Fresh Jumbe 'Penzi ni kikohozi' Live in Hibiya Park Tokyo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2009
- Fresh Jumbe - 'Penzi ni kikohozi' Live in Hibiya Park Tokyo. Subscribe to Fresh Jumbe's Channel here / freshjumbe so that you don't miss anything from him...Good music, Interviews, lessons and Advises in KISWAHILI. Think of Tanzania & East African Music like Bongofleva, Muziki wa Dansi or Taarab with good & clean Swahili. Fresh Jumbe gives you the best of those. Subscribe now to enjoy the best Music from Fresh Jumbe and East African swahili music.
OTHER SITES, CHANNELS ANS SOCIAL MEDIA:
WEBSITE: / freshjumbe
TH-cam: / freshjumbe
MUZIKI NA WANAMUZIKI:
/ @muzikinawanamuziki
Watch Fresh Jumbe's Tanzanias Live Performances: • Fresh Jumbe - Live Per...
Interviews:
• Interviews (Mahojiano)
Performances Across Japan:
• Fresh Jumbe - Across J...
Magufuli Songs:
• Playlist
Penzi ni kikohozi Album:
• Penzi ni kikohozi Album
Wema Album:
• Fresh Jumbe - 'WEMA' t...
Facebook:
/ freshjumbe
Twitter:
/ freshjumbe
Instagram: / freshjumbemkuu - เพลง
Tunao angalia hiii ngoma 2024 gonga like kama zote
Penzi kweli ni kikohozi...😊old is great
Sijawai kumuona mpiga gitaa kama Yishoki
Lister Elia kanuna huyo! Cheka basi kaka kwenye kinanda hapo!
SAaaafi sana...Hii ni kama Jeans....hainishi hamu kusikiza...Keep it up kaka...
Naipenda iyi nyimbo japokuwa nilikuwa mdogo sana
2022 anyone?😂😉😊old is gold
Fresh Jumbe, huyu mpiga Solo wako kwa kweli ni Mkali. Mwanzo sikuamini kuwa ni yeye hadi kuona analicharaza kikwelikweli Ki-Africa. Wimbo safi sana na kila la kheri katika dunia ya miziki.
Dah broo weee bonge la mwana music uko wapi sasa ivi broo
Uyu mjapani katisha kinoma solo gitaa
Wajapani wanamkubali Sana huyu mwamba
I still love this song, much love from Tanzania
Hongera sana Fresh Jumbe.
Huyu ni mwanamuziki mahiri sana
Nimekuona UTV nilivyo soma jina nikakumbuka wimbo wa penzi ni kikohozi nilikua naupenda mnoo kipindi icho bado mdogo mnoo
Fresh Jumbe mwamba...
doooh...fresh jumbe unanikumbusha mbali nikikumbuka Huu wimbo..aaah
Hizi hatusikii tena skuizi.. Jamani anapobadili Solo Gita at 7:13 I go Craaazy aiseee.. I miss ma baby Renatha.. wish uone how nachanganyikiwa in this song...
my favourite song of all time
Fresh jumbe Mkuu mtoto wa Tanga. Hii nyimbo mjomba wangu alikua mkali ukiitoa kwenye gari lake
Safi saana
wimbo upo poa, watching from Switzerland.16.12.18.
Vp hapo sister?
hii nyimbo itaishi milele
hii nyimbo 1995
according to my mother anaipenda na mm naipenda mpaka kesho aiseee daaah
Shukrani sana 🙏
@@FreshJumbe Jumbe huu wimbo nakumbuka miaka ile upo OSS kama ulikua unauimba pale Silent Inn na pale Tanzania Legion kabla hujaenda huko uliko. Nimefurahi ulivyoufanyia ulimbwende. Umeufanya niupende zaidi. Mungu akubariki unatuwakilisha vizuri
Dooh huu wimbo unanikumbusha mbali sana vp habari za huko ughaibuni
Nice Be, uko wapi?? We miss you!
