Motivation nyingi kumbe mzee wa ngada , vijana wa kitanzania tujifunze sana hapo. Tunapenda kusifia na kufata watu tu tukiona wana akili kumbe tunapotea
Huyu ni zaidi kwa sababu ni muuaji. Muwezeshaji hata wa kundi za ujambazi kama kuluna kwa sababu wanatumia dawa za kulevya kupora, kubaka na kuaa watu wasiokua na hatia.
Hata huyo Lugumi na Rafikiake Godlove wakifuatiliwa vyema utawakuta humo. Hii biashara ina wengi sana sema kuna fitina zikitokea kwa chuki au ugomvi wanaamua kukuharibia
Mungu nashukuru kwa hii yangu kidogo mtandao wenye wanaishi maisha kubwa mara dawa za kulevya ama pesa fake yani utajiri wa mtandao niwa deal mbaya mbaya kama hush papi wa nigeria wow
Kuna Sehemu lazima uende Mwenyewe kulingana na uzoefu na ueredi wako wa kazi na roho ngumu. Kuna baadhi ya ßehem vijana wanaogopa kwenda 😅😅 . Raha ya kazi Hata kama umeajili watu ni Vizuri Sana Uwe na Utaalamu nayo panaposhindikana unaingia Mwenyewe
Usiutamani utajiri wa mtu kwakweli Tupambane tutafute pesa ya halali tusisahau kumuomba Mungu sana utajir anao Mungu yy ndo anaetoa venginevyo haya ndo yatakukuta
Unatajirika kupitia kuaribu maisha ya watu wamoja wanakua machizi kwa kuji drogs huku ukifurahia maisha na familia yako Kisha unataka baraka haramu ni haramu tu
Akaandika na kitabu kudangany watu wapambane wafikie life lake kumbe mwenye kitabu ana njia zake Kweli😂 usitamani maish ya hawa ma celebrity au weny pesa
Iyo siyo tarifa kubwa kwa sasa congo abari kubwa kwa sasa congo ni uvamizi wa rwanda kwenye eneo la mashariki mjini goma acheni kutowa tarifa ambazo zina mhusu mtu mumoja mkiacha ambazo zina husu taifa lote
Vijana wa matamaa a.k.a tafuta hela na huyo ndio mlimuona mjanja wenyew maisha ndio yameishia hapo sio kila aliefanikiwa anafaa kuigwa wengine wanafaa kutazamwa tu
Huyu jamaa alistahili kuuwawa hapo hapo kama siyo siku hiyo hiyo fikilia kilo 200 za cocaine ni watu wangapi wangeathirika kutokana na urahibu wa cocain, dah hakustahili kuendelea kuishi.
Ila iyo nembo yenu ya sahiv ni mbaya adi nilipotea, ile ya mwnzo ndio nzuri, hiyo mlotumia saivi kuna vi channel vingi vyenye habari za uongo vinatumia
Ajali kazini, a hustler💪💪
Motivation nyingi kumbe mzee wa ngada , vijana wa kitanzania tujifunze sana hapo. Tunapenda kusifia na kufata watu tu tukiona wana akili kumbe tunapotea
Fact100%
Dah..bora ukamatiwe mahangaikoni kuliko..jitu zima unakamatwa ukiwa kwenye kiuno na mke wa mtu...respect mr mfanyabiashara mpambanaji💪
😂😂😂😂 noma sana
Wajinga wote mtampongeza huyu mharibifu, lakini ukikutana na watu waliobadiishwa na madawa hayo kuwa mate mateja utatamani apiwe moto haraka
Huyu ni zaidi kwa sababu ni muuaji.
Muwezeshaji hata wa kundi za ujambazi kama kuluna kwa sababu wanatumia dawa za kulevya kupora, kubaka na kuaa watu wasiokua na hatia.
