Na tena shetani si Zumaridi pekee. Kuna mashetani wengi wanahitaji kufyekwa na Yesu. All prosperity preachers na wahubiri wote wa theologia ni mashetani pia. Hata serikali zote pia ni mashetani.
Hawa nabii wa uongo wametuchosha, huko tanga kuna kanisa , yani watu wamefungiwa ndani ni miaka kadha sasa, eti wanafanya maombi, nabii wao anawapelekea chakula huko huko ndani, wametekwa ufahamu hawajitambui , tunaomba na huko mfatilie tafadhali,
Kwa kweli lilikuwa pepo moja la kutisha na ikiwesekana serikali iendelee kufanya utafiti kwa makanisa mengineyo yote ambayo hayana tofauti Sana na huyu Mama mshenzi aliyelitukana jina BWANA wetu YESU KRISTO! Salaam kutoka LONDON
Asante DC Kwa kuokoa roho za watu waliokuwa wanadanganywa Na huyu mwanamke anaepasha mashetani akijifanya kuwa ndo kazama kiroho, pongez kwako DC,nakuombea Mungu alie wapa kibali cha kulifungia hili kanisa uchwara ,Akulinde dhidi ya roho zozote zitakazwo tumwa kwako kujilipia kisasi zikashindwe Kwa Jina LA Yesu Kristo, Bwana akalipe kisasi juu ya adui zako watakao kupigana nawe ktk ulimwengu wa Roho
Baba katika jina la Yesu Kristo aliye hai, Nambariki mkuu wa wilaya huyu kwa kumpinga na kumwangusha nabii wa shetani/baa-yesu ambaye amekuwa akiwapotosha watu ambao walikuwa na imani sahihi na kuigeukia imani ya shetani. Mungu naomba umbari sana huyu mkuu wa wilaya. Maana imeandikwa kuwa lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana. Baba ktk jina la Yesu Kristo naomba uendelee kuwafutia leseni watu waovu kama huyu ambao wanajifanya wakristo kumbe ni mabaa-yesu/wpinga kristo. Amina.
Baraza la CPCT au hata CCT hawawezi kutoa msimamo wao kuhusu mafundisho potofu ya makundi ya kikristo kama huyu? Mpaka mkuu wa wilaya anakuja! Wamewahi kutoa tamko lolote? Mwanamke anajiita mfalme hio sio kufru?
@@eminaelytibesigwa4802 Kwa hiyo PCCT mungu wao ni Zumaridi wanayemwabudu. Sio MUNGU BABA WA MBUNGUNI eti? Maana anafanya kazi chini ya kivuli cha PCCT. Au hapo vipi? Ufafanuzi zaidi.
Asante sana mkuu wa wilaya Mungu akulinde. Pia wilaya zingine ziige mfano huu, makanisa ya namna hii yamekuwa mengi sana. Serikali ifatilie sana haya makanisa.
@@fridasky1019 🤣🤣🤣 feel sorry for you, hakuna watu wako free kama wakristo, we are no longer under the law we were set free lakini waslim mko under the law. Hii mambo yalitabiriwa yatakuwepo mwisho wa dunia so usijifanye eti Hamna mambo mengi
@@lizmass3437 kila kitu kipo chini ya sheria hata nchi ipo chini ya sheria ndo mana tunaishi kwa amani na upendo na kwa heshima hata ww unasheria nyumbani kwako ulizoweka , ndo mana Muslim wapo chini ya sheria ili kuwa na usawa ata Mungu alimpa Mussa sheria tuzifate wewe vip unasema eti wakristo mpo free how ? Dah kweli huu msiba sawa Dada endelea kuwa free 🤭🤭🤭
@@ulimbombonaulindi5088 sikiliza anachoongea Mkuu wa Wilaya kisha upate jibu maana yote ameeleza hapo lakini unauliza kosa sasa sijui na wewe ni Mungu wako Huyo mama au unafikiri ni sawa Msiamamizi wa kanisa kujiita Mungu wa Dunia? Acha kabisa Fanya yote lakini usicheze na Mungu Nduguyangu Eti amevunja Sheria gani hivi MTU kujiita yaye ni Mungu wa Dunia sio kuvunja Sheria huko?
@@ababuumwanazanzibar4908 katika yote aliyoongea hakuna kosa lililo kisheria, ameanza kutafsiri biblia tu kitu ambacho siyo kazi yake. Muhimu hilo kanisa limesajiliwa? Hawavunji sheria? Tofauti na hapo nikumwonea tu. Dini zote zinamambo ya ajabu sana, mmeyazowea tu ndiyo maana mnaona huyu kaja na ya ajabu zaidi. Kujiita mfalme ni kosa? Padri anapigiwa magotu mpaka na wakuu wa nchi sinizaidi ya ufalme huo?
