KUTENGENEZA BISCUIT NA SUFURIA/KWENYE GESI/ HOW TO MAKE BISCUITS WITHOUT OVEN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 220

  • @stephenosingo9099
    @stephenosingo9099 4 ปีที่แล้ว +81

    Congratulations lady that's so real, so creative and you've made it so simple. Doesn't need any expensive items to make. Be blessed and wish you growth in your work as you continue to bless more people with your knowledge.

  • @keitansafaris
    @keitansafaris 4 ปีที่แล้ว +13

    I have watched the video with no sound and it made alot of sense and simple to understand

  • @rasegks
    @rasegks 4 ปีที่แล้ว +13

    How can one dislike this fabulous peace of kitchen abilties? I like everything

  • @lindamlaki8103
    @lindamlaki8103 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante dear kwa maarifa Mungu aendelee kukupa zaidi nawe utupe sisi zaidi kazi nzuri sana nitaifanya hii

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 ปีที่แล้ว

      Amen Amen

  • @nasraulomi8312
    @nasraulomi8312 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba nifahamishe kuhusu hiyo casting powder kwakweli uko vizuri nifundishe na Mimi niweze kufanya biashara ya biscuit nakupenda Sana hila bado sijajuwa kuzipika

  • @Vibenuggets
    @Vibenuggets 4 ปีที่แล้ว +8

    Wonderful video🕵 will try this even as I await the glorious coming of the Messiah 1 Thessalonians 4:15-17

  • @GlowCharls
    @GlowCharls 4 ปีที่แล้ว +4

    You are very creative my dear! Unafikiriaga nje ya box and huo ndo tunauita I tofauti!!!❤️❤️❤️❤️

  • @agathamdemu7084
    @agathamdemu7084 4 ปีที่แล้ว +7

    Waoooh I real real like to see a woman cooking like this
    Bravo my dear
    Nitajaribu na mie😋🤗🤗💞

  • @lisalavekandy941
    @lisalavekandy941 4 ปีที่แล้ว +4

    Nice and easy recipe thanky so much but i have a question the custard thing is it important kuweka ???

  • @halimavuhya5881
    @halimavuhya5881 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana recipes zako za biskuti zinanipa morale ya kujifunza sana na najaribu kila mara

  • @FikiriMloka-ft3yf
    @FikiriMloka-ft3yf 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Dada kwa share hizi informations.

  • @anneshigitau3136
    @anneshigitau3136 4 ปีที่แล้ว +5

    I did exactly that but didn't include custard powder. Well the biscuits were still nice

  • @EmeldaAdhiambo
    @EmeldaAdhiambo 4 ปีที่แล้ว +3

    Hey ..nlitumia you recipe juzi and the outcome was fantastic😍🤗🤗 Thanks

  • @jessicalihanda6882
    @jessicalihanda6882 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo sio blueband, ni prestige margarine, kampuni mbili tofauti, please notice the different.

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimezipenda sana 😋 hapo na kahawa yako looo

  • @gathru_
    @gathru_ 4 ปีที่แล้ว

    Wow! Njia rahisi ya kuandaa biskuti! Natumai kujaribu mapishi tofauti tofauti kwa raha zangu.

  • @anitapeter3934
    @anitapeter3934 4 ปีที่แล้ว +14

    Asante mpenz nafurahia sana kujifunza jikoni kwako 🙏🏽 naomba kujua custard powder inasaidia nini kwenye kupika?

  • @Kingsmugi
    @Kingsmugi 4 ปีที่แล้ว +8

    Is this same as cookies? I love cookies 🥠, God bless you

  • @annemaitai4995
    @annemaitai4995 4 ปีที่แล้ว +9

    Custard powder? That's a new one! Thanks 😊

  • @terrygitau287
    @terrygitau287 4 ปีที่แล้ว +2

    Her voice is so soothing

  • @rehemakajembe1158
    @rehemakajembe1158 4 ปีที่แล้ว +36

    Wa kwanza kuonaaa gonga like hpaa ...

  • @rukiahalid5807
    @rukiahalid5807 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa ALLAH 🥰
    Hiyo cutter ya love bei gan

  • @breeymwworld8379
    @breeymwworld8379 4 ปีที่แล้ว +6

    New tips during quarantine

  • @siimaaneth4018
    @siimaaneth4018 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu akubariki kwa kufundisha mambo ya maana hakika hili ni darasa

    • @HappyGervas-dp3lw
      @HappyGervas-dp3lw 5 หลายเดือนก่อน

      Omba kujua Kama unatumika umeme kuoka bisukuti unaweka dk ngapi na Moto kias gani

  • @rachealmasinde2331
    @rachealmasinde2331 3 ปีที่แล้ว

    Hi, Asante kwa video hii. Nilikua natafuta namna ya kubake cookies.

  • @aminabakari8423
    @aminabakari8423 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana .Mungu akubariki sana.

