Mnataka Wazungu Lakini Mko Tayari Kuvumilia Tabia Zao? Tabia Za Wazungu Huku Germany 🇩🇪

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 188

  • @bongasasa3895
    @bongasasa3895 ปีที่แล้ว +13

    Ku nyonya passion fruit si wezi hata Dame akuwe msupa aje! Black or white haiwezekani! Manze when I was brand new kuja Europe si usiku moja kwa club flany tuka bonga tuka elewana. Tuli enda kwake after nice pad fit lady after few drinks Dame akaji anika legs apart ati ni kule! Dude si nilikataa na yeye aka jam ati hataki jama hana foreplay! Ushenzi gani hiyo! Nili acha aji kune peke nika toeka!

    • @Bianca-ox4zx
      @Bianca-ox4zx ปีที่แล้ว +2

      Lol 😂😂😂😂😂

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว +6

      😂😂😂😂😂 Acha ni pin hii

    • @bongasasa3895
      @bongasasa3895 ปีที่แล้ว

      @@Rogers_Lugose that was emotional damage for a young African man! Wah just the thought of it made me nisukule for few days! You know most of us Africans hatujaona hiyo fruit up close an personal! Scared me for life

    • @bongasasa3895
      @bongasasa3895 ปีที่แล้ว

      @@Rogers_Lugose alafu hii kitu kalikwanga na ginger futhii ya almost red! Kali ka kama imewaka moto! Kweli huku diaspora tuna pitianga mob na watu back home wana tutumia ka ATM imejaa dough

    • @winniesafi
      @winniesafi ปีที่แล้ว +5

      Kula bwana 😅😂 but sio kila mtu esp not dem umepata kwa bar .

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 ปีที่แล้ว +7

    Nikweli mim pia niliachwa bila sababu yeyote ooooh ilinipain sana ila natamani nipate mwingine namim nimepiga tukio

  • @mimimkenya2325
    @mimimkenya2325 ปีที่แล้ว +4

    I love "kwa ground vitu ni different" ...wazungu wengi ni unnatural especially kwa vitu zingine. Watakufanyisha vitu za ajabu. Kuna wazungu hucheat pia

  • @africasightwalktravels1875
    @africasightwalktravels1875 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣 enyewe we can be so desperate, Thanks kutuchanua

  • @berthahakizimana2437
    @berthahakizimana2437 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kufika uko kwenye uko nielekez nipo Bujumbura

  • @karwithaessie2879
    @karwithaessie2879 ปีที่แล้ว +5

    Leo umesema ukuwe Churchill. Content imeweza😊 kuolewa na mzungu sii rahisi😅

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      😂😂😂 asante for the support

  • @GarbanzoBeansFan
    @GarbanzoBeansFan 3 หลายเดือนก่อน

    kachupa kadogo kwa room 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mercyopondo9907
    @mercyopondo9907 ปีที่แล้ว +9

    That explains why the rate of divorce cases are higher compared to Africa.

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว +1

      True

    • @Nemesis102
      @Nemesis102 ปีที่แล้ว +1

      The system is also a major contributing factor.

    • @chupeewatta
      @chupeewatta 7 หลายเดือนก่อน +1

      @mercy but in africa they impregnate and deny or run away from responsibilities. Atleast majuu men pays child support by force

  • @Bianca-ox4zx
    @Bianca-ox4zx ปีที่แล้ว +4

    Culture shock, kudate mzungu ni ngumu 😂😂😂😂😂

  • @marynjokimirie4753
    @marynjokimirie4753 ปีที่แล้ว +1

    Waaah which Germany do you live ? Or how long ? wazungu hu cheat ile mbaya mbovu...