DC namuunga mkono sana huyo anayejiita mfalme Zumaridi kavaa Roho ya shetani kupotosha wateule hata Yesu aliyatabiri haya kwangu mimi hilo kanisa halifahi 🙏
Na ahimidiwe Mungu Baba wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo halleluya!! Mungu awabariki sana viongozi waliona huu ujinga wa watu kwenda kujazwa mapepo!! Kweli Biblia inasema msiponisifu hata mawe yatanisifu, imejidhihirisha hapa Mungu amechoshwa na hiyo dhihaka akainua serikali kusemea kanisa! Yaani jina kanisa linatumiwa na ibilisi shetani na wakristo tunalala badala ya kupinga mpaka serikali inaingilia kati wakristo tulikua wapi??? Mungu wabariki viongozi wenye hekima, amen 🙏🏼
DC ana confidence, anajua kuwasilisha ujumbe..ana uelewa mkubwa. Anastahili nafasi hii na hata ya juu zaidi.No politcs anaongea facts tu.Mungu akulinde mh. DC.
Kamwe Mungu hadhihakiwi chochote kinachojinua kando na jina la MUNGU MWENYEZI lazima kiangukee...mnara wa Babeli uliangushwa!!...kongole sana selikari kuliona hili halafu mungu mwenyewe kajichupuaaa!! Kutoka 254
Jamanii Nimefurahi kwakwel japo nilimfahamu huyo dada kwa juujuu tu, Hakika Sipendi kuzungumzia maswala ya Watumishi wa Mungu lakn kwa nilivojionea Mambo yake ni Kinyume kabisa na Uzoefu wa Imani ya Kipentekoste...hongera DC. Yesu Tutetee.
Mungu aendelee kutumia serikali kuangusha falme za giza zinazotumia jina la Yesu kupoteza watu wake Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tz ibariki serikali na viongozi wake amina
Thank you lord u answer my prayer An church working negatively let there missions be pulled down an destroyed Restore every soul behind demonic power in Jesus mighty name Amen
Bado YESU atajidhihilisha kwa huyu mwanamke atamjua km Yesu aliyemdhihaki anaishi na asijeshangaa akakupiga mpaka kihama au omba akusamehe km alivyowasamehe wayahudi waliomdhiaki pale msalabani wakisema ajiokoe mwenyewe nk walimcheka kilichotokea waliona Mungu alivyoitikisa dunia ya wakati huo wa hao wayahudi,hapo bado kumdhiaki YESU tunaemwamini atakupigia kwa maandiko yake Mungu aliye hai
Na nyinyi Waislam ndio mtalia sana huko baadae. Haujui hizo sheria zinamuathiri Nani zaidi?- Waislam. Lazima pawe na Uhuru wa kuamudu. Kama kupingwa ilibidi apingwe na ideologies za makanisa mengine ya Kikristo. Sio nguvu za Dora.
Alafu wengi Wamama, Ee Mwenyenz Mungu tusaidie, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa tumepoteza Imani zetu wenyewe matokeo yake tunaishi kwa Imani za watu wengine.
Barikiwa sana sana kwa kulitambua hilo bora mama kwa kulifunga maana linatisha,kweli watu tunaangamia kwa kukosa maarifa huyo sijui zumalidi anatabia mbaya sana na muharibifu
Nakubaliana na nyinyi kulifunga Hilo kanisa manake hata bibilia linasema hskuna mutu yoyote ambaye ana abudiwa isipo kuwa mungu pekeee anabudiwa Kama yeye nimungu ashindwe pepo
yaani aliwajaza watoto wa watu mapepo wakaanza kuchimba mti na mikono kweli watu wanapotea kwa kukosa maarifa hivi atachomwa moto uleule watakaochomwa waongo au atawekewa moto wake siku ya hukumu😀😀
1 Timotheo 4:1 [1]Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
Hongera sana Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kuchukua uamuzi huo. Mimi kama Mkristo niliyeokoka na ninaamini biblia kama ilivyo, kwa kweli ninikuwa najiuliza sana juu ya imani ya mama huyu. Kwanza alishazungumza kuwa yeye hatumii biblia, kutumia biblia ni sawa na mwanafunzi kutazamia kwa wenzake wakati wa mitihani. Nikawa najiuliza, ikiwa yeye anasema hawezi kutumia biblia wala kuruani. sasa yeye ni dini gani? Ninaamini na ndivyo ilivyo, kwamba, madhehebu karibu yote duniani pamoja na tofauti zao, lakini lazima waamini kitabu mojawapo; eidha Biblia au Kuruani japo utafsiri unakuwa tofauti. Lakini mama huyu ni kama kigeugeu, mara atumie biblia, mara aseme biblia siyo neno la Mungu, mara aseme yeye ni mungu! Sasa kwa kweli, pamoja na utofauti wetu katika kuamini, lakini yeye yuko nje kabisa ya mada. Lakini mimi kama Mkristo ninayeamini biblia, ninajua hii ni moja ya matukio ya nyakati za mwisho. Maandiko yanasema; [1 Timotheo 4:1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 Timotheo 3:1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.]. Huyo mwanamke anatimiza maandiko haya bila yeye na waumini wake kujua; Ufunuo wa Yohana 2:20 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu. Wafuasi wa mfalme zumaridi, najua mnamtafuta Mungu lakini huyo mwanamke amewateka; mwombeni Mungu kwa bidii katika kweli, bila shaka Mungu ni mwaminifu atawaonesha wapi mwende, na mkifika huko hakika mtafurahi na kusema: Kumbe hata serikali ya nchi yetu ina macho ya kuona yaliyo kweli na yaliyo ya uwongo. Nawaombea Munguawapatie nanyi macho ya kuona, ili msipotee; Jina la Bwana libarikiwe. Hongera sana Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, ninajua hii kwako imekuwa ni mtihani mkubwa sana, lakini Mungu yuko pamoja na wewe, wala hutadhurika na lolote, umefanya kazi ya Mungu ya kuzipinga hila za shetani; Mungu akubariki na akuinue sana.
