuwa wakorofi

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว +1

    Justineshedy tulee na ya CHINA kugawanyika kama Korea

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana naipenda Marekani!

  • @Ulayafacts
    @Ulayafacts 2 ปีที่แล้ว +1

    the voice to remember

  • @samwelijoab3425
    @samwelijoab3425 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations my brother

  • @Saaa235
    @Saaa235 2 ปีที่แล้ว +1

    Ww jamaa ni nomaaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.

  • @josephsomba1752
    @josephsomba1752 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa twende kazi mwamba

  • @amrihamis5420
    @amrihamis5420 2 ปีที่แล้ว

    Gd naitaji kukuona nakuonaje sina namba yako

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj หลายเดือนก่อน

    Kumbe bora japani ilivo pigwa nyuklia

  • @alicekatondo5940
    @alicekatondo5940 2 ปีที่แล้ว

    Picha Kim au makombola nimecheka bila kutegemea

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Justin shade sasa twende kaziriiiii 😂😂😂😂😂

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 2 ปีที่แล้ว +1

    Wamarekani ndio tatzo hawa wakagawana maana marekani ndio fitna mkuu duniani

  • @eliyayesu2743
    @eliyayesu2743 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @binali7256
    @binali7256 2 ปีที่แล้ว

    Nakubal kaz justin

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌

  • @Muhindo-ln6hf
    @Muhindo-ln6hf 2 ปีที่แล้ว +4

    Wapi likes ? ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 2 ปีที่แล้ว

    tuleteew ya Amber head na Johy Deep

  • @jrochuboy5802
    @jrochuboy5802 2 ปีที่แล้ว

    Kaka unajua mengi tujuze zaidi

  • @godfreybeatusmahavile2250
    @godfreybeatusmahavile2250 2 ปีที่แล้ว

    Ukitaka historia za huwakika njoo BONGO FASTA

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 2 ปีที่แล้ว

    Ni sababu dhaifu sana jmn! Mie nilijua lbd ni matukio yao wenyewe kwa wenyewe

  • @hacker9mtata131
    @hacker9mtata131 2 ปีที่แล้ว

    Bridal Mask

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 2 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @africanbeadwork9434
    @africanbeadwork9434 2 ปีที่แล้ว

    Sasa unavosema niwe makini na marekani me inaniusu nn

  • @sulegyyoung6455
    @sulegyyoung6455 2 ปีที่แล้ว

    Broo natak story ya Zanzibar

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj หลายเดือนก่อน

    Kumbe bora japani ilivo pigwa nyuklia