MKOBA WA MAMA Episode [ 25 ]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- kikubwa ni kutunza UTAMADUNI watu wengi wanashindwa kurithkitui utamaduni wao kwasababu ya tamaa za kidunia fuatilia hadithi hii utajifunza kitu kikubwa sana kwenye jamii inayokuzunguka
Tanu plus+ Clam Vevo Mwakatobe Kipara Vevo kipara Brand Swahili Movie Bongo Movies Bongo Movies bongo Movies Kipara Comedy Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Kicheche family Kicheche Comedy Clam Vevo Movie Mwakatobe Movie Clam Vevo Comedy Mwakatobe Comedy Big Boss Full Movie Kicheche Comedy 2024 Clam Vevo comedy 2023 Clam Vevo comedy 2024 Bongo Movie Mpya 2023 Bongo Movie Mpya 2024 Bongo Movie Mpya 2023 Bongo Movie Mpya 2023 Watakufa Saa 6 Episode 1 Watakufa Saa 6 Full Movie Swahili Movies Full Tanzania Bongo Movie 2024 Full Movie Bongo Movie 2024 Full Movie Bongo Movie 2024 Full Movie Big Boss Full Movie Season 2 Boss Mchawi Shangazi Kaja Kobe LA Mchana KIBURI Full movie Mistake Full Movie Snake boy Season 2 Maiti Yangu Full Movie Snake Boy Season TwoSwahili MoVies 2023 Swahili MoVies 2023 African MoVies Based on True Story Full African MoVies African Full MoVies Ting Arg MoVies Ting Arg MoVies Kenyan Comedy Somali Comedy Bongo MoVies 2023 Full MoVie Ting MoVies Ting MoVies 2024 Swahili Recap Swahili Recap Swahili MoVies Full Tanzania Kenyan Comedians Videos Mapenzi Tanzania MoVies Zambian Comedy Videos Tanzania MoVies 2023 Mapenzi LIVE TH-cam Tanzanian Comedians Kenya Short Film Kenyan Comedians Ugandan MoVies 2024 Comedy Uganda Latest Tanzania Comedy 2024 Nigerian Episode MoVies Ugandan Comedy Videos Nigerian MoVies Full MoVies African MoVies African MoVies Nollywood MoVies Full MoVies Nigerian MoVies From TH-cam Kenyan MoVies Kenyan MoVies African MoVies Nigerian MoVies New African MoVies on TH-cam Nigerian MoVies Nigerian MoVies Recently Watched African MoVies South African MoVies Full MoVies Recently Watched Nigerian MoVies Nigerian MoVies Latest Full MoVies Ghanaian MoVies 2024 Full MoVies Nigerian African MoVies on TH-cam African MoVies 2021 Nigerian MoVies African MoVies 2022 Nigerian MoVies African MoVies 2023 Nigerian MoVies African MoVies 2024 Nigerian MoVies Ghana MoVies 2022 Latest Full MoVies Ghana MoVies 2023 Latest Full MoVies Ghana MoVies 2024 Latest Full MoVies African MoVies 2023 Latest Full MoVies Latest Nigerian Nollywood MoVies 2023 Kenyan MoVies 2023 Latest Full MoVies Kenyan MoVies 2024 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2023 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2024 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2022 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2024 Latest Full MoVies Burundian MoVie Burundian MoVies 2024 Nigerian MoVies 2023 Nigerian MoVies 2024 South African MoVies 2024 Latest Full MoVies South African MoVies 2023 Latest Full MoVies Swahili Comedy Rwanda Swahili Comedy 2024 Kenyan MoVies Swahili Kenyan MoVies Swahili Kenyan MoVies Kenyan MoVies Kenyan MoVies Swahili Comedy Burundi Swahili Comedy Burundi African Nollywood MoVies Latest Nigerian MoVies Kenyan Comedy Kenyan Comedy Kenyan Comedy Swahili Comedy Tanzania Swahili Comedy Tanzania NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE
Kweli dam nzito kuliko maji matatizo yamempata tanu dada ake anamwaga unga jamani mungu uyu
Kabisaaaa
Umeonaer
Safi sana,alieuwa kauwawa.Muhina abari yako kwisha.
leteni maiti ya Tanu.Mwanji azidishe usiriazi wake.
