MIMI ONLINE TV
MIMI ONLINE TV
  • 3 151
  • 1 567 905

วีดีโอ

NEY WA MITEGO MIKONONI MWA BASATA HAYA HAPA MAKOSA MANNE YANAYOMKABILI
มุมมอง 3144 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tanzania #neywamitego Wakili wa Nay wa Mitego, Jebra Kambole amesema Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemshitaki msanii Nay wa Mitego kwa makosa manne ikiwemo kutumia maneno ya uchochezi na upotoshaji kwenye wimbo wake wa Nitasema.
BONIFACE JACOB “BONI YAI” ARUDISHWA TENA RUMANDE MVUTANO MKALI KUHUSU DHAMANA YAKE KISUTU
มุมมอง 1137 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BONIFACE JACOB “BONI YAI” ARUDISHWA TENA RUMANDE MVUTANO MKALI KUHUSU DHAMANA YAKE KISUTU
RAIS SAMIA ASIMULIA ALIVYOKUTANA NA MALAIKA ALIYEMPATIA SHILINGI 50 ASEMA MAJI SASA NI MWAMWAMWAA
มุมมอง 78812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tanzania #samiasuluhuhassan Mwanafunzi mmoja wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kingereza ya Chief Zulu ajitokeza na kumzawadia Rais shillingi 50 na kupelekea wanafunzi wengine kumzawadia pia, Kwa Jumla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea shilingi 1800 kutoka kwa wanafunzi hao, leo tarehe 24 Septemba 2024 Songea Mkoani Ruvuma.
MBOWE -TUNDU LISSU NA GODBLESS LEMA WAACHILIWA KWA DHAMANA MBOWE ABAKI AKISUBIRI WAACHILIWE WENGINE
มุมมอง 30814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tanzania #tundulissu #godblesslema #chadema Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika Kituo cha Polisi Mbweni. CHADEMA imethibitisha na kusema Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ameachiwa pia kwa dhamana katika kituo cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku huu. #freemanmbowe Taarifa ya CHADEMA kupitia...
BONIFACE JACOB “BONI YAI” KUENDELEA KUSOTA RUMANDE HADI SEPT 26
มุมมอง 58416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#bonifacejacob Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai kutokana na kutokuwepo mahakamani.
“TUNAWASHIKILIA MBOWE,LISSU NA GODBLESS LEMA” HAWAJATEKWA
มุมมอง 50216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tanzania #chadema #freemanmbowe Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 14 akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman MBOWE, Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kwa kukiuka amri ya Polisi na kushiriki maandamano leo September 23,2024. Akiongea Jijini Dar es salaam...
FREEMAN MBOWE NA BINTI YAKE WAKAMATWA HIZI HAPA KAULI ZAO KABLA YA KUCHUKULIWA NA POLISI
มุมมอง 1K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#freemanmbowe #chadema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa kuongoza maandamano
TUNDU LISSU MIKONONI MWA POLISI MNYIKA ATUMA UJUMBE KWA KARATASI MITAA IPO SHWARI POLISI WATANDA
มุมมอง 1.5K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#chadema #tanzania Mpaka sasa eneo la Magomeni Mapipa mahali ambapo viongozi wa Chadema walitangaza wataanzia maandamano mpaka sasa hakuna ishara yoyote ya waandamanaji, japokuwa kwenye vibanda vya Polisi wa Usalama kuna maafisa wa Jeshi la kutuliza ghasia (FFU)
MAANDAMANO YA CHADEMA HALI ILIVYO DAR ES SALAAM
มุมมอง 1.5K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAANDAMANO YA CHADEMA HALI ILIVYO DAR ES SALAAM
3-1 SIMBA YAINYOOSHA AL AHLY TRIPOL YATINGA HATUA YA MAKUNDI KWA KISHINDO
มุมมอง 46716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
3-1 SIMBA YAINYOOSHA AL AHLY TRIPOL YATINGA HATUA YA MAKUNDI KWA KISHINDO
ACT WAZALENDO YAIOMBA CHADEMA KUSITISHA MAANDAMANO
มุมมอง 10316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#chadema #actwazalendo #tanzania Chama cha ACT Wazalendo kimekiomba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiahirishe maandamano yao ya September 23,2024 na pia wameiomba Serikali na Polisi kuchukua hatua za kupunguza joto na kutuliza hali ili kujenga mazingira ya mazungumzo ya dhati yanayolenga kupata ufumbuzi sahihi wa mambo yote yanayolalamikiwa na pande zote.
