INATISHA: Jinsi Elon anavyotakiwa kulipwa zaidi ya TZS Trilioni 116, haijawahi kutokea!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 72

  • @AbdallahMohamed-en9ko
    @AbdallahMohamed-en9ko 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kama ni haki yake kulipwa ni sawa sawa kbs

  • @msafirimahenge729
    @msafirimahenge729 หลายเดือนก่อน

    Hongera zake mkaribisheni Tanzania aje kuwekeza kama Aliko dangote

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 2 หลายเดือนก่อน +1

    masubi your the best

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unaweza kusema kwamba kuna watu pesa imewachagua 🤔

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau 2 หลายเดือนก่อน +7

    B mkubwa asiione hii anaweza akaenda kukopa

    • @JundikiFoodproduction
      @JundikiFoodproduction 2 หลายเดือนก่อน

      😅

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 หลายเดือนก่อน

      Daaaa😂

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @emaneez
      @emaneez 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂ety kama nimezipatia mana mazero nimengi sana😂😂😂😂😂😂

  • @universalenergy8060
    @universalenergy8060 2 หลายเดือนก่อน +1

    For those trading on tesla stock tomorrow we are flying to the moon making profits.Kushuka its normal there are ups and down on any trading pair in financial markets considering price actions and technical analysis.

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina หลายเดือนก่อน +1

    Alafu kuna mtu yuko jela kisa anadaiwa 500,000

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 2 หลายเดือนก่อน +3

    HELA ALIZOLIPWA ILIZIISHE KILA CKU ALE BILION 12

    • @mamilafx1225
      @mamilafx1225 2 หลายเดือนก่อน

      Daaaah!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @justin-ds2qp
    @justin-ds2qp 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ansate nasikiliza kutota lusaka

  • @imanuelizeboss4143
    @imanuelizeboss4143 หลายเดือนก่อน

    utakatishaji wa pesa

  • @evelynemugeni2369
    @evelynemugeni2369 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tesla Zinatengeneza na madili kutoka congo 🇨🇩 😢

  • @boniphace1
    @boniphace1 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bajeti ya Nchi ya miaka 5.
    Kwa lugha nyingine anaweza iongoza Tanzania kwa pesa yake bila mchango wala mkopo wa nchi yeyote kwa miaka 5😅

    • @boscomakala.3923
      @boscomakala.3923 2 หลายเดือนก่อน

      Miaka 6 kaka

    • @BabasahdSahd
      @BabasahdSahd 2 หลายเดือนก่อน

      Ujasoma vizuli hyo pesa ukigawa nkama miaka 87.8😅😅😅cacaculet

    • @BabasahdSahd
      @BabasahdSahd 2 หลายเดือนก่อน

      Kwamwaka nitilion Moja point tatu gawa malatilioni miamoja kumi na sita😂😂😂ww

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndo maana halisi ya alienacho ataongezewa na asienacho atanyanganywa hata icho alicho nacho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 2 หลายเดือนก่อน +1

    Taarifa njema hii Ngoja nimsanue Mama

    • @emmanuelfari8924
      @emmanuelfari8924 2 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @emaneez
      @emaneez 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @Harexo
    @Harexo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kapania kuwa number moja.... 😂

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 หลายเดือนก่อน +7

    Maskin ya mungu tuliozongwa na madeni tunabakia kuguna TU um! Umasikini mbaya jamani. Usikie TU kwa jirani EE MUNGU TUSAIDIE

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana usilalamike kwa kiasi kikubwa hivo!! Imeandikwa hivi, lakini ole wenu ninyi mlio na mali, kwakuwa faraja yenu mmekwisha kuipata, Luka6:24-25. Mathayo 6:24 inasema hamwezi kumtumikia Mungu na mali, yaani hamwezi kuwatumikia mabwana wawili. Kwahiyo hawa watu wenye fedha mingi ujue hawamhitaji Mungu. Lkn mwisho wao ni kilio kisichokuwa na mwisho. Nakuombea uwe masikini tu lkn usikose kuingia katika ufalme wa Mungu. Haleluyaaaa!!

    • @fasconeroh8740
      @fasconeroh8740 2 หลายเดือนก่อน

      Maden mzigo sana

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-cw8zn2dn6m je sulemani hajaiona pepo, usiwafanye wakristo kuupenda umasikini, zaburi 24;1 - sasa kama vitu vyote ni mali ya bwana wetu YESU KRISTO,, inapaswa wakristo wavimiliki kwa nguvu zote.

  • @iSsaNyamaisa
    @iSsaNyamaisa 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani ukiwa mkulugenzi unalipwa ama unajilipa ?

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 2 หลายเดือนก่อน +1

      Biashara ya kwako ujipigi isabu.

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 หลายเดือนก่อน

      KIBIASHARA unalipwa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mfumo wa Marekani ni mgumu kidogo Kule kila biashara lazima iingie kwenye soko la hisa ili kila mtu anunue, kwahio wanahisa wanateua mkurugenzi na anakuwa na mshahara wake, sema kwa wenzetu mkurugenzi anakuwa na hisa pia kwenye umiliki wa kampuni hivo basi atalipwa mshahara pamoja na hisa zake anazomiliki pia, hivo faida ya kampuni na yeye mkurugenzi atahusika nje ya mshahara kama anamiliki hisa pia.