Boge La wimbo unanikumbusha mbali sana
dah huu Wimbo wa siku nyingi sana unanikumbusha mbali sana
sijui tu, tangu utoto niliupenda huu wimbo. very good
Kwangu mie huyu jamaa ni mkali zaidi kwa sauti nyororo
watching and listen this in July 2022
Nyimbo inanikumbushaga mbali sana hii😞😞😢😢😢😢😢😢2022
Irudiweee😊
ok. i love your rich swahili heritage --- your are a pioneer !!!!! how can i get your music in iowa,USA ????
Nice music keep it up bro.
Nakumbuka mbaliii
ngoma kali sana
Fresh Jumbe una sauti tam balaa
Daaaah sikuhizi uko wapi Fresh Jumbe?ilikuwa ni shabiki wako mkubwa mno,na hasa hii penzi kikohozi kwa hakika umeiiimba kwa hisia kubwa,hongera sana,na urudi kuja kutupa burudani,au hata uandae show na uzirejee hizi nyimbo tukuonee
Pamoja sana
Daah! Wimbo mzuri Hadi nasinzia
Asante sana Julitha Muhale. Kuna mengi yanakuja hivi karibuni kwahiyo kama bado huja subscribe, fanya hivyo ili usipitwe
Kaka huu wimbo uliutendea haki
Chuma icho
Karibu tena Mwanza-Tanzania
miziki ya zamani inafundisha sana jamani
dah!!wimbo mkal sana
kaka hii nyimbo inabamba hadi Leo eastafrica
naipenda kiukwel
Nice tune............upo juu Kaka
Still I'm in love with this song
Naam 👍
Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi 🎶🎶🎶 2020 na enjoy muziki mzuri❤❤❤
Pamoja sana
Kaza moyo mueleze waziwaz ujue moja
Nishida hii ngoma
Daaaah ....feel so fresh lk yesterday wallaih.....more 😘😘😘😘😘😘😘
i love this music
2024
hahahahah gitaa noma sana asee
Penzi ni kikohozi kulificha huwezi now 2021 🔥🔥
2:20👏👏👏
Congratulations my brother fresh
Asante
This brings memories
Naielewa xna hii ngoma tokea bado nipo mdogo mpka leo hii,ki ukweli brother keep it real hii ni ngoma Kali xana kwangu ninakkubari na ninakuaminia unaweza xharaut kwako brother
this song is a sweetest
😘😘 2020
Hongera sana kwa nyimbo nzuri
Nice song 🎵 👌
😭😭😭😭😭😭mpka nmelia
Daaah! Unastail kulia hakika, ni muda mrefu sana hii ngoma, kipindi cha mapenzi ambapo ukipenda umependa kweli .!?
Mbona kimya kaka. Ulikuwa champion daaah
Pole my ❤️
Nice songs
Jumbe wwe ni hatari sana ngoma ya miaka lakini kama imetoka jana
1999 mwezi wa 11 ndo ilikua mwaka wangu wa kwanza kuusikiliza huu wimbo pindi icho nina miaka 9 lakini mpaka Leo 2019 ndo nyimbo yangu bora kuipenda .. Love u bba. Nakuombea maisha marefu ya kuishi APA duniani ...
Nyimbo zetu zinaishi
Great legacy
hii ni tunu halyotupa mwenyezi mungu hakika mungu akubariki sana
Shukran sana mkuu
Shukrani sana mkuu Emmanuel.
Daima mziki wako unaishi kaka
Karibu sana Tanga kaka Fresh Jumbe
Akhsante . Huk ndio nyumbani, kuja ni lazima.
Hii nyimbo bana ulinifanya nisimamishwe shule Kwa kubeba 📻 ili nisikilize huu Wimbo
🤣 🤣 🤣 🤣
Pole sana Mwanaidi
@@FreshJumbe 💕
Safi saana
doooh...fresh jumbe unanikumbusha mbali nikikumbuka Huu wimbo..aaah
Duu ninoma Sana brother,