7-0 YANGA YATINGA HATUA YA MAKUNDI MABINGWA AFRIKA KWA DHIDI YA CBE YA ETHIOPIA
มุมมอง 46719 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#yangafc #yanga #yangafc Young Africans Sc wametinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 7-0 dhidi ya CBE ya Ethiopia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza.
6-0 YANGA YAINYOOSHA CBE YA ETHIOPIA HUKO ZANZIBAR YASONGA LIGI MABINGWA AFRIKA
มุมมอง 86919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tanzania #yangafc #yangasc Wafungaji Clatous Chota Chama mwamba wa lusaka 1 Clement mzinze 1 , Aziz Ki 1
KISA CHA MAKISHE BODABODA ALIYEPORWA PIKIPIKI MOSHI POLISI WAELEZA ILIVYOKUWA ALIMWAGIWA KIMIMINIKA
มุมมอง 4419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KISA CHA MAKISHE BODABODA ALIYEPORWA PIKIPIKI MOSHI POLISI WAELEZA ILIVYOKUWA ALIMWAGIWA KIMIMINIKA
WATANO WANASWA TUHUMA ZA MAUWAJI KWA KUWACHOMA MOTO WATU WAWILI SIMIYU
มุมมอง 164วันที่ผ่านมา
WATANO WANASWA TUHUMA ZA MAUWAJI KWA KUWACHOMA MOTO WATU WAWILI SIMIYU
BONIFACE JACOB MAHAKAMANI HAYA HAPA MASHTAKA YANAYOMKABILI WAKILI KIBATALA AELEZA YOTE “MAFWELE
มุมมอง 223วันที่ผ่านมา
BONIFACE JACOB MAHAKAMANI HAYA HAPA MASHTAKA YANAYOMKABILI WAKILI KIBATALA AELEZA YOTE “MAFWELE
BONIFACE JACOB MAHAKAMANI KISUTU |MAWAKILI WAKIONGOZWA NA KIBATALA WANAMTETEA
มุมมอง 288วันที่ผ่านมา
BONIFACE JACOB MAHAKAMANI KISUTU |MAWAKILI WAKIONGOZWA NA KIBATALA WANAMTETEA
HALI ILIVYO NYUMBANI KWA BONIFACE JACOB JESHI LA POLISI LAFIKA KUFANYA UPEKUZI NYUMBANI
มุมมอง 2.9Kวันที่ผ่านมา
HALI ILIVYO NYUMBANI KWA BONIFACE JACOB JESHI LA POLISI LAFIKA KUFANYA UPEKUZI NYUMBANI
BONIFACE JACOB MIKONONI MWA POLISI “HAJATEKWA”
มุมมอง 261วันที่ผ่านมา
BONIFACE JACOB MIKONONI MWA POLISI “HAJATEKWA”
RAIS SAMIA “UKIMYA WANGU SIO UJINGA” MAMBO HAYA YANATOKEA KILA NCHI
มุมมอง 364วันที่ผ่านมา
RAIS SAMIA “UKIMYA WANGU SIO UJINGA” MAMBO HAYA YANATOKEA KILA NCHI
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MZITO USIKU HUU
มุมมอง 693วันที่ผ่านมา
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MZITO USIKU HUU
UKWELI WOTE!MAUAJI YA COSTA CLEMENCE MKOANI MOROGORO JESHI LA POLISI LAWEKA WAZI
มุมมอง 23414 วันที่ผ่านมา
UKWELI WOTE!MAUAJI YA COSTA CLEMENCE MKOANI MOROGORO JESHI LA POLISI LAWEKA WAZI
SIMBA WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA AL AHLI TRIPOL CAFCC2024 WATOA SULUHU 0-0
มุมมอง 39114 วันที่ผ่านมา
SIMBA WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA AL AHLI TRIPOL CAFCC2024 WATOA SULUHU 0-0
TUNDU LISSU, NCHIMBI MNYIKA USO KWA USO UJUMBE MZITO WA UPENDO NA AMANI KUTOKA KWA DK BITEKO
มุมมอง 68714 วันที่ผ่านมา
TUNDU LISSU, NCHIMBI MNYIKA USO KWA USO UJUMBE MZITO WA UPENDO NA AMANI KUTOKA KWA DK BITEKO
UTATA KIFO CHA DAKTARI DISMAS CHAMI WA TABORA POLISI YAFAFANUA MWILI WAKE WAKUTWA UJUMBE MZITO
มุมมอง 83314 วันที่ผ่านมา
UTATA KIFO CHA DAKTARI DISMAS CHAMI WA TABORA POLISI YAFAFANUA MWILI WAKE WAKUTWA UJUMBE MZITO
SAMIA MITANO TENA, NAUTAKA TENA UBUNGE- MAJALIWA
มุมมอง 18014 วันที่ผ่านมา
SAMIA MITANO TENA, NAUTAKA TENA UBUNGE- MAJALIWA
DK NCHIMBI “SAMIA MUST GO” NI PROPAGANDA YA BAVICHA MBOWE SIYO MSHUKIWA WA UTEKAJI
มุมมอง 18414 วันที่ผ่านมา
DK NCHIMBI “SAMIA MUST GO” NI PROPAGANDA YA BAVICHA MBOWE SIYO MSHUKIWA WA UTEKAJI
CHADEMA “WANATAKA KUTUTOA KWENYE RELI “ POLISI YAPIGA STOP MAANDAMANO YAO SEPT 23
มุมมอง 21614 วันที่ผ่านมา
CHADEMA “WANATAKA KUTUTOA KWENYE RELI “ POLISI YAPIGA STOP MAANDAMANO YAO SEPT 23
YUSUFU KAGOMA NI SIMBA/YANGA? SINGIDA FOUNTAIN WAFUNGUKA SAKATA ZIMA
มุมมอง 9514 วันที่ผ่านมา
YUSUFU KAGOMA NI SIMBA/YANGA? SINGIDA FOUNTAIN WAFUNGUKA SAKATA ZIMA

