UKHTY SAU - YALOJIFICHA (Official Qaswida Video Lyrics) ♥️👍1080p60

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @MamaNuu-r2h
    @MamaNuu-r2h 17 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri sau nakupenda kwaujumbe wako❤

  • @Maryamhaji-p1l
    @Maryamhaji-p1l ปีที่แล้ว +1

    Malip ni hap hap duniani , kil ck nasem ukhty sau lazm atatutolea qaswida yeny ujumb, maashallah

  • @MohamedAthuman-c5p
    @MohamedAthuman-c5p 2 หลายเดือนก่อน

    Kz nzuri

  • @MariamHamisi-zd9ok
    @MariamHamisi-zd9ok 2 หลายเดือนก่อน

    Umesomeka ukhti sau ujumbe umefika

  • @IdrisaKhamis-zf3sf
    @IdrisaKhamis-zf3sf 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @SabraAbdulrahman-o8q
    @SabraAbdulrahman-o8q 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Allah akuzidishie

  • @SafinaJuma-c2m
    @SafinaJuma-c2m 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah❤

  • @tausihussein
    @tausihussein 7 หลายเดือนก่อน

    Dah 😢hii kasweda imenigusa wallah Allah atusaidie jmn

  • @MapishiKujifunza
    @MapishiKujifunza 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah ❤

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera ukt sau nakupenda ❤❤❤ hunambaya

  • @ChichiAli-r3c
    @ChichiAli-r3c ปีที่แล้ว

    Mashallah kipnz ❤❤

  • @mohamediathuman2769
    @mohamediathuman2769 ปีที่แล้ว

    mashallah qaswida nzri sana

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mimi imenigusa sana kasida

  • @ZenaOmar-m3p
    @ZenaOmar-m3p 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah mashaallah yaani hii kasda imenigusa moyo wangu hongera Ukhti sau nakuhitaji kwenye harusi ya mwanangu naitaka hii kasda

  • @MapishiKujifunza
    @MapishiKujifunza 3 หลายเดือนก่อน

    Ukhti Sau Nakupenda kwa akili ya Allah

  • @mwanizejuma6127
    @mwanizejuma6127 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ukhty hii kaswida nzuri sana 😊

  • @fatmafadhili7080
    @fatmafadhili7080 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante ukhti sau kwa ujumbe wa kutukumbusha

  • @IdrisaKhamis-zf3sf
    @IdrisaKhamis-zf3sf 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur ww uliyo fanikisha

  • @gabbageyoung5340
    @gabbageyoung5340 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa ukhty wangu hii umeua kweli Mungu akuzidishie kipaji zaid

  • @freeairdrop3
    @freeairdrop3 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana ukhti sau kasida imegusa mioyo ya watu allah akulinde na chuki na hasadi za wale wasio penda maendeleo ya wenzao na waimba taarabu

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 ปีที่แล้ว +1

    Nakupe ukhty sau hunambaya ila nakunasihi usiimbe nyimbo qaswida zipotele nakuamini Sana hunabaya

  • @hawaamiki3405
    @hawaamiki3405 6 หลายเดือนก่อน

    mashaAllah umenigusa sana ukhti sau

  • @MwidadBaloz
    @MwidadBaloz 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah hapo hapo Dada usibadilike kwenda kwenye nyimbo

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliiiii my weyetena ❤ hunambamba ❤

    • @ummyummy2307
      @ummyummy2307 ปีที่แล้ว

      Mashaa Allah,,,,Allah Amuepushe Na Macho Ya Husda, Muishi Miaka Mingi❤❤❤❤

    • @khamisali9907
      @khamisali9907 ปีที่แล้ว

      Ammina

  • @SMOLDIGITALTV
    @SMOLDIGITALTV ปีที่แล้ว

    sau nakukubali sana kazimzuri jitahidi kuleta kile shenye ujube mzuri ustazi nasemahapa mashaawha❤❤❤

  • @hajikhamis9497
    @hajikhamis9497 6 หลายเดือนก่อน

    Kaza kamba ukhty hapo umeupiga mwingi sana hongera kwa kazi nzuri ambazo ndo tunazo zimiss

  • @saidothman8014
    @saidothman8014 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ukhty kazi zako ni nzuri sana mashaallah jitahd uendelee kuchunga maadili ya dini tumia fani kama njia ya kufikisha neno la Allah sio burudani .
    Namuomba Allah akupe siha wewe na wenzio wote inshaallah

  • @Dogo-J-Katoto
    @Dogo-J-Katoto ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah hiyo ndio kaswida

  • @MozaAbdallah-j8v
    @MozaAbdallah-j8v 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah❤❤❤❤

  • @dosaathman2176
    @dosaathman2176 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 ปีที่แล้ว

    mashAllah mashAllah tumekumis uku Kenya utakuja lini❤

  • @abushirhaji9474
    @abushirhaji9474 4 หลายเดือนก่อน

    Maashallah MASHAALLH hongera sana sana hii yangu MİE

  • @issakarim4413
    @issakarim4413 ปีที่แล้ว

    Hongera sau ujumbe umefika na upo vzur hii inapendeza kwakwel

    • @hawawilliam1318
      @hawawilliam1318 ปีที่แล้ว

      Mashalaah qaswida inaujumbe mzuri sana Allah akulipe kheri ukht Sau ❤️

  • @AbdulkheyrMaulid
    @AbdulkheyrMaulid ปีที่แล้ว

    Ewe mola wetu tusaidie🤲 ujumbe muruwa Allah azidi kukubariki ewe waridi la visiwani

