Mashallah mashallah mashallah alhamdulillah hongera sana mdogo wangu allah akusimie katika kila hatua ya maisha yako na sisi allah atujaalie atuongoze ktk njia iliyooka atujalie tuwe miongoni mwa wenye kihifahi kitabu chake kitakatifu cha quran tufate maamrisho yake na tuache makatazo yake allah atujaalie quran iwe muongozo wetu nuru kwetu shifaa kwetu muombezi wetu amiyn amiyn amiyn yaa rabbi ukhti thaurat kutoka zanzibar
Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿inshaallah huyu mtoto wa kike mazali amehifadh Kitabu cha Allah Qur'an akitoka University atakuwa na elimu anayoitarajia doctoro inshaallah 💯👌
Maa shaa allah Mabrook mabrook Hatuwezi kushangaa Bint Sumaya kufaulu Masomo yake ya Dunia Maana kama unaweza kuhifadhi Quran Kila kitu kinakuwa rahisi kwake Hongereni sana wazazi wake pamoja na walimu wake
Mash Allah 😢😢😢furaha yangu imenifanya nitoke machozi hii ndio dini ya haki Allah atusimamishie uislam mpaka mwisho wa uhai wetu
😢😢😢😢😢😢 ametakasika mungu
Ammin
Ameen
Mashallah Allah akulinde mtt wetu pamoja na walimu wako❤ from 🇰🇪🇰🇪
Mashaalah, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏👏 tumejitahidi MTOTO, Hongera sana na MWLM wako, 🙏
Hongera Baba yetu Kaporo, na Team yako yoooote, Wallah mmenipa Hamasa kubwa in sha Allah, Allah atatufanyi wepes sote...
MashaAllah, congratulations from Kenya 🇰🇪 to our neighbour.
Mashaallah allah akulinde mama
Mashallah ❤❤❤ Allah akusaidie usije potea njia uwendelee na kuindangaza qur an
MashaAllah❤❤ from Kenya 🇰🇪
Mashallah Tabarakallah. Allah awajaalie watoto wetu wawe wahifadhi wa Quran
Mashaa Allah
Mwenyez Mungu amjaalie kila la kila la kher b Summaiya kwa ushind n nawapa hongera walimu zake kwa kazi kubwa mnayoifanya.
Ma shaa Allaah Allaah Akuhifadhi mwanangu Amiin
Hongera sana binti Allah akufanyie wepesi kwa kila Jambo lililo jema Amina
Maashaallah barakallah fiikiy mtoto mzuri ❤sumaiya.Ustadhi ALLAH akulipe ujira wako kwa KAZI nzuri 🤲
Mashallah tabaraq Rahman hallah atuongozee watoto wetu wade wenyekuifadhi qorakhan Tukufu inshallah
Mashaala mdg wangu mungu akutangulie na akuzidishie ❤
Mashaallah tabaraka Allah nibakhti mkubwa kukanyaga inchi ya kigeni kwa ajili ya Allah Allah awahifadhi watoto wetu
Mashallah munge atupe vizazi kama hivi vyenye kumpenda mungu namtume wetu muhammad❤❤❤❤
Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah. Allah akuongoze bint yetu❤❤❤❤
Masha-alah barakah alah kheir insha-alah alah akufanyie wepes kila penye uzito insha-alah tunakupenda kwa ajili ya alah ndugu yetu Karla iman
Allahumma aamin
MASHA ALLAH QUR'AAN ndio kilakitu chakula shanafsi
Mashaa Allah
Mkwe hujambo
@@AshouHumaid ALHAMDULLH mkwe
@@faizanassor6336 nimimi nipe mwanao mkwe
Mashallah hongera
Mashallah mashallah mashallah alhamdulillah hongera sana mdogo wangu allah akusimie katika kila hatua ya maisha yako na sisi allah atujaalie atuongoze ktk njia iliyooka atujalie tuwe miongoni mwa wenye kihifahi kitabu chake kitakatifu cha quran tufate maamrisho yake na tuache makatazo yake allah atujaalie quran iwe muongozo wetu nuru kwetu shifaa kwetu muombezi wetu amiyn amiyn amiyn yaa rabbi ukhti thaurat kutoka zanzibar
MASH ALLAH hongera Hbbty wangu Nakupenda sana
مشالله تبارك الله ❤
Maashallah! Mwenyezi Mungu akujaalie na akudumishe katika Imani. Wazazi na Walimu wako Allah awalipe badala, Amiin
Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman,.. Yarrab atuongozee vizazi vyety Yarrab 🤲
Asalam mash aallwwaa alwwaa akuongozekwakila jambo . Nasisi watoto wetu Allwwaaa awape iwezo wakuhifadhii.Hongerani maustadhi allwaa awazidishie
Masha Allah Allah akuhifadhi kama ulivyohifadhi kitabu chake Amiiin Yarabb
Masha Allah ❤️ ❤️ ❤️
TabarakAllah 💚💚💚
Bismillah MashaAllah TabarakaAllah, Mungu atazidi kukuongoza ktk kukienzi kitabu kitakatifu Quraan. Utafika mbali Habibty. Alf Mabrook Shekh Othman Kaporo.