Eh mungu ananipenda sana mimi kuna kipindi nilikuwa na watch sana huyu mfalme siku moja roho mtakatifu akanikana ni simutazame sio vizuri nakwambia bro and sis ilikuwa ngumu sana lajini nilijitahidi..... nilikuwa nalitajama hili kanisa na kushanga nilijua nilibaya lakini nilikuwa bado nalitazama nikishanga mbona serekali is not investigating kumbe kila mtu na siku yake wengi are brainwashed here pamoja na hayo pray for the attendents
Mh kavuka mipaka anajiita mungu yani ana utofauti na FARAO DINI YA upigaji kuwaibia watu mtu anajiita mungu bado ANAPATA WAFOASI wakristo mmerogwa na nani aisee mungu AKUONGEZENI KTK DINI sahihi
@@naomikatharinaandrewmnkai6760 hahahahahaaaaa sasa wasukuma wengi wanaamini sana ushirikina kuliko Mungu wa roho mtakatifu,. Dada ww ni mchungaji et si ndio??
Kinachoendelea kwa Mfalme Zumaridi th-cam.com/video/KHpXTp5DknM/w-d-xo.html
m
BMG TV ONLINE habar kiongoz
Saf Sana vyombo vya Dora maana msipoangali haya tunakoelekea tutapotoka Sana
Pascal aliimb ona wanavy mwabudu kwel, akuna binadam mjanj mbele ya mung na mung hadhihakiw
huyu ndio aliongea na kanumba😂😂
Big up DC fyeka mashetani yote. Kama umemwelewa gonga like
👍👍👍
Mfalme Zumaridi ni shetani kweli maana anataka jina lake litumiwe badala ya jina la Yesu.
Na tena shetani si Zumaridi pekee. Kuna mashetani wengi wanahitaji kufyekwa na Yesu. All prosperity preachers na wahubiri wote wa theologia ni mashetani pia. Hata serikali zote pia ni mashetani.
Mimi nashukuru sana mkuu wa wilaya mungu akubariki bado mkoa wa arusha jo dev mtusaidie
Kama unakubaliana na DC na unamuunga mkono kwa waamzi wake,basi gonga like nyingi hapa kwangu
Chief Mtoto Mungu ambariki uyu DC kanifuraisha Sana
Yan mm lyk haitoshi nacoment kabixa wangeweza wachome moto na hlo jengo lijengwe kanixa la kumwabudu Mungu sio binadam
Hawa nabii wa uongo wametuchosha, huko tanga kuna kanisa , yani watu wamefungiwa ndani ni miaka kadha sasa, eti wanafanya maombi, nabii wao anawapelekea chakula huko huko ndani, wametekwa ufahamu hawajitambui , tunaomba na huko mfatilie tafadhali,
@@mayrfrimi4759 hatari sana nenda karipoti kwa Mkuu wa wilaya ili hatua za kisheria zichukuliwe tafadhali
DC your so good
Mungu mlinde huyu mkuu wa wilaya asipigwe na mapepo ya freemason. Mama uko vizuri sana.
Alieona kua huyo mfalme nahao viongoz wake wote wamejichubua sanaa gonga like
Hopekiss Matheo wamejichuna ngozi sio kujichibua tu 😳🤪
Kweli , pesa za sadaka za walalahoi hazina cha kufanyia ni kujichubua tu .
Zumaridi sura kachubua kama kalio la nyani
Kwa kweli lilikuwa pepo moja la kutisha na ikiwesekana serikali iendelee kufanya utafiti kwa makanisa mengineyo yote ambayo hayana tofauti Sana na huyu Mama mshenzi aliyelitukana jina BWANA wetu YESU KRISTO!
Salaam kutoka LONDON
Uislam ndo dini ya haki. Alhamdulillah rabbi, nashukuru kwa kunijaalia kuwa muislam
Uislam njo dini ya kweli ya kuowa banamuke 3
@@sinigirapatrick7720 wewe nyani mweusi funga domo lako pumbaffff
Nyani ni weye ,nguruwe unanifungisha mudomo kama nani?kafili mukubwa ,mbele yakutaka kujibu fikilia kwanza,najuwa yenye nimesa siobongo sinjo sheliya yenu ,sijuwi sasa iyo bingu mutaendaemo niyawapi ya wake tatu,na ushike adabu yako miye siko wasawa yako kumanyoko wee
Wachawi wote kenya na Tanzania ni wauslamu na nchi zote wakitumia nguvu za hiza..hakuna kitu kama dini..Je,roho yako ni takatifu?
