HI LOVE MKO POA NITARUDIA MAFUNZO YA KUWEKA DAWA YA KALI NA NITAJIBU COMMENT ZETU COZ MASWALI YAMEKUWA NI MENGI SO JIANDAE KWA AJILI YA TUTORIAL KUANZIA STEP 1 hadi STEP 3
JAMANI KWA WALE AMBAO HUWA MNA COMMENT SANA NA KU SHARE VIDEO ZETU plz naomba kutambua uwepo wako nikuunge kwa group letu la whatssp... Hakikisha umeshare video zetu
Naomba kujua kitu,kwa upande wa dawa inatumika hyo uliyotifundishia tu au kunq zingine?na je zinauzwa in set au unanunua tofaut tofauti?pls yeyote anaejua naomba anieleweshe
Ko naosha zikiwa bado naroras ?mihapo ndosijaerewa na jee nilisha muosha anakaukia hewa au mana sijaona ukimuweka ktk draya , Asante kwamafundisho dada
Farida mm kwa nilivyosoma comment za watu mbalimbali za watu na za kwako jinsi ya kuweka curly Step1.naweka nywele dawa (cold wave) Step2.nafunga nywele rolas nikiishamfunga rolas anakausha nywele kwa dryer au jua ndani ya dakika 40 Step3. Naosha hizo nywele kwa maji ya kawaida zikiwa kwenye roler Step4. Baada ya kuosha nampaka hizo nywele neutralize anakaa nayo kwa dakika 15 namuosha then after anausha nywele kwa jua au dryer zikiishakauka. Namtoa rolar anakua amedamshi tayari sijuii mpaka hapo nimekuelewa?
HI LOVE MKO POA NITARUDIA MAFUNZO YA KUWEKA DAWA YA KALI NA NITAJIBU COMMENT ZETU COZ MASWALI YAMEKUWA NI MENGI SO JIANDAE KWA AJILI YA TUTORIAL KUANZIA STEP 1 hadi STEP 3
Hi madam naomba utuonyeshe na jinsi ya kuweka permanent curl for short hair
Ukiweka iyo Kali hauoshi unaweka Lola ikiwa nadawa
Sijaona kukiosha
JAMANI KWA WALE AMBAO HUWA MNA COMMENT SANA NA KU SHARE VIDEO ZETU plz naomba kutambua uwepo wako nikuunge kwa group letu la whatssp... Hakikisha umeshare video zetu
Tupo dada
Xaxa mm sip tanzania ila nakufatia sana
Je na2mia dawa yeyote au ni lazima iwe iyo
Ok saw
nimeipenda mno
Dah! Hki kitu nimetafuta sana siku nyingi kujua bila mafanikio.
Asante sana sana Farida.
Ahsante Sana dadaa Mungu akubarki kwa mafunzo mazur
Naomba kujua kitu,kwa upande wa dawa inatumika hyo uliyotifundishia tu au kunq zingine?na je zinauzwa in set au unanunua tofaut tofauti?pls yeyote anaejua naomba anieleweshe
Mmmh cjakuelew
(1)nikimaliza kuweka daw nikafunga rolaz nitakaushia kweny dray au ......(2) nitaosha na rolaz zikiwa kichwan??
Safi sana japo ni miaka 2 iliyopita swali langu vipi haina maumivu makali km relacxa ?
Samahan,hapo kwenye kuosha unaosha zikiwa na rolas?
Na bei za rorazi je na arusha napataje?
Naipenda Sana kazi miss farida nataman kuwa Kama wew yaan
Samahan nauliza ukishamweka izo lola aingii kwenye draya ?
Mtu anakaa kwenye dryer kama akauke au?
Naomba kuliza ile step two ya hii curlkit mbona hujatuonyesha ukiweka
sijaelewa hiyo dawa ukishaweka kabla yakuiosha unafunga rolazi au unaosha kwanza?
Dada ukisha weka kabla yakuosha ndounaweka lola ??
Maadam baada ya kumfung rola ata kaushw na Drayer au ?
Sasa unazitunza vipi izo nywele. Utakuwa na ziosha na shampoo ao?
Unaosha ikiwa na rollers au vip?
