Hakuna sababu ya kupigana na Rwanda. Kagame dawa yake iko Kenya na Tanzania pekee kwa kumwekea vikwazo vya kiuchumi sababu ndiyo nchi pekee zinazoweza kuidhoofisha.
Familiya ya sns muki omba musi sahau kuiombeya itchi yangu congo sababu toka djuzi mliyo wa risasi tume zingirwa hakuna sehemu ya kukimbiliya watu wengi wa me poteza maisha eeeee Mungu ikumbuke itchi yangu congo 😢😢😢😢😢😢😢
Nyie wa DRC hamjielewi,iweje nchi yenye raia wachache kama Rwanda awatishe kiasi hicho!?tatizo uoga wenu na kutokuwa na uzalendo Kwa nchi yenu ndio vinawaangamiza,kwani kikulacho ki nguoni mwako
wakati mwengine siyo kuongeya jo inakufanya uwe mtu na kimya nayo nijibu, Congo inatakiwa kujua kama akutakuwa na amani kwakulalamika lalamika amani tutajipa wenyewe, na eshima abailombaki ila nikuilazimisha, ni wakati wakuilazimisha eshima, inasikitisha sana kuona ka Rwanda inasumbuwa Congo sana.
Upo nyuma sana unaonekana wenye wapo nyuma ya rwanda ni wanani, acha nikupe ukweli rais tshilobo aliwa taka kuingia rwanda nchi za hulaya wali muhonya eti akimima tu kitakacho mkuta asiseme wameonewa wanyarwanda ni watumwa wao wanaho tumia na nchi zaulaya wakaki waukoloni wazungu awakutaka kuhondoka DRCongo walihodoka kwa shingo upande na wao ndo walitengeneza M23 maana vita vya kigali wanyarwanda wengi walikimbia Congo naapo ndo walipata nguvu ya kuwaweza waCongo yani walitumia wakimbizi nahawa wanyarwanda ndio watu waliyo leta vita Congo waCongo walikuwa awajuwi kupingana ila walikuwa wanajuwa kuwinda tu
Nchi ya Congo ni kubwa sana pia vikundi vya waasi ni vingi na kila kundi linapigana kutaka madaraka.yaani ni shida Mwenyezi Mungu awasimamie Ndugu zetu wa Congo
Kwani wao hawana jeshi?...kongo walaini sana yani hadi aibu pumbavu zao....afu kaka tunaomba ututengenezee habari sisi kama vijana wakitanzania..serikali yetu ituruhusu tufanye maandamano ya amani...kwa ajili ya rais wetu kipenzi wa africa nzima Captain ibrahim traore💪
Ndugu yangu, mbona una sema kama mtoto mdogo (wala sikutamani Ku tumiya hili Neno mubaya, samahani). Ndugu @AFRICA_D669. Ni sababu tuh hu fwatiliyi vizuri habari za kongo. Serikali yetu ya kongo si kwamba hatuna nguvu, nguvu tunayo kwa kila viwango zidi ya Rwanda. Kongo ni Jeshi la 8 lenye nguvu barani Afrika 2024, na hilo tuh wanajaribu kufikiria, sababu kwa wanaojua ukweli wa siri za silaha za kongo kwasasa kongo inaweza shika namba 5 barani Africa. ukilinganisha na Rwanda inayo sapotiwa n'a umoja wa ulaya na America kwa Siku zilizo pita, mbele ya Donald Trompe kuingiya madarakani. kwa maneno ya Rais Félix Tchisekedi, DRC ilikuwa inakwenda kukabiliana na Rwanda, lakini hadi wakati huo DRC ilikuwa na hofu tu na sehemu za Umoja wa Ulaya na Amerika, kwa sababu mpaka sasa hatujui mengi kuhusu sera ya nje ya Donald Trump. fikiria kombora la ardhini hadi angani walilo nalo Wanyarwanda linatoka wapi ikiwa sio Umoja wa Ulaya na Amerika pekee
Bwana Sns hiyo situation ya Congo Iko very complicated!! Rwanda hausiki direct kwenye hiyo vita .. maana hii m23 ni mpya yenye mchanganyiko wa wacongo wanaozungumza kinyarwanda, na makabila mengine!! Tshekedi pia alimsaliti colonel Nanga.. ambaye ndo aliyehusika kumweka madarakani !! Lakini jeshi na intelligence ya Congo Ina usaliti!! So Kabla hujanyoosha mkono Kwa kagame viongozi wa Congo wajicheki kwanza...!! Huwezi kulaumu Kila siku Rwanda aniaba madini haache kuishi kwenye. Hichi kivuli..
