MPINA ALIVYOBANWA KWA MASWALI MAGUMU YA WAANDISHI YAMPASUA KICHWA "KWANINI UNA CHUKI BINAFSI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 35

  • @KatotoEvarest
    @KatotoEvarest 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mpina yuko sawa pambana mungu yuko pamoja nawe.

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU YUKO UPANDE WAKO BROTHER...KAZA HUO NDIO UZALENDO BROTHER ❤

  • @JOSEPHPETERMACHOTA
    @JOSEPHPETERMACHOTA 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 2 หลายเดือนก่อน +2

    WEWE CHIZI HATA MIMI SIJAENDA SHULE SIKUELEWI NAKUONA KAMA MZUSHI

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mtamzania na mbunge ana haki ya kuzungumuza wazi maovu yanayo endelea, kukaa kimya sio solution.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina ni mwana CCM halisi ,mzalendo na muadilifu wa kweli wa nchi hii ,ni mfano wa mwana CCM ile ya Nyerere iliyokuwa inatanguliza mbele maslahi ya nchi.Rais Samia tunakuomba sana umlinde sana Mpina kwani atakusaidia sana katika uongozi wako,huyu ni hazina ya nchi,ni mtu mwenye hofu ya Mungu na aliyekulia katika maadili.

  • @LeonardmatiasWiliamu
    @LeonardmatiasWiliamu 2 หลายเดือนก่อน

    Safi.sana.mpina.tunakuobea.kwamungu.akuzidishie.miaka.mingi.mzaredo.mtetezi.wawanyonge

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hana hoja huyo muacheni,cm Haina wenye akili hizo

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wandishi wajifunze na wasome katiba ya nchi na sheria zingine Ili kuepusha maswali ya kutokuwa na uelewa

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo kusema waheshimiwa wabunge wote wa ccm siyo wazalendo? Ni waumiza wananchi wao?

  • @hassanhussein-ow7qh
    @hassanhussein-ow7qh 2 หลายเดือนก่อน

    Ngosha kawashika pabaya, katika hao wa Mahakamani unamwachaje Majaliwa kaka Mpina

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Mpina ameishachanganyikiwa na wapinzania wanamdanganya hata akienda upinzani.hatashinda ubunge wajimbo lakisesa CCM nichama kikibwa

    • @sylivanusbernard3325
      @sylivanusbernard3325 2 หลายเดือนก่อน

      Mkuuu najiuliza unatumia ubongo wa namna gani kutafakari mambo..!!

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน +1

    Speaker alitaka Mpina akae kimya na kuunga mulono huu ulanguzi. Speaker anajuwa wizi huu lakini alikuwa hana nią ya kulishughulikia. Mpina baba usikubali kuzibwa mudomo eti kukichunga chama kwa kuwafumbia mafisadi macho.

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 หลายเดือนก่อน

    FINANCE BILL NDO NINI? TUTAJIE KWA KISWAHILI ILI NA SISI ELIMULESS TUJUE

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpima yuko sahihi. Ni Mtanzania ana haki ya kuzungumuza kisheria. Shida ni wabunge wetu wengi hawana elimu ya kutetea haki za watanzania. Serikali ione aibu kutetea wizi wa wazi wazi

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 2 หลายเดือนก่อน +1

    NAWAANDISHI WA. HABARI MUWE WAZALENDO MSIWALINDE WAOVU NA MAOVU YAO. KWA. KUBORESHA HABARI ZAO NA NAKUPINDISHA MAOVU YAO. WATANZANIA NA WAZALENDO NA. WAPENDA. HAKI TUNAMKUBALI MBUNGE. MPINA. WATETEZI WOTE. WA. HAKI. WATALINDWA.NA MUNGU .

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mwandishi au mwanasiasa?

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nchi hii sasa hivi haina uongozi, watendaji Serikalini wanapiga wapendavyo kwa maana Rais alisema wale si zaidi ya urefu wa kamba zao

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan waandish wengine pumbavu kabisa afiche uovu il kukilinda chama, Sasa hapo ndio anakilinda chama iv mijitu inakuwaje watanzania wanaangamia taifa linateketea jitu linaongea ujinga

  • @piusmaduka
    @piusmaduka 2 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi naye kama msukuma la saba

  • @RobertRange-uf3rf
    @RobertRange-uf3rf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwandishi ni kilaza tu sasa maswali yote pamoja unajibuje

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 2 หลายเดือนก่อน

      Ni maswali mazuri tu. Ila kama uwezo wako ni mdogo huwezi kuyajibuu yote. Utaona mengi unayahibuje?😊

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน +2

    Speaker kwa kesi hii ya Mpina, pamoja na kuwafanya watanzania wajinga hatuelewi, ingekuwa nchi nyingine zenye kutenda haki speaker alitakiwa ajiudhuru. Wacha tungoje mahakama itsamua nini

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 2 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo CCM hiyo mdogo wangu Mpina. Hata mkataba m'bovu wa bandari na DP World, ulikuwa hivyohivyo. Bunge limefanywa kajibwa ka serekali. Mahakama inaigopa serekali. Upuuzi mtupu! Tunataka KATIBA mpya.

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 2 หลายเดือนก่อน

    Mbunge mpina ndiyo mbunge mazarendo, wabunge wengine wako kutetea ufisadi tu wa mawaziri

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน +1

    CCM ni chama cha watanzania. Wansosema hawa wana mambo yawo binafsi, wasamehe ni elimu yetu ndogo.

  • @marwasaid8283
    @marwasaid8283 2 หลายเดือนก่อน

    Muuliza maswali ya awali katumwa na ccm

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน +1

    acheni kumpa mpina kichwa,huyu ni hasidi tu baada ya kuondolewa uwazi ndipo chuki zikaanza kumpanda na kuanza kuifitinisha serekali ya mahesh raisi mpendwa samia suluhu hasan,
    Hivi wabunge wote walimkataa bungeni ni mafisadi?
    kwa hiyo serekali nzima haifai?
    Aache kuitisha serekali,
    Ana lake jambo!!😊

    • @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
      @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 2 หลายเดือนก่อน

      utaelewa Nini weye unaelewa Kula na kwenda chooni kaa kwa kutulia bana watu Kama weye ndiyo mnatufelisha watanzania ifikie wakati hakili yako iwe na upeo

    • @methuselamiligo614
      @methuselamiligo614 2 หลายเดือนก่อน

      Mgonjwa

    • @deohank5995
      @deohank5995 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa,hebu tusaidie hilo jambo lake tumuumbue maana mama katupa Uhuru

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 2 หลายเดือนก่อน

      Acha uchawa mpina ni mzalendo halisi

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 2 หลายเดือนก่อน

    𝒜𝓁𝓊𝓉𝒶 𝓀𝑜𝓃𝓉𝒾𝓃𝓊𝒶, 𝓀𝑜𝓂𝒶𝒶 𝒷𝒶𝒷𝒶. 𝐻𝒶𝒦𝐼 𝐼𝒩𝒜 𝒮𝐻𝒜𝑅𝒜𝑀𝒜 𝐵𝒜𝐵𝒜