MAKETE NI KWELI KUNA BARIDI?, DC AFUNGUKA VIDEO ILIYOSAMBAA 'HII HALI YA BARAFU SIO MAKETE'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂nimefurahi sana mpo vizuri,napenda vizuri

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba sekta ya utalii iweke miundo mbinu makete njombe wajenge mazingira mazuri wajenge majengo makubwa ya kitalii wapate utalii njombe mbia iringa serikari please

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว +1

    Balidi ni kali mm mpka dar es salaam

  • @samsonimwenda2811
    @samsonimwenda2811 2 ปีที่แล้ว

    Ss tuliozaliwa plan tutaweza huko n nyumban ila watu wa tukuyu tunamtafuta shangaz yetu anaitwa telesia salatiel baba yetu anaitwa Simon salatuel

  • @claudsanga8162
    @claudsanga8162 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi ungewauliza wazawa wamakete sio huo mhamiji hajui tu barafu ipo mwongo huyo itajulia wapi ameletwa tu

  • @ngaoushindi4520
    @ngaoushindi4520 ปีที่แล้ว

    Hakuna kuogopa huku ni kwa kawaida sana

  • @theodorahyera7686
    @theodorahyera7686 2 ปีที่แล้ว

    Kuna video nyingine nipe namba nikutumie ili ujue kuwa ni makete

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 2 ปีที่แล้ว

    Pale labda ni Njombe. Ila bila shaka ni Tanzania.

  • @tzyetumoja9946
    @tzyetumoja9946 2 ปีที่แล้ว

    Amekanusha🤣🤣🤣🤣🤣

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.

  • @theodorahyera7686
    @theodorahyera7686 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni makete bwana amekatatu