Enhee sasa tunasawazisha akili kisha tunaendelea na kazi 😊
Tanu pongezi sanaaaaaaaa Kwa kazi nzuri na team yako pokea maua yenyu ❤❤❤lakini nampenda sanaaa nibla
Nimependa sana ujasir wa mwina hakika nataman Bado uendelee kuwa kubwa la madui mpaka hatua ya mwisho wa hii move.😅😅😅
Muhina kwishaaa ila sina hakika kama kafa kweli uyu
Hakuna episode imenichekesha kama hii😂😂😂 mnaenda kuua mchaf na fimbo mmekwisha woteeeeh
😁😁😁mwina amekwisha nimependa iyo na mimi nawaunga mkono ningekuwa karibu ningewasaidiya mwina mtoto mbaya mauwa yentu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️🇧🇮
Kazi nzr ttimu mkoba wamama ilanazani muhina hawezi kufa atapata.msada kwayule mganga
Nice sana kaka tanu, unaweza
Umetisha Sauda umeonyesha hasira zako bigup sana nimefuraishwa na ww ktk wote
🙏🙏🙏🙏
Good nice one job tanu🎉🎉🎉
Kazi safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Nazani ameisha mhina, na kama atapona tena hapo naacha kufuatiliya mkoba wa mama naenda kwenye mkoba wa Bibi.😂😂
😂 kwahiyo mwendo wa kuhama 2 angalia ucje ukarithi mkoba huko kwa bibi😂😂
Leo mapema sana
Dada Sauda❤ nakupenda bure❤❤
Nakupenda pia🕴🙅
Tanu ulipo nipo❤❤❤
Nakubal TANU,mwamba unajua mpaka basi
Funga funga tuondokee mamaa mchawi hana huruma mamaa😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂mchawi Aliua babaaa....uyooo akaua mamaaa uyoooo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂the comment nyengine ni shida tupu ipo siku mtakuja nivunja mbavu zangu wallah tena 😂😂😂😂
@@ramakinjoi4063😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo dk mmeweka chache jaman
Wao leo nimewai kidog nawapenda wote team tanuu❤❤
😂😂😂nashuku kwa huu Wimbo sibomana ndio anasema hiloogogooooleee😂😂😂sibomana nakujua vizuri Huna dogo😅😅😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anasemaje
😂😂😂😂😂😂 mnamuonea sibomana
😂😂😂
@@E.M-i2s awalai ndie mskize vizuri
Kwani tanu ndo kafa jmn mbn km siamin na kuto kuelwa 😢
Jamani wa kwanza kutoka kenya 🇰🇪 like 5 tu
Haya nakupa mkenya mwenzangu
@@MWANAISHAMTENGO hata mm nakupa mkenya mwenzangu 😂
Nzuri sana
Mambo 🔥🔥🔥🔥🔥
Sauda bwana sjui unajikuta nan shogaang kuna kipand nimekirudia mar mbil nimepend ulivojipig fua 😅😊🎉❤
😁😁😁😁shozniga🏃🏃
Asante sana mkuu kaka Tanu
Oi NDUNGURU nimewai leooo...😊
Team Mhina tupo hapa hatushindwi. Na huyu mganga mpya hatoboi atakufa mapema sana😂
Kazi nzuri sanaaa
Nimeikubali hii sehemu sana
Tunaoikubal hii movie gonga like
Nimeisubir sanaa
Wanao kubali movie hii tumpe matunda yake tanu🍒🍒
Jamani napenda muvizenu
Leo mapema mapema nimewai mwenzenu
Mwanji ana mkwala
Yani kani furahisha Sana
Wa kwanza Leo😂😂
Jamani Mimi Leo wa kwanza nna ombeni like zenu
Team furus team WiFi team kupambana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 aya tusalimiane jamani 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Nilikuwa naisubilia kwa ham sana
😂😂😂😂😂😂Mwanji anafoka leo 😂😂😂😂😂nmechekaaaaaaaa 😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂
kazi yang pendwa xn
Akwanda ❤❤❤❤❤
mwanji jamni anatumika tyuuu bila msaaada yani mpaka hurumaaaa jamani yoote hayo kwasababu ya mkewe na mdogo wake naaamini km si hibo hivo haya mambo yasingekiwa hivo kwake pole mwaya mwanji yatakwisha tyuuu
❤❤
Muhina ana Ro 7 ya paka atakufa Kweli 🤔 ila akifa ntasherekea......🤣🍾🥂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Adui akifa mchezo unakua umeisha muhina ndo ananogesha umu
@@Gmama264 🤦🤦
KARIBUNI SANA KUTAZAMA MKOBA WA MAMA EPISODE 25, HAPA NI NYUMBANI KWENU.