@SNS inajuwa ukweli lakini inaficha kila kitu kama ume lipwa juzi🤔 siwewe ulipost watanzania wakipigwa kama umbwa wakati wa michezo 😢 sasa ume jeukia RWANDA ninani ali wahi kufanyiwa kitu kibaya akiwa RWANDA???
@@MakameMbaruku-lz1jzWanasiasa wanafaidika na vita. Shida inaanzia hapo. Hata hapa Tz viongozi wetu wangekuwa kama wakongo wale magaidi wa Msumbiji wangekuwa wanatusumbua hadi leo kule Mtwara ili gesi ichotwe kiulainiii. Na sisi tungekuwa tunalialia kama viongozi wa Kongo wanavyolialia sasahivi badala ya kupambana
Kama hamjui kaaa kimya Rwanda Rwanda 🇷🇼 kwani watu wa kigoma wakipigana na tanzania watakua ni watu wa Burundi Hivi wa haya or watu wa bukoba wakipigana na Tanzania watakua ni Uganda Congo inawachukia watusi wa congo then wana laumu Rwanda n’a m23 y’a sasa imetoka Uganda na hamsemi Mnapiga kelele tu
Swala amamshitak simba mdogo kwa simba mkubwa..Hao wawili ndo chanz cha wakong wenzet kutesek n afadhal tungesimam kam waafrik ili tujue nan ndo shda ili tumalz hili ..watoto ,mama zet,baba zet wanatesek na kufa bila hatia .Mungu awalinde ndug zet😢😢inaum san
Kwani wale wanyamlenge (wacongo)wanaozungumza kinyarwanda hawana haki ya kulindwa mbona wanauwawa na vikosi vya serikali ya congo hapana anae tetea mi ninaona kagane yupo sahihi kuwalinda
Hakika vita ni ufundi na ujuzi wa kipekee, Rwanda kanchi kadogo kuliko hata mkoa wa Dodoma kina isumbua Congo (Nchi kubwa mara 3 ya Tz na watu zaidi ya 100M) mmmh!!! Vita ni sanaa, vita ni ujuzi...
Tatizo serikali ya Congo ilikata kuwatambua Wanyarwanda Mashariki Mwakongo Ambao wamekua hapa tangu enzi za Mababu,kisaa tu migaka iliyo twngenezwa na wa koloni, sasa lazima wapiganie haki yao
Sky, operation ya 2013 iliongozwa na Tanzania,M23 walipoteana kila mtu alishika njia yake. Natamani kitu kama kile kifanyike tena Wakongomani waishi kwa amani.
DRC ni nchi dhaifu sana hebu fikiria nchi ndogo kama Rwanda inaivamia DRC halafu wanaishia kulalamika tu kwanini wasitangaze vita na Rwanda ili ipigwe Nina hakika Rwanda ikipigwa huu ujinga hautakuwepo amini adui wa mwafirika ni mwafirika mwenzake
Yan waafrica n shidah badala mkae mjadili na kusuhisha mnaend kwa wazungu et wapigane hao an n kam litoto lnaend kulia kwa babayake 😅😅😅.. alafu muanze kupigan mseme wazungu ndyo sababu
Tatizo kongo maneno mengi vitendo zero Rwana ni nchi ndogo sana ila inawasumbua Amini alipo jaribu kunyoosha mkono Kwa Tanzania ilikuwa ndio mwisho wa Utawala wake alikimbia sasa Rwanda ni nani mbona jeshi la Tanzania lili wasambaratisha hao na walikimbia jeshi la kongo ni dhaifu.