  • @merrynimependaninzurisanaa9775
    @merrynimependaninzurisanaa9775 4 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante dada kwa somo barikiwa sana

  • @estherbakabona9930
    @estherbakabona9930 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ika sija ku subscribe bure una fanya kazi ime onekana kabisa

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 ปีที่แล้ว +4

    You make it look easy..I love it😋😋

  • @cynthiamwangi1274
    @cynthiamwangi1274 4 ปีที่แล้ว +1

    🙌 vizuri sana nita garibu 😇😇💕💝💝👍

  • @zainabuhatibu6166
    @zainabuhatibu6166 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Biscuits zinapendeza haswaa nimezipenda.

  • @shukuranihalisi7339
    @shukuranihalisi7339 4 ปีที่แล้ว

    Asante dear nimejifunza but hapa leo kua unga uzidi kipimo Cha sukari na blue band alafu nahitaji castered powder pia cookie cutters zinapatikana kwenye maduka la vyombo nashukuru sana

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว

    Wawooo asante kwa kutufundisha mapishi ,nitajaribu.

  • @AllaboutmyCompound
    @AllaboutmyCompound 4 ปีที่แล้ว

    Wewe kiboko wa pishi na mwalimu mzuri tu hadi Raha, asante mamito

  • @tattianasophia1183
    @tattianasophia1183 4 ปีที่แล้ว +6

    That really amazing great work .hope you channel grows ...thanks for the tips😂😂😂😂

  • @helmahtoro2074
    @helmahtoro2074 4 ปีที่แล้ว +6

    Ni lazima utumie custard powder

  • @charitykibata3673
    @charitykibata3673 3 ปีที่แล้ว +2

    Is it optional to put eggs because i am allergic.

  • @nabswasike1263
    @nabswasike1263 4 ปีที่แล้ว +1

    You are very talented ,well fone

  • @neemamsuyas3084
    @neemamsuyas3084 4 ปีที่แล้ว +1

    You inspire me tangu zamani na Mimi nataman kuanza

  • @yegedegede5722
    @yegedegede5722 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa ujuzi najihisi utajiri wanikaribia

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

  • @innocentnunu57
    @innocentnunu57 4 ปีที่แล้ว +3

    thanks alot but what if i dont have custard powder ?

  • @mziwandabakers8297
    @mziwandabakers8297 4 ปีที่แล้ว +2

    Cool recipe dear

  • @mohamedhussein9746
    @mohamedhussein9746 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran my biscuit zimetokelezea

  • @Jastus100
    @Jastus100 3 ปีที่แล้ว +1

    Zangu zimekuwa laini sijui tatizo ni nini nimekosea wapi? Naomba msaada

  • @milimilajzap3728
    @milimilajzap3728 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli unajua kupika Sana😍👏👏👏

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 ปีที่แล้ว

      asante dear

  • @mellys6246
    @mellys6246 4 ปีที่แล้ว +1

    Wooow, nimeipenda sana hii Mami 😋😋😋🌺

  • @jaligawesa
    @jaligawesa 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni nzuri kweli asante sana

  • @juliethurio6840
    @juliethurio6840 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri mrembo. Be blessed

  • @muniragambere2680
    @muniragambere2680 4 ปีที่แล้ว +6

    maa shaa Allah

  • @MsBupe
    @MsBupe 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante my dear kwa video nzuri👌👌👌

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 ปีที่แล้ว +2

      asante dear

  • @aminasjoekitchen7959
    @aminasjoekitchen7959 4 ปีที่แล้ว

    Wow Masha Allah nimependa mapishi yako

  • @suhayboali459
    @suhayboali459 4 ปีที่แล้ว +5

    Hi sister I'm from Somalia and I'm a new friend

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว

    Video nzuri

  • @kgmillionaire
    @kgmillionaire 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank you for the story 👌👌👌👌👏👏👏

  • @florencekalage2611
    @florencekalage2611 4 ปีที่แล้ว +2

    GOOD ONE

  • @happinessstephen1734
    @happinessstephen1734 4 ปีที่แล้ว +1

    You are the best

  • @roselineanyango6188
    @roselineanyango6188 ปีที่แล้ว +1

    Huweki maziwa!

  • @Mrsapolo224
    @Mrsapolo224 7 หลายเดือนก่อน

    Blueband robo inatumia unga kia's gan na mayai mangap

  • @thomaskariuki147
    @thomaskariuki147 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow 😋😋

  • @gladysngamimakau7099
    @gladysngamimakau7099 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa kweli ,dada kama mtu hana blueband anaeza tumia mafuta gani mengine ????

  • @hildaswallo6770
    @hildaswallo6770 4 ปีที่แล้ว

    Wow! ubarikiwe dada ntafanya

  • @rebeccaephraim5809
    @rebeccaephraim5809 4 ปีที่แล้ว

    Asante dear nimependa but naomba kujua chumvi inasaidia nn au naweza tumia mchanga au lazima chumvi

  • @fabyscarl
    @fabyscarl 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa 😍 😍

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 2 ปีที่แล้ว

    Asa nte dada umenifunza kupika mkate,mandazi asa nte sana

  • @lynnedarling1135
    @lynnedarling1135 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @crochetwithcharity
    @crochetwithcharity 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow.. Nimependa sana

  • @conniejoseph5464
    @conniejoseph5464 4 ปีที่แล้ว

    Waoh! You are a genius.