    • @chupeewatta
      @chupeewatta 7 หลายเดือนก่อน

      Thet cheat Mbaya 😅😅 ata kuliko sisi

  • @Violet-s9i
    @Violet-s9i ปีที่แล้ว +3

    Tangu zamani sijawai tegeme pesa ya mwanaume Niko hard work Bora ndakuduka yeyooooi

    • @kristie6667
      @kristie6667 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 yeeeeeh baya

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 yessss

  • @mimbamimbz3990
    @mimbamimbz3990 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @metrom8009
    @metrom8009 ปีที่แล้ว +2

    Good😮

  • @wmusinya97
    @wmusinya97 ปีที่แล้ว +2

    Mimi hata niko Mombasa,nawaona huku daily na sijawahi watamani yooh,i love my African men ooh 😅 wazungu are weirdos from the stories I've heard huku coast na pia online wueeh 🙌

  • @yusufumilah
    @yusufumilah ปีที่แล้ว +2

    Waiting bro

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaonea ata kwa Akothe

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  7 หลายเดือนก่อน

      Madam boss🤣🤣

  • @maureenachi1
    @maureenachi1 7 หลายเดือนก่อน +2

    Cultural differences iko ata kwetu waafrika. Ata nisiseme waafrika, Wakenya. I however agree that people have to put into account all the differences that exist in interracial marriages before getting involved.

  • @AbigaelTende
    @AbigaelTende ปีที่แล้ว +1

    Mm nataka mzungu bana leta connection

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว +1

      Naanza WhatsApp group soon

    • @AbigaelTende
      @AbigaelTende ปีที่แล้ว

      @@Rogers_Lugose waziii, tunaisubria snaa aky..

  • @VeronicahMuiruri-ks2hl
    @VeronicahMuiruri-ks2hl ปีที่แล้ว +1

    Waugwani Big up👍

  • @AshaYusuf-hp5zt
    @AshaYusuf-hp5zt 7 หลายเดือนก่อน

    Bro mm nataka mzu

  • @timojirongo5536
    @timojirongo5536 ปีที่แล้ว

    Which are the sites sir

  • @Sunshine_Amy
    @Sunshine_Amy ปีที่แล้ว +1

    What if...tukileta character zetu plus zao...😅😅😅😅😅😅hapa nikusave ukijua anytime utamwagwa nje😅😅😅

  • @edwardleonard7402
    @edwardleonard7402 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka hujakosea

  • @mildredorodi5479
    @mildredorodi5479 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @officialnick2547
    @officialnick2547 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nivizuri akwambie ukweli kuliko akuwache kwa air

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  7 หลายเดือนก่อน

      True🤣🤣🤣

  • @winniesafi
    @winniesafi ปีที่แล้ว +9

    I agree mi siwezi ingina box ya mzungu , the hygiene , no culture , they can’t dance , ni ma racist kiasi , siweziiii 😂

  • @georgenahpeter4757
    @georgenahpeter4757 ปีที่แล้ว +2

    Am finding the way ya kwenda majuu,so kuolewa na mzungu is one way of getting there.....Kenya hakukali.....

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      Unataka Nigerian?

    • @georgenahpeter4757
      @georgenahpeter4757 ปีที่แล้ว

      @@Rogers_Lugose No mzungu

    • @marynjeri4860
      @marynjeri4860 ปีที่แล้ว +3

      Siyo wote wabaya...don't be discouraged...am married to one over 20 plus years and blessed with lovely family...

    • @georgenahpeter4757
      @georgenahpeter4757 ปีที่แล้ว

      @@marynjeri4860 you are lucky dear, I dated three each relationship edded badly....

    • @vansoham930
      @vansoham930 ปีที่แล้ว +1

      ​@@georgenahpeter4757wakenya tulikosea wapi .ukiolewa na mzunye ndio nini ifanyike. hamfikirii Kwa undani.

  • @Ruth-u4v
    @Ruth-u4v ปีที่แล้ว

    Wewe ni ukweli bro

  • @patriciamugo5444
    @patriciamugo5444 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂 wazungu nikama weather yao😅😅😅

  • @medisternanjala9479
    @medisternanjala9479 4 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @jameskillu9171
    @jameskillu9171 ปีที่แล้ว +1

    Nitafutie mmoja nipate makaratasi,

  • @clareocholla
    @clareocholla ปีที่แล้ว

    Tumekuskia😂😂😂

  • @asasewaosoro104
    @asasewaosoro104 ปีที่แล้ว

    Kuoa Mzungu ni taboo

  • @evanskiddroe8528
    @evanskiddroe8528 ปีที่แล้ว

    Huyo player wa Germany ni Jamal Musiala

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 ปีที่แล้ว +4

    I like Africa men wazungu no😂😂😂

  • @mukhtarally5819
    @mukhtarally5819 ปีที่แล้ว

    Rogers na wazungu wanazaga watoto wangapi huku Germany

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      Ata 5. Kuna neighbour yangu ako na 6