Nilikua nasubiri habari hii kwa hamu kubwa Asante sns ❤ Mungu walinde wa Kongo
Asante sana kaka sky kwa ombi langu Naona mmelifanyia kazi🙏🙏🙏
Mwenyezi mungu awafanyie wepesi na suluu
Mungu aibariki Rwanda 🇷🇼 ❤
Hakuna sababu ya kupigana na Rwanda. Kagame dawa yake iko Kenya na Tanzania pekee kwa kumwekea vikwazo vya kiuchumi sababu ndiyo nchi pekee zinazoweza kuidhoofisha.
Umesema kweli, jamaa mbaya sana, hakuna kitu kutoka bandalini kwenda au kutoka
Hilo linaloendelea Rwanda Inajua Kila kitu na ulaya na marekani zinafurahia hili ili wakachukue rasilimali za Kongo
From 🇧🇮 Mimi naona wa zungu watoke congo wote njo patakuwa amani
Rwanda anaiba madini
@@Mumewangusana
Shida ya Congo ni Mkongomani mwenyewe na hasa Viongozi wa ngazi za juu
@RuganintwariJeanJacques hawapendi inchi yao wanafki wamoja wao
Nikweli
God give US Peace and love forever between
No peace without price 😂
Poleni sana Wakongoman, you don't deserve this
Familiya ya sns muki omba musi sahau kuiombeya itchi yangu congo sababu toka djuzi mliyo wa risasi tume zingirwa hakuna sehemu ya kukimbiliya watu wengi wa me poteza maisha eeeee Mungu ikumbuke itchi yangu congo 😢😢😢😢😢😢😢
Pole san 😢😢
Polen Sana
Pole sanaa.
Poleni Sana amani itarudi congo Mungu yupo nanyi
Poleni sana, tunawaombes
Kiukweli brother uko vzr sana sana kwenye habar zako hata mm nilikaa kusubii taarifa hii kutoka kwako
Iyi abari nilikuwa nayisubiria apa ❤
Mwenyezi mungu awafanyie wepesi na amani❤
Watashauri sana mpaka watachoka yan apo Congo anafaa apgane vita Kamil yan aingie Rwanda wapgane
Kweli kabisa
Ndo utakua mwisho wa Congo
Umeongea point ila sasa tatizo jeshi la congo wapi
Wameshindwa na kundi la M23 nchi ya Rwanda ndo wataiweza?
@@NyirantokiZahara m23 ni Rwanda na uganda we mbwa
Bg up brother hampoi
Mwenyezi mungu awafanyie wepesi na amani
Rwanda inatamaa sana
Vazungu ndo wanaosapoti vita hivi
@@Kujason12👏🏿👏🏿👏🏿
Kagame muuaji
@@Kujason12Kwa nn Kagame a support wazungu? Kibaraka
Asante kaka
Putin ingilia hapa
Dawa ni congo kupigana vita ya kweli na Rwanda
Wakongo waoga😂😂😂
@@LolandmwantonaWaite Burundi iwasaidie😂😂😂
@@Lolandmwantona waoga sana yni
Wataweza wa congo kupigana na Rwanda?
Dawa ni mazungumuzo
Achana na kuiombea vikwazo rwanda angali unasababisha vifo kwa wakongo wenye asili ya nyamulenge
Kagame sio president apana atakufa bibaya sana iyi mwaka
Kabisa
Nyie wa DRC hamjielewi,iweje nchi yenye raia wachache kama Rwanda awatishe kiasi hicho!?tatizo uoga wenu na kutokuwa na uzalendo Kwa nchi yenu ndio vinawaangamiza,kwani kikulacho ki nguoni mwako
@@YamunguMatamya sio wacongo ni viongozi wa congo. Hasa viongozi wa jeshi. Wana uza inchi kwa rushwa
Bora awahi kwa punt
UN YA NN kwani Africa hatujiwezi?
