KISA CHA NABII ADAM ] NA MAJINI ] SHEIKH OTHMAN MICHAEL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @Hassanmhema
    @Hassanmhema 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah mwenyezi mungu aku weke katika pepo yake Isha Allah

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 4 ปีที่แล้ว +10

    Ma'ashallah, anaongea kama shekhe Othman Maalim. Jazakallahu khair.

  • @rashidiomari3738
    @rashidiomari3738 ปีที่แล้ว

    Allah atupe mwanzo mwema na mwisho mwema

  • @muhammadally393
    @muhammadally393 2 ปีที่แล้ว

    Jazaaka Allah khair ewe sheikh Uthman

  • @farris_2549
    @farris_2549 3 หลายเดือนก่อน

    الله اكبر

  • @nushabdile3610
    @nushabdile3610 ปีที่แล้ว

    Mashaalah sheik osman Allah akujalie Maisha marefu inshaalah kwa kutupa ilmi ya dini shke osman Allah akupe zaidi inshaalah sheik osman na pia kazi iko chini sana haki naomba unielewe my dia niekyangu ya jaba sahi iko chini karibu sana haki sikuwa pesa nzuri nime lipa madeni my dia sory ❤❤ wabilahi taufig my dia 💕

  • @zuwenazuwena1928
    @zuwenazuwena1928 2 ปีที่แล้ว

    Hakika na enjoy sana sheh

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️

  • @abdul-faysalal-hassany5949
    @abdul-faysalal-hassany5949 4 ปีที่แล้ว +5

    From Kenya... Napenda kuskiza mawaida yako sheikh Othman

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllh Akuzidishie kula kheir

  • @yusuphmashimila4127
    @yusuphmashimila4127 3 ปีที่แล้ว

    Allah akujarie

  • @hamidaa4372
    @hamidaa4372 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah tabarakallah we shekh barikillah fiq nakupenda kwa ajili ya Allah allah akuzidishie

  • @abdul-faysalal-hassany5949
    @abdul-faysalal-hassany5949 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah... I love to see everyday sheikh Othman... Allah Akuzidishie Ilmu yako...

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @thumaberumba7441
    @thumaberumba7441 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @asmaasmi9019
    @asmaasmi9019 4 ปีที่แล้ว +1

    MashAllah tabaraka rahman wajazaaqa Allah kher Sheikh Othman

    • @rehemadr4961
      @rehemadr4961 4 ปีที่แล้ว +1

      Saaana Leo kapendeeza
      Ma shaallah

    • @rehemadr4961
      @rehemadr4961 4 ปีที่แล้ว

      Nimemuona habity

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @omari-mh8qz
    @omari-mh8qz 4 ปีที่แล้ว +1

    SHEKHE mungu akuzidishie

  • @mariamsaidi7625
    @mariamsaidi7625 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mungu akulipe kheri insha Allah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah m namuamini Sana huy sheikh ❤️❤️❤️

  • @bazilassey1227
    @bazilassey1227 4 ปีที่แล้ว +1

    mashaa allah mashaa allah

  • @dennisbarasa5877
    @dennisbarasa5877 3 ปีที่แล้ว

    ❣️

  • @yusuphmashimila4127
    @yusuphmashimila4127 3 ปีที่แล้ว

    Mashalaah

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 4 ปีที่แล้ว +1

    Salallahu Alaihi Wasalam

  • @afric01
    @afric01 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sanaaa Sheikh Othman. Kweli kabisa tuna speed katika kutaka vitu. Subra imekosekana. Allah atupe subra na mazingatio, katika kukimbilia vitu. Hakika vya kukimbilia having kheir hata kidogo. Allah akujazi kheir Sheikh wetu.

