“TUNAWASHIKILIA MBOWE,LISSU NA GODBLESS LEMA” HAWAJATEKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #tanzania #chadema #freemanmbowe Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 14 akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman MBOWE, Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kwa kukiuka amri ya Polisi na kushiriki maandamano leo September 23,2024.
    Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Muliro amenukuliwa akisema “Tumewakamata Watuhumiwa ambao wamekaidi tamko la Polisi wakiwa wanaendelea kupanga na kutaka kufanya maandamano hayo ambayo Polisi imeyapiga marufuku”

ความคิดเห็น • 1