Allah akulipe ujira mwema kama uliaohdiwa kwa nabii yunus na mitume iliyopita kwa kutuelimisha, mimi ni moja wa waislam ambao nilikuwa siushi katika uislam kwakuto ujua uislam kwa kina ila kupitia kwako Alhamdulillah nimejifunza mambo mengi biidhinllah nami nitayafikisha kwa wenzangu karibu sana Mtwara shekh. Othman Maalim
Naam sheikh Othman maalim tuxhaipokea hii dua na tunaiaminj ewe Mwenyez Mungu tunakuomba ututendee na utuondolee matatiz km ulivyowasaidia na kuwatatulia matatzo mitume yetu,,tusisahau dua ya nabii wetu Yuwnus A.S LAILAH ILLAHLWAHA SUBHANAKA INNI KUNTUM MINALDHWALIMIN
Allah akulipe kwa Jitihada zako za kufikisha Daawa ktk Jamii yetu ya Zanzibar....Tumefaidika na Mengi sna kupitia Mawaidha yako..Mungu akujaze kheiry Duniani na Akhera.
Masha Allah ust Allah akupe jaza tunajifunza mengi kwako endelea kutuelemisha zaidi malipo ni kwake Rabana,ya Allah tuepushe na adabu yako na moto ya jahanam.
Daud Abdallah, itapendeza kuwapa watu hadithi hizi nzuri kwa lugha ambayo imetafililiwa kiswahili Moja kwa Moja italeta hamasa hata kwa walio si waislam wapate kuelewa zaidi faidahii
Assalaam alaykum warahmatulllah wabarakaatuh th-cam.com/channels/2RCZfUA3rnIzsTYEZjZpeQ.html Bonyeza/Gusa link hii Ili upate kuelimika na kufaidika katika dini yetu Usisahau ku subscribe na ku like na ku share na ku comment
Allah akulipe ujira mwema kama uliaohdiwa kwa nabii yunus na mitume iliyopita kwa kutuelimisha, mimi ni moja wa waislam ambao nilikuwa siushi katika uislam kwakuto ujua uislam kwa kina ila kupitia kwako Alhamdulillah nimejifunza mambo mengi biidhinllah nami nitayafikisha kwa wenzangu karibu sana Mtwara shekh. Othman Maalim
Shukran sheikh Othman ALLAH atujalie kher soteee dunian na kesho akheraa
mwenyezi mungu atujalie umath muhad tuwe wesi wakuacha mabaya na kufanya mema
Shukuran maalim Othuman Allah Akujaze kila la kher hap duniani na Akher tunajifuza mengi toka kwako Inshaallah Allah Atakulipa
Amiin
Ameen
Amin
mashaAllah Jazakallahu kheyran Maalim mungu akulinde na akupe umri mrefu Ana ucibuka liajilillah.
Allahu Baarik Sheikh Othman..
SubhanAllah Ya rabbi kwa mwezi mtukufu huu mjaalie sheikh othman maalim umsameh dhambi zake na umjaalie neema inshaAllah
MashaAllah jazakAllah kheri sheikh Othman
Mashaallah.Allah akujaalie pepo pamoja na Wazee wetu. Amin
Mashallah Mungu akubariki shehe wetu
maashaallah; mwenyezi mungu atakulipa kwa rehma zake
Mashaallah
Alhamdulillah
Alwa azidikukupa upeo
Mungu akubariki maalim othman
Mashallah maalim Omar Othman m'mungu akuongezee ilimu ya kuweza kutufunza mengi kutoka kwako Allah akujaalie kila la kheir duniani na akherah Ameeen.
Allah akuzidishie kila la kheri na akupe uwezo nguvu afya bora katika kutujuza visa mbalimbali vya mitume tunajifunza mengi kwa wenye kuzingatia.
mashallah mwenyez mungu akujaalie umri mrefu uzid kutuelimisha
Munira Msaid Amiin
mungu ampe afya shekh mselem azid kutoa daawa
Naam sheikh Othman maalim tuxhaipokea hii dua na tunaiaminj ewe Mwenyez Mungu tunakuomba ututendee na utuondolee matatiz km ulivyowasaidia na kuwatatulia matatzo mitume yetu,,tusisahau dua ya nabii wetu Yuwnus A.S LAILAH ILLAHLWAHA SUBHANAKA INNI KUNTUM MINALDHWALIMIN
Allah akulipe kwa Jitihada zako za kufikisha Daawa ktk Jamii yetu ya Zanzibar....Tumefaidika na Mengi sna kupitia Mawaidha yako..Mungu akujaze kheiry Duniani na Akhera.
manshallah
Allah akuzidishie wakat wa kutupa maneno ya iman ya kumkumbuka mola wetu shukran
Mr Izhaka Msangi jazakalah her
JazakaAllah kheir
🙏🙏🙏 Allah akulipe khaire
maasha allah. jazaka wwahul kheir.
