Neema Gospel Choir - Msalabani (Official Live Music)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 เม.ย. 2022
  • Alama ya ukombozi wetu. Kwa upendo mkuu Yesu alijitoa kufa kwa mateso na aibu ili sisi wanadamu tuokolewe dhambini na kupatana na Mungu tena.
    1Kor 1:18
    𝗟𝘆𝗿𝗶𝗰𝘀:
    Msalabani pa Mwokozi,
    (At the cross of our savior)
    Wapatikaana ukombozi.
    (There’s redemption)
    Ni kazi ya thamani yake Yesu
    (It’s the precious work of Jesus)
    Msalabani pa Mwokozi
    (At the cross of our savior)
    Msalabani pa Mwokozi,
    (At the cross of our savior)
    Wapatikaana ukombozi.
    (There’s redemption)
    Ni kazi ya thamani yake Yesu
    (It’s the precious work of Jesus)
    Msalabani pa Mwokozi
    (At the cross of our savior)
    Tumesamehewa dhambi hatuna deni,
    (Pardoned our sins, we are dept free)
    Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
    (He paid it all, we are dept free)
    Ni kazi ya thamani yake Yesu
    (It’s the precious work of Jesus)
    Msalabani pa Mwokozi
    (At the cross of our savior)
    Unyenyekevu uvumilivu na upendo
    (Humility, perseverance, and love)
    Huruma nyingi na fadhili kwetu
    (For his mercifulness to us)
    Ni sifa za thamani zake Yesu
    (It’s the precious attribute of Jesus)
    Msalabani pa Mwokozi
    (At the cross of our savior)
    Tumesamehewa dhambi hatuna deni,
    (Pardoned our sins, we are dept free)
    Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
    (He paid it all, we are dept free)
    Ni kazi ya thamani yake Yesu
    (It’s the precious work of Jesus)
    Msalabani pa Mwokozi
    (At the cross of our savior)
    On this 3rd drop Msalabani from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Song Leader Minister - Samwel Limbu, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.
    Song Written by Fredrick Masanja
    Credits:
    Video, Directed & Edited by: Johnson Amigo
    Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)
    FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
    Sound Engineer; Jeddy DC
    Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
    Lights: Allan Lights
    Stage: Hugo Domingo
    #neemagospelchoir #gospelmusic #gospeltanzania
    𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
    Instagram : Neema Gospel Choir
    Fecebook : Neema Gospel Choir
    Tiktok: Neema Gospel Choir
    Whatsapp: wa.me/message/3UP76KFADMY4D1
    www.neemagospelchoir.org
    ©️2022
  • เพลง

ความคิดเห็น • 900

  • @NeemaGospelChoir
    @NeemaGospelChoir  2 ปีที่แล้ว +288

    Mungu awabariki sana mnapoendelea kutazama wimbo huu!!

