UKOMO WA MADARAKA UNAWAHUSU VIONGOZI WOTE WA KISIASA BILA KUJALI WANAJITOLEA AU WANALIPWA MISHAHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 วันที่ผ่านมา +5

    Chadema inakwenda kuanguka vibaya hata kuliko ilivyokua kipindi cha Zito.

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo4041 2 วันที่ผ่านมา +3

    Siasa tamu sana😂😂 yaani kidogo ufe lakini bado upo😂 katiba ni kwaajili ya raia sio wanasiasa sisi raisi hatuusu lakin tunahitaji katiba inayolinda mali zetu sio za ninyi washenzi😅

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 2 วันที่ผ่านมา +2

    Uko vzr sana

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 2 วันที่ผ่านมา +1

    na mimi si bachala na kigezo cha kugombea urais ni bachala .Nigombee hafa kupitia JAHAZI ASILIA au TADEA ilimrad tu TBC wawe wanautaja wasifu wangu kwenye TV

  • @ubunifulifestyle3492
    @ubunifulifestyle3492 2 วันที่ผ่านมา +2

    Upo sahihi

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 2 วันที่ผ่านมา

    Watu tuna macho tofauti wengine wanaona mita moja wengine wanaona mita mia,,hata uelewa tupo tofauti,,wasio kuelewa uwasamee bule mwamba,,

  • @RonneyMdede
    @RonneyMdede 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hawez kuongoza taasis kubwa kama chadema

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 วันที่ผ่านมา

      Nyie mnamuhitaji mfalme Mbowe sasa ondoweni neno demokrasia sasa.

  • @levinsonibikongoro817
    @levinsonibikongoro817 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa anautaka Uongozi Kwa NGUVU sana ila naona unashindwa Vibaya ACHA kulalamika tafuta kura

  • @CelinTonny
    @CelinTonny 2 วันที่ผ่านมา +2

    Omba kura acha majungu Lissu

  • @deogerald7828
    @deogerald7828 2 วันที่ผ่านมา

    tamaa ya madaraka

  • @simonmagembe7416
    @simonmagembe7416 2 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sahihi Mhe lissu

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 2 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu 21 tena

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sikuwahi kumfahamu Lissu katika uhalisia wa ngozi yake. Naona kama kabadilika ghafla na ukinyonga nyonga unaanza kujianua! Tutarajie mengi ya kutuacha .idomo wazi!

  • @Nepasaka
    @Nepasaka 2 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kama utapewa uwenyekiti harafu ukakimbilia ulaya chama kitabaki nani kweli chadema inaelekea kuzimu

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kibaraka lissu

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega 2 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu mbona nalalamika sana huwenda usishinde kabisa we ni kama mpinzan chadema saiv

  • @absm8084
    @absm8084 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tulishawaambia CCM ndiyo pekee itakaa kwenye nchi hii
    Kama ninyi mnasema democracy ila ukigusa nasi ya mwamba unachinjiwa baharini😂😂😂

  • @StevenJackson-m8g
    @StevenJackson-m8g 2 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe mzee omba kula sio kujib mambo mengi unaribu san

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaomkashifu lisu wote na wajinga hawana akili,

  • @TonTz-x3k
    @TonTz-x3k 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani naombeni sapoti na mimi huu ni wimbo wangu wa kwanza 👇th-cam.com/video/1ZWfNZXDw5E/w-d-xo.htmlsi=MJvvZ0HJLC9AErcc

  • @Walterputin-xn2dl
    @Walterputin-xn2dl 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hulka ya huyu jamaa hafai kuwa kiongoz , mbowe aendelee kidogo au heche apewe hicho kijiti