Mashaa Allah Kaka hua s choki kukusikiliza wallah Allah akupe umrii mrefuu insha Allah ❤❤ njoo manyaraa siku moja ,walah cku ya harusiii yangu ntakualika uje kaka angu Allah akuzidishiie kila kheriii .
A/alykm wrhmtullaah nlifkiria mimi tu ndo nakupenda na kipaji chako maashaa Allaah big up✊ kumbe wako wengine wanakupenda lkn mm ni zaidi yao kiongoz natamani siku 1 kuonana na ww inshaa Allaah Allaah akujaalie kila la kheir ktk maisha yako ust Jumaa😍🥰🤲
Maa shaa Allah hongera Juma faki ❤❤❤❤
Mashaa Allah Kaka hua s choki kukusikiliza wallah Allah akupe umrii mrefuu insha Allah ❤❤ njoo manyaraa siku moja ,walah cku ya harusiii yangu ntakualika uje kaka angu Allah akuzidishiie kila kheriii .
Mie ndio wa mwanzo Leo.Alhamdulilah
Mashallah kake kwa kazi pia hongera kwa suma arraz kwa ladha ya beat
❤ust juma faki nakupenda kwa akili ya allah Inshallah ila nkuombe kitu kimoja ust wangu jarbuni kupinguza vinanda
Haujawahi kukosea kaka, Allah akuepushie na husda
Mashallah dah kwakweli unajuwa sifa upewe mwalim juma faky
Duh kazi kubwa hamna hasad ❤
Mashallah njoo pia Kenya twakutamani
Nyote wawli Allah awaongzi ktka hzo sauti muwe wnye kuzisomea Qur'an tukufu pia
Mashallah ust juma faki Allah akuzidishie kipaj chako unajuw san mashallah
Huyu jamaa hana mpizan wallah mashallah unaweza unajua kakaa juma faki🎉🎉🎉❤❤
Asante sana ❤️
Hii tamu japo haina skari juma hongra sana mashaallah ila kwann unatunyima video yake
Mashaallah sheik juma Allah akubariki ❤😢
Mashaallah Kaka juma kazi mzur ety ❤
Maashallah mungu akuzidishie sauti nzuri ya kutunga saut
Masha Allah vzur kaka
Shekhe m nakupenda mke wa pili vipi
Aqaz mpo juu sana kwa usomaji Wa 1aswida lakin mpunguze miziki inshallah
A/alykm wrhmtullaah nlifkiria mimi tu ndo nakupenda na kipaji chako maashaa Allaah big up✊ kumbe wako wengine wanakupenda lkn mm ni zaidi yao kiongoz natamani siku 1 kuonana na ww inshaa Allaah Allaah akujaalie kila la kheir ktk maisha yako ust Jumaa😍🥰🤲
Aamin nawewe pia
Hongera kiongoz allah akuze kipaj chko abark kz za mikono yko
fundi kwenye ufundi wake mfalme kwenye ufalme wake wa kaswida Masha Allah 😢
Naam Naam Naam umerud kwenye ufalme wako nilikummiss kweli ustadh juma
Allaa akufungulie mipango yako shekhe jumaa
Mashalah alwa akuzidishie ufundi zaid akulinde mafisadi
Iko vzur xna hii kaswidah
Juma Faki simba unatisha kaka mashaa ALLAH❤
Asante sana 🤝
Mashaallah mashaallah
Jamaaan mabwana harus mekaup ipunguzen dh km bi harus huuuu mtihan Tena Wala sio mdogo
Hakuna namna mashallah mwamba hapa umetisha ❤❤
Hahaha Hakuna namnaa 2024
Ustdh juma unajuasanaaaaa
Duuuh mwalim hii rasti ilipewa ijaza kutoka wapi??
Mashaa Allah Bless 🎉🎉🎉🎉Naomba number zako za whsp ❤❤❤
Naomba 👍❤❤
2024 kimya kikubwa kina mshindo mashallah hongra kk
Kweli kabisa
Nic nesta 🎉🎉🎉🎉😂😂❤ iwe ya kher
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mwalimu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Juma fakki waume niyajibu weni
Juma Fakih waume
Mashaalah
Fundi wa usomaji qaswida Zanzibar🙌
Napenda kaswida nzuri km hiz
Wa kwanza
Hongera kaka
Mashaallah mung akuzidishie
Ust juma sauti Yako ni adimu
Mashallah Allah kaka juma Allah akupe umri mrefu
Aaamin nawewe pia
Inshallah
Masha allh allh barik
Maashallah maashallah maashallah ❤
Mashaallah shehk juma❤❤❤😂🎉
Weee Hakuna namna 😢
Mashaallah mwambaaa yasaaaalaaam👌👌👌☝️☝️
Mwambaa asante sna
Mwamba na balaa lake kubwa sana
ماشاءالله
Weka mbali na watoto ❤❤❤
Duh asante sana kiongozi
@@jumafaki1697 Pamoja Mwalim Wang
Kazi kazi,, hatupoi
Duh kiongozi Asante sana
Mashalla she juma
kazi nzur kaka hongeraa🔥🔥🔥
Asante sana kaka
Mashallah mashallah mashallah ❤
Mfalme kam mfalme fundi
Goods 😊😊
Juma fakih
Maashaallah
MashaAllah
Mwambaaa tumekusubr sanaaa
Asanteni nyengine zitafata
Mashaallah ❤
ww mkali
Huna baya mwalimu lakini una deni langu
Yes nmkubl
Ss haya ndio mahaz ya Qadiria tuliyo yazoweya
❤❤❤😊
🔥 📛 usiozimika mwalim wang
Mashaallah
❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hanaga mamb madog
Mashaallah ❤❤
Mashaallah shehk juma❤❤❤😂🎉
Mashaallah
Mashaallah