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 2 ปีที่แล้ว +11

    LICHA YA UTAMU WA MELODY YA WIMBO YAANI MTAMU TU KUUIMBA.... MSALABAAAAAAAANIIII UWIII KUNA PIA VOCALS TAMU SANA NA BEATS ZINAUFANYA WIMBO UCHEZEKEEEE.... SASA HAYO TUACHE! THE DOCTRINAL MEANING BEHIND THIS SONG OOOOO "
    "𝙏𝙐𝙈𝙀𝙎𝘼𝙈𝙀𝙃𝙀𝙒𝘼 𝘿𝙃𝘼𝙈𝘽𝙄 𝙃𝘼𝙏𝙐𝙉𝘼 𝘿𝙀𝙉𝙄.... 𝘼𝙈𝙀𝙇𝙄𝙋𝘼𝘼𝘼 𝙔𝘼𝘼𝙉𝙄 𝙉𝘼𝙍𝙐𝘿𝙄𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙎𝙄𝙎𝙄𝙏𝙄𝙕𝙊 𝙆𝙒𝘼𝙈𝘽𝘼𝘼𝘼𝘼 𝘼𝙈𝙀𝙇𝙄𝙋𝘼𝘼𝘼 𝙔𝙊𝙏𝙀 𝘽𝙒𝘼𝙉𝘼..... " 𝙎𝙄𝙅𝙐𝙄 𝙉𝙄𝙎𝙄𝙎𝙄 𝙉𝙄𝙎𝙄𝙎𝙄𝙏𝙄𝙕𝙀𝙅𝙀 𝙃𝘼𝙋𝙊𝙊𝙊... 𝙇𝘼𝘽𝘿𝘼 𝙏𝙐 𝙉𝙄𝙎𝙀𝙈𝙀 𝙆𝙒𝘼𝙈𝘽𝘼 𝘽𝙄𝙉𝘼𝘿𝘼𝙈𝙐 𝙃𝘼𝙐𝙉𝘼 𝙎𝘼𝘽𝘼𝘽𝙐 𝙔𝙊𝙔𝙊𝙏𝙀 𝙄𝙇𝙀 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙁𝙄𝘼 𝘿𝙃𝘼𝙈𝘽𝙄𝙉𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 𝙋𝘼𝙎𝙄𝙋𝙊 𝙆𝙐𝙅𝙄𝙏𝘼𝙆𝙄𝘼 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀𝙒𝙀 𝙆𝙒𝘼 𝙆𝙐𝙄𝙆𝘼𝙉𝘼 𝙆𝘼𝙕𝙄 𝙔𝘼 𝙈𝙎𝘼𝙇𝘼𝘽𝘼𝙉𝙄"
    MBARIKIWE SANA WATUMISHI KWA HUDUMA HII... TUUPELEKE WIMBO HUU KWENYE 1 MILLION VIEWS IN ONE WEEK KWA KWELI UNASTAHILII

    • @jacksonvalence7365
      @jacksonvalence7365 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @FrestersRecords
      @FrestersRecords 2 ปีที่แล้ว +1

      This is soo deep...!!

    • @AlexJoseck
      @AlexJoseck 2 ปีที่แล้ว

      @@FrestersRecords Amen amen my brother, GLORY TO GOD FOR WHAT HE HAS PUT IN YOU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nimerudi tena huu mwaka 2024🔥🔥♥️🙏🏾

  • @amani9532
    @amani9532 2 ปีที่แล้ว +4

    😘😘😘KUTOKA BURUNDI BUJUMBURA TUNASHUKURU SANA KAZI YA MSLABA PIA TWAWAPONGEZA NINYI MNAOJITOLEA KUITANGAZA KAZI HIYO YA THAMANI ILIYOTUFANYA WANA WARITHI WA UFALME WA MUNGU WETU ALIYE HAI!

  • @eliyamwantondoofficial3129
    @eliyamwantondoofficial3129 2 ปีที่แล้ว +6

    hii ni KWELI tupu! PASAKA imesemwa vyema kupitia wimbo huu!

  • @tabitherrichard4531
    @tabitherrichard4531 2 ปีที่แล้ว +26

    Mpiga Drums aiseeee Mungu akuinue zaidi ya hapo Godfrey Mlingwa

    • @angelarobert9481
      @angelarobert9481 2 ปีที่แล้ว

      Anajua sana

    • @akielmduma2114
      @akielmduma2114 2 ปีที่แล้ว +2

      Anajua sana Jamaa🙌

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

    • @deborakisanga8885
      @deborakisanga8885 ปีที่แล้ว

      Aiiiseeeeeee nilisikia huu wimbo classic fm ulipigwa saa nane na dk 45 usiku kiukweli usingizi ulipaa sikujua mmeimba ninyi nilipoenda kwenye playsto nikwakuta miaamba ya Neema ooooh Yesu awainue zaidi ya hapo mmeimba kwa moyo mpaka raha

  • @josephnyamoga4747
    @josephnyamoga4747 ปีที่แล้ว +10

    Ukija kwa siri kwenye room yangu kila jumapili kabla y kwenda kansan.. You will find me dancing the song with full of joy,vibe,happiness,laughter... I'm really blessed with the song from neema gospel...the message is there,vibe is there everything is there.....kwa Yesu ni raha..

