JE TUTAFUATA SUUDIYA KATIKA KUFUNGA ARAFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 193

  • @majdabakran3013
    @majdabakran3013 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hii shida iko miaka mingi mpaka katika nyumba moja watu wanakula Eid siku tafauti, Nimeelewa na nimecheka sana pia Alhamdulillah..
    Allah SWT akuhifadhi Sheikh Aameen

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน +18

    Masha Allah Allah akuzidishie ilmu sheikh izudin Allah akuhifadhi akupe mwisho mwema kauli thabit na nusulkhatima insha Allah

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 4 หลายเดือนก่อน +2

    SUBHANA ALLAH KUSOMA NI TAMU WALLAHI SHUKRAN SHEIKH WETU ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA AFYA YAARAB UZIDI KUTUONGOZA YAARAB🤲🏽

  • @Fumokale
    @Fumokale 4 หลายเดือนก่อน +8

    Umeongea ukweli bila uoga ...Allah akupe na akupe kila khairi na IKHLASW....amiin

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +12

    Umeongea vizuri sana na nakupa bigi hapo Sheikh Izzuddin

  • @hamisihalfani6374
    @hamisihalfani6374 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani shekhe tumekuelewa tutaendelea kuwapiga spana. mungu akubariki

  • @MahmudOmar-gx2ok
    @MahmudOmar-gx2ok 4 หลายเดือนก่อน +7

    MA SHA ALLAH MUNGU AKUZIDISHYE KWA KUSEMA UKWELI KADHI NI WASELIKALI WALA SI WA WAISLAMU.
    MIMI NIKO SAUDIA JUBEIL ALFAJIRI KWA ADHINIWA 3:10AM NA SWALA YASIMAMA 3:30AM.
    ALHAMDULILAH UKWELI WADHIHIRI NA KADHI MUNGU AKAMTAMSHA TUTAFATA SAUDI HAHAH. (KICHIRI OZIL)

  • @ummjaffar5882
    @ummjaffar5882 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sheikh umetuelewesha na tumekufahamu m mungu akupe afya njema na siha

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ma Shaa Allah sheikh wangu upo sahihi na ukweli kabisa

  • @JumaHaruna-yg6pt
    @JumaHaruna-yg6pt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanzo sheikh jibidiishe sana kumwogopa mwenyezi mungu huenda akakupa ilmu.

  • @RukiaMohammed-jx8oz
    @RukiaMohammed-jx8oz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaallaah Maashaallaah shekh Allah akubarik ktk ilmu akuzidishie hikma biidhni Llaah..Aamiyn Aamiyn thumma Aamiyn.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mawaidha mazuri sana. Raha kweli 😊 Sheikh anatufundisha kila kitu.

  • @hadyaAlii
    @hadyaAlii 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah Allah akulinde kila shari ❤❤

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mash Tabarak Allah ashan halyqeen, Jazzak Allah kheri

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 4 หลายเดือนก่อน +3

    صدقت الشيخ إزدين،هم الرجال ونحن الرجال❤❤❤❤❤❤❤

  • @fisabillah-o7r
    @fisabillah-o7r 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sheikh Izudin mche Allah, mnawakosesha watu Arafa.

    • @mohdhilaly7900
      @mohdhilaly7900 4 หลายเดือนก่อน

      Babu zako wa babu walikosa pia Arafa maana taarifa za mwezi wala Arafa ya saudia hakuzifuata

  • @ShabanNyange
    @ShabanNyange 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah,ALLAH Akujaze kheri,,Haya mambo yako wazi hawa watu wa upande wa pili hutatiza watu tu

  • @amaxyz138
    @amaxyz138 4 หลายเดือนก่อน

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته شكرا جزاك الله خيرا الله يحفظك يا شيخنا الفاضل

  • @firdausadarus5732
    @firdausadarus5732 4 หลายเดือนก่อน

    mashaallah tabarak llah mungu akujaalie kila lakheri inshaallah

  • @SaadDumila
    @SaadDumila 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh umenichekesha sana kwa shakahola za kisuudia😂😂😂😂😂

  • @hassanalfan6941
    @hassanalfan6941 4 หลายเดือนก่อน +1

    A alkm sheikh..naomba kuuliza..kwaivyo arafa si lazima iwe sawa na taree 9...at taree 10 unaweza kuwa arafa???

  • @SwafiyaAlhussein
    @SwafiyaAlhussein 4 หลายเดือนก่อน +4

    Namna wanavyo fahamishwa hawataki kuolewa nasi hatukubaliiìi kufuata suudia puu hatjkubsli

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 4 หลายเดือนก่อน +7

    Sheikh Wacha upotofu arafa ni moja,

    • @suleimankhamis6804
      @suleimankhamis6804 4 หลายเดือนก่อน

      Atawa huo uongo kwa kutumiq ushahidi ww ukweli yako upo wapi?

    • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
      @JUMAKANYEBWE-hy7ge 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani mwezi Una tarehe moja mbili?

    • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
      @JUMAKANYEBWE-hy7ge 4 หลายเดือนก่อน

      Kwanini mtume swa aapishe mtu basi na angengoja akaona mwezi nae

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 4 หลายเดือนก่อน

      Tupe dalili,na mtume alifungajee?

    • @KhalifaSally
      @KhalifaSally 4 หลายเดือนก่อน

      Na aliekwambia aarafa ni mbili ni nani?maana sikumsikia sheikh akisema kua Kuna aarafa nyingi,wewe ndio umeelewa tofauti,sikiliza vizuri

  • @darajanida
    @darajanida 4 หลายเดือนก่อน +1

    masha allah tumekuelewa shek wetu

  • @SalumAlly-tt9rb
    @SalumAlly-tt9rb 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh anatuchanganya Dunia nzima tareh ni moja tu na tumeambiwa tufunge siku ya Arafa na sio siku ya tareh ivyo hatupaswi kufuata tareh

    • @hamisihalfani6374
      @hamisihalfani6374 4 หลายเดือนก่อน

      sikuya arafa ni mwezi tisa 9 mfungo tatu so hakikisha unasikiliza vizuri acha kujidai huelewi.

    • @aliissahaji33
      @aliissahaji33 4 หลายเดือนก่อน

      Arafa ni tarehe ngapi mkuu

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ila haya mawaidha yanaendana na chuki haipendezi sisi ni waislam sasa kama hatufati suudia kama tunavosema basi hata hijja zetu tunazoenda kuzifata suudia tusiende kwa sababu hawataki umoja hivi sisi Wakugombana hadi kwenye siku ya Arafa masheikh zetu mtihani tumche allah leo hii angekuwa mtume anasema Arafa jumamosi sizani kama ingekuwa chuki hizi haya mawaidha ya chuki masheikh muwe mnatoa Elimu 😢😢😢

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 4 หลายเดือนก่อน

      We hujaelewa kinachiongolewa,shekh asema killammoja afate mtizamo wake,Saudia wenyewe walisema wasifatwe killamtu afate nchiyake,hajj iko Saudia arafa nimoja lakini watu wafata Saudia jee arafa unafanya kwa inch moja,napia killamtu nakisomo chake na illa ilobaki killamtu afate kisomochake,wasaudi wenyewe wako pia na mdomo na makka lakini hata hajj hawafai upo,tufunge kwakuona mwezi natufunguwe kwakuona mwezi mpaka kwavitabu iko haikuandikwa tufate saudia

    • @allymohamed2724
      @allymohamed2724 4 หลายเดือนก่อน +1

      SIONI CHUKI KWA HILI, BALI ANATOA UFAFANUZI JUU YA UKWELI KATI YA MWEZI NA KALENDA YA SOUDIA.

  • @mzulwa2006
    @mzulwa2006 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dini ya mashekhei dini ya mungu na mfundishaji mtume,sheikh anazunguka sana.hayo ya umoja hayapo ila swala la kuifata saudia huwezi kukwepa maana dunia nzima ipo huko.dalili kidogo kuliko maneno.

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 4 หลายเดือนก่อน

      We fuata haujakatazwa sababu huwezi kubadilika kwa uliloliamini hata kama kweli unaiona.

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 4 หลายเดือนก่อน +7

    Sisi hatufati Saudia, wala hatuitambui ktk imani yetu bali tunafata mafundisho ya Mtume saw kdr mungu anavyotuafikisha

    • @Nevershot
      @Nevershot 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hivo unachomaanisha saudia hawafuati mafundisho ya Mtume S.A.W?

    • @madrassatulihyaa-ilislaami2911
      @madrassatulihyaa-ilislaami2911 4 หลายเดือนก่อน

      we nae tumia akili hajamaanish hvo​@@Nevershot

    • @jamalabdul6113
      @jamalabdul6113 4 หลายเดือนก่อน

      Nyie mnafuata Saudia, km amfuati Saudia hiyo mwezi kumi leo umeipat wapi?

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 4 หลายเดือนก่อน +2

    JAMENI MUSITUSI VIONGOZI WA DINI KAMA HAMUELEWI MUSICOMMENT ILA ATAKAE FUATA AFATE TU SHEIKH UMEONGEA BILA UOGA 👍🏼

  • @AshrafuMtunguja-pc3mq
    @AshrafuMtunguja-pc3mq 4 หลายเดือนก่อน

    mungu akuongoze

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kimefahamika very clearly. Asotaka kufahamu hataki tuuu . Achana nao . Hakuna mwezi wa 28. Kwani ni February hii mwezi una 28???? Tupisheeniii

  • @TwaliathAndrea-dm3dy
    @TwaliathAndrea-dm3dy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashehe naomba mtumbie saudia tunatofautiana masaa mangapi. Yani mfn leo tanzani ni j.mosi magharib saudia ni siku gani. Maana mnakosesha watu kufanya ibada kwa trh. Alfu mnajua hatutofautiani masaa 24 na nafsi zenu zinajua lkn kwann mtfte sbb ya kusogeza masaa 24 mengine kwann.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh acha uzushi hiyo Jiographia umesoma wapi??