Hallelujah, Yesu ameshinda mchana kweupeeeee!
Hongera selikari ya Tanzania nilazima tumuheshimu mungu
Haleluiah
Amina yesu Ameshinda
L J AMEN AMEN
Amen
Wow, nilikuwa na hasira nae sana bora nimeutua huu mzigo wa hasira. Waliokuwa wanakelwa na hili wagonge like hapa
Asante DC Kwa kuokoa roho za watu waliokuwa wanadanganywa Na huyu mwanamke anaepasha mashetani akijifanya kuwa ndo kazama kiroho, pongez kwako DC,nakuombea Mungu alie wapa kibali cha kulifungia hili kanisa uchwara ,Akulinde dhidi ya roho zozote zitakazwo tumwa kwako kujilipia kisasi zikashindwe Kwa Jina LA Yesu Kristo, Bwana akalipe kisasi juu ya adui zako watakao kupigana nawe ktk ulimwengu wa Roho
Asante yesu
AMEN
Baba katika jina la Yesu Kristo aliye hai, Nambariki mkuu wa wilaya huyu kwa kumpinga na kumwangusha nabii wa shetani/baa-yesu ambaye amekuwa akiwapotosha watu ambao walikuwa na imani sahihi na kuigeukia imani ya shetani. Mungu naomba umbari sana huyu mkuu wa wilaya. Maana imeandikwa kuwa lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana. Baba ktk jina la Yesu Kristo naomba uendelee kuwafutia leseni watu waovu kama huyu ambao wanajifanya wakristo kumbe ni mabaa-yesu/wpinga kristo. Amina.
Amina sana mtumishi wanamchezea sana mungu mmama huyu nishetani nafisadi kabisa afai naminaomba makanisa yasio taasisi yote yachunguzwe
Ameen
Baba katika Jina la Yesu Kristo naomba umlinde huyu mkuu wa wilaya uliyemtumia kumwangusha huyu kahaba
Kweli kbxa mungu amlinde
Katika jina la Yesu Kristo mkuu huyu yupo salama
Amen!!!!
Baraza la CPCT au hata CCT hawawezi kutoa msimamo wao kuhusu mafundisho potofu ya makundi ya kikristo kama huyu? Mpaka mkuu wa wilaya anakuja! Wamewahi kutoa tamko lolote? Mwanamke anajiita mfalme hio sio kufru?
Amina Mungu amtete na kumlinda
Makanisa haya ni bora yafutwe Inakuwaje unajiita mfalme wakati ni mwanamke? Kama tuko pamoja na huyu DC Gonga like twende pamoja.
Zumaridi ni Mungu, saa na majira yakitimia mtaelewa
@@eminaelytibesigwa4802 hahahahahaa hata wakati wa Eliya Mtishibi walikuepo wafuasi as you
@@eminaelytibesigwa4802 Kwa hiyo PCCT mungu wao ni Zumaridi wanayemwabudu. Sio MUNGU BABA WA MBUNGUNI eti? Maana anafanya kazi chini ya kivuli cha PCCT. Au hapo vipi? Ufafanuzi zaidi.
yaani nimefurahii mpaka nimepiga kigelegelee
@@eminaelytibesigwa4802 na wewe umeshakuwa lishetan matako kabisa uyo nabii wenu anaenda jela
Kama unatambua hizi ni nyakati za mwisho,weka like hapa na utoe kifungu cha bibilia unachokijua kuhusu kupinga makanisa ya ajabu ajabu
2 Timothy 3:1
@@monicahwanjira9038 Mungu alibariki neno lake litende mapenzi yake
Zaburi 23:1 bwana ndy mchungaj wang ctapungukiwa na kitu
Timotheo 1. 4:1
She is a good leader Kwa kweli, well spoken and understood speech
Hamza Shabani kweli speech yake iko clear yeye mwenyew pia anajua misingi ya kazi yake wala hazunguki zunguki
Yani direct utadhan anasoma mahali
lucy noah mnamuoneaburezumaridi
Bernadetha Simba zumaridinimunguwanguchiniyajuwa
@@luselemyangosha1380 zumaridi maana yake nini na mnaongozwa na kitabu gani katika hiyo imani yenu?
Kweli dunia simama nishuke mungu kajikwatua nacheni juu nawigi kwanguvuu mungu wewe mwanamke upo kwenye kitabu ganii cha dinii
Yesu Umeshinda Yesu umeshinda wewe ni Mtawala hakuna mwingine zaidi yako🙏
Noela Milambo exactly God abave all
Amina
Exactly na hawezi linganishwa na chochote au yeyote yule. Mungu apewe sifa.
Asante sana mkuu wa wilaya Mungu akulinde.
Pia wilaya zingine ziige mfano huu, makanisa ya namna hii yamekuwa mengi sana.
Serikali ifatilie sana haya makanisa.
Asante DC na wengine watembelee mikoa yao waone kama makanisa ambayo hayajasajiliwa wafungiwe pia.
Alhamdulillah I'm proud to be muslim wallah...
