Alichoandika Alikiba baada ya kupost picha akiwa na Zuchu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 120

  • @shazzywakingsmusic8672
    @shazzywakingsmusic8672 3 ปีที่แล้ว +13

    Huyu Ni mwanamuzic Koo yupo Makin Sana Hana roho ya ubaguz king👑💯

  • @karimniyo1909
    @karimniyo1909 3 ปีที่แล้ว +8

    Wallah huyu mtangazaji hunikosha saana na kunifanya ni relax...kwanza maashaAllah humzania mwenzake vzr ....kuwa kapost picha akiwemo zechu ni zaidi ya kum tag of course .maana alikuwa nauwezo pia wa kumkata kweny picha

  • @rogan-qq2dl
    @rogan-qq2dl 3 ปีที่แล้ว +9

    Nakubali sana alikiba

  • @aishasaif7562
    @aishasaif7562 3 ปีที่แล้ว +9

    Oooohh one love

  • @zclassicfashionz
    @zclassicfashionz 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Sky

  • @wilbertthomas8357
    @wilbertthomas8357 3 ปีที่แล้ว +8

    Umependeza Safi Sana picha mzuri

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 ปีที่แล้ว +5

    King will always be a🤴😘

  • @bellaharimenshi2814
    @bellaharimenshi2814 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi saana king 🤴

  • @vansclassic6464
    @vansclassic6464 3 ปีที่แล้ว +9

    King's MUSIC is up!!!!

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 ปีที่แล้ว +2

    😃😃eti miwani kama ya kuchomelea.....

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani kaka sky wajulia😄🔥king kma king

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiba is a king

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว +15

    Zuchu anastahili kings musik cos wcb wachafu.

    • @wilbertthomas8357
      @wilbertthomas8357 3 ปีที่แล้ว +5

      Mbona mama yako mchafu na baba yakao alimvumilia🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿 bhuaaana

    • @bintykigan6236
      @bintykigan6236 3 ปีที่แล้ว +1

      @@wilbertthomas8357 Safi Sana

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 3 ปีที่แล้ว +1

      @@wilbertthomas8357 jibu konk 😀

    • @wilbertthomas8357
      @wilbertthomas8357 3 ปีที่แล้ว

      @@walaaabdallah3236 🤣😂kwetu mangi yupo mbali

    • @wilbertthomas8357
      @wilbertthomas8357 3 ปีที่แล้ว

      @@bintykigan6236 🤣🤣🤣🤣😂😂wanatufanya tufunguke hawa wehu

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 ปีที่แล้ว +11

    Zuchu bado mwanafunzi usije pelekwa polisi kama nani hii

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha sky unanifurahisha hayo maneno yako

  • @henriettenkuba7078
    @henriettenkuba7078 3 ปีที่แล้ว +5

    Kulikuwa watu wengi pale kwenye picha sio zuchu pekee

  • @nurahyusuph9771
    @nurahyusuph9771 3 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni sns

  • @JumakAssane
    @JumakAssane หลายเดือนก่อน

    Zuchu alikiba

  • @popiya2368
    @popiya2368 3 ปีที่แล้ว +5

    Kiba kipenzi cha watu

  • @tumuhamisi5465
    @tumuhamisi5465 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapili#kenya in dubai

    • @murtalla6290
      @murtalla6290 3 ปีที่แล้ว

      Karibu kuftar nipo Dubai pia

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว

    Hii ya kizazi sana 👍

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwahivyo chuchu anasemaje?

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 3 ปีที่แล้ว +10

    Usishangae, wote wakiwa hapo wanamwaza Simba.😂

  • @salumjumah4159
    @salumjumah4159 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaka #sky huyo ni mbunge pia alokuwa na aly kiba ni mbunge wa zanzibar jang'ombe

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 ปีที่แล้ว

      Tunashukuru sana kwa ufafanuzi

    • @assoum_N
      @assoum_N 3 ปีที่แล้ว

      Sio jang'ombe ni jimbo la Mpendae nakumbuka hivo.

    • @ismu3881
      @ismu3881 3 ปีที่แล้ว

      Yeah ni mpendae mtoto wa Turky

    • @kreamagdfsa1697
      @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran kwa kutujuulisha bila shaka mutakua ni watu wa nyumbani ZANZIBAR nchi kasoro mamlaka kamili pamoja sana

    • @salumjumah4159
      @salumjumah4159 3 ปีที่แล้ว

      Yeaah nilisahau kidog ni mbunge wa mpendae anaitwa towfiq ni mtoto wa turk yule mwenye boti za kijani alipata nafasi ya kugombea ubunge baada ya baba yake aliyekuw akigombea mwanzo kufariki✌✌

  • @siyabongakzn9864
    @siyabongakzn9864 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilidhani Zuchu yuko South Africa.

