Joshua Mlelwa - Ni Wewe OFFICIAL VIDEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 230

  • @Ashua0777
    @Ashua0777 8 หลายเดือนก่อน +6

    I had to come back and listen to this song today. 29 January 2024. I really try to understand God but I have failed, short story, Have you ever been in pain and tears in a moment and then within the same hour you're in overwhelming Joy. That's my story today.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 8 หลายเดือนก่อน +2

      Acha tu i nyimbo skuwa naijua

    • @Ashua0777
      @Ashua0777 8 หลายเดือนก่อน

      Ni Wimbo mzuri sana una uweza wa kiungu ndani yake

    • @clearsight2485
      @clearsight2485 6 หลายเดือนก่อน +1

      May God see you through

  • @masselemussalugamara6224
    @masselemussalugamara6224 4 ปีที่แล้ว +34

    Huu wimbo unanifanya nasikia damu inakimbia kwa kasi kwenye mishipa yngu na nywele zinasisimka. Hakika mungu yupo ndani ya huyu mtu aimbi ili kupata pesa ila anaimba kumsifu bwana. Tunakupenda joshwa. Wengi tumeokoka kupitia nyimbo zako

  • @jerymadenge8624
    @jerymadenge8624 3 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri san bro watu wasumbawanga tunaenjoy sana dante karesa mbeya moja

  • @dorisichumbula2772
    @dorisichumbula2772 5 ปีที่แล้ว +10

    Nmejikuta nauangalia huu wimbo tangu asubuhi...Mungu akubariki mtumishi brother joshua na mkeo

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa mtumishi was Bwana kazi yako ninjema.

  • @JAFARIJACKSON
    @JAFARIJACKSON ปีที่แล้ว +1

    Joshua Mlelwa Mungu akubariki mno na ainue zaidi huduma yako ya uimbaji

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa296 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunakupenda mtumishi hakika nyimbo hii inanibariki

  • @jenifercynthiakazimoto5392
    @jenifercynthiakazimoto5392 2 ปีที่แล้ว +7

    Ameen! Wimbo mzuri Siku zote hakika Yesu Ni Bwana!

  • @davidlamso3164
    @davidlamso3164 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukovizuli mutumishi wa mngu na kuombea kwa mungu adhidi kukupa kipawa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

  • @godlovewarwa
    @godlovewarwa 3 ปีที่แล้ว +3

    Jina la Bwana lihimidiwe. . ubarkiwe sana kaka Joshua

  • @bigsam986
    @bigsam986 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo itaishi milele....mungu ambariki sana Joshua mlelwa

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 2 ปีที่แล้ว +3

    Joshua ,Mungu akubariki

  • @jacklinenungu5746
    @jacklinenungu5746 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana kaka Joshua kwa huduma yako, Mungu azidi kukuinua juu juu juu zaidi

  • @aidamkemwa6393
    @aidamkemwa6393 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana. uimbaji wako hauchuji mtumishi.Mungu azidi kukuinua.

  • @frankagray7618
    @frankagray7618 2 ปีที่แล้ว +2

    Brother Joshua wewe ni mwamba wa miamba usiye tikisika jina la bwana libarikiwe

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mtumishi, yani nabarikiwa mno, mungu akuinue sana tu.

  • @raelnzasimuasya9871
    @raelnzasimuasya9871 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ainue huduma yako Joshua! Asikufungukie Wala kukuacha nimebarikiwa na nyimbo zako Sana ! Rael kutoka Kenya

  • @catherinricherd1709
    @catherinricherd1709 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa mbinguni akubariki kwa kazi nzuri uifanyayo

  • @tumainijames
    @tumainijames ปีที่แล้ว +3

    Wimbo umenibariki, God bless you Man of God

  • @edmundkapondo4042
    @edmundkapondo4042 2 ปีที่แล้ว +4

    Karibu Ngomeni Tena ilikuwa ni🔥🔥🔥🔥

  • @edinahmaganga3528
    @edinahmaganga3528 3 ปีที่แล้ว +8

    Ameeen Mtumishi kweli Yesu ni mtam Ubarikiwe mtumishi Joshua wimbo huu nimebarikiwa sana 🙏🙏

  • @veronicajerome1184
    @veronicajerome1184 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zake na sipenda sana kaka jeshua mungu akubariki

  • @renithaluzabico8271
    @renithaluzabico8271 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika wewe ni Mungu.unanitendea maajabu

  • @nancymgoli3751
    @nancymgoli3751 3 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe baba mwimbo ni mzuri sana

  • @fadhilidisanula840
    @fadhilidisanula840 3 ปีที่แล้ว +3

    Imekaa vizuri sana barikiwa mno

  • @clearsight2485
    @clearsight2485 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Joshua wimbo mzuri sana

  • @prophetessmsolo981
    @prophetessmsolo981 4 ปีที่แล้ว +4

    Huu wimbo unanibariki sana
    Asante mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu... Mungu akubariki sana katika JINA LA YESU

  • @bettyalexander2035
    @bettyalexander2035 ปีที่แล้ว +6

    Yesu, hakika wewe ni baba yangu..👏👏

  • @bennysanga2873
    @bennysanga2873 2 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa sana mtumishi

  • @dotosaloon9827
    @dotosaloon9827 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unanibarki sana Mungu akuinue pakubwa kwa sababu unamtumikia katk roho na kweli.