Tanu unatukawiza sana
Unachelewesha sana
Unachelewesha@tanuplus
Tunaosubiri kuona mwina adhalilike nipeni likes zangu hapa 🎉
Team Tanu 2ko pa1❤❤
Wa kŵanza leo
Muhina unastahili kufa ubaya hulipwa Kwa ubaya
Timu Mhina aya tupo hapa hadi mtuuwe .Kama unamkubali Mhina Twende kazi
Wa pili Leo jamn nipen like zangu
Hii ni ndoto sisi team Mhina hatufi kizembe hivi
Good job
Tanu to the world tupe like
Mina loba like zangu
Unaloba acha ufala
@@mohammedkidody5618😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Saudaaa🙌🙌🙌😂😂😂Muhina kimemramba leo😢😅😅😅
😁😁😁akacheze anapo chezaga
Thanx tanu nice work from Kenya
😂😂😂😂😂😂 munaenda uwa nyoka pôle muina ata wauwa
ndo mana hatuponi waganga nao wanapeana rushwa na ahaadi tele tele kupeana za kusaidiana kuuendeleza ubaya 😢😢 daaaaah mganga mungu aiseeee ambaye haonekani wala hapewi rushwa mungi tusaidie maisha ya duniani yanasiri sana unaemuamini kumbe ndo hatari kabisaaaa hafaii
😁😁😁rushwa ni kanga la kitaifa
@@mjapanitz kabisaaa yanii daaaaah
first one
Nimeshindwa kujizuia nampenda nibra sanaaaa mwenzenu
niko nanyie mwazo mwisho paka na me niwe mchaw
😂😂😂
😂😂😂
Kila ikiendelea inakuwa yamoto sana❤❤❤🎉🎉🎉
Wakuanza Leo 😊
#Safi🔥
🎉Mauá yenu
Sauda bn😂❤
Mkoba WA Mama tunawapenda sana
Team Tanu 🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri tanu Big up sana
Vijana mnaweza nakubali
Changa moto bado zipo sna movie saut sehemu nyingne akuna
kuweni makini mhina afi kizembe😅😅 ila sauda haujamchoma kweli bana
Kwishaaaa
@@mjapanitz ile ni ndoto kunamtu anaota😂😂
@@fatmamohammed8346 na ww nimekuona hapo😆🤣
Hellow
Nilikuwa na Kesha hapa kusubiliya please like jamani hata tano 😢🇴🇲🇹🇿🇴🇲🇹🇿
Tamu zaidi yan jana 👏
Nibra nakupenda ❤❤❤❤❤❤❤
Hatariii sana
Niko ndani❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nawakubali sana
Woooooow mhina kula chuma nimeipenda sana hiyo Wacha afe huyo shetani
❤❤❤❤love movie
tanu uko vizur ila utapata kwel pis kal
Mhina wewe ni mwamba "legends never die even when they disappear still they exist"
Kaz nzur haicherew honger Sana.
😂😂😂 mwina kawekwa mtu kati ila ataluka hicho kiunzi tu😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂muhina kwakweli tubaki tunashangaa tu 😂😂😂😂😂😂
BONYEZA LINK KUWA MWANAFAMILIA WA GROUP LANGU LA WHAT'S APP chat.whatsapp.com/HG7C7fbwALY5Q53Soekch3
Samahani link haikubali 🙏
haikubali mbona
Hata mm nimejaribu imeshindikana
Napenda sana kbs❤❤❤❤
😂😂😂😂jamani dadake Tanu amekanyaga😅😅😅
😁😁
@@mjapanitz autaki mchezo 🤣🤣🙌
shukran team tanu
Hope hitakuwa ni ndoto itakuwa ni kweli
Wakwanza
Move imenoga wewweee Kutoka Zanzibar tuenjoy kupitia tano
Sawuda mmmh unakisirani tena wewe uhakikishe umemaliza kabisa
😁😁kwisha habari yake muhina
Waaaah tanu wetu ako wapi