ความคิดเห็น

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe maisha marefu Rais wetu kipenz cha wengi

  • @kaitatv6846
    @kaitatv6846 2 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/QgeOVnkGoPo/w-d-xo.htmlfeature=shared

  • @JASTINSEZA
    @JASTINSEZA 2 วันที่ผ่านมา

    Haoo ndo Basata bana yaani sijui wanatakaje daaaah

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 2 วันที่ผ่านมา

    Matusi hawayaoni

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 2 วันที่ผ่านมา

    Basata hamna sababu ya maan hapo ya kuzuia Wimbo ,Chawa punguzeni

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtoto wamtunzie picha yake aje aonyeshwe akiwa mkubwa.

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 5 วันที่ผ่านมา

    Home is the best. Hakuna kitu kama nyumbani

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 6 วันที่ผ่านมา

    I wish Hilo jeshi la polisi linge kuulua ndugu yako japo mwaka ama mwakani kwasababu yoyote kwenye ukoo wenu na Familia yako wapotee kwa kipigo cha Hao partner zsko inshallah m.mungu atakuonesha pondicherry mwaka nasema na wewe hapo juu

  • @Zena-vv5sf
    @Zena-vv5sf 6 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢 hiii siyo haki kabisa mbele ya cameras aibu

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 6 วันที่ผ่านมา

    Nawapa hongera sna jeshi la nchi Allah awalinde na azishe aman Ndn y nchi ytu

  • @kihongole87-ns1bo
    @kihongole87-ns1bo 7 วันที่ผ่านมา

    Dunia iko mbaaaaaaali sana

  • @DassYonela-bk9qo
    @DassYonela-bk9qo 10 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 11 วันที่ผ่านมา

    Arrest of Boniface Jacob feliyer of ccm leadership outcome ccm use police force crush opposition but this it won't rediuse tension tanzania people voice into the nation

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 วันที่ผ่านมา

    Sijajua wanapekua Nini Hawa watekaji

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 11 วันที่ผ่านมา

    Mimi najiuliza wanapekuwa nini????