  • @kassidpandu9806
    @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

    Maasha laah shekh

    • @ngidasiwe9313
      @ngidasiwe9313 3 ปีที่แล้ว

      Uwa napenda kusikiliza mawaiza

  • @tutahamudy2534
    @tutahamudy2534 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Tabaraka Rahman JazakaAllah khayra jazaa

  • @mmbugutvonline7828
    @mmbugutvonline7828 4 ปีที่แล้ว +5

    MaashaAllah shekh Allah akuzidishie ilim lakin kuna kisa cha Dhulkarnain ulisema uta kimalizia mpaka sasa bado hatukioni Kama ulivo tuahidi

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallah

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @kyangwesignermohamed7867
    @kyangwesignermohamed7867 2 ปีที่แล้ว

    mola Atukuzwe
    hakika huyu nikama Othman maalim

  • @ramadhanilukambuzi9760
    @ramadhanilukambuzi9760 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Lakini naomba unisadie na uwasaidie watu wote wanaodhani Uislamu ni dini kaanzisha Mtume Mohamed Wakati umeanza zamani kwakuwa ww una elimu zaidi a

  • @mwahijanamaru6618
    @mwahijanamaru6618 3 ปีที่แล้ว

    Asallam aleykum Sheikh kwahivyo ata Mwanamke anaweza kuadhin?? Anapokutana na majanga kama ya nyoka

  • @muhammadally393
    @muhammadally393 2 ปีที่แล้ว

    Mbona jina Michael huku kwetu Uganda Kampala ni la wa kristu vipi sheikh alisilimu tu nakubakiza jina au ni mtindo wa huko tu

  • @ramazanihabimana2131
    @ramazanihabimana2131 8 หลายเดือนก่อน

    A w w.
    Kama sikusumbui nisukumie number zako shekh.

  • @hijaniacharamadee4721
    @hijaniacharamadee4721 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mi nina wivu nawew ujue

    • @gshdhvdhf8283
      @gshdhvdhf8283 4 ปีที่แล้ว +1

      Bora iwe Wivu ya kheir si ya husida

    • @hijaniacharamadee4721
      @hijaniacharamadee4721 4 ปีที่แล้ว

      Subhanallah Imani mi mwanaumme hahaha ningekua Mwanamke ningekua nimesha wafata wakeze kuwaomba Waniruhusu Nimguse tu

    • @hijaniacharamadee4721
      @hijaniacharamadee4721 4 ปีที่แล้ว

      Vdhf In Sha Allah niyakher Ila Allah atakapo niruzuku watoto nikawapeleka kwake wakasome Akakata Nitabadirisha Hahaha

  • @guledomary2812
    @guledomary2812 3 ปีที่แล้ว

    BORA YAKO SANA KUJIFANANISHA NA WATU WA KHERI KULIKO WALE WANAOJIFANANISHA NA KINA DIAMOND NA ALI KIBA
    ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI KATIKA AMALI ZAKO NASI PIA... Amiyn.

  • @annassuleiman4508
    @annassuleiman4508 4 ปีที่แล้ว

    Shekhe samahani hakuna aliyekamilika ktk Ilmu sote tuna mapungufu,,hata Mtume alikosea pale alipoiharamisha hasali iipohalalishwa na Allah. Mkamilifu pekee ni Allah. Na Mtu anapokosea yafaa kumkosoa huo ndiyo uislamu. Ni hivi: Yaqubu hajawahi kumsujudia Yusuph vile ulivyoelewa wewe na wala malaika hawajawahi kumsujudia Adamu hivyo unavyofikiri wewe. Kiarabu ni Rugha Pana na Neno moja Laweza Kuwa na Maana si Chini Ya Kumi. Usipojua Uliza watu wenye Ujuzi wakufundishe. Kusujudiwa kwa Kuweka paji lako la USO Chini hiyo ni Kwa Ajili Ya Allah tu pekee. Hata ile kitendo cha kumuheshimu Mtu Sana ni kusujudu pia. Uliza ufundishwe.....