  • @ahmadshikely8581
    @ahmadshikely8581 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran kwa maoni yako. Maana ww hauna mamlaka ya chief kadhi. Kwa ilimu ipi waujua chief kadhi kuliko alioko mamlakani.

  • @imamumohamedmalina6995
    @imamumohamedmalina6995 4 หลายเดือนก่อน

    Jazaak LLAHU khairan

  • @aniaabdul1465
    @aniaabdul1465 4 หลายเดือนก่อน

    Umeongea vizuri shekhe

  • @AbdulAzizSuleiman-cj9jg
    @AbdulAzizSuleiman-cj9jg 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh sis huku TANZANIA main land baadh ya mikoa tunatofautiana matlai na ZANZIBAR je sis hap pia tuwe na miez miwili kwsbb tunatofautiana matlai?

  • @faridamohamed7175
    @faridamohamed7175 4 หลายเดือนก่อน

    Well said sheikh

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maa Shaa Allah,❤❤❤

  • @rajabungomile3307
    @rajabungomile3307 4 หลายเดือนก่อน

    Kama huna d mbili uwezi kumuelewa shekhe wetu kpenz chetu. Tafadhali Kaa pembeni unaetafuta maslai ya kazi yko hapa duniani

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Izuddin Wallahi kuna watu hao wanaojipa usheikhe wanampinga huyo Bwanaaa. Hawazitki hata fat wa zaoo. ...msba mkubwa Wallaahi

  • @SalumAlly-tt9rb
    @SalumAlly-tt9rb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh inamaana vipofu wasifunge? Huu ni mtihani sana 😢

  • @mohammedali7296
    @mohammedali7296 4 หลายเดือนก่อน +2

    Masha'Allah Tabarak Rahman

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh

  • @KhalifaSally
    @KhalifaSally 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh naomba siku Moja uwaeleweshe watu nini maana ya aarafa na aarafa inakua wapi,,tafadhal,inshaAllah

  • @sammohd5119
    @sammohd5119 4 หลายเดือนก่อน

    ‎السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    Shukran sheikh for the darsa.
    Naoma utumie hapa hio link ama number ya Fatwa