  • @DanOlais-y6s
    @DanOlais-y6s 12 วันที่ผ่านมา

    Nyie nimakuma kabx tena wasele siyo bre hamujui kiswahili

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 13 วันที่ผ่านมา

    Saiv mwabukusi anaweza hata kuwa rais wa nchi licha ya mwenyekiti wa TLS,,ebu acha ujinga kijana

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 13 วันที่ผ่านมา

    Hivi kweli huyu Rais wetu mbona hakai Ikulu Dodoma kila shughuli za itifaki zote zinafanyika Ikulu ya DSM.

  • @johnbihopho4053
    @johnbihopho4053 13 วันที่ผ่านมา

    Saa tatu Alasil?

  • @Mwana-k2g
    @Mwana-k2g 14 วันที่ผ่านมา

    RIP mwamba

  • @andrewstephen7922
    @andrewstephen7922 14 วันที่ผ่านมา

    Tatizo uchunguzi ufanyike

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 20 วันที่ผ่านมา

    Anatuwa waisramu wnzake tu

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 20 วันที่ผ่านมา

    Badala ya kuntumbua masauni

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 20 วันที่ผ่านมา

    Question to tanzania police and lntiriol minister who has right to move with heavy wipon in Tanzania national if is not police or military police to explain the res peaple who stop bus names of tashaf and get ally Mohamed from the bus and starting beeting him are thouse people can not be a police vary fun on such lnfometion realize by tanzania police head office in dodoma no any tanzania citizens can carry heavy wipon within daresalama capital city without lteligince and police chess them seem apply heavy wipon let not run away of national secretary of chadema committee deeth under police lteligince because they are the. Only people who move with the heavy arm machine gun SMG only can carry by police force or lteligince not odinary Tanzania people why drive really issue deeth of politician ally Mohamed kibao let be frank on this issue is the police did this considiring full lnfometion from the tashsrif bus peaple who realize lnfometion

  • @YahayaChima-ji7dk
    @YahayaChima-ji7dk 20 วันที่ผ่านมา

    Labda wanao ua wataishi milele

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 21 วันที่ผ่านมา

    Hao porisi tusiwaamini raiya hawezi kumtoa abiria kwenyebasi akaondokanae isipokuwa porisi ndioanaweza kusimamisha basi sasakama porisi hawajui sisitunarindwa nanani naporisi kaziyake nini

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 21 วันที่ผ่านมา

    Saizi abiria inabidi kuchangamka mkiona mtu anashushwa na askari au na mtu asiyefahamika inabidi kupambana nao tu

    • @jazirajazira8116
      @jazirajazira8116 20 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa inatakiwa kupambana

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 21 วันที่ผ่านมา

    Acheni unafiki☹️

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 21 วันที่ผ่านมา

    Twende barabarani watuuwe wote,,viongozi wa dini wapo tu kimya ivi Mungu gani Huyo wanae mwabudu Aneweza kuona watu wanakufa na akabaki kimya? Mtawaongoza akina nani waumini ndo hawa wanauliwa?

  • @rizwankiaze9264
    @rizwankiaze9264 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu anawaona

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 21 วันที่ผ่านมา

    Kama huyu alikuwa mwanajeshi bhas jeshi la wananchi lisikae kimya huyu ni mwenzao

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 21 วันที่ผ่านมา

    Hii hali hii mmh inatisha tukio hili limegusa watu wengi

  • @maryhando227
    @maryhando227 21 วันที่ผ่านมา

    Rais Samia , hivi kweli , wewe ni Rahisi wa wa Tanzania yote, usiruhusu hayo, Mungu upo jamani? Mtaishia pabaya, kaa chini na watu wako. Angalie namna nyingine ya kushinda uchaguzi siyo kuuwa watu na kuteka, mkiwaua yote mtaogoza nani?

