KUFURU MJENGO WA KIFAHARI WA BILIONI 25 UNAOMILIKIWA NA BARACK OBAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @andrewjosephhezron23
    @andrewjosephhezron23 3 ปีที่แล้ว

    Iyo bei ni rahisi sana

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful jmn kweli vidole havilingani🤪

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 4 ปีที่แล้ว +2

    Ingekuwa tanzania iyo pesa tungejenga Madaraja chato tungelipa den la mkamata ndege PAMOJA NA WANAFUNZI TUNGEENEA MABOOM NCHI NZIMA

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 4 ปีที่แล้ว +1

    Angekuja hapa bongo hiyo hela angenunua nusu ya mkoa na watu wake. Ha ha haaaa, dunia!

  • @emmymathias8849
    @emmymathias8849 4 ปีที่แล้ว +3

    Bajeti ya nchi... haha

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      Umeona eheee😂😂😂😂😂😅😅👌

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 4 ปีที่แล้ว +1

    Kufuru iko wapi sasa hapo..?
    Mnatumiaje kiswahili kihuni/udaku
    Uongo "Amenunua kwa shilingi za kitanzania...."
    Ukweli "Amenunua kwa dola za kimarekani sawa na shilingi za kitanzania ....blah..blah..blah.."
    Acha uhuni kwenye kiswahili

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @jaziumusa4131
    @jaziumusa4131 4 ปีที่แล้ว +1

    Usiludie kumuita Osama gaidi

  • @andrewjosephhezron23
    @andrewjosephhezron23 3 ปีที่แล้ว

    Umekosea ni dola,25 sawa na bilion 63..

  • @fatmaabdulla7080
    @fatmaabdulla7080 4 ปีที่แล้ว +4

    Pepo ya dunia tu hii

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 2 ปีที่แล้ว

      Kwakweriii Allah atujaharia mwisho mwema 👏

    • @hallin9561
      @hallin9561 ปีที่แล้ว

      Muslims mnachokiwazaga ni umauti tu, mnaishi duniani kama wafu, sasa mnafanya nin si muwaamuru familia zenu zikawazike, kila jambo kifo. kama umejikatia tamaa ni wew wacha watu waishi duniani kama wapo peponi,
      mwishowe ufw ukute ata iyo pepo yenyewe mnayoambuwa haipo

    • @Gersah
      @Gersah 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hallin9561Duh!!!

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 4 ปีที่แล้ว

    Bilioni 25 kwa MTU Kama huyo ambaye alikuwa Ni rais wa nchi Ni pesa ndogo sana .

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว

    mpaka kichwa kinauma ngoja nikunywe kindonge kisha niendelee kuota.

  • @Micpiu
    @Micpiu 4 ปีที่แล้ว

    Sio mchezo.

  • @yusuphjafarijr7583
    @yusuphjafarijr7583 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo mauaji ya obama kwa osama ni sifa ? Aiseee wajinga sana nyie