Big up sana. Mwanzo mzuri na kwa mara yakwanza Tanzania tunatengeneza identity nyingine ya mchezo utaoweza kututambulisha duniani.. Kazi nzuri Mh. Makonda
Waooohhh, very impressive. Cuddles team ya uchambuzi, your're very smart . Not boaring, your're encouraging, inspiring and appreciative to our vijana on their ride. Hongera sana Mheshimiwa Makonda kwa ubunifu, na uwekezaji kwa vijana wetu. Hii sasa itaaongeza dhamani ya mtu anaendesha pikipiki, lakini vijana sasa wataona umuhimu wa kazi yao. Kwa hao wachache wanataka kuharibu kazi ya vijana wetu, tutawashughulikia ipasavyo. Arusha oyeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Ubaya Wa Tanzania kila kitu kinakua na kumbembeleza Rais. Kwakua wameweka mamulaka kama yote kwa Rais. Rais hana control power nyuma yake. Hakuna utofauti Wa kipindi cha tawala za wazungu na rais Wa Sasa.
Big up sana. Mwanzo mzuri na kwa mara yakwanza Tanzania tunatengeneza identity nyingine ya mchezo utaoweza kututambulisha duniani..
Kazi nzuri Mh. Makonda
Makonda 👍 kiboko Nikiongozi Hajawai kufeli Anajuwa kuongoza na kujenga Maendelea Naiyona Arusha mpyaa Zaidi mbele👍👍👍Piga kazi
Nyoko akili fupi sana wewe
Waooohhh, very impressive.
Cuddles team ya uchambuzi, your're very smart . Not boaring, your're encouraging, inspiring and appreciative to our vijana on their ride.
Hongera sana Mheshimiwa Makonda kwa ubunifu, na uwekezaji kwa vijana wetu. Hii sasa itaaongeza dhamani ya mtu anaendesha pikipiki, lakini vijana sasa wataona umuhimu wa kazi yao.
Kwa hao wachache wanataka kuharibu kazi ya vijana wetu, tutawashughulikia ipasavyo. Arusha oyeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Makonda is very bright person 🎉
Du! Niko Kigoma, hii tunasema imeenda. Kiufupi utadhani tuko Denmark. Big up Paul Makonga the Great RC ever seen.
Big up makonda,Mwanza tupo nyumaa sana kumbe
Waaaoooo Arusha yang pendwa ❤
Masuuuudd mtalam wetu wa misugu sugu nimemuona bog up bro
Daaa mweli Arusha ni nchii hao maridder ni wanomaaaa ataaaariii sanaaa ni 🔥 🔥
Duuuh safi sana, nwapats vzr nikiwa boda ya msumbiji hapa.
Olasit🥳🥳🥳🥳🥳
Chuga kama mbele big up Paul makonda
Hii tamu..hadi nimesisimka kwa ninavyopenda michezo hiyo ya bikes 🏍
Saf san makonda kula yangu chukuwa🎉
Pamoja sana Arusha
Arusha like America
Pamoja sana POUL MAKONDA
Ni mzuri sanaaa,wakati mwingine wamwage maji kuondoa vumbi
😂😂😂 wamwage maji afu boda ipite utaua watu.. utelezi kidogo tu watajikuta wapo chini
😂vumbi ni sehemu mojawapo ya vigezo na obstacles. Yaonyesha ujuzi wa rider uko vipi
Kuanzia leo me shabik wa olasiti elisante
Mh 💪💪💪💪💪🙌🙌🙌 kweli ww noma 🎉🎉🎉🎉
Makonda safi sana
Chuga iyooooo..😊😊
Safi sana
Safi sana mama. Makonda usitoke alusha tutakupa urais aki l love you chuga yangu
Alusha ndo nini
Nyoko
RC wewe nimwamba unaweza, Mungu akurinde nasi tunazidi kukuombea.
Nakupenda makonda
Makonda anajua kuwafurahisha watu wake
❤❤
Nice things
Chuga kama ulaya😁
Chuga kama mambele yani
Yani makonda hapana wewe nikiongozi bwana unaweza kiivusha hii nchi Kwa kipndi kifupi Sana . Maana umeangalia mbali mno mungu akubariki Sana brother.
yes makonda
🎉🎉🎉🎉🎉
Duuh izo vumbi 😅😅jamn
Hyo Elisante mamaeee watu wana balaa
Kama mbele iyo ndio arusha
Mmh huyo anweza kuwa mwiz huyo
Makonda ni raisi ajae
Wapo viruri sana tunaonba tanga pia iwepo kama hii. Au kila mkoa .
alafu ushindano wa taifa..safi sana
Olasitiii
Hapa dar labda mashindano ya pombe na majungu vitu kama hivi tutaishia kutozama kwa TV tu
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Hawez linganiaha Chuga na mikoa ningne asee Kwa cc 2liowahi zunguka Tz Chunga n Jiji Lina Kila sfa
We hujazunguka hujuw kitu
We hujazunguka hujuw kitu
Umezungyukaa?
❤
NIMEIKOSA HII DAAH😢
Dah! ilo vimbu lisije kusababisha ajali
Ubaya Wa Tanzania kila kitu kinakua na kumbembeleza Rais. Kwakua wameweka mamulaka kama yote kwa Rais. Rais hana control power nyuma yake. Hakuna utofauti Wa kipindi cha tawala za wazungu na rais Wa Sasa.
Unamaanisha nini hapo,hili ni wazo la makonda,na kaamua kuingiza jina la samia hapo kuna shida gani
piki piki ndio atuna ira wapo vizuli ira biki piki sio izi sasa
Katika vumbi ajali inaweza tokea rahisi,mbona wenye kuanda hawaweki Lori la kunyumyuiza maji na kuondoa hio hatari.
A town kama mambele
❤
Makonda hajawahi kufeli
Olasit anakiwasha haswa
Wangemwaga ata maji kupunguza vumbi
Ukimwaga maji njia😂itateleza kwa bike sio salama❤
𝙢𝙖𝙟𝙞 𝙖𝙮𝙖𝙢𝙬𝙖𝙜𝙬𝙖𝙜 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙗𝙚𝙡𝙚