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 21 วันที่ผ่านมา

    Poleni mmmh huku tunakoelea sio kuzuri hata..

  • @michaelmwaksole7244
    @michaelmwaksole7244 21 วันที่ผ่านมา

    Watanzania tutembee nasilaha muda wote na usikubali watu waje kwako usiyo wajua wakakuchukuwa bila lidhaa yako

  • @mage5371
    @mage5371 21 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmmh Mungu baba unajua

  • @nsubilimusyani803
    @nsubilimusyani803 21 วันที่ผ่านมา

    Hii ni hatari sana

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 21 วันที่ผ่านมา

    Hivi Hawa watekaji wamegeuka km Israel wanavyoua Raia ovyo kwanini lkn?? Hivi kwanini mnawapa machungu wanafamiliy?! Kwanini msisubiri hatma ya Mungu kuchukua kiumbe wake?! Kiukweli Tz si salama Tujifunze jirani zetu wa Kongo zile maiti hazihesabiki wallah unaweza kimbia.

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 22 วันที่ผ่านมา

    TANZANIA 🇹🇿 HAIKUWA YA HIVI KWAKWELI

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 22 วันที่ผ่านมา

    Yaani basi linatekwa, muda wote huo mtu anachukuliwa hadi…. aisee, yaani Tanzania yetu kuna kitu kimejificha; mbona nguvu kubwa haionekani kukemea uhalifu huu?

  • @MariamWanjiku-g4c
    @MariamWanjiku-g4c 22 วันที่ผ่านมา

    Kiongizi asie eshimu uhai wa mtu afai kuwa kiongizi jipangeni na kura namzilinde kwa garama yoyote iliinji iwe salama mulioko serekalini Toeni saute mkemee jambohili Kunawatu wanafaa kuwajibishwa

  • @MariamWanjiku-g4c
    @MariamWanjiku-g4c 22 วันที่ผ่านมา

    Kubalini kufa ili kuokoa kizazi chakesho Msiogope kufa kisa nipolisi Kesho itakuwa niwewe Mtu anatolewaje kwa gari mnyamaze serekali inawaondolea viongozi walio nasauti ya kutetea watu wapate kukanya watu watakavo jipangeni wanainji wezangu napolisi wanao zingatia kutetea inji waungane nakulinda maicha ya watu Hidam iko siku watalipa Poleni sana makamanda Msikate tamaa

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 22 วันที่ผ่านมา

    Utawala usiokubalika una tabia hiyo.

  • @TeloAwor
    @TeloAwor 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu hii ni nini?

  • @AlexMbwilo-b1q
    @AlexMbwilo-b1q 22 วันที่ผ่านมา

    Taifa linahitaji maombi ili lipone

  • @SaidiMbonde-x5z
    @SaidiMbonde-x5z 22 วันที่ผ่านมา

    Hii ishu kama imefanywa na raia wa kawaida tutapata taarifa zake lakin kama imefanywa na jeli la police bas tusahau tu

    • @godfreyfrugence4176
      @godfreyfrugence4176 21 วันที่ผ่านมา

      Raia wa kawaida wanabeba pingu wanabeba silaha

  • @jovankishamba9424
    @jovankishamba9424 22 วันที่ผ่านมา

    Wauaji wanataka kuondoa amani ya nchi yetu

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 22 วันที่ผ่านมา

      Amani ilishaondoka nchini kitambo Kama wewe hujui.

  • @jovankishamba9424
    @jovankishamba9424 22 วันที่ผ่านมา

    Hivi hili litaendelea Hadi lini? Wanaoua watu wataua wangapi?

  • @AlexMbwilo-b1q
    @AlexMbwilo-b1q 22 วันที่ผ่านมา

    Mmmh nihatali Sana kwanionavyo

  • @richardmasonga9041
    @richardmasonga9041 22 วันที่ผ่านมา

    Nyie watawala acheni kuua watu wasio na hatia! Inakuaje Kama ndg yako akifanyiwa hivi? au Mwanao? Someni Genesi 9:6 Labda mtaacha unyama huu! Wewe ukiua nawewe utauwawa!