Ivi congo wezetu munashida gani iv iyo UN munaiyamini sana nawakati iyo ndio inayo, asisi majanga.
Kagame anawaibia madini
Ila huyo bwana kasongo huwa anajiingiza kweny mambo ambayo hayamuhusu😂😂😂
Mwaka juzi alikemea mapinduzi ya Niger. Nikikumbuka nachekaaaa😂😂😂. Ila sasahivi yéyé ndo Rais wa EAC angalau hili linamuhusu
Tayari mji wa goma umeshacukuliwa na m23
😢toka lini jmn
Sio poa Africa
Yaan viongozi wa Afrika duuuh ni kama vituko
Africa mashariki mtoeni raisi mwenye kuleta Vita kanda hii
Dawa Kenya na Tanzania kumuwekea vikwazo Rwanda hamna kutumia bandari zetu, hamna kinachotoka wala kuingia, atie akili
Kagame anatumika vibaya
Bila monusco kuondoka nchini kongo vita havitokaa vihishe
Congo inafaa iwafukuze hao wanajeshi wa ummoja wa mataifa
It’s GOMA 😢
M23 🔥
Tishekedi nenda urusi ukachukue wgnar PMC waje kufanya shuhuri hapo
wakati mwengine siyo kuongeya jo inakufanya uwe mtu na kimya nayo nijibu, Congo inatakiwa kujua kama akutakuwa na amani kwakulalamika lalamika amani tutajipa wenyewe, na eshima abailombaki ila nikuilazimisha, ni wakati wakuilazimisha eshima, inasikitisha sana kuona ka Rwanda inasumbuwa Congo sana.
Wewe kweli nimcongo mwandiko wako tu unadhibitisha 😢
Rwanda apigwe mwizi tu huyu. Anaiba madini
Nawazungu wanaiba
Asante san kutupa habari ya congo kunachafuka huko goma kabisa
Waafrika wanauwana wenyewe kwa wenyewe very sad
Raisi wa Congo yupo kimaslahi zaidi yy amesha mjuwa aduwi yake kwa nn asimalizie siku zote anacheka nae
Mungu tunaomba mchukue kagame ndo chanzo cha matatizo kongo
Upuuzi tu na ujinga
DR Congo nchi kubwa lakin inasumbuliwa na Rwanda... Kweli ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi😊
Upo nyuma sana unaonekana wenye wapo nyuma ya rwanda ni wanani, acha nikupe ukweli rais tshilobo aliwa taka kuingia rwanda nchi za hulaya wali muhonya eti akimima tu kitakacho mkuta asiseme wameonewa wanyarwanda ni watumwa wao wanaho tumia na nchi zaulaya wakaki waukoloni wazungu awakutaka kuhondoka DRCongo walihodoka kwa shingo upande na wao ndo walitengeneza M23 maana vita vya kigali wanyarwanda wengi walikimbia Congo naapo ndo walipata nguvu ya kuwaweza waCongo yani walitumia wakimbizi nahawa wanyarwanda ndio watu waliyo leta vita Congo waCongo walikuwa awajuwi kupingana ila walikuwa wanajuwa kuwinda tu
Congo aipigani na rwanda pekeake
@@EcaStephane ata kama wanashindwa kupigana nao?
jifunze zaidi, wale sio Rwanda ni France and others
Lengo ni kuikata DRC iwe nchi 2, hiyo nchi mpya iwe mali yao, upande wenye mali nying wa Goma
Kwani DRC jeshi lao lipo je?yani taifa lenye raia zaidi Million 100,ukose jeshi la kupigania nchi kwa kataifa kenye raia million 20?