Ntaiacha ikauke ndani ya draya ua kawaida??
Naomba kuuliza dada....inawezekana nikaweka kwenye nywele zenye breach
Ukiweka dawa unasert bila kuosha? Na unaosha huku zikiwemo hiz lolaz sijaelewa hapo
Kwhy unaosha ikiwa bado hujatoa rola?
Shingapi kuweka kalikiti dear?
Kwa nywele fupi unawekaje rola?
Sijaelewa hapo kwenyekuosha unaosha zikiwa na rola au unatoa rola??
Da Farida nliweka kulkit je nywele itarud kawaida
Dada mm nimeweka dawa movit nataka kuweka kal kiti inaaa?
Je nilazima nywele iwe natural?
Invitare hiyo dawa? Sisi tullio Kuwait malissimo tutaipataje? Asante
Samahani hapo ulipomaliza kuweka dawa inamaana unafunga rola bila kuosha au mi nimejivuruga?
jewe ndasavye mumbwire ingene bashiramwo ibigudi umushashi ufata ingene ubungana? na quantite ushiramwo neutralisants numwanya bimaramwo kugira bibe bouclé .murakoze
Nice Farida naomba kujua jinsi ya kushuka mkeka
Ninefurahia hili somo kiukweli..je ukishaweka dawa kinachofuata ni hiyo spray tu ?
Samahamj lkm, unawekq rola kwenye curl cream ambayo hujaosha,
Na unaosha pamoja na rora?
Waosha zikiwa na rollers?
Iv havifai kwa rollers za kawaida kuweka
Ukiweka dawa unamuosha ndio unaweka lolazi au unaweka lolazi ndio una muosha?
Samahan sijaelew nywel zinaoshwa zikiw kwenye Lola?
Ukishaosha dawa nakuspray unaeza kausha na drier?
Ukitaka kuosha unaosha n'a maji ya vugu vugu ao ya baridi?
Mim sjaelewa hapo kwenye kuosha dawa inaishaje ikiwa kwenye rolas
Nataka kuhuliza ukishaweka Cali yako inabidi kuwa nanyunyuzia maji kila mara ao?
Naomba kuuliza nywele yenye dawa haifai kuweka?
unaosha tena una eka rora???
Nywele unaiosha kuondoaa dawa kabla ya kutoa hz rolaz
Iyo dawa uliyoweka, ina maana badae nywele zinakua relaxed au znabaki natural?
Je kwa mwenye Nywele fupi anaweza kuweka nakupeta mawimbi bila kuweka Lola?
Ukishamuweka dawa hukoshi?
Unaweka Rola hebu nijue please
Nauliza kwan hukuosha hiyo dawa?? Ndio uweke rolas
Asante kwa video nzuri
Samahani dada umemkausha huyomteja kwenye draya?
Kama huna rolazi je utafanyaje
Nikiwa Burundi tayipaje rolaz???
Da Faridah sijaelewa wakati unaosha unatoa rollers au waosha ikiwa na rollers hivyo
Sorry madam hii Kal haioshwiii??? Na hazikaushwi na dryer
Samahani Ukishaweka hiyo dawa nywele haiwi natural tena??
kama ni nywele fupi badala ya rola unaweka nini?
Asante unaweka kwa bei gani
Kwaio unaweka vipila bila kuosha??
Mm cjaelewa hapo kwenye kumuosha unatumia shampoo au unamuosha Kwa kutumia maji tu na je dawa inaishaje kwenye nywele?
Hapo zinaoshwa zikiwa na Lola????alafu mbona curling hair lotion hujatumia???
Ko naosha zikiwa bado naroras ?mihapo ndosijaerewa na jee nilisha muosha anakaukia hewa au mana sijaona ukimuweka ktk draya , Asante kwamafundisho dada
Unaweza weka kwa nywele ndefu ambazo ni natural?na aziwezi kukatika?
Mambo nataka kuuliza una kausha kwenye draya
Inakauka bila kumweka kwenye Drayer??
Mtu mwenye relaxed hair anafaa kubadili kwenda kwenye curl?
no nywele yako lazima ikue natural ama itakatika yote
Nywwle zangu nichache je inawezekana?!