  • @mbokimartin7910
    @mbokimartin7910 2 ปีที่แล้ว +1

    bonge la wimbo amenifurahisha sana mzuka wake umeenda sawa na muziki

  • @zilpamoses6829
    @zilpamoses6829 2 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda saana hii nyimbo jmn❤️🥰💕

  • @leahchiute9930
    @leahchiute9930 5 ปีที่แล้ว +8

    natamani siku na mimi nisimame na kulisifu jina la bwana

  • @gracemwinuka7503
    @gracemwinuka7503 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana !

  • @noelamartha7536
    @noelamartha7536 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @farajamichael7574
    @farajamichael7574 3 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU Wetu ni mwema sana najiskia furaha Kwa nyimbo hii.

  • @albamwanja4304
    @albamwanja4304 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo hado ina uhai ndani yake. Asante sna Brother Joshua kwa wimbo huu

  • @vivianmosha2669
    @vivianmosha2669 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kwel mungu anatutetea GOD bless you brother joshua

  • @annabaldwinmwamunyange4442
    @annabaldwinmwamunyange4442 4 ปีที่แล้ว +3

    Unanibariki sana huu wimbo hakika wewe no Mungu Wa hali ya juu..

  • @paulkulwagambishi1997
    @paulkulwagambishi1997 5 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri mtumishi Mungu akubariki

  • @ev.gifthsanga8965
    @ev.gifthsanga8965 4 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri sana una mwinua Mungu kwa utukufu mkuu sana anaogmfanya kwetu ..naipenda sana huu wimbo hakika

  • @josephwabwire1691
    @josephwabwire1691 2 ปีที่แล้ว +8

    Joshua you bless me so much with you're music ministry.
    This song has blessed and ministered to me for years.

  • @joycebuberwa7982
    @joycebuberwa7982 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Mungu kwa wimbo huu.

  • @jamescosmetic1384
    @jamescosmetic1384 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless you broo

  • @furahabarayati2403
    @furahabarayati2403 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen nyimbo nzr brother Joshua

  • @francismwandairo8749
    @francismwandairo8749 2 ปีที่แล้ว +3

    The upper room praise.

  • @angelkimaro3634
    @angelkimaro3634 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema kila wakati

  • @elizabethmwange2930
    @elizabethmwange2930 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashariki ya mbali nitasifu hallelujahaaaaaaaaaaah

  • @danielmumosi444
    @danielmumosi444 4 ปีที่แล้ว +6

    This real worship. God bless you, Mtumishi wa Mungu.......

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 2 ปีที่แล้ว +7

    One the most humble servants of God I know

  • @williamsnkulu7875
    @williamsnkulu7875 6 ปีที่แล้ว +17

    David's dance!!! Let the name of Jesus Christ be lifted high. Glory to God

  • @wilsonngumbuke4482
    @wilsonngumbuke4482 ปีที่แล้ว

    Huu ndio wimbo wa kumsifu Mungu. Umeimbwa kwa hisia zote. Hata mwili umeimba wimbo huu. Bro Josh hukubahatisha kutunga na kuimba wimbo huu.

  • @victorkayungi7764
    @victorkayungi7764 3 ปีที่แล้ว +7

    Unamwabudu Mungu katika roho na kweli barikiwa sana.This is the meaning of praise and worship

  • @elizabethchatira5341
    @elizabethchatira5341 2 ปีที่แล้ว +3

    This real worship

  • @getrudeleonard639
    @getrudeleonard639 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakika wewe Ni baba Asante yesu kwa rehena zako maishani mwangu🙏🙏❤️❤️❤️

  • @issackdaniel4874
    @issackdaniel4874 ปีที่แล้ว

    My brother your more blessed bro

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU APEWE SIFA ZOTE NA VYOTE NI VYAKE. TUKIFUNULIWA HILI TUTAKUBALI BILA SHURITI KUPOKEA UWEPO WA MUNGU MILELE NDANI NA NJE YA MAISHA YA KILA SIKU KWA UTUKUFU WA BWANA, AMEN.

  • @hectonmbilinyi8007
    @hectonmbilinyi8007 6 ปีที่แล้ว +3

    kaka Joshua wimbo huu nakumbuka mbali Mungu acheni aitwe Mungu

  • @emmycharles8463
    @emmycharles8463 3 ปีที่แล้ว +4

    Haleluyaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @teclaaugust829
    @teclaaugust829 6 ปีที่แล้ว +13

    Ubarikiwe mtumishi kwa Huduma njema

  • @princessglamorous543
    @princessglamorous543 7 ปีที่แล้ว +20

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu hakika nimeona nguvu za Bwana kipitia huu wimbo

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana watumishi was MUNGU.