So msilm don't go against their dini 🤣
Alhamdulilaah
Atuna mambo mengi alhamdulillah 🤲
@@fridasky1019 🤣🤣🤣 feel sorry for you, hakuna watu wako free kama wakristo, we are no longer under the law we were set free lakini waslim mko under the law. Hii mambo yalitabiriwa yatakuwepo mwisho wa dunia so usijifanye eti Hamna mambo mengi
@@lizmass3437 kila kitu kipo chini ya sheria hata nchi ipo chini ya sheria ndo mana tunaishi kwa amani na upendo na kwa heshima hata ww unasheria nyumbani kwako ulizoweka , ndo mana Muslim wapo chini ya sheria ili kuwa na usawa ata Mungu alimpa Mussa sheria tuzifate wewe vip unasema eti wakristo mpo free how ? Dah kweli huu msiba sawa Dada endelea kuwa free 🤭🤭🤭
We we ni mtumishi wa Mungu.Hongera mama tunakuombea.
Amekufuru sana kujiita mungu was dunia, serikali isiishie hapo tu, nayeye awekwe ndani, kachafua ukristo na nchi pia
hongera mama hilo lichawi lishatusumbua sana, mungu akubaliki sana
Lile lililozini tukaliona wazi lenyewe mlifurahiaaaa mkakaa kimya, hamuwezi kujiukiza kwann Zumaridi apondwe ma we?
Kila jambo lina mwisho kanisa lanyakati zamwisho tumechoshwa naibada zahuyo mfalme wakike mchawi
😂😂😂
Mkuu wa Wilaya Hongera kubwa Bgup sana,achukuliwe atua Kali za kisheria
Wamevunja sheria gani hapo?!!
@@ulimbombonaulindi5088 sikiliza anachoongea Mkuu wa Wilaya kisha upate jibu maana yote ameeleza hapo lakini unauliza kosa sasa sijui na wewe ni Mungu wako Huyo mama au unafikiri ni sawa Msiamamizi wa kanisa kujiita Mungu wa Dunia? Acha kabisa Fanya yote lakini usicheze na Mungu Nduguyangu Eti amevunja Sheria gani hivi MTU kujiita yaye ni Mungu wa Dunia sio kuvunja Sheria huko?
Hogela kwakazi mzuli nimwizi huyo hakuna dini isoyo soma kitabu chaungu nama anafufua mbona awaonekani aowafu maneno mengi
@@ababuumwanazanzibar4908 katika yote aliyoongea hakuna kosa lililo kisheria, ameanza kutafsiri biblia tu kitu ambacho siyo kazi yake. Muhimu hilo kanisa limesajiliwa? Hawavunji sheria? Tofauti na hapo nikumwonea tu. Dini zote zinamambo ya ajabu sana, mmeyazowea tu ndiyo maana mnaona huyu kaja na ya ajabu zaidi. Kujiita mfalme ni kosa? Padri anapigiwa magotu mpaka na wakuu wa nchi sinizaidi ya ufalme huo?
@@ulimbombonaulindi5088 umeonaaa
Mungu hadhiakiwi hata siku moja. Mungu aubariki sana uongozi wa nchi hii.
Mfuatilie huyo yuko wapi kwasasa?? Kazi ya mungu haiwezi zuiliwa na mwanadamu
Yuko nyumbani kwake
Aliye ona mfalme Ana sura ngumu Kama muuza gongo like hapa tuondoe mapepo
Haahaaa
Hahahahaha sura kama koma manga vile
Duuuuuuuuu muuza gongo tena
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
DC namuunga mkono sana huyo anayejiita mfalme Zumaridi kavaa Roho ya shetani kupotosha wateule hata Yesu aliyatabiri haya kwangu mimi hilo kanisa halifahi 🙏
This is obsolete!
Proudly being Pure Catholic! Lord God redeem us
Mtumishi wa Mungu mkuu wa wilaya, Mungu akubariki Sana🙏🙏🙏
Akukumbuke mungu
Tunakuombea ulinzi wa MUNGU,Mheshimiwa mkuu wa wilaya,
Kabisa kwa damu ya yesu yuko salama
Ubarikiwe mkuu wa wilaya
🙏
Katika jina la Yesu
Amina
Hongera sana Mkuu wa Wilaya Philis Nyimbi, nadhan ni Roho Mtakatifu aliyekufunulia hili, naomba hata wanaopost upuuz wao wachukuliwe hatua kali.
Mama unastahidi kuwa kiongozi wa juu kwani unaweledi mkubwa sana.
Na ahimidiwe Mungu Baba wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo halleluya!! Mungu awabariki sana viongozi waliona huu ujinga wa watu kwenda kujazwa mapepo!! Kweli Biblia inasema msiponisifu hata mawe yatanisifu, imejidhihirisha hapa Mungu amechoshwa na hiyo dhihaka akainua serikali kusemea kanisa! Yaani jina kanisa linatumiwa na ibilisi shetani na wakristo tunalala badala ya kupinga mpaka serikali inaingilia kati wakristo tulikua wapi??? Mungu wabariki viongozi wenye hekima, amen 🙏🏼
Mungu hachezewi yees Asante jehova umeyaumbua haya maovu manabii wauongo watakuwa wengi ni kweli kabisaaa ila ameshindwaa
Haya mambo hatuyataki Tz, Hatutaki ushetani kabisa, hongera sana Mkuu wa wilaya yetu, Mungu akubariki sana na azidi kukuongoza kazini na kila mahali.
