DIVA Abadili DINI Tena/Arudi Kuwa MKRISTO/Asema AMEAMUA KURUDI NYUMBANI/BAADA ya KUACHANA na SHEIKH.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024
- Mtangazaji wa #WasafiFm divatheebawse atangaza kurudi kwenye Dini ya Ukristo baada ya kuachana na Mume wake @sheikh_abdulrazak_salum
Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Gissele Malinzi) #Diva amesema kuwa amekulia katika mazingira ya kikristo na amezaliwa kwenye mazingira hayo hivyo ameona arudi.
#Diva alibadili Dini na kuwa Muislamu baada ya kuolewa na #SheikhAbdulrazak, Baada ya kuachana ameona arudi kwenye uhalisia wake.
.
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Salam zako TANASHA alibadili dini kwa sababu alitaka, alijiridhisha, hakufata mwanamme. Diva utajijua kila mtu na kabuki lake.
Ndio kafa kafiri
Waislamu wakati mwengine tunajivisha tunajutakia wenyewe hivi mtu anasilimu lakini anaishi katika maisha yele yale aliyotoka nayo, kweli muislamu ndo uko hivyo? Vijana wa kiislama acheni tamaa watoto wa kiislamu wapo wengi na tena wazur na wenye kujiheshimu, proudly to be a Muslim
Aende zake kasilimu vipi wAkati apo alijidai kabadili Hana uislamu mmoja,Bora atuachie dini yetu asitubabaishe sie",I'm proud to be Muslim"
Amina
Ni kweli hata me nilijaribu kumleta mwenzangu upande wangu but now amerudi kwenye dini yake na mtoto twambatiza kwenye hilo kanisa mwezi ujao 🙏Inshaallah🤲
Wewe dini gani
@@AbdullahOmar-be4wy Dini Imani
@@StrongbowArrow2004 ww muislamu au mkiristo
Alibadili Dinis ili tu aongelewe kwa kipindi Kile,na sio kwasababu aligundua ukweli kuhusu uislam,kwa sababu wanao badiligi Dini kutoka kwenye ukristo na kuwa muislam kwa sababu ya kugundua ukweli uaga awarudigi nyuma hata iweje ,na huyo diva kwangu Mimi Hanna tofauti na chizi
😂😂😂 imebidi nicheke ati hana tofauti na chizi
Mualike na kwa yule mchungaji wa Kenya anayetoa upako kwa kuwajambia waumini wake
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂ww yupo wap na mm nataka upako wa mashuzi
Eti SIKU hizi Hadi kwenye DINI watu wanataka kutafutia umaarufu, hahaha, haya bhana endeleeni kusaka umaarufu
Huyu hana ata alichobadilika wakati uo anaojidai yy alikua muislam
Kwani alikuwa muislaam?
Maskini, Kuna siku atatamani angekuwa muislamu tu,
Astaghfirullah diva karibu Kenya kwa pastor Mackenzie shakahola 🇰🇪🤣 yani ukuuu utamuona Jesus yesu live bila chenga 🤣🤣🤣🤣 astaghfirullah Mungu nifundishe kunyamaza 🤐
😂😂😂😂😂😂chenga ww