[2.6.2024] KUFUNGUA MBINGU ZA MAJIRA MAPYA KUPITIA ZULIA - KUHANI MUSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • 2.6. 2024
    Fuatilia Mubashara Matendo makuu ya YESU KRISTO wa kuhani na mwalimu MUSA RICHARD MWACHA
    Tufuatilie Live JEHOVA JIRE TV kwenye King'amuzi cha Azam Channel 006 Upande wa Other Channels na kwenye Startimes Antenna 445 pia TH-cam channel.
    #livestream #matendomakuu #mezayamakuhani #kuhanimusa #matendomakuu

ความคิดเห็น • 12

  • @jenniferlopezy3644
    @jenniferlopezy3644 3 หลายเดือนก่อน +1

    Najiungamanisha ngomen kupitia ibada hii ya kukanyaga kitambaa chekungu yesubadirisha maisha ya mwez huu wa6 nipokee uponyaji nifunuliwe kiuchumi na watoto wangu

  • @InjeeAa-vd4ez
    @InjeeAa-vd4ez 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 najiunganisha na na family yangu warudishe mafanikio yangu mwezi huu 6 Amina yaladi ❤❤

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu najiunganisha na ibada hi kila mitego ya maaduwi ishindwe Kwa Jina la Yesu ksto

  • @user-ut2xw8fl4q
    @user-ut2xw8fl4q 3 หลายเดือนก่อน

    Najingamanisha na lbadahiil munguu hanifunguwe kimaombi niwemuombaji mzuri. Amina

  • @kevinntibonera
    @kevinntibonera 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye Mungu akutanguliye

  • @jenniferlopezy3644
    @jenniferlopezy3644 3 หลายเดือนก่อน

    Asantee Baba

  • @felixbaussi8595
    @felixbaussi8595 3 หลายเดือนก่อน

    Amina namimi naomba niheshimike kwani nime zarauliwa kanisina kazi sina pesa,WA chawi wamenifunga.naomba yesu Ani funguwe n'a anibariki.

  • @RusiaFrederick
    @RusiaFrederick 3 หลายเดือนก่อน

    Na Mimi na jiungamanisha pamoja na family yangu

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @happynesmchele8537
    @happynesmchele8537 3 หลายเดือนก่อน

    Kwejina yes

  • @jenniferlopezy3644
    @jenniferlopezy3644 3 หลายเดือนก่อน

    Na watesi wangu vwote kupitia ibada hii wakate motooo

  • @SarahBirungi-um4yl
    @SarahBirungi-um4yl 3 หลายเดือนก่อน

    Amina namimi naomba nitembeleye punda mweupe