    • @djumamariam1810
      @djumamariam1810 4 ปีที่แล้ว

      Subhannallah

    • @omarynguli5910
      @omarynguli5910 4 ปีที่แล้ว

      me sijakuelewa empu nipe ufaham walipo ambiwa Malaik wamsujudie Adam walimsujudia namna gani

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 4 ปีที่แล้ว

      @@omarynguli5910 subhanallah Allah,,Unanipa smtihani mkubwa

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 4 ปีที่แล้ว

      @@omarynguli5910 wale malaika walijifanya wanajua na wanajuzi wa Mambo,, Allah baada ya kumfundisha Adamu majina ya vitu vyote na Hekima ya kila jina, ,Akawaambia malaika haya niambie majina ya vitu hivi na hekima ya Kuwepo kwa Majina ikiwa Nyinyi ni wajuzi. Wakasema Hatuna Ilmu ila ile uliyotufundisha Hakika wewe ni mjuzi na mwenye Hekima. Majina Yaweza ikawa ni rahisi kuyataja ila ukashindwa kutoa sababu ya Kuweko kwake. Wakashindwa kuelezea na kuyataja. Akamuambia Adamu haya teleza: Alipowachambulia...Allah akawambia si mnaona sasa,,,sikukuambieni kama mimi Mtaalamu wa Mambo. Akawambia haya sasa msujudieni Adamu,,,wote walimsujudia ila ibilisi. Point ipo hapa. Kusujudu ilivyokusudiwa hapo ni kumkubali kwa ilimu aliyokuwa nayo,,,Kwahiyo Malaika wote walimkubali ila Ibilisi Alikataa na akafanya kibri na akawa ktk watu makafiri. Kwahiyo kama Una Ilmu na ukaitumia vyema basi wewe unakuwa zaidi ya malaika. Ila kwa jini akiitumia ilimu yake vyema anakuwa kama malaika na wala hawezi kumzidia hapo. Sie wanadamu na majini tuna utofauti mkubwa Sana ktk akili japo wao wametushinda ktk uwezo wa kimaumbile kama kujibadilisha na Kasi ktk kusafiri. Safari ya kutoka hapa Kwenda macca Jini anaitumia ndani ya dkk tano keshaenda na Kurudi. Uwezo huo siye hatukupewa. Ila Akili zetu zina Nguvu kushinda zao. Hiyo ndiyo sababu iliyofanya Sie tuwe Bora kushinda wao na watuogope na kutuandama. Watakaobahatika kuingia peponi Allah atafanya kinyume chake. Wanadamu wa peponi watakuwa wanawaona majini ila majini hawawaoni Binadam. Na wanadamu watapewa Uwezo wa kuizunguka pepo yote na kuimaliza kwa madakika au Sekunde. Kwani upana wa pepo ni kama kutoka hapa hadi mbinguni. Na safari moja hadi kuimaliza pepo ni miaka 500 kwa kutumia kutumia shombo Chenye kwenda Kasi. Allah atajaalia watu waliyojaaliwa kuingia peponi wataizunguka yote kwa masekunde au madakika. Kwahiyo Mwanadamu hadi kimaumbile bado ataendelea Kutamba kwa Jini.

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 4 ปีที่แล้ว

      @@omarynguli5910 mfano huo mbona hata hapa duniani unasomeka: Kwani Mwenye ilimu na asiyekuwa na ilimu ni yupi anayekubalika zaidi Yaani akiongea yeye watu wote kimyaa?? Na je mwenye ilmu ndogo na mwenye ilmu kubwa yupi anayekubalika zaidi?? Yaani akikohoa tu watu wote kimyaa ni Yupi?? Basi ivyo ilivyofanywa mbinguni. Kusujudiwa kwa Adamu ni Kule malaika kumkubali na kumuona si wa kawaida. Mwanadamu anao Uwezo wa kuhifadhi msahafu,,na mavitabu kibao na ukamuuliza ktk hayo akakuambia. Malaika hilo hawawezi. Kuhifadhi Mambo Mengi malaika hawawezi. Mtihani huo uko hata kwa majini. Binadaamu pekee ndiye Mwenye kuweza hiyo Kazi. Ndiyo maana Allah akasema nataka nimlete ktk Ardhi kiongozi. Na kiongozi Mwenyewe ni Binadam. Hayo Majukumu ya UONGOZI wangepewa malaika wasingeliweza. Ili uwe kiongozi basi Kichwa chako kinapaswa kifanye kazi vizuri kweli kweli.

  • @abdul-faysalal-hassany5949
    @abdul-faysalal-hassany5949 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah... I love to see everyday sheikh Othman... Allah Akuzidishie Ilmu yako...