Jmn hii kaswida naipenda sana nimeitafuta ni mwaka sasa leo ndo nimekuta ila ningepata audio yake pamoja na video ningefurah sana mashaaaaaaallaaaaaahh
MoYo ukiwa na ghazabu basi nikisikiaa hii qaswidaa naliaa baada Apo napataa wepesii jaman mOJa ya Kaswaida ilopangwaa mashair kiuweledii ni hii...naipendaaa sna mm simsikilizaji wa Qaswida ila hii pendaa snaaa
Mashallwa. Mashallwa mungu atupe Kila la heri maneno mazima hayo moyo wa mtu ni kichaka kweli mungu atupe subra .mungu atupe heri atuondesheee Shari hapa duniani na Akhera pia
Mashaa Allah naipenda sana hii kaswaida maana ina mafunzo mazur na mazito
Jmn hii kaswida naipenda sana nimeitafuta ni mwaka sasa leo ndo nimekuta ila ningepata audio yake pamoja na video ningefurah sana mashaaaaaaallaaaaaahh
Tuko pamoja dada....
Tunapatikana kwa 0777884978
Hii kasida tokea mimi niko mdogo nilikua nikiigiza miaka2 mpaka5 mashaallah mashaallah ❤️ 💖 mola akupeni subira nanyinyi pia nawasia wenu tumeupokea natutamkumbuka rabbi
Mashallah nimeitafuta sana
Tuko pamoja dada....
Tunapatikana kwa 0777884978
Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah. Masha Allah
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
Masha Allah nzuri zaidi ya sannaa
MoYo ukiwa na ghazabu basi nikisikiaa hii qaswidaa naliaa baada Apo napataa wepesii jaman mOJa ya Kaswaida ilopangwaa mashair kiuweledii ni hii...naipendaaa sna mm simsikilizaji wa Qaswida ila hii pendaa snaaa
Haishuki hadhi kwa kweli inanipa faraja ninapoiskiliza
Mashallwa. Mashallwa mungu atupe Kila la heri maneno mazima hayo moyo wa mtu ni kichaka kweli mungu atupe subra .mungu atupe heri atuondesheee Shari hapa duniani na Akhera pia
Mashaallah Allah awalipe qawsida nzuri San kila nikisikila moyo unafurahi Sana
Maashaallah Fundi wa mafundi gogolbahr imamu jjafar hongera
Mashaallah naipenda sanaaa hii qaswida
Asante da hawaa...
Tunapatikana kwa 0777884978
Tupo kidongochekundu Zanzibar
I love this qaswida mashallah❤❤❤❤
Naipenda sana ❤
Mashaaallha
Maashallah ipo juu nimeitafuta kwa mda sasa
Tuko pamoja ....
Tunapatikana kwa 0777884978
Masha Allah mahadhi yamepangika hd nafarijika
Mashallah ❤❤
May give us subra and clean heart 🧠❤
Nimeitafuta kwa mda sana.
Tuko pamoja....
Tunapatikana kwa 0777884978
Hii qaswida nimeitafuta sana ,,, Alhamdulillah nimeipata leo
Huyu kijana aliyeimba yarabi tupe nyoyo za subra hakika yuko vzr sana pia natafuta ule nyimbo aloimba yeye
Mashallah
Mashallah
Mashallah
Mashallah
Mashallah
MaashaAllah
Mashaa Allah, wekeni na video yake
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
tutaiwek in shaa Allah
Masha Allah. Hii qaswida naipenda mno
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
Mashaallah
Jaman siamin kuipata kaswida hii
Usijali da zuleikha tutext WhatsApp upate kaswida zetu nyingine
Yani hata mm siamini naipenda sana hii kaswida
@@GHAZWACREWBAJOMBA mi naomba ,yaaani siamini kuipata
Mashaa~Allah!
Mimi kiroba ipo Sawa hii qaswida
Shukran......tusaidie kushare na kusubscribe channel yetu
Nilikuwa naitafuta hii qaswidah,,kama una album nzma ya zake tuwekee
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
Kama mm jamn
Masha Allah ❤️❤️🤎🤎
My favorite qaswida
Shukran usisahau kusubscribe na kushea channel yetu
Tuleteeni na zengine kwenye albamu hii hii hakika zanikumbusha ni nzuri sana
Assalaam Alaykum, tunaomba video yake
ماشالله
Jamani wekeni na video
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
Nimefurahi kwa kuipata hii qaswida japo ni miaka imepita na mm niliwahi kuiona miaka mingi sana huko znz,nimelike comment za watu wote😊❤
leo nmeipata qaswida hii
Jaman naombeni namba za simu niwaeleke kaswida ile ya nenda salama kaimba saidi madrasa hii hii
Naipenda pia kama unayo naiomba my dear
My team
MOYO ☺☺
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
Jaman na ule wa nenda salama
Ila jaman ningepata pia video yake wallah ningeshukuru sana
+255777884978
Usisahau kusubscribe na kushare channel yetu dada
Nice
usisahau kusubscribe kulike na kushare pia
Nimeikubali
Mashaallah
Mashaallah nimeipenda mno
@@umimusab8463 ahsante tunashukuru
Tuekeeni album nzima jaman
Wadau tunaomba tuwekeeni ya video