  • @maureensteven5898
    @maureensteven5898 4 ปีที่แล้ว +4

    Wow. Kazi nzuri dada.👌

  • @Sr.BasilisaPanga
    @Sr.BasilisaPanga 5 หลายเดือนก่อน

    Je, chumvi haiharibu plate ya jiko la gesi?

  • @sherinefahmy3114
    @sherinefahmy3114 2 หลายเดือนก่อน

    Badala ya chumvi unaweza kuweka mchanga hapo chini?

  • @UsrevealedTv
    @UsrevealedTv 4 ปีที่แล้ว

    honestly, i enjoy the accent

  • @francisbutabi3902
    @francisbutabi3902 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo castad pouda inapatinaje! Dada

  • @rynegaby2763
    @rynegaby2763 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda bure

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 ปีที่แล้ว

      🥰🥰🥰

  • @neemamsuyas3084
    @neemamsuyas3084 4 ปีที่แล้ว

    I love cooking and baking

  • @shattakiongozi1735
    @shattakiongozi1735 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri ✅✅✅✅✅✅✅✅✅👍👍👍

  • @nasraali5526
    @nasraali5526 4 ปีที่แล้ว

    Waa waa nice

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 ปีที่แล้ว

    Unaweka moto kwa jiko na juu ya kifuniko _? Mafasirio zaidi

  • @maggiemukami1120
    @maggiemukami1120 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana. Nina maswali,
    1. Lazima nitumie custard powder?
    2. Huo chumvi tunatupa au tunatumia baadaye?
    Nashukuru

    • @lizznduta5349
      @lizznduta5349 4 ปีที่แล้ว

      Pls reply hii ya custard powder

    • @nicerkenny4239
      @nicerkenny4239 3 ปีที่แล้ว

      Custard powder kaz yake ni kuweka unjano yan ina rangi ya njano na hyo chumv ukikosa unaweza kuweka hata mchanga inazuia moto wa chini usiunguze biscuits

  • @mwihakiskitchen4696
    @mwihakiskitchen4696 4 ปีที่แล้ว

    Love all of your biscuits videos very yummy

  • @megwambo
    @megwambo 4 ปีที่แล้ว

    Napenda saaannaaa. doh

  • @xuismgonda4212
    @xuismgonda4212 4 ปีที่แล้ว +2

    Custard powder ni Lazima?

  • @fatmammassy9103
    @fatmammassy9103 3 ปีที่แล้ว

    Thanks much dear

  • @fgk824
    @fgk824 3 ปีที่แล้ว +1

    Great

  • @HappyGervas-dp3lw
    @HappyGervas-dp3lw 5 หลายเดือนก่อน

    Kwenye oven unatumika Moto kias gani na dk ngap

  • @fijjiarts254
    @fijjiarts254 4 ปีที่แล้ว +1

    Awesome

  • @youngmummy1087
    @youngmummy1087 4 ปีที่แล้ว +1

    WwWwwwwww this was amazing

  • @naomikihika3691
    @naomikihika3691 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetumia maji

  • @emmykessy3016
    @emmykessy3016 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa nitajaribu kesho kuwapikia wanangu

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 4 ปีที่แล้ว

    Nitajaribu!Ingawa sina sufuri kubwa

  • @christinewilson5913
    @christinewilson5913 4 ปีที่แล้ว +3

    Sorry, ukiwa unaoka biskit au keki kwenye yes na chumvi, hauweki mkaa juu?! Na kama hauweki juu inatokea brown?

  • @liliansimon5821
    @liliansimon5821 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama hauna kastini unaweka nini?

  • @paulinemugodo589
    @paulinemugodo589 4 ปีที่แล้ว

    wooooow........

  • @favourndila8474
    @favourndila8474 4 ปีที่แล้ว +2

    Woow! Good job

  • @Mbarie
    @Mbarie 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for this. Unatusaidia sana
    💗💗💗

  • @rehemachipwaza8509
    @rehemachipwaza8509 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana ila custard powder cjaipata huku kwetu hamna

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 ปีที่แล้ว

      Mimi sijawai jaribu bila custard, lakini unaweza jaribu

    • @augustermselewa6597
      @augustermselewa6597 4 ปีที่แล้ว

      Inapatikana karibu kwenye supermarket zote.

  • @shikohmureithi4622
    @shikohmureithi4622 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @sarahwilson586
    @sarahwilson586 4 ปีที่แล้ว

    Must try kwa kweli.. Nice dia

  • @deogratiasmamiro2557
    @deogratiasmamiro2557 4 ปีที่แล้ว

    Naweza tumia mchanga badala ya chumvi?

  • @alexmusyoka4286
    @alexmusyoka4286 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @husnakassuku9709
    @husnakassuku9709 4 ปีที่แล้ว +1

    Hey Ika,naomba kuelewa kwanini umetumia chumvi kwenye sufuria?