Jeshi wapi hamna kitu
Rwanda ina Jeshi pako ni wachache wa Congo mshahara awana
Nchi ya Congo ni kubwa sana pia vikundi vya waasi ni vingi na kila kundi linapigana kutaka madaraka.yaani ni shida Mwenyezi Mungu awasimamie Ndugu zetu wa Congo
@happynesbaemuhappynes8813 umeongea ukweli
Hii inaweza ikiwa njia mbaya kwa raisi kaga
Kwani wao hawana jeshi?...kongo walaini sana yani hadi aibu pumbavu zao....afu kaka tunaomba ututengenezee habari sisi kama vijana wakitanzania..serikali yetu ituruhusu tufanye maandamano ya amani...kwa ajili ya rais wetu kipenzi wa africa nzima Captain ibrahim traore💪
Kabisaaa. Huyu jamaa ni Baada ya Magufuli 😢
Yes🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@JonathanNelson-l8h nakubal
@@AnnastaziaKitilima amin amin
Ndugu yangu, mbona una sema kama mtoto mdogo (wala sikutamani Ku tumiya hili Neno mubaya, samahani). Ndugu @AFRICA_D669. Ni sababu tuh hu fwatiliyi vizuri habari za kongo. Serikali yetu ya kongo si kwamba hatuna nguvu, nguvu tunayo kwa kila viwango zidi ya Rwanda. Kongo ni Jeshi la 8 lenye nguvu barani Afrika 2024, na hilo tuh wanajaribu kufikiria, sababu kwa wanaojua ukweli wa siri za silaha za kongo kwasasa kongo inaweza shika namba 5 barani Africa. ukilinganisha na Rwanda inayo sapotiwa n'a umoja wa ulaya na America kwa Siku zilizo pita, mbele ya Donald Trompe kuingiya madarakani. kwa maneno ya Rais Félix Tchisekedi, DRC ilikuwa inakwenda kukabiliana na Rwanda, lakini hadi wakati huo DRC ilikuwa na hofu tu na sehemu za Umoja wa Ulaya na Amerika, kwa sababu mpaka sasa hatujui mengi kuhusu sera ya nje ya Donald Trump. fikiria kombora la ardhini hadi angani walilo nalo Wanyarwanda linatoka wapi ikiwa sio Umoja wa Ulaya na Amerika pekee
Rwanda Waondoe jeshi lake congo au tuingie huko
Bwana Sns hiyo situation ya Congo Iko very complicated!! Rwanda hausiki direct kwenye hiyo vita .. maana hii m23 ni mpya yenye mchanganyiko wa wacongo wanaozungumza kinyarwanda, na makabila mengine!! Tshekedi pia alimsaliti colonel Nanga.. ambaye ndo aliyehusika kumweka madarakani !! Lakini jeshi na intelligence ya Congo Ina usaliti!! So Kabla hujanyoosha mkono Kwa kagame viongozi wa Congo wajicheki kwanza...!! Huwezi kulaumu Kila siku Rwanda aniaba madini haache kuishi kwenye. Hichi kivuli..
Umeongea ukwel
Kweli kabisa shida ni usaliti mpana ndani ya serikali na jeshi kwa ujumla yani hii vita ngumu sana
@JonathanNelson-l8h ningumu kwel
Mbwa wewe. Kabila gani Hilo la congo inayo ongea kinyarwanda
@EstaJeanette-nk7fj hahaha !! Acheni ubaguzi!! Mimi nakwambia hali halisi unakataa ukweli.. endeleeni na Mapambano yetu ya msituni hamtakaa mshinde
Dawa kuleta amani siyo ivyo
Kagame mwizi kama wezi wengine, huku msumbiji tuna kufa kwa sababu yake
UN Wanafiki kweli anaezamini M23 anajulikana kwa nini bado yupo
Kilichomkuta Idd amini alivyoichokoza Tanzania ,, Congo Dr wafanye hivyo pia....
Huyo ruto nimnafki
Sasa wao wapge moja kwa moja makombora kigali Wala wasipganie goma wao wafurushe mabomu yaende kigali
Sio kweli kama ingekua kweli bhasi congo wangeingia rwanda kiumane
Rwanda wananini jamani kam wanashida ya arizi siwanunuwe allah awasadi Dr
Hiyo rwanda na usafi wake huo itaharibika kabisaa kwa uchokosi
Si mumpige kagame anawashinda nn
Punguza sauti. Nchi ngapi zinaisaidia Congo lakini zinapigana mpaka zinajiondoa zenyewe
@@RuganintwariJeanJacques hakuna inchi zinazo Saidia.hao ni peacekeepers. Wanao pigana ni wacongo tu.