  • @bwaxlady688
    @bwaxlady688 3 ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza jmn leo...

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +5

    Zuchu ayo mawani kama Fundi mageti

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +6

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 3 ปีที่แล้ว +12

    Eti una hamu ujue walichokua wakiongea🤣🤣🤣

  • @laurianemmanuel2562
    @laurianemmanuel2562 3 ปีที่แล้ว

    King kiba anpga kmy kmy tu usikote alishapita hapo

  • @rajabuhondo4973
    @rajabuhondo4973 3 ปีที่แล้ว

    Kan King mwenye anasema vipi

  • @kinani_bwoy
    @kinani_bwoy 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba uongelee colabo ya big fizzo tz

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 3 ปีที่แล้ว +1

    Au weye unasemaj 😂🤣😂

  • @anuarabdullrahman5993
    @anuarabdullrahman5993 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mwengine ni Taufik Turky mbunge wa mpendae

  • @pillykupaza1098
    @pillykupaza1098 3 ปีที่แล้ว

    Nmefurahi sana

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 ปีที่แล้ว

    Iyo miwani nimecheka

  • @majabumbaga2349
    @majabumbaga2349 3 ปีที่แล้ว

    Wasafiiiii

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 3 ปีที่แล้ว +6

    Hata huku comments ni nyingi saaana itapendeza ukizisoma

  • @MoMo-wx2vx
    @MoMo-wx2vx 3 ปีที่แล้ว +1

    #SNS Huyo mengine anatwa taufiq turky mbunge wa mpendae unguja

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @wizchiachacha5889
    @wizchiachacha5889 3 ปีที่แล้ว

    amefrah xn kukutana na zuchu ila zuchu hajapost kabsa

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 ปีที่แล้ว

    Collabo plz💪🔥❤️💋🌞🙏🇰🇪.

  • @amapiaanocityintz6454
    @amapiaanocityintz6454 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli WCB wawe makini na huyu kiba maana anamadini sumu

  • @taetommy8343
    @taetommy8343 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣lakini #SNS Kitu kidogo tu mnakikuuuuuuuuuuuuza

  • @sbbare6793
    @sbbare6793 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo pia ni mbunge uku zanzibar taufiq turki

  • @22ahmed26
    @22ahmed26 3 ปีที่แล้ว

    Taufiq sio mpiga picha... ni mbunge zanzibar

  • @hamisimhando3320
    @hamisimhando3320 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 ปีที่แล้ว

    Karibuni kw Chanel yngu pia please 🥰

  • @siyabongakzn9864
    @siyabongakzn9864 3 ปีที่แล้ว

    Mawani makubwa kuliko uso wake.

  • @mosesjonston2690
    @mosesjonston2690 3 ปีที่แล้ว

    Vemaaa

  • @ahammedmahruki8708
    @ahammedmahruki8708 3 ปีที่แล้ว +4

    Kiba hana shida na mtu kabisa basi tu mwenyewe apendi mambo ya kijinga

  • @rashidkomba186
    @rashidkomba186 3 ปีที่แล้ว

    wewe kwel ni King kiba

  • @lexq-sm6lq
    @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashabiki wa Alikiba banaaa!!!!
    YANI WAMEKUBALI KABISA HARMONIZE AMPITE KIBA.
    HARMONIZE KASHAMWACHA NYUMA ALIKIBA HIVYOOOOO,. BYEEEE

  • @ELISSKGTV
    @ELISSKGTV 3 ปีที่แล้ว +1

    Kondegang for everybody

  • @thelixyn1315
    @thelixyn1315 3 ปีที่แล้ว

    sasa we unataka kujua walichokua wanaongea ili iweje punguza umbea

    • @leahally4618
      @leahally4618 3 ปีที่แล้ว

      Ata ww umesikiliza yann km sio umbea😜😜😜

    • @fainajaffary4070
      @fainajaffary4070 3 ปีที่แล้ว

      😄😄😄

    • @leahally4618
      @leahally4618 3 ปีที่แล้ว

      @@fainajaffary4070 Sasa😃😃😃kaja kufata umbea nae mbea

    • @thelixyn1315
      @thelixyn1315 3 ปีที่แล้ว

      @@leahally4618 na we umenijibu ya nini km sio umbea na kuwashwa🤣🤫

    • @leahally4618
      @leahally4618 3 ปีที่แล้ว

      @@thelixyn1315 ndio mie mbea km sky ndomana nimekujibu ww km sio mbea uliangalia yann😂😂