  • @marcelinamatei786
    @marcelinamatei786 2 ปีที่แล้ว +30

    I love this song "TUMESAMEHEWA DHAMBI HATUNA DENI" ❤️

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 3 หลายเดือนก่อน +4

    Amina, alilipa yote Bwana pale msalabani, hatuna deni ni maneno mazuri , nabarikiwa,, mbarikiwe pia

  • @elihurumapaulo1696
    @elihurumapaulo1696 2 ปีที่แล้ว +4

    Kila kizazi na ladha yake ashukuriwe Mungu kwa kuweka kipawa cha kusifu na kuabudu ndani yenu endeleenj kunyenyekea mbele za Mungu atawashangaza kwa wema wake na bado ana mengi mazuri kila kizazi na ladha walikuwepo mapigano ulyankulu, mama jusi , ..n.k now it it is your time furahieni kuwa vijana mtumikieni Mungu kwa bidii

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika tumesamehewa dhambi atuna deni nafurahia ushindi wa Yesu***mbarikiwe Neema Gosper nawapenda mno****Teddy .L.Mandilind ....From France

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri, wenye ujumbe unaogusa moyo namna hii unaanzaje kuangalia mara moja bila kurudia, KAMA SIYO MSALABA NINGEKUA WAPI MIMI
    ASANTENI SANA VIJANA KWA KUTOA MUDA NA NGUVU ZENU KUMTUMIKIA HUYU YESU
    mbarikiwe mpaka mshangae 🙏🏿🙏🏿🇹🇿

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @joytaura1953
    @joytaura1953 2 ปีที่แล้ว +6

    It's Easter and we couldnt have a better song for the season. Thank you so much, more anointing to all of you...Halleluyaah🌅🌄

  • @mujanukirefrancine3308
    @mujanukirefrancine3308 ปีที่แล้ว +4

    Mubarikiwe sana yesu abahe umugisha mubyomukora byose ndabakunda cyaneeee muzamunezeza bikomeye

  • @butwawestonmwailubi
    @butwawestonmwailubi 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushukuriwe Mungu kwa upendo ulio wa ajabu utuoneshea watoto wako ahsante sana sifa, Utukufu na heshima vyote ni vyakooo jina lako LIHIMIDIWE daima,... maana hakuna jina lingine DUNIA na ata mbinguni Bali ni wewe tu.... THANKS ALOT JESUS FOR THE CROSS ALL OUR SIN WE'RE CLEANED .... IN MIGHTY NAME OF JESUS THANKS ALSO TO THIS MINISTRY HAKIKA TZ NA DUNIA KWA UJUMLA TUNAJIVUNIA MKONO WAKO USIWAACHE .... BARIKI HUDUMA ZAO WAPUNGUE BALII WEWE UKAONGEZEKEE KATIKA YOTEE

  • @AntoineKongolo-pq4ws
    @AntoineKongolo-pq4ws 3 หลายเดือนก่อน +5

    MUNGU abariki hii kwaya, kwa ujumbe mzuri, hatuna deni

  • @user-ux5tp2ox8v
    @user-ux5tp2ox8v 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nabarikiwa sana na huu wimbo ❤🎉 msalabani pa mwokozi❤❤

  • @user-qo8qy8zv1f
    @user-qo8qy8zv1f หลายเดือนก่อน +3

    Mtu akiimba ktk Roho ni faida kweli,jamani wabarikiwe

  • @amonphilip5902
    @amonphilip5902 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii sio nyimbo babu 🙌🙌hii ni injili halisi...watu wanabadirishwa , Wana wanarejea katika pendo halisi la Baba

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

  • @budgetperfumeskenya1999
    @budgetperfumeskenya1999 ปีที่แล้ว +6

    Much blessed here in Kenya.you people are blessed of the Lord.
    Tumesamehewa dhambi zote.(thank you Jesus for your love).

  • @johnnyokabi
    @johnnyokabi ปีที่แล้ว +7

    You're just amazing.. the drummer is soo passionate and does it with all the energy.🎉🎉🎉🎉🎉 Toka Kenya Deliverance church Utawala tunawapenda...🎉🎉🎉

  • @estherkwamboka4890
    @estherkwamboka4890 ปีที่แล้ว +5

    My Jesuss aiyayayaya thankyou Jesus for the cross... please tutazame uzito was huu wimbo waah glad to know Jesus 👏👏👏🙌🎉

  • @user-hl4jm4ss9n
    @user-hl4jm4ss9n 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iam in 🇺🇸 love this song

  • @neemageofrey9804
    @neemageofrey9804 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika msalabani mambo yote Bwana alimaliza.. Bwana awainue siku zote

  • @revelationtv8588
    @revelationtv8588 ปีที่แล้ว +7

    your fan from kigali rwanda, mungu ababaliki sana kwa nyimbo nzuli, msalabani kwa mwokozi, amenipa yote!!!