😂😂😂😂😂😂
Wewe nawewe unasifia ujinga mtu anaharibu vizazi wewe uko kusifia zaa hao watoto wako waje wale hyo madawa uone balaa lake
hela ya uhalali ni vigumu sana kuwa tajiri
Kabsaa
Kwa wakristu labda😂
@@hanifa9153 kwa yoyote yule chunguza utapata jibu
Mmh acha hz kwahy unataka kusema watu wote waliomatajr ni wanafanya biashara za haram au kuna watu jmn wamebarikiwa mno
@@NikrahAyubu fanya uchunguzi utapata jibu.. au ulikuwa unajua kama barhresa halipi kodi mpaka alipokuja maghufuli ndo ukajua ?
Hongera sana mandala kwa kujaribu
Usitaman maisha y watu😢
Kweli
Papaa eric mandala the Don
Innoss b: 🎵🎵....boss erick mandala (ricado momo) iiii...iiii.iii.....
Boss erick mandala abedashuu
Shiste musanganya enoo mutongo fusode dukushimaa 😂😂😂
Anajuaga kuwaorodhesha 😂😂😂
Eeeh Bwane kwakifupi Amejitoa kwaajili ya familia yake kamatwa kwa pesa ya mahana # mwanaume🙌🏾🙌🏾
Hata huyo Lugumi na Rafikiake Godlove wakifuatiliwa vyema utawakuta humo. Hii biashara ina wengi sana sema kuna fitina zikitokea kwa chuki au ugomvi wanaamua kukuharibia
Uko sahihi AF wanatuzungisha😂😂😂😂et freemason ata wasanii pia wapo wengi humo
Sasa ndio zamu yake kucheza YOPE 😂😂😂😂
Wauzaa ungaa ufungwe mileletuu huna mana kabsa mumemwaribuu chdbenz
Mwamba kweli kweli....ila sio mfano wa kuigwa
Boss mama dangote
Boss Eric Mandala
Yope mapesa yooh 🥱🥱
Kwishaaaa😂
Daahh😅😅
Kwisha habar yke
Jamaa anampunga sana huwa anatajwa sana kwenye nyimbo za fally ipupa ikiwemo wimbo wa Maria pm
Hapa duniani ishi maisha Yako mafanikio Yana Siri kubwa ilio jificha
Noma sana
Namkumbuka diamond alisema
*Eti nitakufa kwani wewe utaishi milele
*Nilipozitafuta bora muniache mwenyewe😂
Jamaa Nmemfaham kupitia nyimbo za fally ipupa.... fally amemtaja sana jamaa kwenye nyimbo zake
😂😂😂amini ya kwamba
Mungu nashukuru kwa hii yangu kidogo mtandao wenye wanaishi maisha kubwa mara dawa za kulevya ama pesa fake yani utajiri wa mtandao niwa deal mbaya mbaya kama hush papi wa nigeria wow
Dah😢
sisi ndio wagonga ulimbo 😁😁
Kaka nakukubali sana unasimulia vizuri sana:
Kumbe mwamba ni Don 😮
bora miambili yangu🤣🤣🤣kila utajir wa mtu una kistory fran either mzur o mbaya
Daaah itakuwaaaaaa yule jamaaaa kamchomea katoa siriii
Kaimbwa sana na Fally Ipupa kwenye nyimbo zake
Hapa ndipo huwa tunabiwa usitaman sana mafanikio ya mtu sababu haujui kayapataje
Boss kaniangusha ukiwa boss unatakiwa huachie vijana
Kuna Sehemu lazima uende Mwenyewe kulingana na uzoefu na ueredi wako wa kazi na roho ngumu. Kuna baadhi ya ßehem vijana wanaogopa kwenda 😅😅 . Raha ya kazi Hata kama umeajili watu ni Vizuri Sana Uwe na Utaalamu nayo panaposhindikana unaingia Mwenyewe
Daaaahhhh .... Kweli mzeee ...
Where is my country 😭
Weeeeuh Wacha tu.jamani nyie acheni
Fredderick bundala na yy ni mandala binataka endana😂
Hizi pesa hizi khaaa!!! Mara wengine wanauza mwili, madawa ya kulevywa, kutoa watu kafara , boda boda piga kazi !!!🥳👌🏼
Mungu amlinde hata uko gerezani
Amlinde kwa sababu gani?
