haya ndo maisha mwanadamu anatakiwa kuishi...anakula pesa zake za kiualali kabisa ..sio mwenzangu na mimi mpaka ukatoe kafala milimani.. mala uchukue misukule ndugu zakoooo
Mond nae anajitahidi ana nyumba ya bilioni 2 South Africa,sio ile alowanunulia wanawe alozaa na Zari,Nyingine(Lkn kwa Mesi haiingii ni bilioni 17,(Bilioni 15 zaidi)Nyumba imejiachia haijajibana bana..Huwezi kuifananisha na nyumba ya Mondi hapo hata moja...
Hhahahaha😆😆kweli kakangu football dakika 90 zote mchezaji anakimbia uwanjani...Kabisa yani Kwa ajili ya kukimbia uwanjani,mchezaji yeyote yule awe striker au sio lkn ni lazima akimbie kimbie uwanjani kutoa pasi na kupokea😆😆😆😁😁
haya ndo maisha mwanadamu anatakiwa kuishi...anakula pesa zake za kiualali kabisa ..sio mwenzangu na mimi mpaka ukatoe kafala milimani.. mala uchukue misukule ndugu zakoooo
Hongera Messi, usisahau fadhila Za mungu
Noma hii
Iko poa sana
Kali sana
Messi ndo habari ya mjini
Kaiga raman ya nyumba yangu,huyu jamaa cjuw yupoje
🤣
Hhahahaaa😆😆😆nimecheka yanii hadi tumbo limeniuma😆😆
😄😄😄jaman stress tuzitafute wenyew😄😄😄😄
Kanunuwa na ile nyumba ya jirani uliyo sema wanasumbuwa
Wow
Messi on top🔥🔥
Qlaaaaqqq we
Afu anatokea mjinga mmoja hapa bongo anakla raha hapa bongo🖐️🖐️
Duuh Mii hata Police posty Sina😁 maisha bn
Vp bongo ss tulishazoea kelele za kariakoo tu 😂
Haya sasa Dıamond yupoo aone mambo mazur
Ata ya mondi nzuri. Naona kajaza makorokoro 2 kila sehem
Mond nae anajitahidi ana nyumba ya bilioni 2 South Africa,sio ile alowanunulia wanawe alozaa na Zari,Nyingine(Lkn kwa Mesi haiingii ni bilioni 17,(Bilioni 15 zaidi)Nyumba imejiachia haijajibana bana..Huwezi kuifananisha na nyumba ya Mondi hapo hata moja...
Ww je
@@wisperfect5320 🤣🤣🤣🤣🤣
Na timu za bongo hizi za kukalishwa kitako mkiwa uchi timu nzima ili mshinde match.. wachezaji hawatoboi ng'o.
Duh😄😄😄😄😄😄
🤣🤣🤣🤣 Aisee nimechek mpk tumbo linauma 😂😂
Nice brother
Aya wanangu w psg like tujuane apa
The GOAT
Baad ya miak 2psg tunarud hm sweetie hm Katalunya
Yote hiyo kapata kwa kukimbia kimbia uwanjani.
😂😂😂acha wivu mzee
Mzee kwani ushamaliza pension yako😂😂😂😂 unaongea Kwa hasira
@@hezzyhezzy Hapana hujamuelewa jamaa mada yake amemaanisha yupo kwenye mshangao tu yote hayo kapata kwa kukimbia kimbia uwanjani
Hahaha 🤣
Hhahahaha😆😆kweli kakangu football dakika 90 zote mchezaji anakimbia uwanjani...Kabisa yani Kwa ajili ya kukimbia uwanjani,mchezaji yeyote yule awe striker au sio lkn ni lazima akimbie kimbie uwanjani kutoa pasi na kupokea😆😆😆😁😁
Tz bwaana duu sasa ina uzuri gan kwanza wana kopa
Richardghambi
Ongera Messi tukumbukane lakini
Yànga vsajiki
Ninavy mjuwa dom kesh tasem anazo 2 kam hivy mbangala na kijichi
Mmmm
Ronaldo angalia bei ya nyumba yake utasikia billion 60
Maana ya goat ni nini
Sijaona hata cha ajabu hapo
Mfahamaji haisha kutapatapa huna ndo maana unabwatuka tu
@@itaimuhaji917 😝😝😝😝nakuonea urima maskin na ugari wako wakengere 😷usilo rijuwa sawasawa na usiku wa giza. take your time 🏠
Huna lolote 🤭🤭
Relax🦍🐾
Aslnal
Dah so poa
mbona yakawaida sana
Duuh
Onesha vyako.
Pambano la ngumi