GoodNEWS: Nyingine kutoka WCB ya Diamond Platnumz.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- March 8 2017 Wasafi ya Mwimbaji wa Bongo Fleva Diamond Platnumz wameileta Good News kwa kuizindua rasmi mtandao wa wasafi.com ambao utakuwa ni sehemu rasmi ya kujipatia nyimbo za wasanii wa Bongo na nje ya Bongo.
Ongera sana kwajitiada hilo #Diamond, vizuri kabisa japokua napata nyimbo zoote hapa #TH-cam... fresh kabisa.. Asante #Ayo
Brilliant! Wazo zuri sana hili.
thanks Millard Ayyo Unanifanya kua wa kwanza kuhabarika kupitia ayo tv.god bless U
Great thinking.... Nice
big times platinum...you got talent and such good ideas , take us to the next level..much love and support to u...
That's a Good idea Big up Mr. Wasafi Keep it up
This is wounderful, big up
so great. .this is wonderful 👏👏
good ideas Wasafi
U guys are jus the best, Diamond yo blessed, be thankful always. This is the right thing to do and I totally conquer with you.
Good idea tupo pamoja sana
Man, hii kweli Good News. Binafsi takua nanunua nyimbo, 300 tu jamani uanze kuomba kurushiwa nyimbo whatsapp? Tuwachangie Artists wetu. Kama nawewe utakua unanunua nyimbo kama mimi....gonga LIKE 👍
kazi nzuri diamond platnumz unaendelea vizuri sana.
Safi kazi nzuri
nyc idea bro
👍👍👍 mi sio mshabiki wa wasafi lakini hapa nimewaelewa.
Na nitawasapoti sana
raha sana kua katka familia hii....May Allah guide you...kipaji chako kinajiuza.....nataman niandike kurasa ila for now....le me say hongera naseeb
Rahma Ramoh ur so sweet mum ameen
Rahma Ramoh nice comment
rahma hujui nyimbo ni haramu think my dear sis plz si kwa ubaya......
Rahma ramoh mashallah jina zuri kweli lakin unakosema muambie amche mungu sio kusifu kitu kisicho kua na maana yeyote kwa allah eti allah am guide astagafirullahi hebu liongopeni jina la allah kwa mambo ya upuuzi kaa huu
Sms Sms fact
Huyu jamaa kichwa sana .....anajieleza vizuri na kwa ufasaha
safi sana iko powa sana ila tusiishie kucomment tuu twende tukanunue
Gasper Shirima haswaaaaa
Hassanova junior
kunaswali kule kwa
#Nkanda_Junathan
Hassanova junior
jgu
Gasper Shirima kweli mkuu
wooow !!! we love the decision you take D!! we love you D aki continue to inspire D
respect mzee platnumz
chibu dee hiki kichwa sio cha nchi hii kabisa wasio kupenda watakupenda tu round hii much respect #SIMBA live long Bro #MillardAyo pamoja sana mtu wangu Wa nguvu
🙌🙌🙌
Wise king smart king safi king...OMG chibu dee let me hear u sing nothing can stop me am all away uppppp again!!!Wasafiiiiii forever
mwenyezi mungu azidi kukupa ubunifu zaidi nafikiri kutembea huku na kule kumekufanya ujifunze mengi ongera sana bonge la hatu mzazi
Wow bro. this is a good idea. but weka application ya wasafi kwa Android na iTune system, itakuwa easy. coz kama uko na app ni easy ku open na ku buy or (download) than ku enda google na ku search website.
I'm Australian but natokea Congo.
Mirindi John atafanya hivyo bro huu ni mwanzo tu support yetu muhimu sana
+Hassanova junior yan ww ushakua maarufu kupitia mitandao coz kila post ya chibu lazima nakucheki.
Diamond simbaaa
ua genius....bravooo D
hongera dangotee WCB
Asante sana nimeipenda
hatua ulioifuata kaka ni nzuri sana kila la kheri
safi sana jambo zuri sana.
fantastic idea #diamondplatnumz
huyo ndo simpa vimpire salute mzaz
kila huwa unaanza wewe big up bro. #simba
oyooooo njema broo mpaka hapo HAWATAWEZAAAA
congratulations
waooi hngera sana bb T maendeleo mazur
Nyc broooo pig up i rilly apriciate you
cjutii kuwa timu yako big up sana @diamondplatnumz
Safi sana. Namie nakuja tuzungumze. Nna nyimbo yangu hapa.
