Mwakinyo ndio Bondia pekee Tz anayejua kujieleza na kuwaelezea vizuri watu wake wa karibu wanaomzunguka, ieleweke kuwa Mwakinyo Hana dharau, Mwakinyo ni burudani tosha hata kwa wapinzani wake🔥🔥🔥🔥🔥
Kiukweli washamba wengi tabia zao ni kuwachukia wapambanaji big up Sana Mdogo Wangu Mwakinyo yupo vizuri Sana Sema Chuki zinamuandama Sana inasikitisha tulipaswa kumsapoti Sana Mwakinyo Sio Kum disappoint
Mwakinyo Zanzibar fanya ndio uwanja wako wa nyumbani kwani wale wenzetu kulee wameshaonesho chuki kwako njoo zenji sisi tumekupokea kwa mikono miwili big up brother
Nikikuangalia interview zako mwakinyo na mahojiano yko mengi una high q unaweza kuongea kwa upana na kwenye kujiamini ndivyo inavotakiwa unaongea kwa big sense na yenye kueleweka
Mwakinyo ww ni Bondio MKUBWA hapa Tanzania mm nakushauri Jambo MOJA Embu punguza haya maneno makali yanaleta CHUKI KUBWA KWAKO MM NAFAHAMU KIDUKU AKIPIGANA NA WW HATARAUNDI 4 AFIKI
Huku bara ni unafiki mwingi sana muda mwingine mbaka unawaonea huruma watu waliofanikiwa hapa bongo, wanapitia mambo mengi sana kwa watu walioshindwa kuwa na mafanikio kama yao
Hongera Sana Mwakinyo umeonesha kiwango kikubwa ukilinganisha na mtu uliyecheza nae. Salute!!!!!! Bravo bravo bravo
Safii kaka mwakinyo umewanyamazisha midomo wasokupenda kupitia hili watarudi tuu salut kaka.
Mwakinyo ndio Bondia pekee Tz anayejua kujieleza na kuwaelezea vizuri watu wake wa karibu wanaomzunguka, ieleweke kuwa Mwakinyo Hana dharau, Mwakinyo ni burudani tosha hata kwa wapinzani wake🔥🔥🔥🔥🔥
Kiukweli washamba wengi tabia zao ni kuwachukia wapambanaji big up Sana Mdogo Wangu Mwakinyo yupo vizuri Sana Sema Chuki zinamuandama Sana inasikitisha tulipaswa kumsapoti Sana Mwakinyo Sio Kum disappoint
Kw nilivomuona Mwakinyo Twaha ajipange
Jamaa namwelewa sana akiongea anajiamini na anamaanisha ,inatumika nguvu ya kumshusha kiwango Ila mungu humsaidia
Mwakinyo Zanzibar fanya ndio uwanja wako wa nyumbani kwani wale wenzetu kulee wameshaonesho chuki kwako njoo zenji sisi tumekupokea kwa mikono miwili big up brother
Hatumchukii jamaa yetu
Mimi n mbara ila upo sawa sawa 🤝❤
Mwamba anajua Sana ngumi
@@kingahmada3873hapana hajui sema anabebwa 😅 mtu anarusha ngumi moja moja kama adui wa kihindi😅😅😅
Azam wameaibiki isee😂
bondia wangu bola tanzania mwakinyo
Kilichonikera ni Azam kuingia kwenye hizi siasa na kutunyima hili pambano live,mnatufanya tufikirie kuhama bora nirudi zangu DStv
Huyu jamaa mwamba kweli kweli
Wale wapaka piko mioyo saizbinawauma hatari,,,safi sana damu yangu
Chpez mwambaaaaa🎉
Safi hiyo mwakinyo
Mwakinyo anavitu vya ziada sana
Huyu anajua ngumi hadi anakeraaaa,,Tz one
Mwakinyo the best of Tanzanian ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Champez sasa bado yule dada yao mpaka pico pale mologolo
Salute hassan nakukubali
✊✊✊
Mwakinyo ngumikamamvuwa yaarimino mapafu yambwana kidugu kwahizingumi laundi tatu hafikishi nawajitokeze waonengumi
Kwa mchezo wa Kiduku haya huyo Mgana Hamuwez. Mwakinyo anambinu sana na mzoefu wa mapbano. Usicheze na Boxing.