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 หลายเดือนก่อน

      63.175.194.25/index.php?ds=qa&lv=browse&QR=40720&dgn=4&ln=ara

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 หลายเดือนก่อน +1

      حكم هلال ذي الحجة حكم هلال رمضان من حيث الاختلاف
      السؤال:
      انتقلنا بسبب ظروف معينة إلى السكن في دولة الباكستان، وقد تغيرت علي عدد من الأمور من أوقات الصلاة إلى غير ذلك ..... أردت أن أسألكم بأنني راغبة في صيام يوم عرفة، ولكن يختلف التاريخ الهجري في باكستان عن المملكة بحيث قد يكون التاريخ في باكستان 8 والذي يوافق 9 في المملكة ... فهل أصوم يوم 8 أي تاريخ 9 في المملكة أم أصوم على حسب تاريخ باكستان؟؟.
      الجواب:
      الحمد لله
      سئل الشيخ ابن عثيمين رحمه الله عما إذا اختلف يوم عرفة نتيجة لاختلاف المناطق المختلفة في مطالع الهلال فهل نصوم تبع رؤية البلد التي نحن فيها أم نصوم تبع رؤية الحرمين؟
      فأجاب فضيلته بقوله: هذا يبنى على اختلاف أهل العلم: هل الهلال واحد في الدنيا كلها أم هو يختلف باختلاف المطالع؟
      والصواب أنه يختلف باختلاف المطالع، فمثلا إذا كان الهلال قد رؤي بمكة، وكان هذا اليوم هو اليوم التاسع، ورؤي في بلد آخر قبل مكة بيوم وكان يوم عرفة عندهم اليوم العاشر فإنه لا يجوز لهم أن يصوموا هذا اليوم لأنه يوم عيد، وكذلك لو قدر أنه تأخرت الرؤية عن مكة وكان اليوم التاسع في مكة هو الثامن عندهم، فإنهم يصومون يوم التاسع عندهم الموافق ليوم العاشر في مكة، هذا هو القول الراجح، لأن النبي صلى الله عليه وسلم يقول (إذا رأيتموه فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا) وهؤلاء الذين لم ير في جهتهم لم يكونوا يرونه، وكما أن الناس بالإجماع يعتبرون طلوع الفجر وغروب الشمس في كل منطقة بحسبها، فكذلك التوقيت الشهري يكون كالتوقيت اليومي. [مجموع الفتاوى 20]
      وسئل رحمه الله من بعض موظفي سفارة بلاد الحرمين في إحدى الدول: ونحن هنا نعاني بخصوص صيام شهر رمضان المبارك وصيام يوم عرفة، وقد انقسم الأخوة هناك إلى ثلاثة أقسام:
      قسم يقول: نصوم مع المملكة ونفطر مع المملكة.
      قسم يقول نصوم مع الدولة التي نحن فيها ونفطر معهم.
      قسم يقول: نصوم مع الدولة التي نحن فيها رمضان، أما يوم عرفة فمع المملكة.
      وعليه آمل من فضيلتكم الإجابة الشافية والمفصلة لصيام شهر رمضان المبارك، ويوم عرفة مع الإشارة إلى أن دولة. . . وطوال الخمس سنوات الماضية لم يحدث وأن وافقت المملكة في الصيام لا في شهر رمضان ولا في يوم عرفة، حيث إنه يبدأ صيام شهر رمضان. بعد إعلانه في المملكة بيوم أو يومين، وأحيانا ثلاثة أيام.
      فأجاب:
      اختلف العلماء رحمهم الله فيما إذا رؤي الهلال في مكان من بلاد المسلمين دون غيره، هل يلزم جميع المسلمين العمل به، أم لا يلزم إلا من رأوه ومن وافقهم في المطالع، أو من رأوه، ومن كان معهم تحت ولاية واحدة، على أقوال متعددة، وفيه خلاف آخر.
      والراجح أنه يرجع إلى أهل المعرفة، فإن اتفقت مطالع الهلال في البلدين صارا كالبلد الواحد، فإذا رؤي في أحدهما ثبت حكمه في الآخر، أما إذا اختلفت المطالع فلكل بلد حكم نفسه، وهذا اختيار شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى وهو ظاهر الكتاب والسنة ومقتضى القياس:
      أما الكتاب فقد قال الله تعالى: (فمن شهد منكم الشهر فليصمه ومن كان مريضا أو على سفر فعدة من أيام أخر يريد الله بكم اليسر ولا يريد بكم العسر ولتكملوا العدة ولتكبروا الله على ما هداكم ولعلكم تشكرون) فمفهوم الآية: أن من لم يشهده لم يلزمه الصوم.
      وأما السنة فقد قال النبي صلى الله عليه وسلم (إذا رأيتموه فصوموا، وإذا رأيتموه فأفطروا) مفهوم الحديث إذا لم نره لم يلزم الصوم ولا الفطر.
      وأما القياس فلأن الإمساك والإفطار يعتبران في كل بلد وحده وما وافقه في المطالع والمغارب، وهذا محل إجماع، فترى أهل شرق آسيا يمسكون قبل أهل غربها ويفطرون قبلهم، لأن الفجر يطلع على أولئك قبل هؤلاء، وكذلك الشمس تغرب على أولئك قبل هؤلاء، وإذا كان قد ثبت هذا في الإمساك والإفطار اليومي فليكن كذلك في الصوم والإفطار الشهري ولا فرق.
      ولكن إذا كان البلدان تحت حكم واحد وأَمَرَ حاكمُ البلاد بالصوم، أو الفطر وجب امتثال أمره؛ لأن المسألة خلافية، وحكم الحاكم يرفع الخلاف.
      وبناء على هذا صوموا وأفطروا كما يصوم ويفطر أهل البلد الذي أنتم فيه سواء وافق بلدكم الأصلي أو خالفه، وكذلك يوم عرفة اتبعوا البلد الذي أنتم فيه. " [مجموع الفتاوى 19].
      63.175.194.25/index.php?ds=qa&lv=browse&QR=40720&dgn=4&ln=ara
      ¥
      ج: ص:
      85
      تعرف على الموسوعة الشاملة للتفسير
      حول المشروع•اتصل بناالمكتبة الشاملة الحديثة
      ¥
      --------
      ص85 - أرشيف ملتقى أهل الحديث - عاجل عرفة هل مع البلد أم مع السعودية - المكتبة الشاملة الحديثة
      --------
      الرابط:al-maktaba.org/book/31621/28587#p39

    • @sammohd5119
      @sammohd5119 4 หลายเดือนก่อน

      @@IzudinAlwyDin Jazak Allahu Khayran

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 4 หลายเดือนก่อน

    Hahaha 😂😂😂 SABABU SIO MRENGO WENU, MDIO MNASEMA HAYO NI MAONI YAKE.....

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sababu kadhi sio mrengo wenu, ndio maana mnalera drama

  • @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
    @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lazima tuufuate suudia kwa mwandamo hio ndo sahihi.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mijumba yote hayo 😂😂😂😂 mwezi hauonekani. Kila nyumba zikiwa refu sana basi mbingu huwa siko juu zaidi 😂😂😂

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa sasa saa za kuingia mahrib , hakuna tofauti , angalia time za swala ya Maghrib na Isha

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lau mtumie wa Allah angekua hai leo hii na akatangaza Arafah ni jumamosi, je kungekua na tofauti ama tofauti kwa wale ambao majira yao ni mamoja....?????