KUPAMBANA MUHIMU #MPAMBANAJI
Vijana wengi tuna danganyika na maisha ya mitandaoni bila kujua yanapatikana vipi
Kaka sky please 🙏 andaeni GPS kuhusu Ndugu zetu wa DRC na vita vinavyoendelea huko
Maisha yanasiri sana kwahawa matajiri niwachache sana ukifatilia utajiri wao niwahalali chamsingi kupambana tuu
Nilijuwa huyooo atamukuta ana panda kagame sana
Mungu akulinde tena zaidi eric zidi kufanikiwa
Amlinde huko huko gerezani 😂😂😂
Mi napenda watu wanaofanya kila njia ili mradi wafanikiwe bila kijali kuna hatari kiasi gani
Wacha ufie tu huko jela nyie washenzi mnaishi maisha ya kifahari wakati mnatuulia ndugu na watoto wetu
SHEM ON YOU😮
Usiutamani utajiri wa mtu kwakweli Tupambane tutafute pesa ya halali tusisahau kumuomba Mungu sana utajir anao Mungu yy ndo anaetoa venginevyo haya ndo yatakukuta
Kamwe usitaman utajiri wa mwengine
Daaah Elik mandala nilkua namsikis fally ipupa akimuimba😢
Watu wana siri zao 😂
Wauwaji hawa, Vijana wengi wamelala kisa madawa, Future zao zimepotea.
Vijana tutafute hela lakini sio hela za Mihadarati.
Afu utasikia wakiulizwa wanasema nikumtanguliza Mungutu na kuanza bihashara ndogo. Aise utajiri unasiri nyingi
Unatajirika kupitia kuaribu maisha ya watu wamoja wanakua machizi kwa kuji drogs huku ukifurahia maisha na familia yako Kisha unataka baraka haramu ni haramu tu
hiyo ndiyo hasara ya biashara haramu.mwisho wake ni udhalilifu ,sasa atafia magereza,
Akaandika na kitabu kudangany watu wapambane wafikie life lake kumbe mwenye kitabu ana njia zake Kweli😂 usitamani maish ya hawa ma celebrity au weny pesa
UMEONAEEEH. UKWELI UTADHIHIRIKATU IKO SIKU.HAUWEZI KUJIFICHA😅
Ata rudi kunyumba Congo DRC alienda kumupelekeya vini jr😂
Papaa tulia 😂😂😂
😂😂😂😂
Mwanaume tena amekamilika kabisa tumpe 🎉🎉🎉🎉🎉yake
Wewe ni mshindi wewe ni bora siku zote Erick mwenyez mungu akupiganie ktk kipindi hich kigum
Biashara haramu ndio mungu amuhurumie
Mungu yupi huyo?
Izi pesa zina siri nyingi
Ndiye aliye mlithi Hush puppy
😂😂😂😂 hawakomagi
Hushpappy anaozea jela sasa😂😂
Erik mandala boss, Mama dangote.
Iyo siyo tarifa kubwa kwa sasa congo abari kubwa kwa sasa congo ni uvamizi wa rwanda kwenye eneo la mashariki mjini goma acheni kutowa tarifa ambazo zina mhusu mtu mumoja mkiacha ambazo zina husu taifa lote
Kwenye ile nyimbo ya Mayday ya Falii Ipupa jamaa katajwa sana.
Vijana wa matamaa a.k.a tafuta hela na huyo ndio mlimuona mjanja wenyew maisha ndio yameishia hapo sio kila aliefanikiwa anafaa kuigwa wengine wanafaa kutazamwa tu
Pesa zipo huko, wanasiasa ndio viongozi wakubwa ktk biashara hizo
Natajiri wengi wenye pesa za ghafla hizi ndio kazi zao. Ndio maana sio vizuri kutamani maisha ya watu, wengi wao niwauwaji! Very sad
Huyu jamaa alistahili kuuwawa hapo hapo kama siyo siku hiyo hiyo fikilia kilo 200 za cocaine ni watu wangapi wangeathirika kutokana na urahibu wa cocain, dah hakustahili kuendelea kuishi.