Ameeeeen... shetani ameshindwaaaaaa
Ev. Melkizedeck Msechu mmhh
Amen
DC ana confidence, anajua kuwasilisha ujumbe..ana uelewa mkubwa. Anastahili nafasi hii na hata ya juu zaidi.No politcs anaongea facts tu.Mungu akulinde mh. DC.
Nashukuru sana serikali ya Tanzania🇹🇿🇹🇿 kufunga kanisha ilo la shetani lenye machukizo sana....
Une bonne décision pour madame la maire ,une bonne exemple et courage a tous .
Yesu utukuzwe milele. .
Ulinzi wa viongozi juu ya pepo wabaya kwa jina na Yesu
Kamwe Mungu hadhihakiwi chochote kinachojinua kando na jina la MUNGU MWENYEZI lazima kiangukee...mnara wa Babeli uliangushwa!!...kongole sana selikari kuliona hili halafu mungu mwenyewe kajichupuaaa!! Kutoka 254
Asante sana mkuu wa Wilaya kwa kuliona hilo Mwenyezi Mungu Akulinde
Jamanii Nimefurahi kwakwel japo nilimfahamu huyo dada kwa juujuu tu, Hakika Sipendi kuzungumzia maswala ya Watumishi wa Mungu lakn kwa nilivojionea Mambo yake ni Kinyume kabisa na Uzoefu wa Imani ya Kipentekoste...hongera DC. Yesu Tutetee.
Mungu ni mwema, huyu Mama hana vigezo vya Mungu kutenda kazi ya Mungu akafungue biashara ya Club / Bar na sio kiwalisha watu matango pori.
Mungu aendelee kutumia serikali kuangusha falme za giza zinazotumia jina la Yesu kupoteza watu wake
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tz ibariki serikali na viongozi wake amina
Thank you lord u answer my prayer
An church working negatively let there missions be pulled down an destroyed
Restore every soul behind demonic power in Jesus mighty name Amen
Km umegundua mfalme zumaridi na waumini wake baadhi wamevaa nguo za njano km mahindi ya yanga gonga like
ASANTE YESU WANGU MWEMA! shetani ameaibikaaa. pepoooooo
Amen
Ee Mwenyez Mungu mwenye nguvu mlinde DC wetu.....
WACHA AIBIKE KABISA maana alikuwa anavuruga jina LA Yesu.
Mungu mlinde uyu Dc maana hawa wanaojiita viongozi wa dini kumbe waongo, wanataka kupotosha watu wawapeleke kuzimu mlinde kwa damu ya Yesu Amen.
Kama umeona DC anaongea hadi mshipa wa shingo unaoneka basi like kwangu ili tujuane wenye macho
Chief Mtoto wwe tu ndo umeonnaa
Badala utuambie umejifunza nini ila unatuambia mama anaongea mpaka mishipa ina msimama; kwa lipi sasa na tukishaona.
Bado YESU atajidhihilisha kwa huyu mwanamke atamjua km Yesu aliyemdhihaki anaishi na asijeshangaa akakupiga mpaka kihama au omba akusamehe km alivyowasamehe wayahudi waliomdhiaki pale msalabani wakisema ajiokoe mwenyewe nk walimcheka kilichotokea waliona Mungu alivyoitikisa dunia ya wakati huo wa hao wayahudi,hapo bado kumdhiaki YESU tunaemwamini atakupigia kwa maandiko yake Mungu aliye hai
Mungu mlinde msomi wetu umembariki na mlinde pia!!! Super woman!!!✅💪💪💪
Hongera sana mkuu wa wilaya kwa maamuzi uliyochukua na Mungu wa mbinguni akulinde ,akutenze na akubariki sanaa.
Asante sana DC huyo mwanamke mchawi kweli na amepotosha watu wengi
Asante munguwangu uliyejuu mbinguni hujawahi kushindwa utukuzwe muumbawangu🙏🙏🙏🙏🙏
Sisi Waisilamu uwa tunasema inna lillah wainna illah rajiun
Msiba mkubwa huo sheikh wangu
Kabisa dhu innalillah wainaillah radjiun, mwanamke lini akawa mfalme 😳😳sio malkia. N'a akawa baba msiba 🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Na nyinyi Waislam ndio mtalia sana huko baadae. Haujui hizo sheria zinamuathiri Nani zaidi?- Waislam.
Lazima pawe na Uhuru wa kuamudu. Kama kupingwa ilibidi apingwe na ideologies za makanisa mengine ya Kikristo. Sio nguvu za Dora.
saf
Hamidu Dongo - Sasa waislamu wanahusika wapi kwa makosa ya kanisani?