  • @ukhtytuma
    @ukhtytuma ปีที่แล้ว

    gwijiiiiiiiiiii hongera sn kw qasida nzur video imetulia verry verry

  • @hasnaaliy5872
    @hasnaaliy5872 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah akujaalie kaz njema akuzidishee ujuz ktk kipaji chako hiii ndo kasida mpenz

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 ปีที่แล้ว

    Maashaallah huna mbaya mpenz

  • @BintHassan-o7o
    @BintHassan-o7o ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah kaswida nzr❤❤❤ ukweli kabisa

  • @FatimaMbeyu-mn7yf
    @FatimaMbeyu-mn7yf ปีที่แล้ว

    MashaAllah Tabarakallah wallah hongera sana ukhty Sau yan maneno yenye msingi mzr wakuzijenga familia zetu Allah akubariki Ameen

  • @siwajibuhassan2924
    @siwajibuhassan2924 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae imetua niliisubiri kwa hamu mzigo umejaa hauna khitilafu

  • @NuohMasoud
    @NuohMasoud 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul ปีที่แล้ว +7

    Hii ndo qaswida,,, fanya hv daily chunga usije ukaingia kwenye taarabu mashabik zako tunataka qasida

    • @siwajibuhassan2924
      @siwajibuhassan2924 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa umeongea kitu tulokua tunawategemea kwa kasida sasa niwaimba taarab tungo zimewaishia

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul ปีที่แล้ว

      @@siwajibuhassan2924.. kwer kabisa

    • @deoperacc
      @deoperacc 3 หลายเดือนก่อน

      @RamadanPaul Acha ujuaji, ulitaka aimbe vipi? Ninyi ndo mnakatisha watu tamaa hata muziki hamuujui. Mnakuwa watu wa kukosoa kosoa tu. Cha ajabu hujamtolea hata sent 5 kwenda studio.
      Haya hebu tuelezee, kaswida ikoje na taarabu ikoje?

  • @amreenabdulhamid8549
    @amreenabdulhamid8549 ปีที่แล้ว

    Mashallah ukht wngu ❤

  • @RahmaChehe-hp8qt
    @RahmaChehe-hp8qt ปีที่แล้ว

    Mabruuki ya ukhut sau

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @MundhrOmar
    @MundhrOmar ปีที่แล้ว +1

    MHHHH SINA SHAKA KBSA NA UKHTY SAU hp naon km haifiki tarehe

  • @YasryBilali-hm9ig
    @YasryBilali-hm9ig ปีที่แล้ว

    Shukriya da swau

  • @Okanatz1
    @Okanatz1 ปีที่แล้ว

    Qaswida mzur sana mashalla la director ont bwana hujaitendea haki skiript huja ziweka kwanini emu onesha msimamo wako kama director bwana nisome kama director kd only

    • @DirectorOne.t
      @DirectorOne.t  ปีที่แล้ว

      nmekuelew ila ni mbinu tu kwakutoeka vitendo ucjl

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว

    ❤🇹🇿🇴🇲

  • @sabaheenasar7388
    @sabaheenasar7388 ปีที่แล้ว +2

    💖Mashaallah 💖

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 ปีที่แล้ว +1

    Qasda ni nyimbo zilizonasibishwa na dini , Qur - an imekataza mziki na mnanda , hivyo chochote kinachoingia Mziki na Mnanda basi ni kharamu.
    KIFO KIPO , SIKU YA HUKUMU IPO , DADA ACHA MZIKI , usipende sifa za kijinga ❌

    • @DirectorOne.t
      @DirectorOne.t  ปีที่แล้ว +1

      ASNT ila vile vile nakunasihi sn nawew kutofatilia masuala yaliokatazwa na dini, kwani hadi umefika ku comment bs nimfatiliaji mzur ila tu hii qasida yng hukuipenda cndio???

    • @DirectorOne.t
      @DirectorOne.t  ปีที่แล้ว +1

      nimpe dalili na sio utashi kuwa hii imekatazwa au ni haramu.. AYA au Hadithi sahihi

    • @habiptyomar1532
      @habiptyomar1532 ปีที่แล้ว +1

      ukht sau mtu akitaka kukodi muongozo tafadhali

    • @siwajibuhassan2924
      @siwajibuhassan2924 ปีที่แล้ว

      @@habiptyomar1532 namba zipo apo zimeandikwa izo zilizoishia 88

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul ปีที่แล้ว +1

      @@DirectorOne.t achana na maneno ya watu, ukijali utakata tamaa, kama kwake ni halaf bas kwetu ss ni halali, maana tangu mpaka sasa umri miaka 28 ndo nasikia kwake kuwa qaswida ni halam. Waimbaj weng wamepotea kwa sababu ya maneno ya watu. UKHTY SAU, we fan's Love's you more. Usichoke INSHALLAH