Sauti Kama ya milad ayo
WAKONGO ....WAOOOGA M23 WANAWASUMBUAJE
Hivi kwani nchi ya Congo ya watu million 102 haina jeshi la kupiga hako ka Rwanda watu million 13 😳😳
Ndo nashangaaa ndugu yangu
Tatizo viongozi wetu wapimbavu sana kaka vita ya congo no sias tu
@SNS inajuwa ukweli lakini inaficha kila kitu kama ume lipwa juzi🤔 siwewe ulipost watanzania wakipigwa kama umbwa wakati wa michezo 😢 sasa ume jeukia RWANDA ninani ali wahi kufanyiwa kitu kibaya akiwa RWANDA???
Rwanda sio watu wazuri wana Roho mbaya huwezi furahi wacongo wanavyo kufa na kuhangaika ipo siku Mungu atalipa Rwanda haya mabaya anayofanya
RAIS WA CONGO BRAZZAVILLE SASOU NGWES KAOMBA MSAADA URUSSI NA URUSSI KAMPA WANA JESHI ASAIV PAKO SHWALI NA ANAJIUNGA NA BRICKS.....
Wa kongo wenyewe wanataka M23 musitu shauri muachane na sisi
Raisi wa Kongo. Aeleweki ata mkuuu wa majeshi yaan apo ungesikia tuuu. Kimeumaaaa🇹🇿 alf kazi imekwishaaa penda sana ma country uraaaaaaa
😂 inchi ndogo kama mkoa wa kivu ndo unataka kushindanisha na inchi kama congo.?
WAKONGO WANALALAMIKA KAMA MADEMU
Congo ndo inchi pekee haijawai pata uhuru toka ukoloni
hakuna ukweli hapo wabaya ni hao washenzi wakoloni wanasababisha matatizo
Rwanda wanatumiwa
Wa congo please plsease jiungeni nende mukawafiny awo washenzi ona jinsi wanatesa wa maman na watoto awo wizi.
waafrica tunalana wenye kwa wenyewe
rwanda rwanda nchi gaidi
Lakini Congo nao ni mafala2 kwanini wasiungane nnchinzima wakapigana na Rwanda wanashindwa kutowa ata migodi mitano wakanunua ata wapiganaj
Hilo nalo neno majeshi y kukodi yapo mengi mno
@@MakameMbaruku-lz1jzWanasiasa wanafaidika na vita. Shida inaanzia hapo. Hata hapa Tz viongozi wetu wangekuwa kama wakongo wale magaidi wa Msumbiji wangekuwa wanatusumbua hadi leo kule Mtwara ili gesi ichotwe kiulainiii. Na sisi tungekuwa tunalialia kama viongozi wa Kongo wanavyolialia sasahivi badala ya kupambana
Taratibu mpaka tutaifikia vita ya tatu ya Dunia maan saiv amani imepotea
Kwanini kagame anafanya hivi apinduliwe tu
Tatizo congo usaliti mtu awez toka nchi tofaut akaja kushawish baadhi ya raia kujiunga na kupigan na nchi yako
Hawana uzarendo
Wakongo wajipiganie hawa UN wafukuzwe
Kama hamjui kaaa kimya Rwanda Rwanda 🇷🇼 kwani watu wa kigoma wakipigana na tanzania watakua ni watu wa Burundi
Hivi wa haya or watu wa bukoba wakipigana na Tanzania watakua ni Uganda
Congo inawachukia watusi wa congo then wana laumu Rwanda n’a m23 y’a sasa imetoka Uganda na hamsemi
Mnapiga kelele tu
Hakuna kabila hio Congo bna acha uzushi
Kwa nn hakuna kabila hiyo Congo. Ww kama nani unagea hvo? Ww mwenyewe unajijuwa kwanza.@@sonnyr1899
Mh!