Njooni na huku dar kuna zingine naziona hata sivielewi,,nimeipenda hii Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Kweli we Mama Ni Dactari yaan unaongea kisomi nimependa sana kichwa chako unaongea kwa Confidence na facts Hongera Mama.
Alafu wengi Wamama, Ee Mwenyenz Mungu tusaidie, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa tumepoteza Imani zetu wenyewe matokeo yake tunaishi kwa Imani za watu wengine.
God in heaven protect DC in the name of Jesus christ
Amen
Amen
Ameni...!!!!!!!
Barikiwa sana sana kwa kulitambua hilo bora mama kwa kulifunga maana linatisha,kweli watu tunaangamia kwa kukosa maarifa huyo sijui zumalidi anatabia mbaya sana na muharibifu
Ashindwe kwa jina LA yesu na lazima yesu atawaporomosha manabii wote wa uongo
Nakubaliana na nyinyi kulifunga Hilo kanisa manake hata bibilia linasema hskuna mutu yoyote ambaye ana abudiwa isipo kuwa mungu pekeee anabudiwa Kama yeye nimungu ashindwe pepo
Ana adabu uyo asante serikali yetu wanatutia aibu sn awo ss wakristo
DC.uko vizuri hongera unaongea point bila kigugumizi,aliye kuteua aliona kitu kweli
Wakenya likes za Mkuu wa Wilaya Zikuje mbilimbili kama Unakubaliana Nami Kuwa anafanya kazi Nzuri
Endelea kujiita mkenya punga wewe.
Mpumbavu wewe
Dr Mungu akulinde na akutie nguvu....unamjua Mungu na uongozi ni kipaji chako unafaa sana...kama unaungana na Mimi gonga like kama zote
Mam unafaa kuwa speaker bunge
Mary ndaweka kabisah
yuko hatar
@@fainnamvungi4364 kwa kwelii
Umenena kabsaaa
th-cam.com/video/8s1ux1mSLfE/w-d-xo.html
Hongera sana dc shetan ameshindwa kwa jina la yesu kwanza mfalme mwenyewe sura ngumu kwel
Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi wa Ulimwengu Ahsante Mungu Kwa kujibu maombi yetu
Nakushukuru Sana mama kwa Kazi yako njema maana hawa watu wanaliharibu sana kazi la Mungu kwa kulipaka Matope
Si alijifanya anapambana vita ya mwisho ya Almagedon...hii ni beeping tu...sasa aingize majeshi yake kupambana sheria...
Haji elewi yule,hanatofauti na yule anajiita pastor Titus
yaani aliwajaza watoto wa watu mapepo wakaanza kuchimba mti na mikono kweli watu wanapotea kwa kukosa maarifa hivi atachomwa moto uleule watakaochomwa waongo au atawekewa moto wake siku ya hukumu😀😀
Samwel Lwiza yaan aliwajaza watoto wa watu mapepo wakaanza kuchimba mti na mikono kwakweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Samwel Lwiza umenichekesha
Beatrice Tebuye hata mie nilikuwa nashangaa sana mpaka nikasema serikali hipo wapi
Kuhani wa yezebeli, ameanguka ghafla mbele ya Mungu wamajeshi amen
Kila pando hasilo panda Baba wa Mbinguni litang'orewa ktk jina la Yesu .hakuna mfalme anayejipodoa dunian au kuvaa gauni na kuwa yeye ni mwanamke
Mkuu wa wilaya mungu akulinde naakutie nguvu kwauthubutu. Waumin wanaibiwa sana Jmn.
Mlioshiriki kulifunga hili kanisa mbarikiwe saaana
Amina. We mama mwenye hekima.dam ya yesu.ikufunike
👍👍👍🇹🇿🇹🇿👍👍✌️✌️✌️
Walilifungua tena na leo madhara yanaonekana!!
Umenena vema mkuu wa wilaya kwakweli hilo kanisa sisi sote hatulitambui kabisa na kwakuwa serikali imeingilia kati ...big up
1 Timotheo 4:1
[1]Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
Amen
Ukiyajuwa haya wala hautapata tabu kuelewa nini kinaendelea!
Imeandikwa ttawajua kwa matendo amina mkuu wa wilaya
david mihambo mmmm
Barikiwa mtumishi
Asante serikali kwakuliona hili mm ndonilikua sielewi kabisa
Hongera sana Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kuchukua uamuzi huo. Mimi kama Mkristo niliyeokoka na ninaamini biblia kama ilivyo, kwa kweli ninikuwa najiuliza sana juu ya imani ya mama huyu. Kwanza alishazungumza kuwa yeye hatumii biblia, kutumia biblia ni sawa na mwanafunzi kutazamia kwa wenzake wakati wa mitihani. Nikawa najiuliza, ikiwa yeye anasema hawezi kutumia biblia wala kuruani. sasa yeye ni dini gani? Ninaamini na ndivyo ilivyo, kwamba, madhehebu karibu yote duniani pamoja na tofauti zao, lakini lazima waamini kitabu mojawapo; eidha Biblia au Kuruani japo utafsiri unakuwa tofauti. Lakini mama huyu ni kama kigeugeu, mara atumie biblia, mara aseme biblia siyo neno la Mungu, mara aseme yeye ni mungu! Sasa kwa kweli, pamoja na utofauti wetu katika kuamini, lakini yeye yuko nje kabisa ya mada.