Hii dawa ya curl ukipata nywele zinabaki kua natural au?
Kama ni nywele fupi jeee unafanyaje dada???
Sjakuelewa vzrii madam naomb kurudiwa kwa hlo somo
Dawa ya Kali ukimaliza kuweka unaiosha?
Sorry nywele imekauka kwenye dryer au??
Dada mbona autujibu?
VIP kwa wanaoishi mikoani watapataje hayo mafunzo mfano arusha?
Mbona kuna mtu alipaka iyo curl baada ya mda tu nywele zikaanza kukatikaa an
Mm naomba nikulize nikutumia Lola zakali nikimuweka mtu ktk draya zinakatika vipila
Asante Dada
Nakupenda sana we dada😍asante kwa daraasa
Kwaiyo nawek dawa alafu nafunag rol ndoanaosh au naweka daw naosh alafu nafunga rola au vip
Samahani dada Ivi unaanza kufunga Rola na step 1 au baada ya kuosha hiyo ya kwanza na kufunga Rola kwenye step 2?
Naomba kuuliza hi dawa ya Carl unaosha?maana hapa nimeona unaweka dawa then rola sijaelewa mi mgeni kwenye hli soma
Hii dawa unafunga rolaz kabla ya kuosha
Hello dear samahan nauliza baada ya kuweka ayo maji je unamdry nywele zake Au sio sahihi
mbona mimi aijaona kali kiti nimeona tu dawa ya movit kwan hiyo movit ndo kalikit aamahani lakin naitaj jibu
sorry madam ukiweka kwenye nywele yenye dawa haiwez kukata nywele?
Je hii dawa ikiisha kwenye nywele je zinaweza kurudi kuwa natural kama zaman??
ndyo kuna dawa yake nadhan step 3 inarudisha kuwa natural bila kukosea,,,coz kuna step 1 step 2 na step 3
Dada farida plz naomba jibu 🙏 ukiweka dawa unafunga rolas pamenichanganya kidogo, unatoa rolas alafu unaosha ama unaosha na rolas??
Eti zinaoshwa zikiwa na rolaz zake
Mbona hamjaonesha mmeoshaje na kuweka hyo neutralize
Naomba urudie sijaelewa vizur madm samahan
Hio nywele inakauk bila ya kuweka kwenye draya
Kama nywele ambayo ina dawa ila imeota unawekaje curl
Inakauka nanini? Na kutosha unaosha ikiwa na hizo Lola zake
Kwa nywele ya dawa iliyootea haifai?
Lola's shngapi??
haiunguz mpenz
Sister nilikua nauliza nimeona baada ya kuweka rollers ukasema unatakiwa ukaoshe ila sijajua utaosha nywele zikiwa na rollers?
Ndio mbona kasema unaosha zikiwa na rola
Farida mm kwa nilivyosoma comment za watu mbalimbali za watu na za kwako jinsi ya kuweka curly
Step1.naweka nywele dawa (cold wave)
Step2.nafunga nywele rolas nikiishamfunga rolas anakausha nywele kwa dryer au jua ndani ya dakika 40
Step3. Naosha hizo nywele kwa maji ya kawaida zikiwa kwenye roler
Step4. Baada ya kuosha nampaka hizo nywele neutralize anakaa nayo kwa dakika 15 namuosha then after anausha nywele kwa jua au dryer zikiishakauka. Namtoa rolar anakua amedamshi tayari sijuii mpaka hapo nimekuelewa?
Naomba unireply kwa kunirekebisha ambako nimekosea naomba msaada wako
Dada lorazi hzo znauzwa shngp
Good ht mm najua hivyo dear nimeeka hii kitu sio chini ya miaka kumi
Samahani lkn km hutojali nieleweshe ni lazima kukausha nywele ilowekwa curly ?maana naona mapya haya au inakuwaje?
@@leilangowo5692 nywele za curly mtu anaweza kubana?!
Kwahy dda nywele unaziosha kwanza af ndy unawekA dawa?
Hongera dada nimeelewa hilo somo
Je kwa nywele ndogo zaidi ya izi amazon hazifai kueka rollers