RAIS WA YANGA APATA HESHIMA KUBWA AFRIKA YA KUSINI/AFANYA JAMBO HILI KUBWA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ค. 2024
- mekuwa ni heshima kubwa kwangu kualikwa na kupata nafasi ya kukabidhi tuzo ya LIFE TIME ACHIEVEMENT kwa LEGENDARY wa soka la wanawake katika ukanda wa kusini mwa afrika, COSAFA ikienda kwa JANINE van WYK
- กีฬา
Yaga njo timu kubwa Africa mzima bahada ya ahly anafuwatulia Yanga. Sie wakongo tunaipeda yanga
Hata mumchukie vip huyo ndie rais wetuu heriss said huyooo😂
Big up engineer
Great
Huyu ndio Rais bwana
Kuna mijitu mingine Ina roho mbayaaa
😅😅😅😅, WANAZIDI KUUMWA NA KUUMIA ROHO ZAO.ALYEPEWA KAPEWA TU,HAINA MJADALA.NYIE ENDELEENI KUPIGA PICHA NA MANZOKI,MAYELE NA MAFANIKIO YA KIBEGI NA KI GURUPU CHENU CHA KUCHATI. YANGA INA WATU!! KWA WANAOJUA WAMEELEWA!!
Tunataka haongee mwenyewe nyinyiniwaongo
Uongo wake ni nini sasa? Mbona hii imeoneshwa kwenye runinga DSTV Super Sports. Si lazima ubishe kila kitu!