    • @hanswan1
      @hanswan1 4 หลายเดือนก่อน +1

      Swali zuri

    • @saidilikananowe1446
      @saidilikananowe1446 4 หลายเดือนก่อน

      Sheikh shida ilipo hata hao wa saudia ukiwapata taarifa umeuona mwezi hawafuati mpaka wauone kwao ndio utaratibu.

  • @fay9687
    @fay9687 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda darasani tena ukasomee subhanallah

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kazi Yakufuata Mkumbo Huna Ulijualo Nazaidi Niushabiki Tu Uliokujaa. Hivi Ikitokea Kwa Namna Yoyote Hawakusimama Katika Viwanja Arafa Basi Wengine Hatutaruhusiwa Kufunga. Naukumbuke Kabla Yahija Watu Walikuwa Wakifunga Tarekh 9. Funga Ilianza Kabla Yahija Nenda Kasomeshwe Maana Tukisema Utasome Itakuwia Ugumu.

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 4 หลายเดือนก่อน

      Ivi Mimi niwaulize Hawa wanaolazimisha kufuata arafa kisa mahujaji wanapanda mlima arafati kisa wameangalia kwenye tv, Sasa je wale waliopanda mlima arafati nao walimuangalia nani sazingine mtumie akili hata za kuzaliwa wenzenu wameangalia muandamo wa mwezi na nyie mnaangalia mahujaji, Sasa je kama saudia mwezi umewahi kuandama je??

  • @aniaabdul1465
    @aniaabdul1465 4 หลายเดือนก่อน

    Tumekuelewa vizuri

  • @SalumAlly-tt9rb
    @SalumAlly-tt9rb 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi Sheikh nikuulize kama ingetokea Mtume yupo hai mpaka sasa nae je tusige mfuata? Ama tungemwambia mtume kua iyo ni Arafa yako nasi tunasubiri yetu ?

  • @JabirAbdulhalim
    @JabirAbdulhalim 4 หลายเดือนก่อน +1

    We haujuwi kitu umesoma wapi babu

  • @NuurulHudaa
    @NuurulHudaa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hata hii eidul adh-haa kuitwa eidul hajj ni mbinu za mawahabi kutaka kuonesha kuwa ina mafungamano na hajj lakini hakuna kabsaa mafungamano hizi ni عibaadah mbili tafauti

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 หลายเดือนก่อน +1

      Thibitisha

    • @DaudiDigo
      @DaudiDigo 4 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi ndio watu mumekuwa programmed.Hivi huyu shekhe hukumsikia akithibitisha?​@@warshysaid8564

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona huiti huo mwezi Dhul Adh-ha

  • @MaliMohamed-sc2gt
    @MaliMohamed-sc2gt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ata hujui unalo lisema ulikuwa upewe chief kadhi......mwaenda kufanya nini makah kama hawamuwataki..watu wa mwaka ...fanyeni lamu na mamburui

  • @suleimanseif5167
    @suleimanseif5167 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah ❤

  • @iddimohamedi4861
    @iddimohamedi4861 4 หลายเดือนก่อน +6

    Sheikh yupo kimsimamo sio kidini, dini inahimiza umoja. Na ktk Uislam hakuna usaudia wala ukenya Uislam ni kufuata Qur'an na sunnah, . Na kufunga tunafuata kisimamo Cha Arafa sio tarehe.

    • @RamadhaniAthumani-d5h
      @RamadhaniAthumani-d5h 4 หลายเดือนก่อน

      Naombaa dalili ndugu yangu kmaa tunafutaa kisimamo sio tatehe 9

    • @mustafahkapopwa-bi7yb
      @mustafahkapopwa-bi7yb 4 หลายเดือนก่อน

      sasa zama zile mawasiliano ya ki technology ayakuwepo vipi wa islamu wa sehemu za mbali walikuwa wa kiijua leo ndio kisimamo cha arafah basi tu funga jamani , ndugu yangu acheni kufuata mafunzo maovu ya kiwahabu

  • @hamisamadimpozi5923
    @hamisamadimpozi5923 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaahalla ❤

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nitaifuata saudia nikiwa arafa nikiwa makka sionikiwa afrika

  • @shabanabudalah
    @shabanabudalah 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hujijui unganisha uma sio kufarakanisha.wemwisho utaacha kwenda kuhiji kwachuki hiyo.

  • @abrahmanmussa697
    @abrahmanmussa697 4 หลายเดือนก่อน

    Saaaf saaaanaaaq

  • @ismailkimani7553
    @ismailkimani7553 4 หลายเดือนก่อน

    Tufuate arafah ya Mombasa au?