    • @carolluvy2542
      @carolluvy2542 ปีที่แล้ว +1

      Waooh...goood job. God bless you. More Grace.

  • @essie102
    @essie102 2 ปีที่แล้ว +3

    My always favorite song of God ...ooooh jeez I love this song . NEEMA GOSPEL your amazing keep praising yahweh always ♥️♥️♥️♥️♥️🙏🏼

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @timothmanaseelia4213
    @timothmanaseelia4213 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema kweli huu wimbo umeimbwa kwa maudhui mazuri sana na umebeba ujumbe mzito sana Mungu awe nanyi sana watumishi

  • @felixnsumila8413
    @felixnsumila8413 2 ปีที่แล้ว +4

    Woow, i think we got 2022 EASTER SONG,GOD BLESS YOU Neema Gospel choir

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @enockkagolora
    @enockkagolora 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimebarikiwa nirpo usikia huu wimbo mbalikiwe sana watumishi

  • @ZefaniKatembo-lf4mv
    @ZefaniKatembo-lf4mv 3 หลายเดือนก่อน +2

    RDC, Ville de Beni, nyimbo ina nitia nguvu kutumikia kazi ya Mungu kwani alikubali mwana wake wa pekee afike kufa kwa ajili yangu ni kweli kazi ya damani kwetu. Mubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristo

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen utukufu kwa Mungu🙏🙏

  • @joramwilson2513
    @joramwilson2513 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Neema Gospel Choir kwa kutupa Baraka hii....Yesu na awatunze mzidi kutupa baraka hiizi kwa viwango vya juu zaidi

  • @elisantekissuda3121
    @elisantekissuda3121 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana waimbaji kwa wimbo mzuri unaoonyesha kazi nzuri na kubwa aliyoifanya Bwana Yesu Kristo pale msalabani.

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @rahelkibona6328
    @rahelkibona6328 2 ปีที่แล้ว +4

    Finally huu wimbo jaman 🥰🥰nmeusubiri kwa hamu TUMESAMEHEWA DHAMBI HATUNA DENI

  • @nancygichinga1857
    @nancygichinga1857 2 ปีที่แล้ว +4

    This is powerful am washing it for the 10th time the song is so so powerful were it not for Jesus tungekua wapi? I love the song you guys are doing good job i love all your songs

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 3 หลายเดือนก่อน +2

    NI KAZI YA THAMANI YAKE YESUU, MSALABANI PA MWOKOZI.
    nimeukumbuka leo huu wimbo 😭. Hakika tumepata ukombozi. Big up Sam Limbu, Masanja and All team. im blessed again🎉🎉🎉🎉

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen Glory to God, be blessed 🙏🙏

  • @fridahwangari7237
    @fridahwangari7237 2 ปีที่แล้ว +6

    Can't get enough of this song , unabariki kweli oh my!!! Nimesamehewa dhambi sina deni 🙏

  • @samuelmumo8164
    @samuelmumo8164 2 ปีที่แล้ว +4

    Ni kazi ya thamani yake Yesu hakika msalabani tulipokea uponyaji na msamaha wa deni🙌 Mungu na azidi kuwainua kiwango hadi kingine💯. Much love from +254 KE❤

  • @BackintimeGospel
    @BackintimeGospel 2 ปีที่แล้ว +3

    This song it’s a Complete Gospel, and it will never loose it’s taste for generations. Mmebarikiwa Sana .🔥🔥

  • @kalovwendunga8103
    @kalovwendunga8103 2 ปีที่แล้ว +2

    Msalabani pa mwokozi.
    Alisulubiwa sababu ya dhambi zangu.
    Alichomwa mkuki kwa sababu ya maovu yangu.
    Alivishwa kofia ya mimba sababu yangu.
    Indeed mighty Christ loves me.
    May His endurances due to my inequities never go in vain.
    Nice song wana Neema

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @robertlameckbabuthegreat683
    @robertlameckbabuthegreat683 ปีที่แล้ว +4

    Huu Wimbo haujawahi kuchuja Tangu nimeanza kuusikiliza, Team Mbarikiwe Sana, Mungu akawatendee Mambo mapya katika Maisha yenu🙏🙏🙏

  • @kwinjajudith2178
    @kwinjajudith2178 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nime samehewa zambi misina deni !!!!!

