Mahaters lazima waongee...but mi sioni ubaya hata mtu afanye kazi ya mjengo. Kazi ni kazi bora pesa...as long as ni kazi legit. Thumbs up manze👍 kwa content yenye unatuletea.
Its a huge structure....When supervising the premises, are you issued with a walkie-talkie for easy communication with the staff incase you need something to be looked into urgently?
Mimi Najua kidogo kijerumani niko A2 Niko Tz Nataka nije uko unaweza Nipa link ya jobu dogodogo hau nivolontie Alafu nitafute jobu yoyote Mimi napanda Kilimanjaro na begi za wazungu sasa uko. Kazi yoyote naweza fanya.
Umenichanganya kabisa. Hio ni power generation gani sikusoma Kenya? Mi najua hydro electric pekee na inatumia dam ku run turbines. Niambie tu inaitwaje ni research. Otherwise, your content is unique and simple. Endelea. Huku ni tax inatuua.
Uropa/abroad hakunanga njia fupi ama hongo ya pesa, ni mtu uwanzie chini kuhustle kabisa ndiposa ufikie malengo yako, Uropa /majuu to achieve your goals ni mtu utie bidii kazini, mtu goi goi can't make it kuishi majuu!
Keep up the good work
I know filming at work was a risk but thanks for taking that risk showing us around big up💪
Thank you so much
Mahaters lazima waongee...but mi sioni ubaya hata mtu afanye kazi ya mjengo. Kazi ni kazi bora pesa...as long as ni kazi legit.
Thumbs up manze👍 kwa content yenye unatuletea.
Asante sana
Kaka mie natka kazi unanisaidiaje kaka
Thanks bro for your videos I feel like I'm 😂 in Germany
Wow that's great.I wish nnaeza fanya apo,trained at Masinga,stationed at Kindaruma .
Kiongozi...hapo sawa..
Asante sana
Nice place to work👍
Thank you
Safi sana
@@StanMrema asante
Aki kazi yako si ngumu very simple
Asante but niliacha last week
Be greatful you have a nice job free of stress
Asante
Hiyo inaitwa water cooling tower kupoesha maji, ama electrostatic precipitator for purifying dust if your using coal.
Cheers bro.
I got to learn about this after 1 year of working there
I got to learn about this after 1 year of working here
@@Rogers_Lugose electrical engineering, ama refrigeration and aircondition kama Mimi.
New today. Good stuff bro..twampenda kutoka huku motherland 🇰🇪👊🏼
Asante for the support
🤣 🤣
Sad sana.... from tz
Hehehe, ulaya siyo rahisi labda uwe Daktari wa medicine! Scary even to work thre!
True
dci wa huko wakijua hio njaro ya kupanda train na mlango ya nyuma kutaendaje
Haha huku walami hawana shida
Lovely content bro! Mooooore...
Its a huge structure....When supervising the premises, are you issued with a walkie-talkie for easy communication with the staff incase you need something to be looked into urgently?
We have landline phones all around the building I forgot to show on camera. I'm sorry
@@Rogers_Lugose That's alright. Thank you
New subscriber 🎉 content yako ni noma sana bro
Thank you so much for the support
We need to exchange come Krankenhaus mpaka miguu inauma
Mimi nilikataa Heim na Krankenhaus😂😂
Nipe link genuine bro have tried wengi ni matapeli.
Siku moja tuonyeshe kazi za Massage Germany na Salary inakuwa kiasi Gani.
Sehr gut.We appreciate your job.Endelea kutupasha
Thank you so much
Napenda kazi kama yako
Asante sana
Nataka nije uko unipe dili ya jobu
Hapa hamna inbox ungenitumia namba zako za whatsaap
Mimi Najua kidogo kijerumani niko A2
Niko Tz
Nataka nije uko unaweza Nipa link ya jobu dogodogo hau nivolontie Alafu nitafute jobu yoyote
Mimi napanda Kilimanjaro na begi za wazungu sasa uko. Kazi yoyote naweza fanya.
Love that video ya job kwako
Thank you
Yani in short unasema Waafrika wamepeleka tabia zao huko
Wako huku na tabia zao mbaya
Vipi Rogers lugose.keep up bro
Thank you for advice bro wepukhulu 😂
Wacha kuwa onyesha wacha waonge Ile Wana Jua 😂😂😂
Content yako ni unique bro.
Thank you
Beautiful place
Atur Magarian😂,
Kazi poa ndugu
😂😂😂😂😂
That's a cool workplace
Thank you bro
First yangu kukuwatch and I love it..❤
Thank you so much
Naomba namba yako nikutafute Kuna mahali sija elewa vizuri
Nakuja tuchape storyyy tutoe form
Huku ni kutulia tu
Iyo content iko juu..tutembeze around tena if possible uko ndani pia, am curious kujua how does it work...so informative...thinks bro..