Mwakinyo uko safi
Oy salutiiiii hom boi awawez zuia kipaji alokupa Allah tz jilas kila chocho we ucjal
Kaka big up sana
Kwani mwakinyo hajajenga kweli
Mwakinyo amejenga mjengo wamana sana ila anawapa tu maneno yakuongea wabaya wake ila amesha jenga nakaa nae kakibu sana
Naombeni like tu jamani leo nimekuwa wakwanza kutazama hii video😅
Hongera zake ila kajitahid ila apunguze maneno
Sio kajitahidi huyo anajua ngumi
Mchezo wowote bila maneno haunogi lazima uwe na vibwaka
💯💯💯
heee, mtafunga ndoa tena, mchora maua umesikia dharau hiyooo 🤭🤭😅😅
Mwakinyo ktk ubora huyu ndo mwakinyo nnaemjua mm
Jamaa ni mswahili haswa.... 🔥🔥🔥💥💥💥🙌🙌🙌
Hora wewe mzungu
@@ashiraffmmbwego582 hapana... Nimependa namna amezungumza
Bro nakubal sana sultan
😅😅😅mchongo umempiga nani yesssss 💪💪💪💪💪💪
Kaka unajua sema kiduku wa mchangan w wa kimataifa abishane na kidunda
Nikikuangalia interview zako mwakinyo na mahojiano yko mengi una high q unaweza kuongea kwa upana na kwenye kujiamini ndivyo inavotakiwa unaongea kwa big sense na yenye kueleweka
Mchongo sio KO. Umempiga nani?
Nadhani mchongo si kumpiga nani,nadhani mchongo umepata nini?
Unyma n mwingi
Cku itafika kk mdomo utanyooka tu
Hakuna mpiganaji humu wa mchongo tu, kiduku the best
Huyo kiduku amepigana na nani😅
Inaonekana ww una roho ya kwanini jamani ukimchukia mtu bila sababu basi ndio (Mungu) humfungulia zaidi ili ww upate machungu. 😅😅😅
Uwakika kaka nimekubali sana
Mwakinyo ww ni Bondio MKUBWA hapa Tanzania mm nakushauri Jambo MOJA Embu punguza haya maneno makali yanaleta CHUKI KUBWA KWAKO
MM NAFAHAMU KIDUKU AKIPIGANA NA WW HATARAUNDI 4 AFIKI
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huku bara ni unafiki mwingi sana muda mwingine mbaka unawaonea huruma watu waliofanikiwa hapa bongo, wanapitia mambo mengi sana kwa watu walioshindwa kuwa na mafanikio kama yao
Babu nguvu huwa zinaishaga jenga uachane na kulipa kodi anza na room 1 mkuu usiogope maneno ya watu
Maneno tu mwakinyo ananyumba yake nzur tu uk jiongeze amempitia mtu apo
Wachawaseme wwe sema kwavitendo dogo kinyo
Punguza nywele kidogo mwakinyo
Hee😂
Kajenga huyo asiwadanganye
Mm wa4 nipeni like zangu❤
Mimi nimekuwa wa pili
Hakuna ngumi hapo, kama unajua ngumi angalia mchezo wa Ibrahimu class na Mmalawi, kule ndio tumeona vitasa, hapo mlikutana songolo na buruza,😂😂
Katombwe chuki zako ndo zimekujaa,,
acha chuki huyo mwakinyo hicho ni kipeji mungu kampa
Umeanza lini kushabikia ngumi mpaka ujue uwezo wa bondia?unachuki binafsi inakutafuna itakuzika mbwa wewe.
Sa class kafanya nn wakati mpinzani katupiwa taulo miguu ya kuku kumamake
Fala wew mwache mwakinyo
Unaongea sana mbona sas unapenda kuchugua mabondia sana
🎉🎉
Poa
shida yenu ni hio watoto wa kitanga ushamba mwingi munaongea mambo ya kishamba mujungi ni kuto kujitambua
Ongea nawew😅
Maneno kuntu kqbisa mchong sio k oo je umempinga nani