Lakini mimi kama Mkristo ninayeamini biblia, ninajua hii ni moja ya matukio ya nyakati za mwisho. Maandiko yanasema; [1 Timotheo 4:1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 Timotheo 3:1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.].
Huyo mwanamke anatimiza maandiko haya bila yeye na waumini wake kujua; Ufunuo wa Yohana 2:20 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Wafuasi wa mfalme zumaridi, najua mnamtafuta Mungu lakini huyo mwanamke amewateka; mwombeni Mungu kwa bidii katika kweli, bila shaka Mungu ni mwaminifu atawaonesha wapi mwende, na mkifika huko hakika mtafurahi na kusema: Kumbe hata serikali ya nchi yetu ina macho ya kuona yaliyo kweli na yaliyo ya uwongo. Nawaombea Munguawapatie nanyi macho ya kuona, ili msipotee; Jina la Bwana libarikiwe.
Hongera sana Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, ninajua hii kwako imekuwa ni mtihani mkubwa sana, lakini Mungu yuko pamoja na wewe, wala hutadhurika na lolote, umefanya kazi ya Mungu ya kuzipinga hila za shetani; Mungu akubariki na akuinue sana.
Bernard Mwenda 👈😍
Barikiwa Sana
Benard
Asante Yesu kwa ushujaaa wako kumuondoa mpinga Kristo kupitia mtumishi wako Ameen
Mungu mkubwa hadhihakiwi
Kama umefurahia zumaridi kufungiwa gonga like tujuane
Hongera sana Mungu akubariki kwa kuwaondoa wahalifu wanaopotosha jamii kwa kupiga dili la pesa.
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
"MUNGU HADHIHAKIWI"
Asante sana Mh. Rais Kwa kumchagua huyu Mama kuwa mkuu wa wilaya.
Kama ume enjoy kwahiki alichokitenda mungu sema yesu ni mungu
Ezekiel jonathan Na wewe?Ni Mungu, siyo mungu.Ni Yesu, siyo yesu(Capita leters.
Ezekiel jonathan yesu c si MUNGU
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Makafiri nabado hamjasema na Moto un awangoja
Eh mungu ananipenda sana mimi kuna kipindi nilikuwa na watch sana huyu mfalme siku moja roho mtakatifu akanikana ni simutazame sio vizuri nakwambia bro and sis ilikuwa ngumu sana lajini nilijitahidi..... nilikuwa nalitajama hili kanisa na kushanga nilijua nilibaya lakini nilikuwa bado nalitazama nikishanga mbona serekali is not investigating kumbe kila mtu na siku yake wengi are brainwashed here pamoja na hayo pray for the attendents
Alieona mfalme zumaridi kavaa gauni gonga like 😆😆😆
😃😃😃😃😃jamn
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😂 😂 😂 comedy imeanza
Pacha niachee😂😂🤣🤣🤣🤣
hahahahahhh
Baba katika Jina la Yesu naomba umlinde Mh. Pillis Nyimbi ulie mtumia kuuangusha ufalme wa huyu pepo zumaridi.
Hapo sasa nimekuelewa,nanime amini selikali hipo macho hongera sana mama pitia makanisa yote ya wilaya yako
Mh kavuka mipaka anajiita mungu yani ana utofauti na FARAO DINI YA upigaji kuwaibia watu mtu anajiita mungu bado ANAPATA WAFOASI wakristo mmerogwa na nani aisee mungu AKUONGEZENI KTK DINI sahihi
Aisee DC anatiririka bila kukata pumzi imagine angekuwa mwana mziki!
Zunaridi kibaraka wa shetani lengo ni kubomoa kanisa la Yesu Kristo Ila kashindwa leo kaanguka chali, big up mkuu wa wilaya
Yesu wangu ni mshindi siku zoteeee🙏🙏🙏
Mama nimekupenda sana Mungu akubariki sana na azidi kukupa ujasiri na hekima zaidi, akulinde na wote wanaokuotea mabaya.
DC wasiliana na TCRA mfungie na channel yake ya youtube,huyu dada ameharibu sana watu.
Ivi ni wa wap huyu mwanamke??
msukuma uyo.
@@naomikatharinaandrewmnkai6760 hahahahahaaaaa sasa wasukuma wengi wanaamini sana ushirikina kuliko Mungu wa roho mtakatifu,. Dada ww ni mchungaji et si ndio??
Fungie kabisa
Huyu mama anahitaji kufunguliwa anayo mapepo ya kishirikina
Baraka KINGS Music Na Star TV Wanarusha Kipindi Chake Kabisa
Kama umemuona huyu DC anaongea kwa hasira na msisitizo gonga like twende sawa
Safi mkuu huyu mtu nilikuwa najiuliza serikali iko wapi kumuacha Mungu adhihakiwe na huyu mtu
diamond
Walichelewa kidogo ila Mungu ni mkubwa hili kanisa lifungwe kabisa