Monday nawatembeza ndani
Fiti bro, one day tutameet Germany majaliwa
Apo sawa bro
Thank you for the support
😂😂😂😂😂 Ati nini Ticko.. 😂😂😂😂
Kept it up bro ni connect
Thank you
Hii Rogers hiyo turbine nikama Ile turbine ya bike. Ikizungunguka inazungusha motor which causes electricity formation
I think ni hivyo... hii place ni kubwa sana
@@Rogers_Lugose Great content man
I like your content.
waafrika na siasa haki
Siasa mob sana
Uki work na wafrica ni shida hasa hawa waluhya wenzangu🤔Mdomo,kujipendekeza na vitina tuwachie sisi waluhya😂
Very true. Wazungu wametulia sana
Leo huendi shakahola kwa Mackenzie😂😂😂😂😂😂
Kesho niko shakahola
road to 20k subs
Soon bro. Pole Pole tu
Wajackoya holiday 😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
What is your line of work?
I like your content..man
Thank you so much
maisha London!
Working na Wazungu uwa poa sana
Ni connect man
Niaje Rogers hapo kuna job za madem
Huku ni engineers wanaume tu
Is it kind of a silo ju inakaa round
Iko round kesho nawachukulia video ya nje
Niaje rogers mtu anaeza kam uko aje ni possible kukam nikiwa 23
Kuja na Aupair
@@Rogers_Lugose lazima nielewe lugha
@@ericmaina5717ndio mzee
Usidhani hii ni Mabati
Sio Mabati..😂😂
😂😂😂😂 hii sio mabati bana
Hapo kwa kurisk kama Hauna ticket nihesabu hapo
😂😂😂
I understand why driving license is important in Germany we coming
Karibu Germany
@@Rogers_Lugose hello how are you doing, how can I get visa to work in Germany from Tanzania
Just wondering when you Move abroad, do u still fil tax returns in Kenya? Asking for someone? You have residency but still hold Kenyan passport
Yeah you have to file nil returns
Kazi safi, btwn Germany and Britain which one can you advise in terms of hersal having a family living with you?.
Britain is good . Here you have to learn a new language before you fit in
I totally agree Kabisa. Kufanya jobo na wafrika ni shida. Wazungu any time
I learnt my lesson the hard way
Umenichanganya kabisa. Hio ni power generation gani sikusoma Kenya? Mi najua hydro electric pekee na inatumia dam ku run turbines. Niambie tu inaitwaje ni research. Otherwise, your content is unique and simple. Endelea. Huku ni tax inatuua.
Sawa I'll ask today then let you know
Vitu za kenya ni zakuongelea kweli?
I think io ni nuclear power plant,io water ni coolant ya reactor 😮
I think so cause they don't tell us what it is
@@Rogers_Lugose mko at risk of radiation..
Hello Lugose,am 25 years how can i come to Germany?
You can try Aupair or FSJ
Is it a nuclear plant oder thermal power?
Thermal power
Hi,Sorry fr asking unskilled workers wanaweza pataje kucome huko? Cz not everyone wants or is able to do hizo jobs za nurse aid or caregiver.
Just apply online. I'll share the link
@@Rogers_Lugose Sawa sawa Will be waiting for the link please🙏
@@Rogers_Lugoseiko wapii😢😢😢
Is it a must to speak a German language
@@mzansi_ke Very few people will talk about kwenda majuu being easy bt ukiitisha link na wakueleze polepole process hata inbox thy mute 🙄#justsaying
Unaweza pewa visit visa kama account yako ni less than 50k?
Ngumu sana. They want from 300k
Unataka kuvisit ama kuishi huko? Make that decision kwanza. Dont do what i think youre about to do
Ni lazima Mtu ajue kuongea lugha ya German before kuja huko
Yeah lazima
This is why we have fewer Kenyans in german compared to UK and US. How did you learn your german?
Life is not easy everywhere...lakini we move regardless
Very true
❤❤❤❤ nice job
Thank you bro
Bab kubwa
Vipi?
I wish i was you 😅😔
Why?
@@Rogers_Lugose soft life
ACHANA NA BINADAMU RODGERS!!!!!! WANADHANI EUROPEA PESA ZIKO KWA MITIIIII!!!!!!!!!
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 true
😂😂 haki
True. As if it matters what he does for a living as long as it's authentic work. Kenyans na vile huku home tuko na shida! 😂
Uropa/abroad hakunanga njia fupi ama hongo ya pesa, ni mtu uwanzie chini kuhustle kabisa ndiposa ufikie malengo yako, Uropa /majuu to achieve your goals ni mtu utie bidii kazini, mtu goi goi can't make it kuishi majuu!