USIKU WA MAULIDI, MSOMAJI AWA KIVUTIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @RamadhaniRugemalira
    @RamadhaniRugemalira 29 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe kauli thabit, na alifanye kaburi lako liwe miongoni mwa mabustani ya peponi.
    Aamin Ya Rabbi.
    🤲🤲🤲

  • @zamilinolu4968
    @zamilinolu4968 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuweke mahali pema peponi

  • @hassanmaftah2912
    @hassanmaftah2912 2 ปีที่แล้ว

    Allah akupe kauli thaabiti alhabeeb daruwesh Qassim ... Allahumma aamiin

  • @walyamwambona.fanya.yako.27
    @walyamwambona.fanya.yako.27 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu akutunze ustadh

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy หลายเดือนก่อน

    Allah atakufanyia wepesi kaka

  • @FatumaMwaluhanga-ui3kl
    @FatumaMwaluhanga-ui3kl 7 หลายเดือนก่อน

    mungu akuifadh

  • @sirajimohamed7801
    @sirajimohamed7801 3 ปีที่แล้ว +1

    Swalu allaaa rasuulilah. Wale wenzangu wa fani hizi tujuane.

  • @issahswahibu6099
    @issahswahibu6099 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akukutanishee na vipenzi vyako

  • @FatumaMwaluhanga-ui3kl
    @FatumaMwaluhanga-ui3kl 7 หลายเดือนก่อน

    utam mtupuuuuuuuuuuu raha yamaulidiiiii

  • @mariamahmad3989
    @mariamahmad3989 2 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiwn
    Alla alifanye kabuli lako kuwa miungoni mwa viwanja vya pepo shemeji yangu kipenzi😭😭😭 kweli kizury akidumu jmn

  • @ahmedmohamed-wm5ec
    @ahmedmohamed-wm5ec 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe pepo

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Mashaallah

  • @salmamgumba5888
    @salmamgumba5888 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainnalillah rajuin allah akujalie khery ktk kabri yako

  • @saddyclassicfashion9577
    @saddyclassicfashion9577 3 ปีที่แล้ว +1

    Wallwahi raha🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rehemashabani6135
    @rehemashabani6135 4 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainah ilayh rajuun Allah akupe kauli thabit

  • @smartxeller9503
    @smartxeller9503 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @mahijakipingu8121
    @mahijakipingu8121 3 ปีที่แล้ว +1

    ManshaAllah

  • @ramadhanseif7859
    @ramadhanseif7859 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah ajaalie sauti hio isome quran instead 🙏

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Kwani kumsifia mtume ni kosa

  • @zuberifikirini2519
    @zuberifikirini2519 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @abdalamhango4628
    @abdalamhango4628 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah Wainaa ilayh Rajiuuun
    Allah amsamehe madhambi yake

    • @shamsiaabdul8679
      @shamsiaabdul8679 3 ปีที่แล้ว

      Amiin Amiin Amiin
      Na ampe pepo kwa baraka za mahaba ya kumpenda mtume Muhammad

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 3 ปีที่แล้ว

    Maishalwah💕💕💕💕💕🤲🤲🤲

  • @allyyuzo9382
    @allyyuzo9382 4 ปีที่แล้ว +2

    mashalah

  • @ibrahimismail713
    @ibrahimismail713 3 ปีที่แล้ว

    sub-hannallah

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 3 ปีที่แล้ว +1

    Allwa akibaru

  • @mkudedungundo9665
    @mkudedungundo9665 4 ปีที่แล้ว

    Allah akupe kauli thabit

  • @mzeewashamba7657
    @mzeewashamba7657 4 ปีที่แล้ว

    Ashaddu bidaa!

  • @asanathmatondane7540
    @asanathmatondane7540 4 ปีที่แล้ว

    Sitaki kuamin

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 ปีที่แล้ว

    utakuta hapa kafanya mazoez kabla ya tukıo cıo ndan ya mıez 2/3 .
    kwa mda huu kama angesoma quran kila cku 1 kurasa moja bas angekuwa anajuz 2/3 kichwani.
    mara mwaka mtu anakuwa Haafidh wa wa quran lkn wapi kaz kupiga vigoma na kutaka kuonekana mm na weza , nasaut nzur cjuı yule hiv n.k
    yaaaan ndıowaislamu tumefeli hapa tu
    unakuta mroro anasoma madrasa mpka anafıka drs 7 au form 4 hata juzu tano kıchwan hana anahıtımu elimu hii ya mazingira lkn quran hajahetimy hajawa haatımu,
    sasa hii n shdaaa sana,
    Swali:
    Hıvyo swahaba gan liwashahi famta hivi
    au Swahaba yupi alikuwa anakhaaanin hiv ktk majumuıko ya watu mchangamyıko
    Au
    wapi maswahaba walkusanyıka na kufanyamatukıo kama hıl
    ww umejıfunza wapi.
    sasa ntawaambia asil ta hiv vitu
    n Sufiyu wa leo hii n miziki ya kiaranu huku uarabun ndıo mızıkı tako kama cc tz tuseme singeli. ....... Allah atınusır .
    Mtu kama huyu ukimwambia unajitihada zip juu ya mashekh walifungwa waislamu wakına mama kunynyaswa kukıfungulia hodpitalin na madaktar wa kıume watoto wa shule kuvulowa majuba ıjumaa iwe mapumzko haya tote kwa mtu kama huyu yatakıwa öagen kwanza atakushangaa kumpa fıkra ksma hıv!!
    7b c ameshaish kilristo vitendo vyake vypte n kıkrsto mfano,
    -kuzıka ataımba kama waimnavyo wakrsto
    -Mazaz ya mtume watapiga ngoma ba cnanda kama pasaka / c mass ta yesu
    -misikiti watapiga mgoma kama qakrsto kanisan vınanda
    - kubadılla kwa namba ta mwaka 2020-2021 watatumiana salam za mwaka kama wakristo.
    yaaan ndıo hivyo na hii yote Mungu amesema ndan ya quran 2;120. rejea hii aya.

    • @razaqrashid6172
      @razaqrashid6172 3 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo Bora aimbe bongo fleva sio acha wivu mjinga ww

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Kwani nani kakwambia hasomi Quran pia.yani mawahabi viherehere vyakuhukumu watu tu

  • @howardbritish3624
    @howardbritish3624 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah