Mie ni Simba kinachoiua yanga ni kwamba wachezaji woote wanataka kujipa umwamba angalia azizi ameshuka kiasi japokuwa mapema sana hebu muangalie mzize, nzegeli na pacome jezi zao zinavyo vuja jasho wakiwa uwanjani mazoezi kama mechi na mechi ndo mechi 😂 japokuwa pacome nae kama anaenda kumuiga azizi ivi ila ni timu nzuri mno
Huo unafku tu na kutokuijua yanga vizuli, umesahau mwaka jana azam kapigwa nne na simba, unakuja kusema leo simba wanajituma, hiyo yanga unayosema kua wachezaji wanajiona mastaa umesahau yanga ilipigwa mbili moja na ihefu.
Jamani Yanga ni level nyengine. Kuna wakati inabidi tusifie wapinzani watakaoweza kubata sare ama kufungwa kwa idadi ya magoli machache ama atakaeifunga. Na tukumbushane kwamba mpila dkk90 pia hakuna timu inayopendwa kufungwa. Tukiweka ushabiki pembeni sasa hv Yanga ni bora sana hata ukiwa unaiponda uweke na akiba
Mimi ni yanga sc ila kwa SIMBA HII LAZIMA WANA yanga sc tukubali kuwa SIMBA SC INAWATU WA MPIRA ,UKWELI WA MUNGU SIMBA SC SIYO MJINGA KUMUACHIA CHAMA WALIJUA WALICHOKUWA WANAKIFANYA .SIMBA HII ITAUA WATU NA ITAFIKA MBALI SANA
Huyu jamaaaa akii ameongea vizuri sio kama mchome, mchome hakosoi simba ila anaharibu logo ya simba kwanza hana nidhamu kbsa ndosa anaongea mpiraa na hachafui log ya yangaa
Huyo shabiki wa Yanga anaposena Rais wao awapelekee ATEBA anamaanisha. Awape ATEBA wamtengeneze kimazingara. Hao lazima wamwendee Kwa wazee ( na Wana Mzee wao yule.....) atamtia ATEBA kapuni, na baada ya mechi kazaa, hutamwona ATEBA Tena.
Yaani nyie yanga ni wapuuzi Sana,vitu vizuri mnavitaka nyie tu,mlivyo mchukua hicho kizee chenu chama mnafikiri mtawapata Tena na hao wengine?kwani hamuwezi kutafuta wachezaji wenu?mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi,mpaka mseme mwaka huu,mpanzu ndo uyo babaaaaa,kazi mnayo mwaka huu.
Huyu ni kichaa hajui mpira.Yanga haisajili kwa akili yako wewe.ina maana viungo wa Yanga huwajui....Gamond humjui chizi wewe anaongoza Singida unajua hilo
Hata hueleweki unaongea nini, hii simba mnayoisifia kunfunga azam, mmesahau mechi za lig yanga kapigwa na azam, alafu azam akapigwa goli nne na simba, adi duchu alufunga, na azam ilikua yamoto kuliko ata hii inayotoa sale adi pamba.
Dossa nakukubali sana uwa unajua mpira
Yaaani wewe kumbeunaakili sana 💯 ungekuaunakaa karibu kilasiku ungekula mkate kwangi🎉
Uchambuzi wa mchezo mzuri na ukweli kabisa uyu, safi sana
Unaongea kweli chukua maua yako,🌹🌹🌹🌹🌹huu sasa ndio uungwana. Sisi watani sio maadui
Hongera Dosa leo umeongea safi sana.
Upo vizuri mdogo wangu
Dossa upo vzr sana unaelewa mpila
Kumeanza kuchangamka 😂😂
Mi shabik wa yang lakn tim yang saiv siielew wachezaj wa simb wanajitum san yang wanajion mastaa
Mie ni Simba kinachoiua yanga ni kwamba wachezaji woote wanataka kujipa umwamba angalia azizi ameshuka kiasi japokuwa mapema sana hebu muangalie mzize, nzegeli na pacome jezi zao zinavyo vuja jasho wakiwa uwanjani mazoezi kama mechi na mechi ndo mechi 😂 japokuwa pacome nae kama anaenda kumuiga azizi ivi ila ni timu nzuri mno
Huo unafku tu na kutokuijua yanga vizuli, umesahau mwaka jana azam kapigwa nne na simba, unakuja kusema leo simba wanajituma, hiyo yanga unayosema kua wachezaji wanajiona mastaa umesahau yanga ilipigwa mbili moja na ihefu.
@@SangaliPowernasubili jumapili sijui mtaongea nini, ila kwakua mnaongea ushabiki sana ngoja tuone inakuaje
Jamani Yanga ni level nyengine.
Kuna wakati inabidi tusifie wapinzani watakaoweza kubata sare ama kufungwa kwa idadi ya magoli machache ama atakaeifunga.
Na tukumbushane kwamba mpila dkk90 pia hakuna timu inayopendwa kufungwa.
Tukiweka ushabiki pembeni sasa hv Yanga ni bora sana hata ukiwa unaiponda uweke na akiba
@@kephakusalula875 Uendelea kukaza fuvu sasa kama watanga tuongee kishabiki sema si waja viiiimba kama chura mweny mimba
Hongera dosa
Respect huu ndo mpiraaa
Uzuri hujavaa jezi yayanga upo sawa sio kama lile boya linalolisema simba yetu
Kweli kabisa huyu anajitambua sio yule kenge
Madini sanaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪
Dossa Leo kaongea ukweli😂😂🎉🎉
Mimi ni yanga sc ila kwa SIMBA HII LAZIMA WANA yanga sc tukubali kuwa SIMBA SC INAWATU WA MPIRA ,UKWELI WA MUNGU SIMBA SC SIYO MJINGA KUMUACHIA CHAMA WALIJUA WALICHOKUWA WANAKIFANYA .SIMBA HII ITAUA WATU NA ITAFIKA MBALI SANA
Mbona wameanza mapema sana kupepesuka😂😂😂😂
Daaa we jama naomba namba yako please nakuomba nitumie
😂😂😂
Kumeanza kuchangamka
Turieni gongo wazi dawa
Iwaingie yani bado amja
Sema mpaka mseme yani apo bado( ubaya ubwela)
Hatari sana
Uko vzr mchambuzi
🫡💥fact
Mbona bado apo mtasema uu mwaka
Upo vizur
Mkuu unajua
Huyu jamaa mwana sports ila c mkubali Yanga haijashuka kiwango na inacheza mpira mzuri kuliko simba
DDossa kwani maeneo gani unaona yanga dhaifu kuliko simba?
Mbona mnaanza kuogopa jamani hata tarehe bado bado hamjasema yani hadi mseme ubaya ubwela
Huyu jamaaaa akii ameongea vizuri sio kama mchome, mchome hakosoi simba ila anaharibu logo ya simba kwanza hana nidhamu kbsa ndosa anaongea mpiraa na hachafui log ya yangaa
Mlishaambiwa nlichokifata kmc mtakipata😅😅😅
Ni kweli mwaka huu mziki mnene
Vyura wakiiona hii watatukana 😂😂😂😂
Upo vizur mwaya
Jama anasema kweli
Safi sana brother
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
💪simba nguvu moja
Ametumwa huyooo mumsamehe bure 😂😂😂😂😂😂😂wanayanga
MDOMDOGO MPAKA WOTE UWATAJE😂😂😂
HUWAGA MWANGA UKIINGIA GIZA HUTOWEKA 😂😂
Kama wasipofanya kazi ya ziada yaaaani wasipologa😂😂😂😂😂😂
Ukifika Mwanza ulizia duka la muha nyashishi Kuna soda zako unywe mzee
Simba ni chuo kikuu cha michezo, daima timu ndogo zitachukuwa wachezaji wazuri kwenye tumu kubwaa Simba sc
Upo vinzuri mwanayangaa we ni mtu wa mpira
Unaota unakunya Rudia tena Debora aje nyani afrika mmeshaishiwa kwisha habari yenu
Leo anatema nyongo kesho atatoa lawama kesho kutwa wataanza ugomvi #TFF WOTE SIMBA#
Ndosa leo kasema ukweli
Nikweli dosa kaongea kimpira xio kishabiki
Yaani dosa umesema mambo ya kweli kabisa nimekupenda bure
Fact
Dosa ongea ukweli mpira ni mchezo wa wazi
Kama naanza kumuelewa hivi!!!
Huyo shabiki wa Yanga anaposena Rais wao awapelekee ATEBA anamaanisha. Awape ATEBA wamtengeneze kimazingara. Hao lazima wamwendee Kwa wazee ( na Wana Mzee wao yule.....) atamtia ATEBA kapuni, na baada ya mechi kazaa, hutamwona ATEBA Tena.
Halafu anasema et wasipofanya kazi ya ziada kazi gani zaidi ya kuloga
@@HawaSwaleheh Usiwe na wasi Chama langu marogo yote yatageuka Kinga. we tulia wala usihofu. 😂😂😂
Mtaanza kumuelewa MAGOMA muda si mrefu.
hahahaà
Huyu simbaaa ,, na sisi tumepata mchome wetuuuu
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa kapandisha mori😂😂😂
Simba aifungwi na timu yeyote habali ndo hiyo
Pamechangamka
Uyu jamaa mshabiki wa yanga kweli maana mashabiki wa yanga uwa awajui mpila
Mmekusanya wachezaji wote wazuri bado mnawataka wachezaji wa simba mnaumwa nyie.😂😂😂
We kwer shabiki wa mpira
Hivi sifa hizi zinatoka moyoni kweli kwa dhati kabisaa ama
Hata MCHOME Alikuwa anasema ukweli na ndiyo maana SIMBA SC WAMEMSIKILIZA NA KUMTUKANA LAKINI WAMETENGENEZA TEAM YAO SIMBA HII MUUUH TUTAKOMA
Huyu jamaa ni mtu wa soka sana
Si mliutaka uwanja wa KMC,nini tena kelele
Kaka una juwa. Mpala mimi nisimba ila nime kuku bali nita kutafuta nipo Kenya 🇰🇪 nita kuja kwaji yako kaka
Wanasimba nshutuke hzi ni mbinu za kivita mshabiki wa yanga hawezi kupongeza mchezaji wasimba hivi hivi kunajambo fikirieni kwa jicho la tatu.
Wala siyo mbinu mbona mzee Said anamsifia sana Aziz K je nazo ni mbinu,mimi naona ni jinsi mtu anavyo vutiwa na mtu
Kwel bhana tuwe makin
Cut
Huo ndio mpira
UTOPOLO WANA ROHO MBAYA NA UHASIDI.
Mmeanza kuongea ee.... hamia simba tu brooooo na bado mamae
Kumekucha sasa kumeanza kuchangamka
Ka namuona meja aliekimbilia uko
Uho ndo uwelewa
WEWE NI MPUUZI SANA UTAMTAKAJE ATEBA WAKATI YUPO SIMBA? ULIANZA KUONGEA VZR MWISHONI UNAHARIBU KUONGELEA JUU YA ATEBA
Lazima amuongelee na watamuongelea sana sana kwasababu ni mzuri sana ila Sheria ni ile ile mpaka afikishe miaka 35 tutawapa
Yaani nyie yanga ni wapuuzi Sana,vitu vizuri mnavitaka nyie tu,mlivyo mchukua hicho kizee chenu chama mnafikiri mtawapata Tena na hao wengine?kwani hamuwezi kutafuta wachezaji wenu?mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi,mpaka mseme mwaka huu,mpanzu ndo uyo babaaaaa,kazi mnayo mwaka huu.
Kumekucha🙄🙄🙄
Walianza kwachama sasa ni ateba
We dogo una akili nyingi sana
FAINALI YA CAF CL LABDA MPANGIWE MICHEZO YOTE NA KEN GOLD.😂
😂😂😂🎉😅😅
Oya mwana tuma namba nikurushie ya soda
Huyu jamaa anakadi ya yanga namjua
Wewe umetombwa ety tukuuzie Debora unaakili kweli
MBNA unatukana online mkuu
Huyuu jamaa nahisi akilini zinamluka. So bureee aisee
Huyu jamaa nimchambuz haswa
😂😂😂😂
Huu ndo uanaume
NA NYIE MNA LALAMIKA TUU KWANI NANI ALIWATUMA MWENDE KMC? ACHA KULALAMIKA
Wabongo bhana mtu akiongea ukweli mnamchukia
Huyu ni kichaa hajui mpira.Yanga haisajili kwa akili yako wewe.ina maana viungo wa Yanga huwajui....Gamond humjui chizi wewe anaongoza Singida unajua hilo
Uyu jamaa anajua soka
Wewe ndy tahila Tena mshenzi huujui mpira
Mtu wa mpira
Anaongea uhali sia kabisa
Hata hueleweki unaongea nini, hii simba mnayoisifia kunfunga azam, mmesahau mechi za lig yanga kapigwa na azam, alafu azam akapigwa goli nne na simba, adi duchu alufunga, na azam ilikua yamoto kuliko ata hii inayotoa sale adi pamba.
Mpuuzi njaa kali
Acha makasiliko mwaache aongee ukweli
unaongea ukweli kabisa dosa tunajua kabisa wewe ni mshabiki wa yanga nyuma mwiko ila wewe ndo mshabiki wa yanga unaongea ukweli kabisa
Mchomi Yuko wapi kwani
Hahaaaaaaaa
Mchome
Huyu ni mnafki.
Mwandishi unprofessionall kbc hajui technique za kuulz masawal..unahrb kpnd
Katafute mwingine mavambo ni mmoja tu anachezea simba tamaa zako peleka huko au subir azeeke
Unaujua mpira wewe somchome anataka bwana yule
Mchome shoga yule yaani cjawahi kufungua video zake
Kwer huyu pumba
Jamani huyu ni kwanachama namjua vzr
Taahira ww hujitambui kwani yanga kamfunga Azam goli.ngapi na huyo paka wenu hakukalia Kwa yanga wanafiki nyie tutakutana tutaona nani dume nawakumbusha mjuwe yanga Haina adabu tunza maneno yenu
Wewe ndy tahila Tena mshen
Dossa Yanga na simba ni mbingu na ardhi
Dossa mpira ni sayansi simbahaina mfumo wanahangaika tuu uwanjani mpira wa ucfananishe tim yeyote hapa nchini kwa sasa
Maeneo yote matatu Yanga inacheza vizuri ulinzi , kati na ushambuliaji tim inatengeneza nafasi tofauti na simba yako dossa
Dossa kama mpiira basi washauri simba wachukue makocha wa riadha umesikia dossa?
Mongo wewe.
Mwandishi unprofessionall kbc hajui technique za kuulz masawal..unahrb kpnd