  • @abuuaminahramasele4821
    @abuuaminahramasele4821 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona marejeo ya fatwa hautaji vizur? Sasa fatawa juzuu 20 ndo nin? Maliza vizir marejeo
    Kisha ukiskiza vizur hapo ilipotajwa juzuu 20 kuna maneno yamekatwa.

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 4 หลายเดือนก่อน

    Iddu ni jumapili mcheni Allah

  • @msalamsaid7845
    @msalamsaid7845 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanadai Sheikh izudin amekhalifu kadhi Na wao wamekhalifu Ibn kutheimin

  • @moshikassim9854
    @moshikassim9854 4 หลายเดือนก่อน

    Duh! Sheikh anasema hata wanazuoni wote wa huko Suudia waseme tuwafuate hatuwafuati 😂😂😂

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 หลายเดือนก่อน

      Sababu hakuna hoja hata moja watakao isema kua nilazima tuwafuwate . nauzuri ukisoma hao wanaojulikana wote wasema kila mtu afuwate kwao.

  • @Captainome
    @Captainome 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka eid dul fitri mlimpongeza sana chief kadhi mkatangaza nae jopoo la makhurafi leo mwamdhalilisha kwakua amesimama na msimamo wake na dalili za quran na sunnah,in shaa Allah mtazidi kudhalilika kwa tabia zenu mbaya jitu la bidaaa.

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Sheikh kama humfahamu utabaki kumshambulia kwa matusi tu baaaas

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza hatutaki umoja na Suudia nawaende zaoo

  • @Captainome
    @Captainome 4 หลายเดือนก่อน +1

    Izudin ustake kututatiza bana mwenzi huonekana kwenu lamu,kipini malindi kwale mkaukata utaukubali mwenzi wa meru na embu wacha maneno ya kipotofu bwana.hizi kauli zako ndio hufaya mtu mfano wa mm nkakujibu kwa upotofu useme umetukanwa.

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 หลายเดือนก่อน

      Captainnome ushajijibu kwamba hata lamu kwao ,kipini wanaukataa ,basi ujue ni izzudeen ni mtu wa kutafuta uhakika na usawa wala hashabikiii,wengine wanafata mwezi kwa kushabikia,aah jirani yuko saudia asema kesho idd haya na Mimi ni idd,nauliza wakati wa mtume kulikua na internet ,kulikua na simu,sasa walioko miji ya mbali ilikuaje ,hivi saaa kungekua hamna WiFi wala simu sijui fidhuli zingetoka wapi,

    • @MulhanMohamed
      @MulhanMohamed 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wacheni kupinga tu msikilizeni vizuri na mumuelewe sio kumpinga tu tushawazoeya tabia zenu na mwenyekusema kweli hapendezi

    • @Captainome
      @Captainome 4 หลายเดือนก่อน

      @@MulhanMohamed ukweli gani anaosema yeye ki laeid mzozo lazma waaze wao kelele kelele tumfwate kadhi leo vp eid fetri mlikuwa nae mkampa waua yake leo mwanza mizozo wacheni kufarakanisha watu.

    • @Bombwejr18
      @Bombwejr18 4 หลายเดือนก่อน

      @@abdab8466 kulikuwa hakuna Internet wala technology kwa maana taarifa kulikuwa hakuna ililazimu kufanya hvo sasahivi tunaona watu wako makkah mahujaj wanasimama Arafa hii nayo Tupinge au tuwe afrika mashariki tunaendana masaa sawa kabisa na saudia na hatutaki kufata twaleta hoja ya mtu wa Australia au Switzerland itakuaje sasa sisi hatuko Switzerland wala Australia na hiyo sio hoja ya kutegemewa Tufate haqi kama sheikh anaongea haqi ifatwe bila kuleta sababu zingine na hakuna nchi inayopishana masaa 24 duniani sijui kama ipo

  • @mohamedmsama4833
    @mohamedmsama4833 4 หลายเดือนก่อน

    Shek mambo haya magum kueleweka sababu hata hicho chombo unacho tumia zamani hakikuepo ndege unazo tumia kwenda hija hazikuepo na tarehe zako ukifika macca za zanzibar unazitia kwenye majuba yako

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 4 หลายเดือนก่อน

    Miongoni mwa Matwariqa wakubwa ni huyu jamaa

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 4 หลายเดือนก่อน

    Shehke sisi tuko nyuma yako maadamu haiki ikowazi batwiri ikowazi bali kunaviziwi hawasikii wajijue wenyewe

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waambiee

  • @zeynaaly1948
    @zeynaaly1948 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sadakta sheikh Izudin tumekuelewa

  • @Rashaad-p3v
    @Rashaad-p3v 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hamupati maslahi
    Kwa wasaudi ndio mukawa na chuki

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 หลายเดือนก่อน +2

      ndugu yangu ungekua umesoma dini hungesema hivyo maana hakuna mwana wachuoni hata mmoja alioko sudia alio sema tufunge na sudia hata wao wasudia wana sema kila moja afunge kwa mwezi wao na ukitaka mm nitakupa fatwa zao sema ww wataka wanachuoni wangapi kama wawajua majina yao . ndipo utajua nichuki aw nidini ? soma kabla hujasema usihukumu watu kabla hujasema unavho kiandika utakitolea hoja siku yakiyamaa.