@@sonnyr1899 wanyamulenge ( Banyamulenge) ni kabila la baba ako au
Hakunaga watusi Kongo
Banyamulenge ni njia ya watusi kuingia kongo ili waonekane ni Rai wa kongo
Mjinga ww kaa kimia tu
Swala amamshitak simba mdogo kwa simba mkubwa..Hao wawili ndo chanz cha wakong wenzet kutesek n afadhal tungesimam kam waafrik ili tujue nan ndo shda ili tumalz hili ..watoto ,mama zet,baba zet wanatesek na kufa bila hatia .Mungu awalinde ndug zet😢😢inaum san
So majeshi kutoka nchi zote za Africa wanaoendaga huko wameshindwa waasi?
Watu wazungu wayende nawenyewe
Nawaombea amani awa wanajesh kama wanapenda kupigana wangetafuta uwanja wawkapigana wanajesha kwa wanajesh,make wanao zurika ni watu wasio na hatia
Kwani wale wanyamlenge (wacongo)wanaozungumza kinyarwanda hawana haki ya kulindwa mbona wanauwawa na vikosi vya serikali ya congo hapana anae tetea mi ninaona kagane yupo sahihi kuwalinda
Viongozi wa congo wanaharibu nchi ya wenyewe
Those Congolese waache maneno na malalamiko kila siku,,,kama wameshindwa Vita waseme kazi kukata viuno tuu
Congo mjipiganie, in 2010 Alshabaab waliamua kuvamia Kenya, ilibidi Kenya watume wanajeshi washambulie kismayu na Mugadishu ndio Amani ipatikane.
Africa bwana nani adhibiti nani? Bado Viongozi wa Africa wamelala
Hakika vita ni ufundi na ujuzi wa kipekee, Rwanda kanchi kadogo kuliko hata mkoa wa Dodoma kina isumbua Congo (Nchi kubwa mara 3 ya Tz na watu zaidi ya 100M) mmmh!!! Vita ni sanaa, vita ni ujuzi...
Shida ni misitu minene sanaa
@@bokimmwamba2322 sasa misitu hawana majeshi ...jeshi huwa halijali misitu
Congo achani ufala ingieni vitani na rwanda moja kwa moja ...jpt
😂😂😂😂 wameshindwa M23 wataweza Rwandan 🇷🇼❤️❤️❤️❤️❤️🙌
Viva m23
Kumamako
Congo kwanza afukuze weupe wote n U.N afu ndio a dili n Rwanda nje y hp hawez kushinda vita.
UN ndo wanaiangamiza Congo pamoja na viongoz wao wajuu maan wao wanafaidik huku Raia wakiwa wanaumia
Wanashindwa kuelewa kuw rwanda ana wakimbizi kutok ulaya na hawajui malengo ya rwanda kupokea wakimbiz n nn
Ruto anajikita Trump au…
Tatizo serikali ya Congo ilikata kuwatambua Wanyarwanda Mashariki Mwakongo Ambao wamekua hapa tangu enzi za Mababu,kisaa tu migaka iliyo twngenezwa na wa koloni, sasa lazima wapiganie haki yao
Ulisha sema ni wanyarwanda sio wacongo. Waende kwao rwanda. Unaogea kama unaumwa matako
@ wanyarwanda ni Kabira kama utakavyo sema Wamasai(Kenya, Tanzania) wmakonde( tqnzania mozambique)
@Gavi_255 . Wanyarwanda sio kabila wewe mbwa
@ huna research ni matusi ndio unajua
Mm kiukweli rwanda 🇷🇼 😊😊😊siipendiii kisa kagame gaidiiii
Ebu tumia akili wewe eti huipendi Rwanda Kwani ukiipenda utaipa nini?
Kanchi kadogo lakini kagomvi sana,sio jirani mzuri🇹🇿
@@habimanaamaniIna jaa laana ya damu
@@peterrulagora7403Tatizo ni umaskini wanaishi kwa kuiba mali ya DRC
@@peterrulagora7403 watata sana hao viumbe😀😀
Kasongo