  • @faithemanuel4781
    @faithemanuel4781 ปีที่แล้ว +2

    Haki umenifungua akili,kweli information is power.eeh unaona tu madame online na white men unaona tu ASALI NA MAZIWA I😂HADI UNAJIULIZA NILIPITWA SAA NGAPI

  • @michaeljuma007
    @michaeljuma007 ปีที่แล้ว

    Tengeneza merchandise t-shirts with your favourite statement "nini na nini" # huku Germany..

  • @barbaraonyinkwa5673
    @barbaraonyinkwa5673 8 หลายเดือนก่อน

    Just connect me nitajipanga😂

  • @alizuluman4739
    @alizuluman4739 ปีที่แล้ว +1

    Uku Deutschland

  • @hdhdhdhdhdh3264
    @hdhdhdhdhdh3264 ปีที่แล้ว +1

    Nitafutie mzungu Mluhya plz😂

  • @chupeewatta
    @chupeewatta 7 หลายเดือนก่อน +1

    @Rodgers wazungu cheat mbaya, ule ha cheat maybe ako na kasoro like mental issues.also madem walami huchapwa mbaya ..wueh. usiseme hivyo tena 😅😂😂

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 ปีที่แล้ว

    Umegonga ndipo kuishi na mzungu inataka kamba kall jizee

  • @joyceanzemo8222
    @joyceanzemo8222 ปีที่แล้ว +1

    Na ni ukweli kuna dame mwingine tiktok ako germany we anapitia things on the ground n diff better our ngozi nyeusi

    • @josephmmoja486
      @josephmmoja486 ปีที่แล้ว

      Leta Jina ya tick tock account yake

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 umeamua kuchoma

  • @Violet-s9i
    @Violet-s9i ปีที่แล้ว +1

    Ukiri kunyora farmer nyenya kabisa mbeee

  • @joyasiko1757
    @joyasiko1757 ปีที่แล้ว +4

    Na umesahau kusema wakifika 60,70 80 wananukaaaaaaaaaaaaaa

    • @steffis6565
      @steffis6565 ปีที่แล้ว +1

      Kila binadamu ananuka i was in kenya kwa matatu Karibu ni vomit and there was No old in the matatu young people .

    • @joyasiko1757
      @joyasiko1757 ปีที่แล้ว +1

      @@steffis6565 you are correct.

    • @maryngigi3728
      @maryngigi3728 ปีที่แล้ว

      😂😂😂didnt know this

    • @joyasiko1757
      @joyasiko1757 ปีที่แล้ว

      @@maryngigi3728 niko uku nasi kwa ubaya....ngozi nyeupe ikitoka tu nje kwa jua ngozi inaturn pale black is gold viva

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @medisternanjala9479
    @medisternanjala9479 4 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @Rovex.
    @Rovex. ปีที่แล้ว +1

    *_mapenzi ilibaki afrika_*

    • @Rovex.
      @Rovex. ปีที่แล้ว

      kumbe ni wazungu wanayo mapenzi

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 ปีที่แล้ว

    Wanageria sio watu poa😂

  • @africangirl189
    @africangirl189 ปีที่แล้ว +2

    Me and wazungus hell NO

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      Madem ndio wanawapenda

    • @Amira1977-y
      @Amira1977-y ปีที่แล้ว

      @@Rogers_LugosePOVERTY MATTERS BRO!!!!!!