  • @fay9687
    @fay9687 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu kasimea wapi subhanallah

  • @nehembajoh1524
    @nehembajoh1524 4 หลายเดือนก่อน +3

    Eid Sunday inshaAllah

  • @Absalam-i1j
    @Absalam-i1j 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh makosa kulinganisha mambo ya dini kwa diplomasia na siasa za nchi , haimanishi kwamba saudi kama hasemi na yemeni, hasaidii palestina au iraqi haiwi sawa kwenye mstari wa sheria ,tunaangalia umoja kwa ibada dini ni ibada , usichanganye umoja wa ibada na umoja wa kidemocrasia au diplomasia, nyinyi mumekuwa wakwanza kusema tufate kadhi kwa lolote lile leo kadhi mwamkataaa mwaja na fatwa zenu kundi lenu maamuzi yenu kama si chuki ni nn, lkini muhimu ni kuwa twaenda ,tushawaambia hamukutaka kufata kesi iko kwa mungu tutajua nani mkweli nani muongo lkini acheni kuchezea akili za watu na falsafa nyingi ambazo hazina maana

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hili amefeli ukweli

    • @zeynaaly1948
      @zeynaaly1948 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@Khalid-mf3iu sheikh ametoa hoja kadhaa na ww tupe zako za kisheria tujue kweli km umesoma na una elimu au wafata kundi tu

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Khalid-mf3iuhajafeli ulofeli ni wewe,wayas aloonak anil ahilla ,na wauliza kuhusu Miandamo,sio kuhusu muandamo

    • @DaudiDigo
      @DaudiDigo 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acha porojo.Waisilamu wote ni ndugu.Haiwezekani Waisilamu wanachinjwa na Wayahudi pale Palestina huku Mawahabi Suudia wanakunywa kahawa na kina Blinken,Wangereza, Wafaransa na Mayahudi.Tunajua historia ya Uwahabi na malengo yake.Kama watska kufuata Suudia fuata.Usilazimishe watu

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 4 หลายเดือนก่อน +1

    KUMEKUCHA TENA... DRAMA ZIMEANZA. HAKUNA MIEZI YA DRAMA ISIPOKUA MUANDAMO WA RAMADAN, SHAWAL NA DHUL HIJJA

  • @ALLYMATIMBWA-cz3zg
    @ALLYMATIMBWA-cz3zg 4 หลายเดือนก่อน

    Kwann amusomi aya na hadidhi mnasoma maelezo ya mashekh tu somen na aya zinazo wataka waisilamu wafanye ibada zinazo beba uisilamu tupishane ata mashekh wanasema maneno yao yasifatwe kam ayatoendana na aya au hadidhi

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 4 หลายเดือนก่อน

      Hao masheikh ndio wanaotegemewa ktk kutafsiri Quran

  • @hassanislam1796
    @hassanislam1796 4 หลายเดือนก่อน

    شيخ العبرة في المملكه

  • @FatihTahir-jh3pj
    @FatihTahir-jh3pj 4 หลายเดือนก่อน

    Khurafi mkubwa

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 4 หลายเดือนก่อน

    NAOMBA KUULIZA MBONA KUWE NA SHIDA NA KISIMAMO CHA HIYO SIKU NI KIMOJA

  • @AlykhamisameAme
    @AlykhamisameAme 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 4 หลายเดือนก่อน

    حجوا لرؤيتها وعيدوا لرؤيتها رواه ابا كنافة

  • @Absalam-i1j
    @Absalam-i1j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Swali ni hili umesema mtume kasema mutakapouona mufunge , haya twende ki akili ya upuzi hajj ni arafa , jamaa huko saudi waliona mwezi wakaanza mwezi wa dhul hija nyinyi kenya hamkuona sasa mutakua sawa wakenya msifunge muwe na arafa yenu , mbona hamtumiii akili

    • @Nema-ux7my
      @Nema-ux7my 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio akili Hauna napia walimu hauna

    • @DaudiDigo
      @DaudiDigo 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi wewe ndo unaakili sana.Sisi tunauji ndani ya vichwa.Fuata Suudia lakini usilazimishe wengine.Usituletee mambo ya New World Order.Hiyo ndiyo sera yenu

  • @Rashaad-p3v
    @Rashaad-p3v 4 หลายเดือนก่อน

    صحيح

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chuki pia mko nayo na saudiya