  • @joycemtuhi4287
    @joycemtuhi4287 ปีที่แล้ว +4

    Asante Yesu hatuna deni,bless u Neema kwaya,we Tanzanian proud of u.🇹🇿🇹🇿

  • @gentlemantesha4184
    @gentlemantesha4184 2 ปีที่แล้ว +1

    Braza Limbu hautuangushi wadogo zako kutoka KEKO,..Keep doing the great job bro keep lifting HIS name high

  • @ShaletMkamzungu
    @ShaletMkamzungu ปีที่แล้ว +5

    It's 04:09AM Nairobi Kenya and I'm worshipping before starting my day. Mubarikiwe Sana

  • @OrneeMarie-lc4hk
    @OrneeMarie-lc4hk 4 หลายเดือนก่อน +3

    Much love from 🇧🇮 BURUNDU🇧🇮

  • @sheilabaji5149
    @sheilabaji5149 2 ปีที่แล้ว +3

    Tumesamehewa dhambi hatuna Deni...waaaaaaw..what a blessing...this Easter....good timing...good messege....much love from Kenya......

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @shukurumossi1870
    @shukurumossi1870 2 ปีที่แล้ว +2

    Jambo moja kubwa na LA thamani tunalopaswa kujivunia na kulifurahia kila siku ni kuwa YESU ALIKUFA MSALABANI TUKAPATA MSAMAHA WA DHAMBI ZETU ZOTE MILELE!hatudaiwi tena!

  • @user-jz8fj1zm7i
    @user-jz8fj1zm7i 4 หลายเดือนก่อน +2

    Samweli limbu kazi hongera mnoo kwa kuimba vyema MUNGU azidi kukuinua 🎉❤

  • @jamesmbolesila7600
    @jamesmbolesila7600 ปีที่แล้ว +3

    Msalabani pa mwokozi wimbo mzuri sana wakati huu wa pasaka... Mungu awabariki

  • @elizabethnduku8022
    @elizabethnduku8022 2 ปีที่แล้ว +3

    Wooow NGC I Love you , worship in spirit

  • @dastanglory8402
    @dastanglory8402 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni kazi ya thamani yake Yesu ooooo msalabani mwokozi😘😘😘

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @gracekulola2853
    @gracekulola2853 2 ปีที่แล้ว +2

    Msalabani pa mwokozi😭🙌🙌🙏🇰🇪

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 2 ปีที่แล้ว +4

    WIMBO mzuri Sana. Naona Uamsho wa mwisho unatembea kila dhehebu. Mbarikiwe sana

  • @bahatipaul1753
    @bahatipaul1753 2 ปีที่แล้ว +4

    Umenibariki sana mpiga dramu kwenye kakipengere furani inadhihirisha uwezo wako na upendo mkubwa ulionao kwa Yesu.

  • @mercyrotich4484
    @mercyrotich4484 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumesamehewa hatuna deni...powerful words...God bless you Neema Gospel choir..nyinyi ni wa baraka kwa mwili wa Kristo

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

  • @jenniferisrael7354
    @jenniferisrael7354 6 หลายเดือนก่อน +2

    Neema ya Mungu ya utendakazi izidi kuwa juu yenyu mnapoendelea kumtumikia bwana wetu yesu kristo

  • @elizabethnduku8022
    @elizabethnduku8022 2 ปีที่แล้ว +4

    One of these fine Sundays in my church I will request for special presentation and this is the song I will present. Such uplifting and melodic neema gospel 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 my phone's ringtone

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻

  • @Nkundatresor
    @Nkundatresor 2 ปีที่แล้ว +4

    Tumesamehewa hatuna deni kabisa😭😭🙌🙌🙌🙌 mubarikiwe Sana tunawapenda from Kigali Rwanda

  • @DrNeemaBalige
    @DrNeemaBalige 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda tuuuu🙌🏾❤️Yesu awaweke. Yesu asante,hatuna deniiiii🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾💃🏽💃🏽💃🏽