I'm here to read the comments
D utafanikiwa ...mpango wako uko poa
salute your ideas
safi sana kaka. iboreshe zaidi fanya iwe application ili watu wainstall iwe rahisi sana kupata nyimbo zenu
Daah we jamaa interview unaziweza yani u think while speaking uko very focused!
uko juuuuu
good ideas simba
Wawoo bro tz very very great kp it up brave
great idea..... kwa sh 300 msanii ataiona pesa yake eti...
nawaza kwa sauti!!!
ila safi ni wazo zuri... game changer!!!
Mm mmoja wapo niliyefurahia hili maana nahitaji nyimbo za WCB haswaaaaaaa
Wise Thinking
Napenda intervuew za huyu jamaa...
sio Ali anakuwa na mashauzi anavoongea...
price is what matters- very cheap...its a brilliant idea to have our own local platform that use mobile pesa service cz most we dont have Master or credit card to buy from itune, i wotn even feel a pinch with 300Tsh per song, about technical issue i'm sure will be resolved as its still at infant stage....Big Up Wasafi, now u will true get our money
Respect KK chibu unajuwa sana pia unajielewa sio kiba hajui kujieleza anakiburi sana wakati unamzidi vyote akili ya Sanaa unamzidi njomana anakosa raha kwa ajili yako
Good idea af kuongea kwa point umejaaliwa broo sio jamaa flani iv had mimi namkimbiza
Thanx ma broh that's gud idea which will enrich yu
safi sana nimeipenda
sawa kabisa mond umeongea sawa
pace setter. trend setter. well done 👏👏👏
simbaaaaa.... umetisha
that's good idea
Big up...
Great, Diamond
if there is Good NEWs this is one of them
Queen of Hearts to me too😆
Af hao vishoka wanao uza kazi za wasanii kinyemela wakamatwe wakutane Centro huyu jamaa anajielewa ndo maana cjutii kushabikia muziki wake #wcbforLife
hongera sana kaka chibu dangote
Hongera D
kabisa diamond yani mungu akusimamie kwa kila jambo
Nimependa hiyo
nawakubali sn millard Ayo
a do appreciate you
inshaallah tujaliwe maendeleo ndio tuyatakayo japo si mtz
Huyo ndo simba. Safi sana mond
Good idea waaah hair style c poa
Hongera sana kaka
Ki2 kizuri sana......
hapo sawa 😀
big up to mondiiiiii
Itakuwa bomba sana tu
waoo thanks bro..
viva #mond viva #tz @ platinumz
huyu jamaa anajitambua sana,
utafika mbali sana Mond
Good stuff, But its very slow to buy
mohammed mgori
unakaa kijjn nn mzee....😂😂😂
nakubali chibu Mungu akuongoze
mohammed mgori Mungu amuongoze azidi kupotoka au vipi
mond we noma sanaa
we unajua sanaaaaaaaaaaaaa tu
Hii ni nzur
Pamoja sana simba
Nawapata vizuli AYO TV ,mkopoa kwa kutupa habali nzuli
Good news WCB
daahhh huyu jamaaa kwel mfanyabiashara
good sana!
vizuli.sana
good theory
what is he saying? can my swahilians interpret pls
He's talking about music platform that can facilitate one to download music from the website. The platform is encouraging other artists to participate the cause. This will enable artists to oversee their works.. Whoever uses the platform, will be able to look out everything by yourself. All you need is access to your account - regardless you are the WCB or not.
Mike Judas he is talking about new website where you can buy songs
He has launch his new platform where you can buy his music and other musicians music . just go www.wasafi.com where you can get his all music
Mike Judas he is explaining about the new platform for selling their music and explanation on how the Tanzania musicians are going to get the benefits on that new system....
cool. tho i dont understand swahili i will buy his album. I just wish he interpretes what he says in English or french for other west africans that dont understand him
Big up
Good baba lao
akili mingi
nice
Diamond platnumz uko juuuuu mkuu unajitambua sana kutuwakilisha kama icon ya bongo leta maubunifu Tanzania I nakuelewa sana
Wewe Simba ni kichwa unaongeaga point sana.
all the best chibu
bonge la aidia iko pouwasana da yaan nmepnda sana