Mashaallah mashaallah Allah amuhifadhi mtoto wetu pia Allah awape ufaham watoto wetu wengine❤❤
مشاءالله تبارك الرحمن ربي يحفظك ويسعدك ويوفقك يارب العالمين
Masha Allah,,,, Allahu-akbar
Mashallah Allah akupe umri Jazakallah kheri Love Frm kenya❤❤❤
Man Sha Allah Tabaraka Allah 🙏 Allah akueke mbali na husda na akuzidishie ufahamu zaidi In Sha Allah 🙏
Mashaallah Mashaallah Mashaallah allah akujalie afya njema inshaallah
Mashallah ❤❤❤najisikia furaha kbw moyon🎉🎉🎉Allah akuhifadhi mdogo wng
Allah akulinde akuhifadh ww na family na walimu wako mashaa allah tabaraka allah
Mashaallah sumaiya Allah akuongoze mtoto nzur mashaallah akujaalie Zaid nazaid mara lack
Mabrouq habibty....Allah akuzidishie ilman naafia in sha Allah....
MashaAllah tabarakallah ❤
Maashalla habibt Sumaiya Alla awahifadhi watoto wetu wote wa kiislam nimetowa machozi ya furaha kwa Sumaiya Taqbir
Mashaallah baba angu Abac na mwanafunzi wako Allah akupeni nuru kubwa Kwa rehma zake
Mashallah kazi zuri kwa ma ustadhi na pongezi kwa wazizi na umati Muhammad
Mashallah mashallah 🥰 Allah akupe maisha marefu inshallah
Ma Shaa Allah. Allah Akuhifadhi na Azidi kukuongoza
Alf Mabrook Maalim Abbass, unamalipo makubwa kwa Allah. Alhamdulillah
Masha Allah alhamdulillah Allah akuzidishie elmu na kipaji alichokupa
Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿inshaallah huyu mtoto wa kike mazali amehifadh Kitabu cha Allah Qur'an akitoka University atakuwa na elimu anayoitarajia doctoro inshaallah 💯👌
Mashaallah 🥰 Allah akuzidishie InshaAllah kwa uwezo wake
Mashaallah Allah akupe Afiaa fi dunia wal khera Allahuma ameen Kenya 🇰🇪
Maashaallah mashaallah Allah awahifadhi na Amuhifadhi daima Allah pia na sisi atuongoze tu km sumeya inshaallah
Mashaallh mwanangu hongera Allah atupe vizazi vyenye heri
Hongera yake mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
Allahuma amin Allah ampe umeri mrefu sana nampenda san uyo mschan ananifurahisha mpaka machozi yananitok
Mashallah ❤️❤️
ManshAllah vint yangu smaiya natamani ungelikuwa Binti yangu ningeli lala n'a biato kitandani
Masha'Allah Allahu barik
Mashalla ALLH akuzidishie afyanjema zaidi wewe na familiayako pia akulinde namaadui wakijini nawakibinaadamu
MaashaAllah sumaiya from kenya
Mashallah ❤❤❤❤❤allah akujaalie kila lakheri inshallah
Mashaallah.Allah akutunuku maisha marefu yenye faida
Mungu akuifadhi dada husipungikiwe kwa chochote.
BARAKALLAHU FIIKUM. MASHALLAH MASHALLAH.
ManshaAllah bint yangu sumaiya,,mama yko nakuombea dua Allah akulinde ❤️❤️❤️
MashaAllah❤❤❤❤❤Allah hakuongoze zaid na hatujaalie nasisi hatuwezeshe
MASHAALLAH barakallahu fiikum
MashaAllah TabarakAllah
mashaAllah Allah akzidishie ufke mbali zaid ya hpa❤
Mashallah,,huy niekeen mm nimupose
Bismillah Mashaallah
MashaAllah kazi nzuri imefanyika
Mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah ❤❤
MashaAllaah mashaAllaah tabaraAllaah
Allaah azidi kumuhifadhi kwa Neema zake
Mashlh mungu akuzidishie ilmu n fahmu
Maa shaa allah Mabrook mabrook
Hatuwezi kushangaa Bint Sumaya kufaulu Masomo yake ya Dunia
Maana kama unaweza kuhifadhi Quran
Kila kitu kinakuwa rahisi kwake
Hongereni sana wazazi wake pamoja na walimu wake
Mashaallah tabarakallah
Mashaallah Allah akufanyia wepes
Mashallah Mungu akuifadh na kipaji chako sumaiya ❤ ni mm kutoka kenya
Mashaalah allah akulipe kheri naumri wenye manufaa
MashaALLAH MashaALLAH
ALLAH akuongeze kwenye njia iliyonyooka mwanangu
Mashaallahh.. Allah amzidishie❤❤❤
Alhamdulillah MUNGU AMZIDISHIE KHEIR na amuepushie SHARI
INSHAALLAH
Masha Allah. Allah akubarik
Hongera hongera SUMAYIYA ALLAH akuongoze
Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa Allah ❤❤❤❤❤❤
machozi yamenitoka wallah
honngera sana mkuu wa shule,wazazi na mshindani mwenyewe
alaa kulli haali alhamdulillah
MashaAllah ❤
MashAllah Allah akuongeze na wewe uje uwa hitimishe na wengine
Mashaallah ❤❤❤
hongeren pia wazazi wa sumaiya kwa malez naamin mko na furaha sana nataman angekua mwanangu
MashaAllah MashaAllah hongera yake jamn ❤️❤️❤️❤️❤️
Mashallah,
Binti nakupenda kwa AJILI YA ALLAH
MashaAllah, Hongereni sana Allah awazidishie kwa juhudi zenu!
Maashaalla tz mwenyez mungu katujaalia ufaham
Maasha Allah
Maalim wa huyu msichana nae ameshinda, Insha-allah mungu awazidishie kheri na awatilie wepesi ktk dunia na kesho Akhera.
Mashallah
Masha Allah hongera sana habit ❤
Mashaĺlah sumayya jazakallahukhair ❤❤❤
Masha Allah
Maashaallah tabarakallah. Sumaiya❤
Mashallah allehy allah akuzindshie