  • @gracewanjiku5359
    @gracewanjiku5359 2 ปีที่แล้ว +1

    Mara tena na tena msalabani pa Mokozi panapatikana ukombozi...nyimbo hii safi sana

  • @paulsamuel6265
    @paulsamuel6265 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii Kazi yenu ni yathamani Mno,go go go Neema Gospel

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

  • @momryan
    @momryan 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amelipa yote BWANA hatuna deni 👐👐👐

  • @fridahr9775
    @fridahr9775 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni kazi ya dhamani yake Yesu.....we are free.
    AMEN AND AMEN

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @josephmussa4405
    @josephmussa4405 2 ปีที่แล้ว +3

    Sichooki kuuutazama Wala kuuusikiliza huku wimbo. Asante YESU mwokozi wangu mkombozi wangu umenikomboa kwa damu yako ya thamani nami Niko huru.

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @kadcoclinic244
    @kadcoclinic244 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haleluya amelipa deni , hatuna deni

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen, hakika🙏🙏🙌🙌
      Kindly Subscribe to our youtube channel and follow our instagram page for more updates 🙏

  • @MunezeroParfait-hx4ch
    @MunezeroParfait-hx4ch 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tumesamehewa dhambii hatuna deni asante Sana Yesu wangu

  • @evafernssumbala2651
    @evafernssumbala2651 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Yesu Kwa kutulipia deni. Hatuachi kukufuata.

  • @simpassagrace6907
    @simpassagrace6907 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah! Sina magonjwa Wala mapigo YESU alivichua tangu miaka 2000 iliyopita. I am free in JESUS name

  • @dr.ntsinzireagan225
    @dr.ntsinzireagan225 2 ปีที่แล้ว +6

    I love this . I don't know where U are but yr style is mine . From Rwanda.

  • @maureenmukudi1741
    @maureenmukudi1741 ปีที่แล้ว +4

    Msalabani pa mokozi nimesamehewa dhambi wala sina deni. am so bleesed from kenya

  • @muthomiabner5727
    @muthomiabner5727 2 ปีที่แล้ว +2

    Bassist blessing my night.
    Listening from kenya❤❤

  • @esteromary2102
    @esteromary2102 2 ปีที่แล้ว +4

    Ndilumba u mutwa Yesu ahombite I dzanangifu dzangu 🙏

    • @rtlusungu
      @rtlusungu 2 ปีที่แล้ว +1

      Mnyaru mwenzangu ❤

    • @esteromary2102
      @esteromary2102 2 ปีที่แล้ว

      @@rtlusungu ndauli

  • @wuodoketch
    @wuodoketch 4 หลายเดือนก่อน +3

    God bless this wonderful choir 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  4 หลายเดือนก่อน

      Amen, be blessed 🙏🙏🙏❤️

  • @giftndulesi646
    @giftndulesi646 2 ปีที่แล้ว +2

    Nawapendaa Nawapendaa sana yani mnanibariki sana, Yesu aendelee kuwatumia

  • @conerymusyimi5227
    @conerymusyimi5227 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumesamehewa dhambi hatuna deni 🥳🥳🥳

  • @luhuvilojactany7539
    @luhuvilojactany7539 2 ปีที่แล้ว +4

    Mubarikiwe sana waimbaji kazi ya msalaba inabidi tuindendeye kazi Mungu awape guvu nawepesi napenda hii nyimbo sana

  • @mrlawimusictv935
    @mrlawimusictv935 2 ปีที่แล้ว +5

    I love this song, i love neema gospel choir

  • @sarahkimani7390
    @sarahkimani7390 2 ปีที่แล้ว +2

    Waoh what a wonderful song unaponya moyo kabisa Asante Yesu kwa kutusamehe dhambi Mungu awabariki neema choir neema izidi kuwa kubwa kwenu

  • @joanw.
    @joanw. 2 ปีที่แล้ว +2

    It was indeed a worthy sacrifice. Thank You Jesus.