Duuuh 🤭
Maisha ni siri nyie usione mtu amefanikiwa nyuma ya pazia ni mengi yamejificha
Wengi sana ndo michezo yao
Influencer wa kubugia maunga usimkukuze kwa majina ya utukufu huyo ni shetwani 🤮🤮
Me mwenyewe biashara ii naipenda nije kufanya
🇪🇸🇪🇸🤔👍👍👍👮♂️👮♂️👮♂️👮♂️
Ila iyo nembo yenu ya sahiv ni mbaya adi nilipotea, ile ya mwnzo ndio nzuri, hiyo mlotumia saivi kuna vi channel vingi vyenye habari za uongo vinatumia
Yoka bebe na yo erik mandala 😂😂
Hapa ndio tujifunze vijana tusiumize nafsi zetu na Fikra kwa kila aliefanikiwa kiuchumi wakati hujui chini ya meza kuna Nini
Utajir n mgumu sna ndio maana watu wanapita shortcut ambazo nazo hazidumu
Uleusemi usitamani utahiri wa mtuuuu ndohayaaa
Shame on theme they're jealous of africans leave our rich congo 🇨🇩 men in peace we love you papa congo 🇨🇩 voice
Hio Ni njia moja wapo yakutafuta riziki . But lets say ajali kazini. Sorry brother Mandala wacongo mnasafari ndevu Sana.
Na hayo madawa wanavyo yakamata hua wanayaweka wapi 😢
Wafanyabiashara wengi wanauza unga ila wanazuga kwenye biashara za kawaida
WEWE UNAJUA KILO 200 NI BEI GANI..? HUYU NI MPAMBANAJI AJALI KAZINI ....ATATOKA TU
Watu msipewe pleasure. Na maisha ya watu, michongo wanayo piga sio poa 😅
Aisee tukiwaambia watu msitamani maisha ya watu
Aisee yaani na juna watu wamenunua na kitanu chake😮🙄
Ushenzi mtupu na mke lzm anajua
Cjui kwan mm ur cwaamini awa madon awa ni mitiani tu bora nile viporo vyangu nikisave nifanye yangu bila kujionesha period.
Siku za mwizi ni 40 kisha 41 anashikwa
Duuh hatari saaana
RIP AKIRUD HUYU ATAKUWA KAPYKU😂😂😂
Hii biashara matajiri wengi wanafanya sema mpaka wakamatwe nimpaka wachomane
Hao watafute influensa mwingine tuu sababu huyo ndo hatoki jela..tena inchi yenyewe Spain!!! Waje tuwape Dotto Magari tuu😆
Ukitaka utajiri kwa njia za halali utakufa maskini utaishia kupata hela za kodi 😂 tuu
Ni haramu lkn kwa mchuuzaji na muuzaji mdgo!!!!??? Kwann anayezalisha asiwe mtuhumiwa namba moja?
Nimeview kupitia nyimbo za fally ipupa elik mandara ndeko nangai congolise
Hela halali n ngum sana,
Mwamba kapambana manake hata kufanya hivo tu kunahitaj upambanaji, ILA SIO MFANO WA KUIGWA
kwisha habari yake
Za mwizi arobaini daah 😢
Alimlipa fally ipupa milion 100 kwa ajili ya wimbo wa maria pm
Ile ngoma ni kali sanaaa aise
kawaida iyo mda wowote piga dili linaloweza kukufanya kua milionea usiogope mapito ya watu wengne
Kwenye hicho kitabu ameandika kama alikua anauza ngadu hahahaha
Bado tajili wetu chifu Godlove 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂IPO siku
Haha😂😂😂😂😂
Watu HAMKOSI LA KUSEMA 😂
@FxL_87 Kila mtu atachanganyikiwa wetulia 😂😂😂😂😂
The Lord cartel
Ngojeni siku akamatwe GSM ndo mitakubal janja janja zake atembee na cheni yake ya mheshimiwa (……….) msahafu…..