RAUHIYA I KAKUKATAA BAYANA I DIRECTED BY GRADY FX PICTURES I 2023 NEW VIDEO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2023
- Assalam allykum Rauhiya aja na nyengjne mpya kakukataa bayana ni taarab yenye ujjumbe mzuri usisahau ku subscribe like commemt pamoja na ku share videoo hii Asante
• RAUHIYA I KAKUKATAA BA...
• RAUHIYA I KAKUKATAA BA...
Jamaniiii ivyo vilemba ndio vyawastiri n kuashiria iyo ni kasda lkn mkivua jmn iyo taarab bila kupinga😢😢😢
Inna lillahi wa innaa ilayhi raajiun. Allah atuhifadhi sisi na vzazi, nanyi awaongoze ktk kheri.
Ameen
Haliyako
Haliko
@@TatuYussuf-mk7jm hamdulillah sijui weye??
Ameen tumeangamiaaa ss dah hpaa tunawafundisha nn watoto wetu
Allah atupe mwsho mwema ila subhanallah wanawake tumuogopen muumbaaa
Waiislam tuchunge tu saana kule twaelekea si kuzuri 😮
Ahhhhh naona balaaa tu kila tukienda mbele au ndokiama taari?? Haya rauhia ndo vp sasa ,😪😪😪😪
Mhhhhhh hamna jipyaa
Mashaallah ukhty rauhiya mashair mazur
Wata koma mwaka huu
Hii taarab jina gan jamani
Allah atupe mwixho mwema ila kuxema kweli wanawake hatujictiri
Pambe,,,kwa kweli,,,tukumbukeni jman tukumbukeni Kuna Mungu aliyetuumba ,,tusimsahau ND Kila kitu kwet cc wanaadamu
subuhanallah umati Muhammad tunaangamia
😂
ALLAH AWASAMEHE MAKOSA YENU NA AWAONGOZE KTK NJIA ILIONYOOKA
hongera sana kuikopi Tarab yote imeendana na bit
Tarab
Ma ukhty kwakweli mnasikitisha sana
Mashallah
Rauhiya hatari sana mungu akupe afya njema daima na akupe mwisho mwema
Masha Allah ukhty rauhiya naku pebda sana mungu akupe afya ngema❤❤❤❤❤❤❤❤😊
roho inapendaaaaaaaaaaaa nunguuu
Huu ujinga Sasa
😂😂😂😂
Kumekuchaa
Mashallah ❤
Kazi yangu kusom coment ila nijibu tu nyie mno stakfirii san kwani wame cheza uchii mnona wamejistrii uziru kula watu wana randa uchii mbon hamuwambii wajinii uk wapo tele una unastakfir kubwaa mtu kwa pengine kuswali huyu 😢😢
Nimeikubali sn
Hish nimezania hadija kopa mm 😂😂😂😂
hahahaaaa
Wonderful ❤
Mashanllah
Mashaallah
Naipata nkiwa hamam mashallah
Chooni au😂😂😂😂😂
😅😂😂
Mash
Good, Mr. Grady FX
Jaman naomba kuuliza kitu hizi ni madrasa au vikundi vya Tara u???
😊😊❤❤
Kwani hamuwezi kutafuta za kwenu hadi muibe za watu huo ni ushamba
❤❤❤
Tarab imeshaimbwa io
Masha Allah mungu akupe afya ngema❤❤❤
Ukhty rauhuya Masha Allah❤❤
Safi kipenz
Nyinyi kwani hamuwaruhusu wake Zanu au vp muna makuwa munayafanya jiee sherehe ya mara moja😊😊
Upuzi mtupu.
Tarab 2:40
Kazi nzur 🎉 Mashaallah
Uko vzr kaka
Safi rauhia
Mashalllah
❤❤❤❤
Kwa hii n taarabu sio kaswida
Saf
Penda sana ukht rauhiya❤❤
Wwaaaoo. maashaa allah 🥰pambeeee🥰🥰
Wow mashallah ❤ rauhia ❤❤❤
Nice
Woow
Mhh
nice
Mashaallah❤❤❤
Cjaielewaaaa😢😢😢😢
Taarqbu😅😅😅
Mashaallah ❤❤❤❤
❤️
🎉
🤗
🥰🥰
Mashanllah❤
Sw bb
MashaAllah
Mashallah 🥰
Wafanya biashara hao hakuna muumin hapo manywele kama mashetan ivo
Kuimba si haramu hata wake wa Mtume Muhammad( s.a.w) walikuwa wakienda kwenye harusi na kusoma mashairi acheni maneno yenu hakuna alie msafi watu wanamabalaa kuliko la kuimba holini tena wamejistiri acheni usasa wenu haya yalikuwepo tangu enzi za maswahaba ba mitume ww unaesema astghfirullah ww umetakasika ulitaka waimbe vipepeo bya maiti kwe harusi ?
Mh weyeweee ndo umea Mua kuomba nyimbo saivi
Hizi nyimbo eti huoni, watu nywele wameeka nje
Hadi qiam kikafike tutaona mengi
Kwn nyimbo na hizo kasida zina tofauti gani
@@user-km7zk1qs8g hazina tofauti ndg
Ndo tuseme weye ndo hujui tafauti ya kasida nanyimbo au
Mung atup mwish mwem bila ya nyie tusingeimb tarab tukapotok na sie
Hii ni taraab ata si qaswida
Ndio soma Discription yao
Acheni kudanganya wenzenu hiyo taarab nyie mwaacha maulid yaambiwa ni bidaa na huo upuzi wenu nyote muko uchi laanatullah
huyu kacopy Tarab Asilia ipo hio nyimbo
Upumbavu t
sasa hii ni kaswida au taarab jamani tuambiyaneni ukweli musijifichiye kivuli cha Qasida jiungeni tu na makame Faki na kopa
Hata ingekuwa kasida si kwa misingi hiyo kubebeshana dhima tu
Yani hakuna tofauti na nyie na zuchu aghudhu BILAHI mwenyezi mung atustiri waja wake yarabbiy na huu ijingaa
Direct angalia sana hizo beat za nyimbo ndio unahatibu hazi Yako na kuharibu tasnia ya qaswida hapo znz
Kwani hizi qasda au taarabu😂😂😂😂tuache tuburudike ee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@nahlahassan-fd6lewanajifichia kaswida
Ndo hapo chacha😂😂😂
Afuu mjamzito au macho yangu
Umeonaeee hawazipatii ata kidogo kufuja Mambo😬
Sasa hiyo ni nini🙄🤔
❤❤ mashanllah
Kwani ofisi ya mufti Iko wapi Mbona imekua kama hatujui tunachofanya? Hii ni too much sasa innalillah wainna ilayh raajiuuun 😨
Mashallah
Mashallah❤
❤❤❤
Saf
❤❤❤❤
Mashallah
Mashallah ❤
Mashaalh
Mashallah
Sauti ya kiumeee mahashuo tuuu
mh bs Hy nimeamini km mumechoka kuimba kaswida