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

  • @collodejesus9901
    @collodejesus9901 2 ปีที่แล้ว +4

    The best choir in East and Central Africa. You guys are something else. Locked 🔒 🔐 🔏 from Kisumu City Kenya 🇰🇪

  • @margarethluhanga8051
    @margarethluhanga8051 5 หลายเดือนก่อน +7

    Who is here 2024

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huwa sipendi kwaya
    Lkn neema na ufunuo ,big up sn
    Glory be to God mmefanya Kwa kiasi kwaya ziheshimiwe

  • @ngirandekirwa6741
    @ngirandekirwa6741 2 ปีที่แล้ว +1

    Unyenyekevu, Uvumilivu na Upendo (3UUU) - Msalabani pa mwokozi ----Mungu awabariki

  • @SolangeNTAKIRUTIMANA-de1mx
    @SolangeNTAKIRUTIMANA-de1mx 6 หลายเดือนก่อน +3

    Waaaoo my favorite song🎶🎶🎶 tumesamehewa dhambi hatuna deni

  • @TapuwaAlishdamba
    @TapuwaAlishdamba 3 หลายเดือนก่อน +4

    God I'm in love with these people❤❤
    Keep spreading the good news of our Lord Jesus, do not be weary may God take you higher and higher, be blessed beyond measure.🙏

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen be blessed, we love you❤️❤️🙏🙏

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumesamehewa dhambi hatuna deni. Amelipa yote Bwana hatuna deni. Ni Kazi ya thamani yake Yesu oooh msalabani pa mwokozi🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kimkeys
    @kimkeys 2 ปีที่แล้ว +2

    Direct replica of how joyous it will be there in heaven. I speak blessings upon this choir. Blessed from Kenya

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika msalaban pa mwokozi wapatikana ukombozi ni kaz ya thaman yake yesu ooh msalabani Pa mwokozi❤❤❤❤

  • @thomaslukubi7299
    @thomaslukubi7299 2 ปีที่แล้ว +3

    One of the best live recording i ever seen ,cudos to neema gospel choir ,What a set up! Sound wao!uniformity wanderful !

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

  • @agnessnazar3088
    @agnessnazar3088 2 ปีที่แล้ว +1

    Easter Anthem!!! Mungu azidi kuibariki kazi yake!! Sifa utukufu ni kwa Mungu🙏

  • @neemasanga5747
    @neemasanga5747 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante guys kwa wimbo wenye ujumbe mzuuri saana ambao unaendana na msimu tuliopo wa pasaka may GOD bless you endless hakika hatuna Deni kwa ajili ya damu ya thamani iliyomwagika msalabani

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo alto naisikia very well composed 🔥🔥 also tenor naisikia njema kabisa

  • @Kevinmusau1
    @Kevinmusau1 2 ปีที่แล้ว +3

    This choir 🙏🙏🙏🙏❤️nawapenda sana

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @fionahanura817
    @fionahanura817 ปีที่แล้ว +4

    this song I heard it first Aflewo 2022 .. It was fire 🔥🔥🔥 and I came here to search it 🔥🔥🔥🔥Glory to God🔥🔥🔥👏🏽

  • @safirehema6262
    @safirehema6262 2 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana waimbaji kazi ya msalaba inabidi tuindendeye kazi Mungu awape guvu nawepesi napenda hii nyimbo sana Mungu ame tu samehee Atuna denii Baba yetu Amelipa yote ❤❤❤❤🙏🙏🙏🤲🤲

  • @margaretlaizer
    @margaretlaizer ปีที่แล้ว +4

    This song makes me fall in deep prayers, God bless you abundantly the team , I love you

  • @upendokiwanga9538
    @upendokiwanga9538 ปีที่แล้ว +4

    NINYI MPUNGUE Yesu ainuliwe kazi zenu nzuri ila Mungu atukuzwe kwa kuwa ndie atendaye ndani yenu

  • @kevinligaya2084
    @kevinligaya2084 2 ปีที่แล้ว +2

    It's deeply reminding me of what Christ has already done on the cross ..... Mbarikiweni sana ..OMG😭😭

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 ปีที่แล้ว

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

  • @sayibangili4722
    @sayibangili4722 2 ปีที่แล้ว +1

    My Easter song🙌🏿! Mmebarikiwa mnoo🙌🏿

  • @bilhaadhiambo6448
    @bilhaadhiambo6448 ปีที่แล้ว +3

    The finished work of Christ at the cross has given us given us hope unexplainable, joy unthinkable and peace immeasurable