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah sio mchezo

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na Mimi napata

  • @Deadskytz
    @Deadskytz หลายเดือนก่อน

    People have money 🙌

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna watu wanaishi asee

  • @betinvestment3204
    @betinvestment3204 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alaf uyu jamaa kwenye interview anasema hana nyumba analala kwa marafiki aisee shkamoo Elon musk

    • @user-pg2tw8yt4l
      @user-pg2tw8yt4l 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @beingothman
    @beingothman 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mchaga bhana

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani jamaa kwa hela hiyo kwa hela zetu...ana uwezo wakuja huku akajimilikisha mkoa wowote akaulisha yeye mweyewe.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 2 หลายเดือนก่อน

      Sio mkoa tu ni tanzania nzima bajeti ya mwaka mzima ni tilion 51

    • @damsonwilson5202
      @damsonwilson5202 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo hadili na mkoa ni East Africa kabsa

    • @yasnshaban9827
      @yasnshaban9827 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@melanialeonard4031na ujue bajet sio ya kula tu ni vitu vyote mf barabara,madawa,shule,vyuo,n.k

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi ni kwanini makampuni makubwa tanzania hayawi "public"

    • @mcholimkubwa
      @mcholimkubwa 2 หลายเดือนก่อน

      Ya wenyewe

    • @agreyaloyce432
      @agreyaloyce432 2 หลายเดือนก่อน

      Mambo ni mengi sana kaka

    • @JundikiFoodproduction
      @JundikiFoodproduction 2 หลายเดือนก่อน

      Ni public sema hayajiporomot

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน

      Biashara zetu sio stable mkuu, siasa inaathiri sana uwekezaji wa mitaji.Huku kwetu ukigombana au kumkosoa kiongozi mkubwa na kama ww ni mfanyabiashara basi jiandae kuanza kuporomoka na kunyang'anywa mtaji wako na pesa zako kufungiwa, hivo ndo maana wafanyabiashara wengi na hata Hao hao wanasiasa wanawekeza sana nje ya nchi kuliko ndani ya nchi zao sababu umiliki wa mitaji kwa maisha yako ya kesho ni changamoto sana.Makampuni mengi sana bongo yapo Mfumo wa soko la hisa ila wengi watu au wafanyabiashara hawapendi Kununua hisa kwa sababu biashara sio stable kabisaa maana kila uongozi mpya basi una mambo mapya, yaani kiufupi hakuna katiba au Sheria stable za nchi Bali Kuna stable people.

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 2 หลายเดือนก่อน

    Ali masubi unachambua vizuri sana kuliko DJ smaa maana yeye ni kunljisifu kwamba yeye ni mtu wa fact mara sijui fyuzi ambayo Ali masubi haya hayo yeye anapiga kazi tu

    • @kibwamoko8767
      @kibwamoko8767 2 หลายเดือนก่อน +1

      Weee ni Mgeni hapa SNS nini? Hapa kuna misingi imewekwa ya uchambuzi, usiropoke ropoke tu
      Kila mchambuzi hapa SNS ana haiba yake na Mtindo wake wa kuchambua kwa vile anavyoamini, kwahiyo usitake wafanane. Wakifanana haitaleta Ladha.
      Ni kama unavyoona CNN na BBC zinavyochambua na kutoa habari kwa Kuegemea au kusifia upande wa Marekani na nchi za Ulaya(NATO). Maana huko utakuta asilimia 90% hadi 95% kusifia Marekani na kumponda PUTIN na Urusi yake. Wakisifia Urusi basi jua ni asilimia 5% tu.
      Nadhani utakuwa umeelewa kuwa DJ SMA yupo kwa ajili kusawazisha, yani anapopondwa Urusi na Magharibi, yeye anakuja anasawazisha.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 หลายเดือนก่อน +1

    ✌️👍👊.

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina หลายเดือนก่อน

    Mtuletee habari kama hizi achana na mambo ya Ukraine

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 2 หลายเดือนก่อน +2

    Khaa!!.. kama cjakosea.. mradi wa umeme wa bwawa la nyerere iligarimu trillions 6.. sasa kwa mradi mkubwa kama ule Ina maana huyu mwamba angeutekeleza na ni kama utoe punje ya Michele kwenye nusukilo😂.. binadam hatuko Sawa aisee

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa wabepar Wana Hela sana ni ngumu sana kushindana nao

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana jamn hi sio haki dunia inapaswa kuangalia hili swala jamaa anacheza faulo

  • @kevinbwoyle16
    @kevinbwoyle16 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza

  • @rashidmashaka1264
    @rashidmashaka1264 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa si tajili wa dunia au nakosea

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 หลายเดือนก่อน

    Ni bajeti ya serikali ya miaka isiyozidi 4.

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 หลายเดือนก่อน

    SASA #YANGA_FC AKA #MADENI_FC SI WAENDE WAMKOPE WALIPE MADENI 🔊🔊

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa tanzania ni bajeti ya miaka miwili..Japo tunapend kujishush san...Tanzania ni tajir mno ni suala la tecknolojoa na uvumbuzi tu

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 2 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya miaka 5 kwa bajet ya Tz

  • @jamesmmari-st1nt
    @jamesmmari-st1nt 2 หลายเดือนก่อน

    We jamaa bhana elezea vizuri zaidi jamaa amelipwa kwasababu ameiwezesha kampuni ya tesla kutengeneza faida kubwa sana

  • @user-nz5me8bk7g
    @user-nz5me8bk7g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daa iyo serekali ya Tanzania haina ela izo

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 2 หลายเดือนก่อน

      Kabsa😢😢

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 2 หลายเดือนก่อน

      Kushabikia Urusi ndo mnajua 😂🤣🤣🤣🤣mnaona mambo hayo

  • @hamzahuseni2555
    @hamzahuseni2555 2 หลายเดือนก่อน

    Tupe chanzo cha bilionea wa uchina kufilisiwa chanzo nn?

  • @ramadhanmkombelwa3065
    @ramadhanmkombelwa3065 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mtangazaji Atasababisha Sifuatilii SNS tena maana sauti yk km.yng vil😂