D VOICE X MABANTU - UMEKOPWA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2021
  • Please SUBSCRIBE to Mabantu Official TH-cam Channel, the most Influential Group in Tanzania:
    / @mabantuofficial

    / muuh_mabantu
    / mabantuofficial
    / twaah_mabantu
    dvoice_ginnii?u...
    For information abouseif460@gmail.com
    mabantubooking@gmail.com
    +255674936995
    #Mabantu #dvoice #umekopwa

ความคิดเห็น • 458

  • @magrethhenry7197
    @magrethhenry7197 2 ปีที่แล้ว +121

    Tuliokuja kumwangalia mkojani tujuane 😀😀

  • @ZeraGeofrey

    Tuliokuja kuangalia baada ya kutambulishwa Wasafi❤

  • @barakaisrael257
    @barakaisrael257 2 ปีที่แล้ว

    Uchezaji gani huo 😕 ndo maana hazipigwi video za hivi kulinda maadali.

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 2 ปีที่แล้ว +15

    D voice umerudi tena lakn ile madanga wa mke wangu ni ya 🔥🔥🔥

  • @ayoubsokoine2204
    @ayoubsokoine2204 2 ปีที่แล้ว +3

    We huyu d voice ni mkali wa vocal kuliko hata meja kuhusu hyo stail kuigana ukweli ni kuwa mwenye stail hyo nyota haijang'aa tu lakini ni fundi kutoka buza Kwa mama kibonge anaitwa muddy msanii talent hatari huyo hata meja anamjua vema stail zote ni za muddy msanii

  • @shabanimakwaru2875
    @shabanimakwaru2875 2 ปีที่แล้ว +16

    Huyu D voice anajua kwenye madanga ya mke wangu alimkarisha mejja kunta

  • @johnkashamba
    @johnkashamba 2 ปีที่แล้ว

    Camera man amecheka mkojani unashida

  • @itsmaganeymohamed
    @itsmaganeymohamed 14 วันที่ผ่านมา

    Where's the translate thou

  • @elizabethfundi2561
    @elizabethfundi2561 ปีที่แล้ว

    Mkojani jamani 🤣🤣🤣🤣

  • @amrhusseni6596
    @amrhusseni6596 2 ปีที่แล้ว +7

    D voice noma sana huyu dogo amewafunika huwez amin

  • @latifakarama1252
    @latifakarama1252 2 ปีที่แล้ว +7

    D voice uko poa muddy msanii hakufikisasa mashallah endelea na KAZI yako nzuri mdogo wangu nakupa moyo ucje ukakosa kujiamini

  • @fatumasuleiman3526
    @fatumasuleiman3526 2 ปีที่แล้ว +5

    D.voice na meja kunta na wapenda😘😘😘😘

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 2 ปีที่แล้ว +5

    Tujuane tuloletwa na mkojan hapa

  • @hassanisaidi9860
    @hassanisaidi9860 2 ปีที่แล้ว +7

    Bonge la song watu wabaya hatari kabisa ❤️❤️

  • @godifreykavishe340
    @godifreykavishe340 2 ปีที่แล้ว +1

    vijana hayari sana ukishasikia mahali pan D voice ni hatariii danger

  • @abdallahjuma84
    @abdallahjuma84 2 ปีที่แล้ว +1

    D voice fundi umekopwa ujumbe umewafikia wahusika big up kwake

  • @byamsmarley9644
    @byamsmarley9644 2 ปีที่แล้ว +1

    Konga like 🤜🤛 apo

  • @malemaabbey2316
    @malemaabbey2316 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Great music thanks 🙏🙏 GOD BLESS YOU ALWAYS

  • @awadhiisihaka7881
    @awadhiisihaka7881 2 ปีที่แล้ว

    Mmetisha wanang kikubwa kuongeza juhudi ili mfike mbali zaidi ya hapo mlipo

  • @unknown_dk51
    @unknown_dk51 2 ปีที่แล้ว +8

    mabantuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu washatiiiiiiiiiiiiiii