  • @cindymanguli4318
    @cindymanguli4318 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo unaishi haujawahi kuisha nguvu. Jina la Bwana lihimidiwe

  • @braynenoc1911
    @braynenoc1911 2 ปีที่แล้ว

    daaa wimbo unaniludiaha Kwa bwana uuu kanan

  • @chrisnambahu7342
    @chrisnambahu7342 ปีที่แล้ว

    I love the song very much Mr kaskas

  • @jemimahaloyce4740
    @jemimahaloyce4740 ปีที่แล้ว

    Watamwimbia Bwana kwa Roho na kweli ndio hii.

  • @victoriangonyani1712
    @victoriangonyani1712 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kwa wimbo huu namuona mungu USO kwa USO jamani ka Joshua mugu azid kukuinua hakikayeye ni mungu

  • @kelvinhappygod3706
    @kelvinhappygod3706 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU mwenye huruma, kubariki, Kuponya, kulinda, kutoa na kuchukua

  • @JaphalSpilia
    @JaphalSpilia ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana Ongela sana kaka

  • @kellyroselwinga7999
    @kellyroselwinga7999 6 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu ,Mungu azidi kukutumia na kukubariki milele na hata milele

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 ปีที่แล้ว

    Haleeluuya aaaa,barikiwa

  • @JaphalSpilia
    @JaphalSpilia ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana MUNGU ukutunze

  • @noelnthangu810
    @noelnthangu810 7 ปีที่แล้ว +30

    Joshua is my favorite singer of all time, bless u bro

  • @akonaaycaroline5225
    @akonaaycaroline5225 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi

  • @sophiahezron3797
    @sophiahezron3797 ปีที่แล้ว

    Nilichelewa kutujua huu wimbo jmn

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 7 ปีที่แล้ว +38

    Wimbo huu unanibariki sana kweli, Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu.

  • @elizabethkamala832
    @elizabethkamala832 6 ปีที่แล้ว +9

    Barikiwa kwa huduma yako

  • @ezekielnjau8818
    @ezekielnjau8818 6 ปีที่แล้ว +12

    Anajua sana Joshua, namuona yesu nikimsikia akiimba

  • @marinaanathory7710
    @marinaanathory7710 7 ปีที่แล้ว +10

    hakika nimebalikiwa na huu wimbo balikiwa sana mtumishi wa mungu. songa mbele na yesu

    • @annaabraham5457
      @annaabraham5457 7 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana joshua wimbo unagusa sana

  • @godblessnzalika6116
    @godblessnzalika6116 5 ปีที่แล้ว +4

    "Sitaacha kuimba, sitaacha kusifu...... " Kazi nzuri saana

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana kaka Joshua

  • @leahlawrence1183
    @leahlawrence1183 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika wewe Ni Mungu asanteee

  • @omanoman1371
    @omanoman1371 2 ปีที่แล้ว +4

    Ameeen Ameeen ni wewe

  • @enocaroni9763
    @enocaroni9763 3 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wangu wakusifu roho yangu yakufulahia hallelujah 2021 twende p1

  • @agapengata2641
    @agapengata2641 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwee mnooo

  • @emalinealphayo4086
    @emalinealphayo4086 4 ปีที่แล้ว

    Jamani nimewamiss sana mungu aendelee kuwabtia nguvu kwq utumishi wen sistar scolla mungu yu mwema kwako kikoti arusha

  • @salomehazael8912
    @salomehazael8912 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Utukufu ni wako Yahwe

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUONGEZEE UPAKO ZAIDI, YANI UNAIMBA KATKA ROHO.

  • @farajagordon4724
    @farajagordon4724 3 ปีที่แล้ว

    Jamani ilipendeza ulipoimba kijito nyama nawale wengine

  • @manasemtinangi806
    @manasemtinangi806 2 ปีที่แล้ว

    Keli unajua unaweza kaka

  • @juneludwinsky7642
    @juneludwinsky7642 3 ปีที่แล้ว +3

    Princess June of United Kingdom beautiful song

  • @janethkusakalah1409
    @janethkusakalah1409 6 ปีที่แล้ว +1

    My best song ever, mungu azid kukutumia milele brother Joshua natamani nifikie viwango vyako one day

  • @mpendwacravery1665
    @mpendwacravery1665 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwenyezi akufanikishe Sana Ndg yangu!

    • @petromasagasi271
      @petromasagasi271 ปีที่แล้ว

      Hii ngoma ulipiga mwaka
      gani? Ngoma hatari kweli kweli

  • @silasjoseph9033
    @silasjoseph9033 2 ปีที่แล้ว +3

    HALLELUJAH 🙌

  • @khadijahyusuph3004
    @khadijahyusuph3004 2 ปีที่แล้ว

    much love bro

  • @danielkenani7667
    @danielkenani7667 3 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed bro Jo

  • @HumphreyMukenye
    @HumphreyMukenye 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwaminifu

  • @dorotheagabriel7677
    @dorotheagabriel7677 4 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA MUNGU NI MWEMA SANA

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa Yuko sawa

  • @robertkawishe5382
    @robertkawishe5382 7 ปีที่แล้ว +12

    Nakumbuka mbali Sana,barikiwa bro joshua