Maa an shaa Allan Allah akongezeye kila lakheri
JazaakaAllah khair maalim othman
allah akujaalie sheikh ..hakika unatukumbusha sisi waislam
Mashallah 2020
Allah akupe maisha marefu yaliyo na baraka tele sheikh othman
Mashalha shekhewetumunguakulinde.funianina.akhera.lnshalha
Masha Allah ust Allah akupe jaza tunajifunza mengi kwako endelea kutuelemisha zaidi malipo ni kwake Rabana,ya Allah tuepushe na adabu yako na moto ya jahanam.
Allah Akbari.....Amina
Masha Allah Mungu akuzidishie mema
mashaallah jazak Allhu khayr
Alima Alima Amiin
Ameen
Jazzak'Allah kheir
MashaAllah sheikh othman maalim...
samaan saidrashid nimekufanansha
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
JADHAKAMLAH KHEIRA.
mashaallah rabi dhidna elimu waruzuku nafahma walhekma
mashaallah jazaka llah sheh othuman
mashaalah osmaan ....mwenyez Allah kakujaalia sauti nzuri.....naunaitumia katika kuendeleza elm kwa ajili ya Allah .....akuzidishie umri mrefu
mashaallah
Allah akuonge zee elimu Wewe na kizazichako inshaallah
Hii ndyo sabun ya roho inshallhhh aamni
Allah humma ameen
Mashallah.
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Mashaallah
mashallah Mwenyeezi Mungu akuzidishiye hikma na afya subira akulinde
Jaman mm nataka ile anayosimulia nabii Yusuf mbn siipat
maa sha Allah,Allah atuongoze ktka diyn ytu
Yunus ibn mata
Mashallah jazaka llahu kheir Allah akuzidishie elimu izidi kutuelisha AMEEN!
nakupenda shekhe wangu kwa ajili ya Allah s.w
Subhanalha yasarabi
Subhanalha mashalha
shekhe mungu akupe uzima
Ma Sha Allah
Mashallh
Allah subahanahu wattahalla ukuongezee 7*70 ishahalla
jazaka llaahulkhaira.
Allah akupe mwisho mwema wa maisha yako
Allah AQbar
masha Allah
Allah akupe heri nyingi
Maashaallah maashaallah Allah akubarik
mashalla mashalla
mwenyez mung atufanyiw wepes katka mazito yetu
Daud Abdallah, itapendeza kuwapa watu hadithi hizi nzuri kwa lugha ambayo imetafililiwa kiswahili Moja kwa Moja italeta hamasa hata kwa walio si waislam wapate kuelewa zaidi faidahii
inshaAlaah
Mashaallah Maalim😍😍😍
MashaAllah
Jazakallahu kheir kwa kutupa ilmu
Mashaallah
Manshalaah
MashaAllah Allah akupe umri na Afya uzidi kuuelimisha umma
Masha Allah
Mashaallah
naaam
Masha Allah
Masha allah
Sas umesema tusimtaje Allah chooni vipi ile dua ya kuingilia chooni si lazima umtaje Allah?
Ukiingia sio ukiwa ndani
Ndy ila Dua x unasoma kbl ujaingia choon ndmaana unatangulza mguu wa kushoto kw maana choon syo sehemu yny rehema
Ma sha'ALLAAH, TabaarakAllaah, Hafidullah,
Who is the reciter at the end ?
Baarak ALLAAHU Feekum for sharing.
Mashallah
may allah bles u
Maashaallah jazakallah haira Allah akupe Kila lenye heri
Assalaam alaykum warahmatulllah wabarakaatuh
th-cam.com/channels/2RCZfUA3rnIzsTYEZjZpeQ.html
Bonyeza/Gusa link hii
Ili upate kuelimika na kufaidika katika dini yetu
Usisahau ku subscribe na ku like na ku share na ku comment
J
Frex
JazakaAllahu kheir
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah
Mashallah