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu Yasin Wallahi zako ni chuki dalili huna lete Aya ama hadithi inayo sema tufuate suudia nenda ukasome Wacha kukurupuka na mola akuongoze kwa hili

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu Yasin Wallahi zako ni chuki dalili huna lete Aya ama hadithi inayo sema tufuate suudia nenda ukasome Wacha kukurupuka na mola akuongoze kwa hili

  • @ramabelove9218
    @ramabelove9218 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie mashekh mbon mnapotosha watu mnawakosesha ibada watu kwanin mwafanya hvyo arafa inapatikana wp achani hizo mashekh nyie

  • @HusseinNasibu-gi9dg
    @HusseinNasibu-gi9dg 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo huyo ibn uthaimin ndo alosema burudai haifai na nyinyi bado hufata burudai . Je hungilika akilini ? Ikiwa mumeamua kumfuata uthaimin basi mfateni na maneno yake ndani ya hicho kithabu . Mbona kisha hurudi nima mkanena burudai hufaa

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 หลายเดือนก่อน

      kumbe hamutu elewi twasema nn? cc hatuna jambo hata moja twamtegemea ibn othaimin wala ibin baaz cc tuna wana zuoni wetu walio bobea katika kila fanni zakiilimu ywawategemea . lakini twa wambia wale wanao mkubali huyo bin uthaymin nakutaka na sisi tifuwate sudia jawabu lao hilo.

  • @YasiniMikidadi
    @YasiniMikidadi 4 หลายเดือนก่อน

    hili limekuja baada ya hesabu zako za mwezi ramadhani zimekutia aibu ulisema tusifate saudia haya leo mfungo 9 na chanel zote zaonesha watu wako eneo la arafa na hukukwetu ni mfungo 9 haya umepata aibu umefunga siku28 naleo hii unafeli shehe

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 4 หลายเดือนก่อน

    Si usha sema Serikali ya Saudia ni makafiri ? sasa shida nini

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 หลายเดือนก่อน +7

      Samahani sana mm sijawahi kusema sirikali yasudia nimakafiri wala sitasema hivyo bt nasema serekali yasudia haifuwati dini yafuwata maslahi

    • @zeynaaly1948
      @zeynaaly1948 4 หลายเดือนก่อน +1

      Duh yan ww jamaa unachuki na sheikh Izudin kiasi kwamba sasa umeanza kumzulia mambo yasio eleweka unabeba jukumu kwa Allah safisha moyo wako

    • @Bombwejr18
      @Bombwejr18 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@IzudinAlwyDin kama wanafwata maslah Tunaomba usahihi tuende kuhiji au tusiende kuhiji maana s wako kwa maslahi watu wasiende kuhiji maana hata hijja zao zitakuwa mtihani au?😢😢🤔

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Bombwejr18usiongee kwa jazba! Nikweli Saudia haiko kidini zaidi iko kimaslahi, jua hivyo tu kutokana na mambo yanayo endelea huko suudia namabadiliko yanayoidhoofisha dini! Naukisema wasende hijja unakosa ufahamu! Nilazima kwenda hijja kwavile huko ndiko iko Qaaba na miji takatifu kijograf iko hivyo huezi badilisha, inatulazimu kwenda,lkn taifa hilo limeungana na maqafir kwa maslahi yao wachache,nasio ya dini kote duniani wanatazama Alqaaba lau lingekuwa na uwezo hata wangeangamiza maeneo yote matukufu Allah anajua zaidi, macho ya qafir yako huko ni lini waipate nafasi, lkn Kwa uwezo wake Allah hawawezi fungua macho namasikio

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nauliza tu sheikh je nini maana ya funga ya Arafat je nikufunga Siku ya kusimamo cha arafa au kufunga mwezi tisa? Naomba ufafanuz tafadhal

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 4 หลายเดือนก่อน

      Fuqahau na ulamaa wote wameeleza kwenye vitabu funga ya arafa ni mwezi Tisa wala sikisimamo Cha arafa na kama ni kweli funga ya arafa Ina mafungamano na kisimamo Cha arafa basi funga ya arafa ingewekwa kwenye mlango Hajj lakini kwenye mlango wa Hajj haipo Bali funga ya arafa Iko kwenye mlango wa swaum na hili laonyesha wazi ya kua hakuna mafungamano kati ya funga ya arafa na kisimamo Cha arafa na zaid soma tarekh ya mtume aliswa idul adha mwaka wa pili wa kiislamu na kufunga saum ya arafa na hijja hakuna

    • @hamisiswaleh7330
      @hamisiswaleh7330 4 หลายเดือนก่อน

      Shekh kufunga siku ya Arafa ni Siku ya Tisa, Na Wala Sio Siku ya kisimamo, haijaandikwa ivyo

  • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
    @JUMAKANYEBWE-hy7ge 4 หลายเดือนก่อน

    Siku ni moja tu mungu husamehe mengi kusudi utajua hujui