  • @consoojoseph3918
    @consoojoseph3918 ปีที่แล้ว

    Nipo Germany kwa wiki sasa kila kitu ni kipya aseeeh

    • @Amira1977-y
      @Amira1977-y ปีที่แล้ว

      TAFUTA JOB MY DEAR

  • @wozanawewoz979
    @wozanawewoz979 ปีที่แล้ว +1

    Watafutie wanaigeria 😂 maprophet na church pastors

  • @MarymKamau
    @MarymKamau ปีที่แล้ว

    Great advice

  • @josephmmoja486
    @josephmmoja486 ปีที่แล้ว +2

    Dame wangu aliniacha na nikaona akipost vile ako na mgermany, akwende huko na yeye na ikamrambe

  • @MiriamEnane
    @MiriamEnane ปีที่แล้ว

    Mzungu aneza kupea talaka hata saa sita usiku

  • @papetuanyaga5071
    @papetuanyaga5071 ปีที่แล้ว

    Haha my only things

  • @genghiskhan8148
    @genghiskhan8148 ปีที่แล้ว

    racism, high cost of living na depression ati ndio factors humaliza immigrants huko jamani?

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      Hakuna hizo zote apart from boredom

    • @chupeewatta
      @chupeewatta 7 หลายเดือนก่อน

      Loneliness leading to depression ​@@Rogers_Lugose

  • @joyasiko1757
    @joyasiko1757 ปีที่แล้ว +1

    Na ndo maana unakuta guka wa Bc wanaenda Africa kuchukua ndogo ndogo .

  • @FlavinWanjohi
    @FlavinWanjohi ปีที่แล้ว

    Hujawahi acha kuteseka kama umbwa za kenya

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว +1

      Sahi niko sawa

    • @chosenone7778
      @chosenone7778 ปีที่แล้ว

      Umbwaa ni wewe nogo

    • @FlavinWanjohi
      @FlavinWanjohi ปีที่แล้ว

      @@chosenone7778 umbwa ni wewe pia nogwe ii

    • @chupeewatta
      @chupeewatta 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@Rogers_Lugosehuyu ni ka ulim ninii ukamwaga nje 😅na alikua anataka kujishikisha ball yako 😅😅😂😂

  • @wambui4590
    @wambui4590 ปีที่แล้ว +3

    Ati joke 😂mpaka wananyamba

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @wambui4590
      @wambui4590 ปีที่แล้ว

      @@Rogers_Lugose hio ndio kitu sijaelewa mpaka saa hii. Alafu wakianza kuongea wao kwa wao, story inabamba hadi 30 minutes zinaisha. Wewe unaeza anza story but after one minute imeisha.

  • @Ruth-u4v
    @Ruth-u4v ปีที่แล้ว

    Wewe ni connect 😂😂😂

  • @mimimkenya2325
    @mimimkenya2325 ปีที่แล้ว

    Wafrika wako brainwashed juu wanadhani wazungu wako na pesa lakini hawajui wegine ni maskini kupindukia wanategemea usaidizi kutoka kwa serikali zao. Tena huwa wamesave hata miaka kumi ndio aje kutembea atokee stress za kwao. Waafrikaa wengi wale wameolewa ama kuoa wazungu wanateseka sana lakini hawasemi wasichekelewe.

  • @hdhdhdhdhdh3264
    @hdhdhdhdhdh3264 ปีที่แล้ว +1

    That's why i dont love wazungu,anaweza nipea talaka saa sita jua ikiwaka

  • @michaelanangwe1838
    @michaelanangwe1838 ปีที่แล้ว

    😂

  • @Idakhoqueen
    @Idakhoqueen ปีที่แล้ว +1

    Bora pesa😂😂😂😂

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 ปีที่แล้ว +2

    90 % of ths marriages na walami huwa scam tu we all know most ni stepping stone tu no love bota mtu atumie kili huko 😂😂😂
    Cz your right at times unakosa story za kuongea na mlami #cultureshock sasa mimi nimezoea kukula ugali na kilalo morng mlami atachoka na mimi

  • @Smiley0725
    @Smiley0725 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eti white people don't cheat?Ooliskia wapi?..scam!

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  4 หลายเดือนก่อน

      @@Smiley0725 😂😂😂

  • @hellenluvisia9238
    @hellenluvisia9238 ปีที่แล้ว +1

    Asante Rogers for your updates. Kindly send your email address

    • @Rogers_Lugose
      @Rogers_Lugose  ปีที่แล้ว

      Asante sana. Booklugose@gmail.com

  • @maryannnyambu8937
    @maryannnyambu8937 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